Ulinzi Channel
Ulinzi Channel
  • 638
  • 8 766 368

วีดีโอ

WAZIRI WA ULINZI NA JKT, AKAGUA BANDA LA JKT KUELEKEA KILELE CHA SIKU YA WAKULIMA NANENANE
มุมมอง 1.1K7 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#wizarayaulinzi #jwtz #jkt
TANZANIA YAWAKUMBUKA MASHUJAA JIJINI DODOMA.
มุมมอง 1.4Kวันที่ผ่านมา
#wizarayaulinzi #jwtz #jkt
KATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI NA JKT AKABIDHI ZAWADI WAFANYAKAZI BORA WA WIZARA
มุมมอง 40621 วันที่ผ่านมา
#wizarayaulinzi #jwtz #jkt
WAZIRI WA ULINZI NA JKT AZINDUA BARAZA LA NANE LA WAFANYAKAZI LA TATC -NYUMBU KIBAHA
มุมมอง 49928 วันที่ผ่านมา
#wizarayaulinzi #jwtz #jkt#tatc
WAZIRI WA ULINZI NA JKT ATEMBELEA SHULE YA MSINGI NYALIKUNGU ALIYOSOMA DARASA LA SABA
มุมมอง 1.1Kหลายเดือนก่อน
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 01 Julai, 2024, ametembelea Shule ya Msingi Nyalikungu iliyopo Halmashauri ya Wilaya Magu, mkoani Mwanza, shule ambayo alisoma akiwa Darasa la Saba. Mara baada ya kuwasili, Dkt. Tax alipokelewa na Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Bi Betty Ngulla na baadaye alimtembeza Waziri Tax kujionea shuleni hapo kujio...
WAZIRI WA ULINZI NA JKT ATEMBELEA OFISI YA MKUU WA WILAYA MAGU
มุมมอง 1.6Kหลายเดือนก่อน
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 01, Julai 2024 alitembelea Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Magu mkoani Mwanza na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Wilaya hiyo, Mheshimiwa Joshua Nassari. Katika ziara hiyo, Waziri wa Ulinzi Tax, alipata fursa ya kushiriki Kikao cha Baraza la Ushauri la Wilaya (District Consultative Committee - DCC) akiwa pamoja na Kamati ...
#TANZIA WAZIRI WA ULINZI NA JKT AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMUAGA BRIGEDIA JENERALI CHAKILA
มุมมอง 19Kหลายเดือนก่อน
#Tanzia #wizarayaulinzi #jwtz #jkt
WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU ATEMBELEA UJENZI WA HOSPITALI KUU YA JESHI DODOMA
มุมมอง 2.3Kหลายเดือนก่อน
#wizarayaulinzi #jwtz #jkt#wizara ya afya
JKT LATANGAZA NYONGEZA YA VIJANA NA AMBAO HAWAJARIPOTI WARIPOTI MAKAMBI YALIYO KARIBU
มุมมอง 1.9Kหลายเดือนก่อน
Jeshi la Kujenga Taifa, Juni 22, 2024 limetangaza nyongeza ya Vijana wa Kidato cha sita (Form six) kwa Mujibu wa Sheria pamoja na kuwat¬¬aka ambao hawajaripoti waripoti mara moja kwenye Makambi ya JKT yaliyopo karibu na mahali wanayoishi. Akitoa tangazo la wito huo jijini Dodoma kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Mkuu wa Tawi la Utawala JKT, Brigedia Jenerali Hassan Mabena, amefafanua...
Waziri wa Ulinzi na JKT Afunga Kozi ya Ukamanda na Unadhimu, CSC Duluti, Arusha
มุมมอง 7Kหลายเดือนก่อน
#wizarayaulinzi #jwtz #jkt
Shirika la TATC NYUMBU Kibaha lakabidhiwa Mashine za kisasa za Bolts and Nuts
มุมมอง 972หลายเดือนก่อน
#wizarayaulinzi #jwtz #jkt
JKT LATANGAZA NAFASI ZA VIJANA KWA MUJIBU WA SHERIA
มุมมอง 10K2 หลายเดือนก่อน
#wizarayaulinzi #jwtz #jkt
WAZIRI WA ULINZI NA JKT DKT. STERGOMENA TAX AFANYA KIKAO NA WAFANYAKAZI WA WIZARA
มุมมอง 8932 หลายเดือนก่อน
WAZIRI WA ULINZI NA JKT DKT. STERGOMENA TAX AFANYA KIKAO NA WAFANYAKAZI WA WIZARA
WAZIRI WA ULINZI NA JKT, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) Awasilisha Makadirio ya Bajeti ya Wizara
มุมมอง 2.2K2 หลายเดือนก่อน
WAZIRI WA ULINZI NA JKT, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) Awasilisha Makadirio ya Bajeti ya Wizara
UTAMBULISHO WA VIONGOZI WA WIZARA YA ULINZI NA JKT, BUNGENI WAKATI WA UWASILISHWAJI WA BAJETI
มุมมอง 16K2 หลายเดือนก่อน
UTAMBULISHO WA VIONGOZI WA WIZARA YA ULINZI NA JKT, BUNGENI WAKATI WA UWASILISHWAJI WA BAJETI
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGA RASMI MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI
มุมมอง 8102 หลายเดือนก่อน
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGA RASMI MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI
MKUU WA SHIRIKA LA MZINGA AELEZEA WALIVYOFANIKIWA KUFANYA UBUNIFU BOMU BARIDI LA KUFUKUZIA TEMBO
มุมมอง 1.3K2 หลายเดือนก่อน
MKUU WA SHIRIKA LA MZINGA AELEZEA WALIVYOFANIKIWA KUFANYA UBUNIFU BOMU BARIDI LA KUFUKUZIA TEMBO
Wizara ya Ulinzi na JKT Dkt. Stergomena Tax Azindua Bomu Baridi la Kufukuzia Tembo
มุมมอง 7512 หลายเดือนก่อน
Wizara ya Ulinzi na JKT Dkt. Stergomena Tax Azindua Bomu Baridi la Kufukuzia Tembo
MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI (CISM)
มุมมอง 3.8K2 หลายเดือนก่อน
MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI (CISM)
WAZIRI WA ULINZI NA JKT DKT. STERGOMENA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KAMANDI YA JESHI LA AKIBA MANYONI
มุมมอง 13K2 หลายเดือนก่อน
WAZIRI WA ULINZI NA JKT DKT. STERGOMENA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KAMANDI YA JESHI LA AKIBA MANYONI
WAZIRI WA ULINZI NA JKT DKT. STERGOMENA AZINDUA KITUO CHA AFYA K-9 BIHARAMURO NA KUKAGUA MAJENGO
มุมมอง 8332 หลายเดือนก่อน
WAZIRI WA ULINZI NA JKT DKT. STERGOMENA AZINDUA KITUO CHA AFYA K-9 BIHARAMURO NA KUKAGUA MAJENGO
MKUTANO WA USHIRIKIANO WA KIJESHI KATI YA TANZANIA NA MISRI WAFIKIA KILELE MAKUBALIANO YAFIKIWA
มุมมอง 1.8K2 หลายเดือนก่อน
MKUTANO WA USHIRIKIANO WA KIJESHI KATI YA TANZANIA NA MISRI WAFIKIA KILELE MAKUBALIANO YAFIKIWA
MAKAMU WA RAIS AIKABIDHI MAKOMBE YA UBINGWA WA MEI MOSI ULINZI KWA USHINDI WA NETIBALL NA DARTS
มุมมอง 2913 หลายเดือนก่อน
MAKAMU WA RAIS AIKABIDHI MAKOMBE YA UBINGWA WA MEI MOSI ULINZI KWA USHINDI WA NETIBALL NA DARTS
WAZIRI WA ULINZI NA JKT Amkabidhi Gari Jipya Meja Jenerali Chelestino Msola {Mstaafu)
มุมมอง 8K3 หลายเดือนก่อน
WAZIRI WA ULINZI NA JKT Amkabidhi Gari Jipya Meja Jenerali Chelestino Msola {Mstaafu)
ULINZI MABINGWA WAPYA MICHUANO YA NETBALL MEI MOSI 2024, YASHIKA NAFASI YA PILI MSHINDI WA JUMLA
มุมมอง 1873 หลายเดือนก่อน
ULINZI MABINGWA WAPYA MICHUANO YA NETBALL MEI MOSI 2024, YASHIKA NAFASI YA PILI MSHINDI WA JUMLA
UMAHIRI WA JWTZ, Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
มุมมอง 4.8K3 หลายเดือนก่อน
UMAHIRI WA JWTZ, Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA AFANYA ZIARA YA KIKAZI KIKOSI CHA 834 MAKUTUPORA
มุมมอง 9413 หลายเดือนก่อน
WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA AFANYA ZIARA YA KIKAZI KIKOSI CHA 834 MAKUTUPORA
DKT. MPANGO ASHIRIKI DUA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA
มุมมอง 663 หลายเดือนก่อน
DKT. MPANGO ASHIRIKI DUA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA
HOTUBA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA Katika Uzinduzi na Makabidhiano ya Boti Mpya ya Doria
มุมมอง 4733 หลายเดือนก่อน
HOTUBA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA Katika Uzinduzi na Makabidhiano ya Boti Mpya ya Doria

ความคิดเห็น

  • @FrenkMussa
    @FrenkMussa วันที่ผ่านมา

    Mdogo wangu anachet cha 4m4 tuu kwani hawezi kupata nafasi anahitaji kujiunga na jkt

  • @EdwardNdissi
    @EdwardNdissi วันที่ผ่านมา

    Honegera Jeshi la wananchi kwa kujituma kwenu

  • @GraceLufungulo
    @GraceLufungulo วันที่ผ่านมา

    Jkt laha xana

  • @SengeremaWiss
    @SengeremaWiss วันที่ผ่านมา

    Nawapongeza sana wanajeshi wetu kwa kuonyesha uwezo mkubwa, Mungu azidi kuibaliki nchi yetu, aibaliki Afrika,aibaliki Tanzania kwa ujumla,lakn pia mkuu wa majeshi napenda sana kuomba nafasi hii maana na ndoto kubwa san za kuwa mwanajeshi kwaajili ya kudumisha amani na usalama wa taifa letu.

  • @SadickOmarry
    @SadickOmarry วันที่ผ่านมา

    Kiukwer napenda kuirinda tanzania na mam yang Rais samia kusema ukwer kwa Allah nampenda sana Rais sijawa2 kumuona lakin nikimuona nitamwambia laivu kua nampenda napy namuombea awepo madalakan daima kwauwenz wa Allah Abillah taufiq

  • @BaliremwaNovati
    @BaliremwaNovati 2 วันที่ผ่านมา

    Oljoro JKT had the best parade ever... Operation Tija, Ego Coy, under Sir Major, SANDALI

  • @saidndimbo2738
    @saidndimbo2738 3 วันที่ผ่านมา

    Well done, Ulinzi channel we get you live

  • @ibrahimmaulid2704
    @ibrahimmaulid2704 6 วันที่ผ่านมา

    Hongereni sana na tunajimbo gezs J W T Z ni jeshi imara sana na liko vizuri big up sana bila kumsahau marehemu Brigadier Hashim Mbita ktk ukombozi wa bars la Africa haswaa kusini hongereni sana

  • @ibrahimmaulid2704
    @ibrahimmaulid2704 6 วันที่ผ่านมา

    Hongera mzze WANGU Sarakikya kwa utumishi uliotukuka nidhsmu ya hali ya juu na ni askari mtiifu hukuunga mkono mapinduzi ya meaka 1964 I salute you Sir thks

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 6 วันที่ผ่านมา

    ☑️✍️💯

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 6 วันที่ผ่านมา

    ...keta tukwendela mu Ngamu jakeee🎉👏

  • @WallaceWaweru-ob7jz
    @WallaceWaweru-ob7jz 7 วันที่ผ่านมา

    Nchi ya mama kimkazii🎉🎉

  • @kanisiusnyakaselula5285
    @kanisiusnyakaselula5285 7 วันที่ผ่านมา

    Hongereni sana vijana wa JKT Makao makuu. Natamani kuona hizi bend hata kwenye taasisi zingine za kiserikali.

  • @tysonkiungo3793
    @tysonkiungo3793 7 วันที่ผ่านมา

    Military Diplomacy

  • @kandidosamweli3194
    @kandidosamweli3194 7 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji anaongea kwa unyenyekevu hadi nimependa

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 9 วันที่ผ่านมา

    ❤♥️🎶😀🔊♥️nalela nalela msondoo...🎉❤👏

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 9 วันที่ผ่านมา

    ❤🎉💯

  • @KINGKULWA-z9j
    @KINGKULWA-z9j 10 วันที่ผ่านมา

    Nilikuwepo mtumba ,hapo magufuli city

  • @Rastermirish
    @Rastermirish 10 วันที่ผ่านมา

    Sawa kabisa

  • @JosephMwita-rt3ej
    @JosephMwita-rt3ej 11 วันที่ผ่านมา

    🇹🇿🇹🇿Amani iwe nanyi🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @user-ij2xw3om2t
    @user-ij2xw3om2t 11 วันที่ผ่านมา

    Wii MUNGU Libaliki jwtz MUNGU ibaliki Tanzania Amina

  • @mwaramigila6278
    @mwaramigila6278 12 วันที่ผ่านมา

    Fantastic

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 13 วันที่ผ่านมา

    🎉🇹🇿☑️✍️👏

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 13 วันที่ผ่านมา

    2008-2010♥️💯☑️✍️🇹🇿

  • @VirotheaSteavean
    @VirotheaSteavean 15 วันที่ผ่านมา

    Good job I like

  • @IbrahimRamadhan-cm4rj
    @IbrahimRamadhan-cm4rj 15 วันที่ผ่านมา

    😍😍😍😍

  • @salvatormselle2393
    @salvatormselle2393 18 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri. Hongereni sana wanajeshi (makamanda) wetu! Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania na watu wake! ✨

  • @YOHANADANIEL-xt7ej
    @YOHANADANIEL-xt7ej 25 วันที่ผ่านมา

    nawapenda

  • @joshua-u4r
    @joshua-u4r 25 วันที่ผ่านมา

    Naumia sana kukosa nafasi ya kulinda nchi yangu nikiwa ndani ya kitenge.

  • @PiousMussa-g5x
    @PiousMussa-g5x 25 วันที่ผ่านมา

    Naomba nijumuishwe mwaka uhu kwenye mafunzo ya jkt

  • @stephenjonas4866
    @stephenjonas4866 28 วันที่ผ่านมา

    TPDF 🎉🎉🎉

  • @ShishackgaudensiLuhwago-br2nl
    @ShishackgaudensiLuhwago-br2nl 29 วันที่ผ่านมา

    😢RIP

  • @ShishackgaudensiLuhwago-br2nl
    @ShishackgaudensiLuhwago-br2nl 29 วันที่ผ่านมา

    😢RIP

  • @josephelias7364
    @josephelias7364 หลายเดือนก่อน

    Safi Sana Mkuu. Ubarikiwe

  • @charzmhindi325
    @charzmhindi325 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @user-dd3ek5fh5g
    @user-dd3ek5fh5g หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri JWTZ🇹🇿💪🏿

  • @dicksonakyoo8222
    @dicksonakyoo8222 หลายเดือนก่อน

    Nimemuona mama p hapo,betrice

  • @RahmetMani-xm1gk
    @RahmetMani-xm1gk หลายเดือนก่อน

    Good job faza.

  • @mwasisobajohan7641
    @mwasisobajohan7641 หลายเดือนก่อน

    Jenerali Davis Mwamunyange

  • @yonaghambi
    @yonaghambi หลายเดือนก่อน

    Maishayajeshi usikivu

  • @AmonMerere
    @AmonMerere หลายเดือนก่อน

    Uzalendo kwanza

  • @AmonMerere
    @AmonMerere หลายเดือนก่อน

    Saf napenda jeshi la nchi yangu

  • @allidehunter3223
    @allidehunter3223 หลายเดือนก่อน

    dah asante. mungu- nilikua ni miongoni mwa haooo wanao apa hapoo

  • @oonyuali7530
    @oonyuali7530 หลายเดือนก่อน

    hapa ndo sem ya ujenzi ya makanda...... huyu kamanda wangu 2021

  • @ThaniaHaji-zx8nn
    @ThaniaHaji-zx8nn หลายเดือนก่อน

    Live au vipi

  • @sibomanaandrew3933
    @sibomanaandrew3933 หลายเดือนก่อน

    Waende Kwa nini wakwepe,

  • @MgishaBoaz
    @MgishaBoaz หลายเดือนก่อน

    Poreni makamanda wa jwtz nafamilia yake

  • @johnalexandermushi6720
    @johnalexandermushi6720 หลายเดือนก่อน

    RIP Brig Gen.

  • @FredrickKabura-gd7hg
    @FredrickKabura-gd7hg หลายเดือนก่อน

    Uturehemu ee bwana

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 หลายเดือนก่อน

    😢poleni sana makanda wangu! Hakika,kifo kipo na Hana atakayekikwepa maana ni agizo la Mungu kwetu baada ya Babu na bibi yetu Adamu na Hawa kumkwaza kupita kiasi.Mungu atujalie rehema yake😭