MAGUFULI AKATAA HADHARANI WANAJESHI WASIKATWE - "CHUKUA PESA KALIPE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ย. 2019
  • MAGUFULI AKATAA HADHARANI WANAJESHI WASIKATWE - "CHUKUA PESA KALIPE"
    Rais Dkt John Magufuli, leo Novemba 25, anaendelea na ziara yake jijini Dodoma..
    Rais Magufuli leo ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa makao makuu ya ulinzi Kikombo yailiyopo jijini humo..
    #JPM
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    ----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    HABARI MPYA DAILY:
    th-cam.com/users/playlist?list...
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:th-cam.com/users/playlist?list...
    GLOBAL RADIO TV:
    th-cam.com/users/playlist?list...
    EXCLUSIVE INTERVIEW:
    th-cam.com/users/playlist?li

ความคิดเห็น • 92

  • @selemanishaweji7504
    @selemanishaweji7504 4 ปีที่แล้ว +6

    Viva magu gonga like kama utampa kula magu 2020

  • @ethelgivamakota7143
    @ethelgivamakota7143 4 ปีที่แล้ว +11

    Hongera sana Rais wetu. Mungu azidi kukulinda.

  • @anselmiisaay3184
    @anselmiisaay3184 4 ปีที่แล้ว +5

    Excellent our president Tz Dkt JPM wew ni wa kuigwa GOD bless You

  • @jonahkasula5601
    @jonahkasula5601 4 ปีที่แล้ว +17

    i like Dr. Magufuli, may God bless you for serving the people of Tanzania, you are the best example of patriotic leaders, i wish you where our president.

    • @ocholamalachi1552
      @ocholamalachi1552 4 ปีที่แล้ว

      Yes,he is a patriotic leader,am a kenyan though lakini nampenda sana magufuli.

    • @sebastianjohn5465
      @sebastianjohn5465 4 ปีที่แล้ว

      Prophesor joes ndarchako

  • @danitarimo5013
    @danitarimo5013 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu ukulinde sanaaa,Rais wetu mwenye uchungu na nchi yetu

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani magu wetu Leo haupo nasi 😭😭😭😭😭😭😭 Alhamdulillah Allah Kareem pumzika kwaaAmani Rais wetu

  • @anwarjamal9832
    @anwarjamal9832 4 ปีที่แล้ว +1

    Best country in Africa TZ nampongza Rais wa jamuhuri wa Tz Mungu ampeleke mbele mbele I will come to visit Tz soon

  • @jacobnghwani1891
    @jacobnghwani1891 4 ปีที่แล้ว +3

    Hakika Baba wewe ulishushwa na Baba yetu wa mbinguni,,, viva my beloved President JPM vivaaaaa!!

  • @AsiaMkusa
    @AsiaMkusa 4 ปีที่แล้ว +8

    From my heart I salute you Mr President

  • @omarymaulid6912
    @omarymaulid6912 4 ปีที่แล้ว +2

    SAFI SANA anko MAGU
    ALLAH AKULINDE NA AKUPE UJASIRI ZAIDI.
    Napenda tabia yako ya kutomuonea aibu yeyote.
    SHUKRAN.

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 ปีที่แล้ว +1

    MMMMMAAAAAAGGGGUGUGUGGGGUUUUUGGGGUUFFFFUUUULLLLLLIIIIII MAGUFULI JMNI MAGUFULI. ulitutetea wanyonge..Mungu Alikuwa neema ukawa hivyo baba...asante comrade..thank u Gallant son of Africa..neenda baba nenda...tunamshukuru Bwana sababu ya maisha yako mkuu

  • @ommysaphone1832
    @ommysaphone1832 4 ปีที่แล้ว +3

    Jknyerere anapunga kwa mbali akisema na sasa hapa roho yangu imetulia fikra zangu zimeishi mda mrefu zikitanga ila hapa nimepata mkombozi maana wanafunzi wangu wengi walienda kuiba lkn hapa nimepata mkombozi atakayewafikisha nchi ya ahad

  • @davidlucas5445
    @davidlucas5445 4 ปีที่แล้ว +5

    Pambana baba sisi tuliowengi tunakukubali, huku ARUSHA ni raha kilakona, wasiokukubali watakukubali tu watakewasitake maendeleo wanayaona.

  • @gasparyeugene4855
    @gasparyeugene4855 4 ปีที่แล้ว +3

    HONGERA sana hii inatoa motisha kwa jeshi. ..letu kazi yao tayari ni kujitoa lazima serikali iwape motisha

    • @jumamfangavo4218
      @jumamfangavo4218 4 ปีที่แล้ว

      Safi sana baba yetu tunakuombea kwa Mungu akulinde pia akupe nguvu na afya njema piga kazi

  • @sylvestersafari6569
    @sylvestersafari6569 4 ปีที่แล้ว +5

    More blessing to you,, Mr prezidiii

  • @saidiselemani7786
    @saidiselemani7786 4 ปีที่แล้ว +5

    Presedent wanguuuuuuuu songa mbeleeee wewe wetu 20 years

  • @mbarakaathumani3035
    @mbarakaathumani3035 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah bless our leader
    Allah bless our Tanzania
    Allah bless our Africa

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 ปีที่แล้ว +3

    Safi sn Rais wetu kw wema wko lifikishe mbali jeshi la wananchi

  • @daudjohn7746
    @daudjohn7746 4 ปีที่แล้ว +4

    Hongera xana rais wang,endelea kuchapa kaz

  • @kalufunyangenyakinyungu5087
    @kalufunyangenyakinyungu5087 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Rais jamani mm sina la kusema zaidi ya kumuombea uzima tu na afya tele

  • @esnartmagoti9292
    @esnartmagoti9292 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda Rais wangu

  • @diamondgeyser7987
    @diamondgeyser7987 4 ปีที่แล้ว +4

    Big up Mr. President

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunalia kwa yote haya uliyoyafanya na kuyatekeleza, lakini,aaah haupo na hatupo pamoja....Mungu atusimamie.

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 4 ปีที่แล้ว +8

    ni chuki na visa vinaenezwa lkn kweli zipo hatua ambazo ukazifuata ktk utekelezaj wa mirad lazma ukwame au ucheleweshe miradi hiyo
    viva jpm

  • @jonathanmashaury4570
    @jonathanmashaury4570 4 ปีที่แล้ว +5

    Magufuli oyeee

  • @peterfrank7938
    @peterfrank7938 4 ปีที่แล้ว +4

    Waziri ana wangusha hawalipi pesa ya likizo makamanda wako pamoja wanapiga kz ngumu

  • @jacobsemwenda4923
    @jacobsemwenda4923 4 ปีที่แล้ว +2

    Very good mh raisi jpm

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 4 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana

  • @jackonael8640
    @jackonael8640 4 ปีที่แล้ว

    Hongera Mh Rais unaubinadamu na huruma kubwa Mungu akupe nguvu, piga kazi

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 4 ปีที่แล้ว +3

    In magufuri we trust

  • @hajilanga8181
    @hajilanga8181 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera rais wangu

  • @fizzomzena3757
    @fizzomzena3757 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana raisi wetu

  • @hawaamohammed6687
    @hawaamohammed6687 4 ปีที่แล้ว +3

    Waaangaliweeee jamaniiiii hawawatuuuuu wanakazingumuuu hawanachakuwalipa hawawatu

  • @japharyjuma6309
    @japharyjuma6309 4 ปีที่แล้ว +3

    Mr president you kill it😉😉😍😍😍😍😍😍😍

  • @linusmagezi8398
    @linusmagezi8398 4 ปีที่แล้ว +2

    Rais Magufuli una muono mzuri na nchi hii endelea hivyo

  • @alyjjuma7088
    @alyjjuma7088 4 ปีที่แล้ว +6

    Amir jeshi mkuu..ww ni Amir jeshi unaejua kazi zako vizuri jeshi letu hili kwa uwezo wa Mungu litafika mbali from defensive force to army hongera muheshimiwa John Pombe Joseph Magufuli

  • @mmbarcelona2384
    @mmbarcelona2384 4 ปีที่แล้ว +1

    😆😆🇹🇿 wa Gogo watani zetu hao! tuta wapiga fimbo...😆♥️

  • @meekmsonga4833
    @meekmsonga4833 4 ปีที่แล้ว +4

    God bless baba yetu🙏

  • @mosespaul5557
    @mosespaul5557 3 ปีที่แล้ว

    RAISI WANGU NATAMANI HUKO MBINGUNI PIA NIKUKUTE UKIWA NA CHEO ZAIDI YANGU HILI TUFURAHI WOTE MBINGUNI NIKIKUKUMBUSHA ULIVYO TUPEA NIDHAM DUNIANI AMINA🙏

    • @allanochieng3363
      @allanochieng3363 3 ปีที่แล้ว

      Bado sijaamini. Amesafiri tu kidogo.

  • @zakkaumeme9829
    @zakkaumeme9829 4 ปีที่แล้ว +3

    Jembe letu hilooo

  • @stephenpaul8679
    @stephenpaul8679 4 ปีที่แล้ว +4

    Hongeren sana

  • @lewisnoah652
    @lewisnoah652 4 ปีที่แล้ว +3

    Ongeza mandege hadi yafike 10000

    • @benjaminfataki6898
      @benjaminfataki6898 4 ปีที่แล้ว

      Lewis Noah wewe bima za afya ni bora kuliko izo ndege,kuna watu wanateseka vijijini hawana bima.

  • @naftalimaramoko8270
    @naftalimaramoko8270 4 ปีที่แล้ว +5

    Hongera magu kwakuuthamin ulinzi.

  • @wisdomuta1039
    @wisdomuta1039 4 ปีที่แล้ว +3

    100%

  • @fatumamaiga8496
    @fatumamaiga8496 3 ปีที่แล้ว

    Mungu sikia maombi ya Watz kwa ajili ya mpendwa wao Rais was Tz

  • @seifsaidseifsaid7846
    @seifsaidseifsaid7846 4 ปีที่แล้ว +3

    Safi, lkn Navyojua nyumba zilizo ndani ya kambi ya jeshi hawezi mwanaheshi kukatwa pesa ni za jeshi.

    • @AsiaMkusa
      @AsiaMkusa 4 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo unahisi raisi anadanganya umma au

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 4 ปีที่แล้ว

      Walikuwa wameambiwa wakatwe walikataa kulikuwa na mvutano mkubwa lakini aliyezijenga alikuwa anadai ni moja ya madeni sugu inayodaiwa Serikali

    • @mamahustru
      @mamahustru 4 ปีที่แล้ว +3

      Kikwete na General Mwamunyange ndo walihusika kwenye huo ujenzi wa hizo nyumba na kuamua wanajeshi walipe kupitia Ngome allowance zao, na wakaandika mikataba namna hiyo. General Mabeyo alipoingia akasema haiwezekani maana Ngome allowance ni pesa yao binafsi, kwanini watumie pesa yao ambayo ni sehemu ya mshahara kulipia deni la nyumba wasizomiliki? Maana umiliki wa nyumba unabaki kwa jeshi. Ndo maana Magu kasema anawashangaa waliosaini hiyo mikataba. Hapo nadhani kaamua kutokusema sana maana atawagusa moja kwa moja JK na Mwamunyange.

    • @kalufunyangenyakinyungu5087
      @kalufunyangenyakinyungu5087 4 ปีที่แล้ว

      Hujui kitu tulia,uko kikosi gani ww?

    • @shayopaterini8678
      @shayopaterini8678 4 ปีที่แล้ว

      Duuuuuuuuu

  • @deadcrush
    @deadcrush 6 หลายเดือนก่อน

    Ni vizuri ali auwawa.

  • @madugualoyce3463
    @madugualoyce3463 4 ปีที่แล้ว +1

    The way he talks about country no ukweli katika,

  • @mjumeali3406
    @mjumeali3406 4 ปีที่แล้ว +2

    Sins cha kusema ila selema selema
    .(aliselema alijaa).

  • @joelrugano6517
    @joelrugano6517 4 ปีที่แล้ว

    Rais JPM asante kwa udhubutu

  • @mandegoro9322
    @mandegoro9322 4 ปีที่แล้ว +12

    Tutengenezee nchi baba mkubwa tunakukubali sana.

    • @abdalahfarida2074
      @abdalahfarida2074 4 ปีที่แล้ว

      Magufuli anahofia Wanajeshi kumgeuka lazima ajifanye kuwatetea. Ulikuwa wapi mda wote umekaribia uchaguzi ndio unakumbuka. "UNAKUMBUKA SHUKA KUMESHAKUCHA" Huyo Mabeyo umempa cheo sio cha kwake kwa ajili ya ukabila. Huwezi kuwadanganya Wanajeshi subiri utapata majibu sio mda mrefu.

  • @nkelamefoli3081
    @nkelamefoli3081 4 ปีที่แล้ว

    Nc

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 ปีที่แล้ว +1

    Wamenipa sumu,wamemuuwa Gadaf wa kuwet pumbafuuu🤣🤣🤣.

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 4 ปีที่แล้ว

    Ujumbe umefika wanalipwa hela na wanapimiwa maeneo hadi raha na inawezekana wakapewa bure

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว

      Rushwa ya kiaina hiyo haha na ujinga wenu

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 3 ปีที่แล้ว

    La tumebaki kusikiriza sauti na picha tu baba mtetezi wa Afrika mtetezi wa wanyonge alla akulaze mahari peponi tutakumbuka milele

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 ปีที่แล้ว

    Magufuli- Jeshi!!

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 4 ปีที่แล้ว

    Ewe mwenyez MUNGU enderea kuyapa nguvu majeshi yetu

  • @fatumamaiga8496
    @fatumamaiga8496 3 ปีที่แล้ว

    Waliotufanya tulie ipo cku wao watalia mala Mia ya tunavyolia wananchi was Tz

  • @henrymagige2140
    @henrymagige2140 4 ปีที่แล้ว

    Huyu Rais anastahili heshima kubwa

  • @emanuelieliasi8456
    @emanuelieliasi8456 4 ปีที่แล้ว

    achana na maneno piga kazi

  • @shukurkatembo2807
    @shukurkatembo2807 4 ปีที่แล้ว +3

    Observation point.....

    • @filbertkanza5499
      @filbertkanza5499 4 ปีที่แล้ว +1

      Safi Mzee magu

    • @neemamangoma3987
      @neemamangoma3987 4 ปีที่แล้ว

      Tukumbuke Na walimu baba

    • @ibrahimismail833
      @ibrahimismail833 4 ปีที่แล้ว

      Amir jeshi mkuu wa jeshi la wanaichi wa Tanzania akiongoza kwa weledi mkubwa kuongoza kimkakati ktk zoezi zima, pamoja na waziri Hussen Mwinyi, mkuu wa majeshi ya ulinzi wa Tanzania mh Mabeyo

    • @omarimanonga9771
      @omarimanonga9771 4 ปีที่แล้ว

      Wewe ni mwamba usio tikisika....

  • @jofreykivambe6520
    @jofreykivambe6520 4 ปีที่แล้ว +3

    Lion of Judah's.....

    • @Soulpeace2001
      @Soulpeace2001 4 ปีที่แล้ว

      Mungu akulinde na kukupa Neema tele kwenye mipango mizuri ulionayo kuliongoza taifa letu Mh. Dr. JPM the President of URT