MAANDAMANO SINGIDA, WAFANYABIASHARA WAFUNGA BARABARA, WAELEZA SABABU "TUFUKUZENI KWENYE HII NCHI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 3 หลายเดือนก่อน +20

    Shida ni moja watu mnapenda kuimba ccm mbele kwa mbele stuka mdugu zangu.

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 3 หลายเดือนก่อน +1

      CCM imeludi kulekule

    • @yunusimchala6569
      @yunusimchala6569 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@chusseboywcb2808 hakuna chamade ambacho hakina utaratibu kwa hiyo ikitawala chairman kila atajiamlia mwenyewe la kufanya?

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 3 หลายเดือนก่อน +30

    Mtajuwa wenyewe na li CCM lenu mana mkipewa t.shirt mnasahau yote hayo 😃😃

    • @AliphonceMartina-q1u
      @AliphonceMartina-q1u 3 หลายเดือนก่อน +2

      Achana na tshet sema wanapewa makopo ya chumvi

    • @MosesShileka
      @MosesShileka 3 หลายเดือนก่อน

      ​@AoliphonceMartina-q1u

    • @MosesShileka
      @MosesShileka 3 หลายเดือนก่อน

      L

    • @MosesShileka
      @MosesShileka 3 หลายเดือนก่อน

      L😊😊

    • @MosesShileka
      @MosesShileka 3 หลายเดือนก่อน

      L

  • @eliakanyika4921
    @eliakanyika4921 3 หลายเดือนก่อน +11

    Hii serikali imechoka kuwaongoza wananchi

  • @allydaud612
    @allydaud612 3 หลายเดือนก่อน +10

    CCM,CCM,CCM nimewaita mara tatu siku wananchi wataingia mitaani nchi nzima hatukuna atakae weza kuwazuia jitakari please yajayo haya furuhishi

  • @Ambwene
    @Ambwene 3 หลายเดือนก่อน

    NINACHOFURAHI KWAMBA WATANGANYIKA TUSHAANZA KUAMKA PAMOJA TUNAWEZA WATANGANYIKA 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 3 หลายเดือนก่อน +4

    Sio mama yetu ndio wale wale, swala ccm asante walipotufikisha.

  • @abednego3876
    @abednego3876 3 หลายเดือนก่อน +7

    Wanaacha wafiraji na wauwaji watekaji wanaenda kushikia bunduki wakulima 😂😅.

    • @MabulaMalembeka
      @MabulaMalembeka 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 et wafiraji!

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sisi tunachojua mama anaupiga mwingi tulieni bx

  • @WillbadBeda
    @WillbadBeda 3 หลายเดือนก่อน +9

    Amkosi ni mradi wao

  • @PascoPolisi
    @PascoPolisi 3 หลายเดือนก่อน +8

    Polen sana wanunuzi ni hao hao wanao wapga mabom

  • @JansanMokiwa
    @JansanMokiwa 3 หลายเดือนก่อน

    MAMA MITANO TENA❤❤❤ CCM OYEEE

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ccm ishilikilie hapo hapo safi sana ccm kaza mpaka wanainchi wakome

  • @wisdomfolks
    @wisdomfolks 3 หลายเดือนก่อน +4

    Bado hamjasema

  • @yokoi3970
    @yokoi3970 3 หลายเดือนก่อน +3

    Uchaguzi kesho kutwa mzuka huu uwe kwenye kura zenu. Its high time mjitambe hawa watu ni wabinasfi always ni kuwanyonya wa Tanzania while wako kwenye ma gari yao.

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mama nini hua wananikera sanaa ww ukisema mama unafikili atakusaidia sasa imekua varangati tu hakuna mtemtezi zaidi yamagufuri😢😢😢😢upo kimvurini unakula bata kwa hera zetu kama niagizo walipeni kwawakati halafu mazao yangu nimelima mimi kwanini unipangie kuuza 😢😢😢

  • @laurencematitah7046
    @laurencematitah7046 3 หลายเดือนก่อน +8

    Kwanini serikali isilime hayo mazao kuliko kukimbizana na wananchi, kulima alime kwa shida halafu mnakuja kumpa kirisiti eti asubiri pesa yake!

  • @BulegiSahani
    @BulegiSahani 3 หลายเดือนก่อน

    Ndo mukome munapewa mandazi tu munachagua viongoz ambao hawatetei wananch wao😂😂😂

  • @Pascopeter-z8x
    @Pascopeter-z8x 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sana na babo

  • @gastonjohn537
    @gastonjohn537 3 หลายเดือนก่อน

    Uwiiiiiiiii acha waisome namba

  • @HappyCorgiPuppy-xm7cp
    @HappyCorgiPuppy-xm7cp 3 หลายเดือนก่อน

    Yes CCM mbele kwa mbele

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani ss mkeni acheni upuuzi na mtaumia saana
    Tafuteni viongozi walio imara wasio weza kuyumbishwa na mtu
    Mlisha ambiwa hamieni Uganda
    Watanzania huu ni wakati sahihi wa kuchagua viongozi Wazuri😭😭

  • @SamweliKitiku
    @SamweliKitiku 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sheria zetu Zina kandamiza watu wachini

  • @GhaniaSaid-u5k
    @GhaniaSaid-u5k 3 หลายเดือนก่อน +10

    Kila jambo linaanza kwa hatuwa miaka miwili ijayo tngnyika inaelekea pby xana

    • @Joppa555
      @Joppa555 3 หลายเดือนก่อน

      Ukweli nauona pia😢😢

    • @LufingoMwakafwila
      @LufingoMwakafwila 3 หลายเดือนก่อน

      Kama staka bazi ghalani inafaida kwa mkulima kwa Nini mnalazimisha . Hao amkosa shamba lao liko wapi la mfano?

    • @lawimanumbu5103
      @lawimanumbu5103 3 หลายเดือนก่อน

      Tanganyika itapatikana ndo nchi yetu

  • @MkobaMfangavo
    @MkobaMfangavo 3 หลายเดือนก่อน

    Jaman yangu macho

  • @Ambwene
    @Ambwene 3 หลายเดือนก่อน

    Hii serikali ya awamu ya 6 ya kipumbavu sana aisee

  • @Hopesone
    @Hopesone 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wakija officen mnawasikiliza ???

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 3 หลายเดือนก่อน

    This is too much, mtu anahangaika kulima halafu mnachukuwa deals mnakamataa watu kwa haki zao wenyewe, manyanyaso ya hali ya juu

  • @melichmahingule2896
    @melichmahingule2896 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kwanini kusiwe na soko huria! Amkos anunue na watu binafsi wanunue, mtu achague anaenda kuuza wapi, tofauti na hapo hiyo inakuwa kama ni jela, yaani ulime wewe halafu upangiwe la kuuzia! Jamani acheni ubabe, dunia tumepewa na Mungu ni yetu sote

  • @HajiLoya
    @HajiLoya 3 หลายเดือนก่อน

    Nchi hiii aseee😢😢

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 3 หลายเดือนก่อน

    Polen wanasingida wenzangu 😢😢😢

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 3 หลายเดือนก่อน

    Endeleen kusema ccm oye mtaisoma

  • @DicksonNdalutv
    @DicksonNdalutv 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndio faida Ya CCM

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 3 หลายเดือนก่อน +6

    Fyeeeeeeee

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 3 หลายเดือนก่อน

    Watu wanatorosha mazao😮😮 kwani wanaiba? Au wanalima

  • @rochiusromward8495
    @rochiusromward8495 2 หลายเดือนก่อน

    Aiseee hadi nimeumia kwa uchungu

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 3 หลายเดือนก่อน

    Mabom ya NN kama sio kutosha watu 😢😮

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 3 หลายเดือนก่อน +3

    Lalamikeniiìiìi mkimaliza wapeni kura ccm tena

    • @givenessdavid3743
      @givenessdavid3743 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hata usipowapa watajipa wenyewe....... Tuna Amani ya kinafki sana

  • @HusnaKassi
    @HusnaKassi 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂pigeni mawe hao ankosii mtaomba mpk lini haki haiombwi ila inapganiwa

  • @storytownTv
    @storytownTv 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hii nchi jaman..😢

  • @JohnManyilizu-rl5bm
    @JohnManyilizu-rl5bm 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mtaisoma namba mnajidai ccm mtakoma na li ccm lenu

  • @JamesKanyenda-y9y
    @JamesKanyenda-y9y 3 หลายเดือนก่อน

    Wao hamkosi waambie wakalime wenyewe.sio kuchukuwa mazao ya watu

  • @CafeJohn-n9o
    @CafeJohn-n9o 3 หลายเดือนก่อน

    Ulime kwa shida na kuuza tena niuze kwa shida unapangiwa tena sehemu ya kuuza hiii nichi ni ngumu sana namungu anawaona bengu sichangiwa na serikari halafu kuuuza nipangiwe kweli

  • @mdedsm5522
    @mdedsm5522 3 หลายเดือนก่อน

    Ukoloni ndio huo sasa😂😂😂 ulime ww wao walazimishe uwauzie

  • @anwaritesal4695
    @anwaritesal4695 3 หลายเดือนก่อน

    Mama Samia yuko China 😂

  • @AbubakaryOmary-m6l
    @AbubakaryOmary-m6l 3 หลายเดือนก่อน

    CCM Must go..😂

  • @mariamjamali1444
    @mariamjamali1444 3 หลายเดือนก่อน

    Mnasababisha taharuki kwa wananchi mkiona maji yamezidi unga mnawatupia mizigo ya lawama askari wetu na as long wao wamefundishwa nidhamu ya utii lkn pia ndipo anapopata chakula chake vile vile na yeye wakati mwingine maisha yake yanakuwa hatarini anafanya kitu ambacho wala hakutoka nyumbani kwenda kukifanya. Askari wamekuwa wakilaumiwa sana na wananchi lkn ukweli ni kwamba wao hawahusiki kbs. Tunawaheshimu,tunawapenda na kuwathamini sana viongozi wetu lakini wengi wenu malipo yenu kwetu ni mateso,vilio na majuto ni muda sasa wa viongozi wetu wa kiafrika kubadili fikra zenu na kuwajibika kwa wananchi.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 3 หลายเดือนก่อน +14

    ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
    Mtakoma mpka mtajamba checherrr

    • @billimambo9517
      @billimambo9517 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa hapo chama tawala kinaingiaje

    • @jacksonwilson5772
      @jacksonwilson5772 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@billimambo9517huna akili timamu ndo maana unauliza hili swali.

  • @djunction4127
    @djunction4127 3 หลายเดือนก่อน

    BADO HAMJASEMA
    ccm mbele kwa mbele😂

  • @dicksonlucumay4551
    @dicksonlucumay4551 3 หลายเดือนก่อน

    AMcos walime na wao km wanahitaj mazao yao co kuwanyonya wananchiiii

  • @ipepeetube449
    @ipepeetube449 3 หลายเดือนก่อน

    Watu wakidai haki oooh watumika vibaya au kisiasa nyie mmekaa afsin hamujui

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nitahamia Uruss

    • @Hopesone
      @Hopesone 3 หลายเดือนก่อน +1

      Bora iwe ivo

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 3 หลายเดือนก่อน +4

    Visasi vikizidi kikiwaka kenya watadubiri

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 3 หลายเดือนก่อน +3

    Na bado mtanyooshwa Sana na ccm ushuru KilA Kona iko SKU tutadaiwa ushuru wa kichwa

    • @MabulaMalembeka
      @MabulaMalembeka 3 หลายเดือนก่อน

      umeonaeee.... dalili za kodi yakichwa cha mtanganyika kurudi zinaonekana tayari.

  • @StephanoMwanjemba
    @StephanoMwanjemba 3 หลายเดือนก่อน

    Mama hawezi kusikia mana yeye nichurakiziwi

  • @RashidAbbas-zy6xx
    @RashidAbbas-zy6xx 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani mmewasaidia kwenye kulim?

  • @MosesShileka
    @MosesShileka 3 หลายเดือนก่อน

    Mo😊

  • @mariamjamali1444
    @mariamjamali1444 3 หลายเดือนก่อน

    Mh. Mimi nilishawahi kuwa mkulima, sijawahi kuona Serikali ikija shambani kupalilia wala kumwagilia wala kuleta mbolea ikifika mavuno mpo acheni hizo. Km ni kodi ya Serikali waambieni wananchi kila gunia ni sh 1000 au 500 lkn sio kuwapangia hadi pakuuza. Dunia imeshatoka huko ni sisi tu kutokana na watu waliaminiwa na Serikali kukosa ubunifu.

  • @karimmakweta3530
    @karimmakweta3530 3 หลายเดือนก่อน

    Mkuu wa. Mkoa Hili la. Kusubiri WANANCHI waje ofisini kwako kweli

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 3 หลายเดือนก่อน +8

    Endeleeeeeni kumuomba mama enu bado sindano haijawaingia na bado mijingaaaa nyie awaoneee huruma endeleeeni kuomba haki inapambaniwa pumbavu

    • @MabulaMalembeka
      @MabulaMalembeka 3 หลายเดือนก่อน

      yaani eti mama! hivi hawa wanao mwita mama, hawana mama zao! ujinga ujinga tu

    • @Simoni-p9j
      @Simoni-p9j 2 หลายเดือนก่อน

      Kuna wakati hawa viongozi wanatufanyia hiv kwa sababu ya kuwadekeza .....ila kama tukiwa tunatake reaction mbona wangekuwa wanaelewa

  • @FintanMkesha
    @FintanMkesha 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hii nchi inapoenda Sasa

  • @emmanueldeus8756
    @emmanueldeus8756 3 หลายเดือนก่อน +2

    Fyeeeeeeeereeereeeeeeeeee

  • @muhammadmpahi338
    @muhammadmpahi338 3 หลายเดือนก่อน

    Acha tuisome namba. Na bado. Uzuri katika kuisoma namba haina itikadi ya vyama. Niwote mpaka makada.

  • @ipepeetube449
    @ipepeetube449 3 หลายเดือนก่อน

    CCM hoeeee kazi iendelee mpaka wajue kama HALIJAKUKUTA utaona poa

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mkiambiwa tubadilishe mfumo wa utawaka mnasema anaupiga mwingi mnabaki kulialia na mama yenu !! Na bado tutaisoma namba sana !!

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd 3 หลายเดือนก่อน

    nabado, samia ni mpigadiri anatafuta hela ya uchaguzi.

  • @HamisiNguche
    @HamisiNguche 3 หลายเดือนก่อน

    Bebeni Tu matisheti bure ya ccm hayo hayo ndiyo matokeo msilieeeee. Mama yenu watu wanatekwa yupo kimyaaaaa

  • @NabiiMkuupdYohana7974
    @NabiiMkuupdYohana7974 3 หลายเดือนก่อน

    AMCOS ni nani? Ya nani? Inafadhiliwa na nani? Kwa makusudi ya nani?

  • @yasiniselemani3917
    @yasiniselemani3917 3 หลายเดือนก่อน

    Aysee nguvu za watu ni sumu serikali ituthamini bas ituache tuwe huru

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 3 หลายเดือนก่อน

    Mm mwenyewe hapa nauchungu kwel dumu moja la mafuta tulikuwa tunalipa mia sasahv tunalipa mia tano yaan nataman serikali ya ccm wanyakuliwe wote mpaka kuzmu

  • @AronMassawe
    @AronMassawe 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hiii yani hii serikali vp ? Mwananch analima mazao yake anaenda kuuza tena soko la ndani alafu mnamlazimisha auze mnapotaka nyinyi duuuh kweli hii ni kali ya mwaka

  • @gerevasliyunga9831
    @gerevasliyunga9831 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 ivi ni baazi au mbaazi,,,bashe kasema mbaaazi soko lipo vizur😂😂😂 ila bashe 😂😂😂😂

  • @gabumkono
    @gabumkono 3 หลายเดือนก่อน

    Mama anaupiga mwingi sauti ya manyumbu

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola 3 หลายเดือนก่อน

    Ccm mitano 5 😂 si tuliipenda wnyw acha tuisome No

  • @nicodemusdanieli
    @nicodemusdanieli 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani mlikuepo wakati tunalima?

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kisheria selikali imeingilia umma bila mkataba wowote ambao unahitaji hisa

  • @danielkanso
    @danielkanso 2 หลายเดือนก่อน

    Mhhhh mbona serikali imefikia pabaya yaani sahivi kila kinachotokea lazima mitutu ya bunduki ihusike nini maana ya hiki

  • @athumaniamani9905
    @athumaniamani9905 3 หลายเดือนก่อน

    Mwamba umeongea point fulan mzur ila ya kuwa watutafutie nchi nyingin ya kwenda kukaa ila subili sku yako ya kutekwa......

  • @fanuelkatoto8913
    @fanuelkatoto8913 3 หลายเดือนก่อน +2

    你好

  • @emilyKassiano-oo5iy
    @emilyKassiano-oo5iy 3 หลายเดือนก่อน +2

    Fyeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @KulwaSongoma
    @KulwaSongoma 3 หลายเดือนก่อน

    Hata hvyo angalieni lindi mtwara maisha yao magumu kwani serikali imewabana mno tangia miaka ya nyuma ndio maana ni masikini sana mkikubali tu watu wa kanda ya ziwa mmeumia

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 3 หลายเดือนก่อน

    Kila wananchi wanapotaka kujitatua kimaisha serikali inaingilia kati, huu ni ukoloni mambo leo

  • @Mosesmbughi-s2n
    @Mosesmbughi-s2n 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu alisema kichwa cha nyumba ni mwanaume nyiye mnaweka mwenamke kichwa cha nyumba .eti ili mikundi Fulani ifadike.wanyonyaji

  • @jamesnyamila2165
    @jamesnyamila2165 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi mwenye mazao anapangiwa akauze wapi, tena Kwa kulazimishwa!!! Hii nchi inawenyewe aise

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 3 หลายเดือนก่อน +2

    RC maneno mazuri utendaji work done zero

  • @wemakanka3171
    @wemakanka3171 3 หลายเดือนก่อน +1

    Serikali iweke mfumo wao vizuri na sio kuwakandamiza wakulimana kuwanyonya
    Km kitu ni kizuri na kina manufaa toeni elimu watu waelewe km piv ardhi ni kubwa limeni na nyie

  • @IssackJackson
    @IssackJackson 3 หลายเดือนก่อน

    hii mambo ya amucosi ni shida sana

  • @AlouiseNgenDanDumwe
    @AlouiseNgenDanDumwe 3 หลายเดือนก่อน

    Sio mama tatizo nimiwani yake haoni gisi wa tanzania wanavyo nyanyaswa

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 3 หลายเดือนก่อน +1

    Agizo kutoka juu, yaani anatolosha mazao yaake, mkurugenzi ni CCM huyo. Ni watu wabaya saaana.

  • @ramadhanikassimu
    @ramadhanikassimu 3 หลายเดือนก่อน

    Mama wanakuchafuria chama

  • @Tedychriss-z1w
    @Tedychriss-z1w 3 หลายเดือนก่อน +1

    mama tusaidie watu wa singdaaa tunateseka

    • @stewartdyamvunye-wz6rn
      @stewartdyamvunye-wz6rn 3 หลายเดือนก่อน

      Hawa ndugu zangu wa Singida, kwanza poleni sana. Nawashangaa sana. Wanalia kwamba mama (naamini wanamlilia rais) tusikilize. Hivi wanasahau kuwa mama ndiye kawatuma hao waliokuja na bunduki kusimammia AMKOSI! Sasa atawasaidia vipi au ataanzia wapi. Pili mama mwenyewe nadhani kwa sasa yupo China, ziara. Atawasikiliza saa ngapi? Tatu, Singida mnasahau, serikali ya huyu huyu mama mnayemlilia walisema wakikabidhi raslimali zetu kwa wageni (bandari nk.) serikali itakuwa na pesa nyingi na maisha ya wananchi yataboreka! Sasa mnalia nini! Singida, tegueni kitendawili na muache ushamba!

    • @MabulaMalembeka
      @MabulaMalembeka 3 หลายเดือนก่อน

      kumbe nimama yako?!!
      sasa mbona kama hakujui jui, ila wewe unajipendekeza kijinga

  • @JamesMisalabaPalu
    @JamesMisalabaPalu 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani biashara ni kulazimishana. Nguvu zangu, mazao yangu kwenye kuuza nipangiwe. Ila Viongozi wetu hawa look!!!!
    Watanzania tuna shida ya kuchanganua mambo. Mtu analazimishwa kuwa kwenye Ushirika wakati ushirika na mashirika yalishakufa kama sio kufirisika. Tanzania shida.

  • @FrancisRM-ex8vf
    @FrancisRM-ex8vf 3 หลายเดือนก่อน

    Hii mifumo inayoanzishwa na serikali bila kuzingatia kuwa inamkandamiza mtu wa chini, ipo siku Tanzania vitapiganwa vita hadi Umoja wa mataifa utaingilia kati kusuruhisha.

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona wanasema hawajui

  • @jumaalmasjuma1700
    @jumaalmasjuma1700 3 หลายเดือนก่อน

    Tena BBT YAO SI Walime tumewaPa vijana mmewafunza sasa mmewabwaga mitaani mnataka mazao yetu

  • @KulwaSongoma
    @KulwaSongoma 3 หลายเดือนก่อน

    Hayo ni mawazo ya wazili haujawahi kulima tangia azaliwe akalime naye kwanza aone faida ya stakabadhi garani

  • @RichardJavara
    @RichardJavara 3 หลายเดือนก่อน

    Mwenye uelewa na hii amcos atueleze faida yake kindakindaki pamoja na changamoto zake ,mana kwa uelewa wangu biashara zote nyingi zinazoingiliwa na serikali huwa hazifanikiwi kabsa na hii inatokana rushwa na ufisadi ukizingatia wanaolima si miongoni wa vingozi wa vyama hivi vya ushirika.

  • @StephanoMwanjemba
    @StephanoMwanjemba 3 หลายเดือนก่อน

    Hayo ni matunda ya chama tawala

  • @OscarKasalile
    @OscarKasalile 3 หลายเดือนก่อน

    Wanalalamika hamuwalipi pesa kwa wakati. Na kwann afuate utaratibu wenu bila kumsikiliza mkulima kwenye changamoto zao?

  • @KulwaSongoma
    @KulwaSongoma 3 หลายเดือนก่อน

    Serikali ilime mazao ili ipeleke magarani isihangaike na mtanzania mmoja mmoja

  • @StephanoMwanjemba
    @StephanoMwanjemba 3 หลายเดือนก่อน

    Pia mkumbuke kwamba nimabingwa wakutengeneza matatizo halafu wanajifanyakutatua kuwenimakini