TANROADS IRINGA INAENDELEA NA UJENZI WA KUPANUA NA KUBORESHA BARABARA SEHEMU YA MLIMA KITONGA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @user-ku4xq4nd9v
    @user-ku4xq4nd9v หลายเดือนก่อน +4

    Hongera Tanroads kwa kutupatia mrejesho kila wakati

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 หลายเดือนก่อน +2

    Waziri wa ujenzi fanya ufanyalo bara bara ya kusini makaraveti na madaraja yote siyo mazuri kwa mwaka ujao mvua ikinyesha njia itakatika tena.madaraja yenye ubana wa kutosha ni muhimu sana.pia Kuna sehemu kontena imetumika kama kalaveti ni hatari kontena inaoza haraka sana.sehemu somanga nangurukuru Bado nguvu inahitajika Ili kabla mvua hazija Anza lami mpya ijengwe viraka si sawa.

  • @user-qs1xx9yl8i
    @user-qs1xx9yl8i หลายเดือนก่อน +2

    Weka na tunnel ww boss

  • @ramaaman4020
    @ramaaman4020 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania juu huondiouzalendo asantenisana pamoja na Mheshimiwa raisiwetu.

  • @flova7022
    @flova7022 หลายเดือนก่อน +2

    Nawashukuru wananchi kwa kutoa kodi ambazo ndio fedha zinnazotumikka katikka maendeleo..apo vip

  • @mduda_i
    @mduda_i หลายเดือนก่อน

    Tunaomba barabara ya Iringa mjini kwenda Ruaha National park kwa kiwango cha lami. Kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya ccm. 🙏

  • @JeminKiza
    @JeminKiza หลายเดือนก่อน +1

    Mzani Wenda unatuharibia muda sana

  • @IsmailSaid-od9bs
    @IsmailSaid-od9bs หลายเดือนก่อน +1

    Hana vifaa huyo mkandarasi wenu

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz หลายเดือนก่อน

    Mtoa mbuu,Arusha drift lina jaa maji maska tuwekewe,daraja

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv หลายเดือนก่อน

    Wizara ya ujenzi barabara ya kusini hasa ya mkoa wa lindi madaraja Yana Hali mbaya jaman chukueni hatua mvua masika siyo mbali sana hakuna mkandarasi site mpaka Sasa.

  • @Gsamir694
    @Gsamir694 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana

  • @user-oh8ig2cy9q
    @user-oh8ig2cy9q หลายเดือนก่อน +1

    Ivyo vioo nyani ndio watakua wanavitumia watajaa

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kwa nini watalamu wetu mnatuangusha lakini

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk หลายเดือนก่อน

    Mnapanua au mnaongeza upana wa barabara?

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 หลายเดือนก่อน +4

    Engineer sehemu km hiyo suluhisho ni tunnel tu

    • @killy_hoffman2698
      @killy_hoffman2698 หลายเดือนก่อน +1

      geography ilikupiga chenga shuleni🤣🤣

    • @eddechriss2664
      @eddechriss2664 หลายเดือนก่อน

      @@killy_hoffman2698 bahati mbaya sijawahi kutembelea nyanda za juu, ndio utuambie sasa kama study zilishafanyika ili tujuwe na sio kuongea in short km hivo

    • @flova7022
      @flova7022 หลายเดือนก่อน

      ​@@killy_hoffman2698shida tusio na elimu hiyo tunnabishana

    • @yustomwaisomania2587
      @yustomwaisomania2587 หลายเดือนก่อน

      Kuna shida ya elimu hapo

    • @frankmare1708
      @frankmare1708 หลายเดือนก่อน +2

      Toa ilo neno " Tu"

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 หลายเดือนก่อน

    Wapeni wachina......

    • @corrolesscps
      @corrolesscps หลายเดือนก่อน

      Ni kweli hawana vifaa, kama umewai toka Tz na kutembelea nchi nyingi zilizoendelea kimaendele ya Miundo mbinu, hili kitonga ni rahisi costraction engineering yake, Yaani wamejenga mpka unashangaa wanawezaje, ni ujuzi au ni hela, wamewalipa vizuri Macostructer

  • @razackndeze-pv5bm
    @razackndeze-pv5bm หลายเดือนก่อน

    Suluhisho la muda mrefu pekee ni kujenga ao kupitisha hiyo barabara sehemu nyingine sio kupanda huo mlima kitonga, ao kujenga tunnel. Lakini hao mumbo ya kupanua barabara haitasaidia chochote bali itakula hela za bure tu.