TUKIO ZIMA: KUVISHWA CHEO NA KUAPISHWA MNADHIMU MKUU WA JWTZ, IKULU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ก.พ. 2018
  • Hafla hii imefanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, ambapo Rais Magufuli amemwapisha Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohammed kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania.
    Pia Mkuu wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo awavisha vyeo vipya maafisa wengine waandamizi kumi waliopandishwa vyeo jana.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 113

  • @brunomubawa2276
    @brunomubawa2276 4 ปีที่แล้ว +19

    Jina langu Bruno Mubawa napatikana mashariki mwa DRC mji wa goma ambapo siku zimepita tulikuwa na huyo Général James Mwakibolwa alifanya kazi sahihi kabisa alikuwa akisimamiya kikosi maalum cha force intervention ya un na majeshi ya Tzd sisi wa kongo tunakuwa na kumbukumbu kwake kabisa

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 ปีที่แล้ว +1

      Acha kunifanyia mkongo wewe, ww umekaa huko unalinda amani ndo mara hii tu ujifanye mkongo

  • @fadhilikiwera6501
    @fadhilikiwera6501 6 ปีที่แล้ว +11

    Well said Lt. Gen. Samuel Ndomba.
    Leadership is not to be saved but to save.
    Congr. New TPDF Chief of Staff Lt. Gen. Mohammed

    • @Ambagaye
      @Ambagaye 6 ปีที่แล้ว +2

      Hongera sana General Yakubu; Tabora school tulikuwa tukimtania General Yakubu Gowon, na kweli amekuwa General Yakubu. Kumbe hajabadilika sura yake; bado ni ile ile ya TS.

  • @unismbalia5913
    @unismbalia5913 2 ปีที่แล้ว +4

    Magu tutaishia kukukumbuka sana na kuangalia picha zako R.I.P

  • @jeanrobertdodo1244
    @jeanrobertdodo1244 6 ปีที่แล้ว +7

    Mungu aibariki sana Tanzania na Wa Tanzania wote.

  • @benjaminulanga6749
    @benjaminulanga6749 2 ปีที่แล้ว +5

    R.I.P John we miss you and we remember you everytime😭😭😭😭😭

  • @anawa4326
    @anawa4326 3 ปีที่แล้ว +3

    Big respect ✊🏽🇹🇿💪🏼

  • @mohamedkitiku5231
    @mohamedkitiku5231 6 ปีที่แล้ว +2

    Jenerali V.Mabeo namkubali sana,poa sana kiongozi wangu.

  • @salumhalfani9101
    @salumhalfani9101 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu hiongoze sana nchi yetu.

  • @danielmachibya7472
    @danielmachibya7472 6 ปีที่แล้ว +6

    Good advice from Ndomba.
    i like it

  • @sadikmwita8538
    @sadikmwita8538 2 ปีที่แล้ว +6

    I love magufuli may God rest his soul at peace

  • @stephenjonas4866
    @stephenjonas4866 ปีที่แล้ว +1

    kipindi ndomba anarudi kukaa ,, magufuli alimpiga jicho fulani.. kuona huyu mwamba ana kichwa smart sana..

  • @aymankhadija619
    @aymankhadija619 3 ปีที่แล้ว

    Safi Sanaa,hao wanadhimu wastaaafu wamefunda vilivyo.kazi Kwake mnadhimu mpya.ALLAH amuongoze

  • @sebastianngimba4850
    @sebastianngimba4850 6 ปีที่แล้ว +5

    waislam waliowengi ni wazuri kiutawala,hivyo upole ni imani walio nayo kwa mungu najua itakua poa zaidi

  • @allybomba4125
    @allybomba4125 6 ปีที่แล้ว +3

    hongereni sana mungu. awaongoze katika mikakati yakazi

  • @Ambagaye
    @Ambagaye 6 ปีที่แล้ว +3

    Mwakalindile ni kati ya wale waliokuwa watemi wa jeshi hili enzi zile

  • @barakashadrack7695
    @barakashadrack7695 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndo alikuwa Rais bana, hakika maumivu hayataisha

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 2 ปีที่แล้ว

    Enzi za mzee nidhamu ilikuwepo r.i.p.kamanda magu,hakika fikra zako zitaishi

  • @lameckeliakimu8677
    @lameckeliakimu8677 5 ปีที่แล้ว +1

    Inapendeza sana.

  • @edrickniwamanya5665
    @edrickniwamanya5665 4 หลายเดือนก่อน

    R.I.P dady😢😢😢😢

  • @ambassadorkateme5903
    @ambassadorkateme5903 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana wakubwa

  • @macborgevarest3435
    @macborgevarest3435 6 ปีที่แล้ว +2

    I wish one of the well disciplined soldiers could be the president of our nation rather than other wise.

  • @anthonykhisa892
    @anthonykhisa892 5 ปีที่แล้ว

    mweshimiwa rais wa jamuhuri ya wa tazania amenyehsa wazi kua shuja sio yule ane kufa vitani bali pia anae rudisha ushindi nyumbani pia ni shuja vile vile .......hongera makufuli

  • @enockkimase6764
    @enockkimase6764 2 ปีที่แล้ว

    Hongera jeshi retu

  • @bububuzanzibar9497
    @bububuzanzibar9497 4 ปีที่แล้ว

    Yaani ww kaka Mwini nakukubali saana

  • @jovithmapela4067
    @jovithmapela4067 6 ปีที่แล้ว +1

    Jabili

  • @mbwanarajab4756
    @mbwanarajab4756 2 ปีที่แล้ว

    Alikuwa akipandisha wasukuma vyeo..

  • @alloycejames5285
    @alloycejames5285 4 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mwanamke😢😢

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 6 ปีที่แล้ว +3

    Ukitaka kujinyoga bila kuguswa ingia humo halafu we utamke kwa herufi kubwa STOP..........

  • @hazjay4671
    @hazjay4671 6 ปีที่แล้ว

    Gen.Mabeo Na #Pacha Wake Wakiwavisha Cheo

  • @josepheliakim8486
    @josepheliakim8486 4 ปีที่แล้ว +1

    Nitafika hapo ln

  • @MudiBakali
    @MudiBakali หลายเดือนก่อน

    Mugu ibaliki 1:09

  • @rmussa7196
    @rmussa7196 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ibariki Tanzania yetu

  • @amdaniamli7881
    @amdaniamli7881 5 ปีที่แล้ว

    A mkubwa wangu na mwalimu wangu jnr yakubu mungu akuongoze

  • @barikimollel7890
    @barikimollel7890 2 ปีที่แล้ว

    Ninyi watu wakubwa mnaona tukinyanyaswa baada JPM kuondoka na mnatulia

  • @tubonemwakisonga6649
    @tubonemwakisonga6649 6 ปีที่แล้ว +3

    Mzee wa songea ushaur wako ameupokea na tumeupokea

  • @amdaniamli7881
    @amdaniamli7881 5 ปีที่แล้ว

    Nisawa mwalimu wangu

  • @hamzaliganga7437
    @hamzaliganga7437 4 ปีที่แล้ว

    Ongereni nyote mliopandishwa vyeo

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 6 ปีที่แล้ว +1

    mzee wa tanga yuko na good advice.

  • @frednahson1759
    @frednahson1759 6 หลายเดือนก่อน

    Rip MN mwakalindile

  • @hajimakame1062
    @hajimakame1062 4 ปีที่แล้ว

    Hamna mtu wa Zanzibar mbona ktk walopandishwa veoo

  • @joseflyfrancis1903
    @joseflyfrancis1903 4 ปีที่แล้ว +1

    Hogela sana

  • @jumaafadhili9066
    @jumaafadhili9066 2 ปีที่แล้ว

    Harmonize alivyo gombana na diamond plut num

  • @dicksonisakwe3063
    @dicksonisakwe3063 6 ปีที่แล้ว

    Samahan! Kuuliza c ujinga,...nini maana ya mnadhim na kaz zake katka jesh? Ahsante!

    • @raphaellukindo3581
      @raphaellukindo3581 5 ปีที่แล้ว

      mtendaji mkuu wa Jeshi

    • @charlevande8821
      @charlevande8821 5 ปีที่แล้ว

      Msemaji mkuu wa jeshii

    • @RioIpo
      @RioIpo 4 ปีที่แล้ว

      Anaitwa Chief of Staff ndio kila kitu kwenye jeshi mana anakuwa ndio mtendaji mkuu

  • @cezarmelimeli5376
    @cezarmelimeli5376 2 ปีที่แล้ว

    Kwaa makamanda Kama Hawa na kwa jeshi imara Kama hilo imara kuliko lote afrika waziri wake ni mwa

    • @cezarmelimeli5376
      @cezarmelimeli5376 2 ปีที่แล้ว

      Waziri ni mwanamke duuuu!hata mungu alikataa mwanamke kuwa kiongozi wa mwanaume!sembuse kwenye ulinzi wa nchi???.????
      Thanks

  • @nalimwansumbule9235
    @nalimwansumbule9235 2 ปีที่แล้ว

    Nakushukuru baba magufuli kwa Mambo yako makubwa na yenye heshima kubwa

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 3 ปีที่แล้ว

    Wewe unaropoka tu majina ya kisukuma huyajui usitake kuleta chuki zako hapa. Wote waliotunukiwa vyeo wanastahili.

  • @omarjinialy3356
    @omarjinialy3356 4 ปีที่แล้ว +3

    Ni muslam ila amekula kiapo cha utii wa kulitumikia taifa na sio Dini ya Uislam hivo cheaf msaaf ondoa shaka na pale tunapo pahitaj tutafika ili tueweze kuingia katika 10 bora military ulimwengun 🖐🖐

  • @macborgevarest3435
    @macborgevarest3435 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kama anakaribia kustafu?

  • @valeliusdiockiles4506
    @valeliusdiockiles4506 6 ปีที่แล้ว +1

    Haha wasukuma naona wana ishika nchi haaaa

    • @omarykikambaa3102
      @omarykikambaa3102 6 ปีที่แล้ว +1

      VALELIUS DIOCKILES acha ukabila diockiles acha uchongezi utakugalimu

  • @jovithmapela4067
    @jovithmapela4067 6 ปีที่แล้ว +1

    habali

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 ปีที่แล้ว

    Vijana wote wasomi wenye elimu ya chuo kikuu mlio wazalendo kwa Taifa lenu ingieni Jeshini mkalitumikie Taifa. Kazi ya watu makini wenye Uzalendo usio na mashaka.

    • @masanjakiliano2855
      @masanjakiliano2855 5 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaha udhan wanaingia tu kama ukumbini eeeeh mtumishi wa bwana hii kazi ni wateule sifa

    • @petermatonya6890
      @petermatonya6890 4 ปีที่แล้ว +1

      Ushaambiwa kwenda JKT sio ajira

    • @lukandotv8101
      @lukandotv8101 4 ปีที่แล้ว +1

      Wezi wote tz wanahistoria na majeshi kuwa walihudum kabsa au jkt

  • @aishafransic8749
    @aishafransic8749 4 ปีที่แล้ว

    Sijaona barakoa au corona imekwisha

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 6 ปีที่แล้ว

    kah..!

  • @linastinson-ali4733
    @linastinson-ali4733 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbona wote wanaume jamani??

    • @katujuwilson835
      @katujuwilson835 4 ปีที่แล้ว +1

      Lina Stinson-Ali wanawake wapo ila zamu kwa zamu

  • @abdalahfarida2074
    @abdalahfarida2074 4 ปีที่แล้ว

    CCM na Magufuli punguzeni Kodi za Wafanya biashara kwani Uchumi Duniani umeanguka kutokana na ugonjwa wa Korona. Kwani CCM hamuwezi kuona mpaka mtukanwe. Ruhusuni Demokrasia nchini kuleta amani. Viongozi wote waliopita walikuwa hawapigi watu. Magufuli unapiga na kuua watu. Hata wewe uko njiani kuuwawa maana watu wamechoka wanataka kulipiza kisasi.

  • @famally7138
    @famally7138 6 ปีที่แล้ว +1

    mbna wenye suti hawapig salute

    • @shedracksanga7308
      @shedracksanga7308 6 ปีที่แล้ว +3

      Fam Ally hauruhusiw kupga salute kama hujavaa kiaskari

    • @mosesonyango2369
      @mosesonyango2369 4 ปีที่แล้ว +1

      Suti ni kiraia,salute mpaka uvae full uniform.

    • @sabrysoudy684
      @sabrysoudy684 4 ปีที่แล้ว +1

      1

  • @mcjabbyevents4938
    @mcjabbyevents4938 6 ปีที่แล้ว

    Tupo pamoja nawe baba

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 6 ปีที่แล้ว

    Sherehe

  • @ephraimkarugaba4137
    @ephraimkarugaba4137 2 ปีที่แล้ว

    Magufuri sita kusahau milele kwanimpaka sasa bado sija amini kama kweli umekufa, lakini nina imani kimwili aupo Bali kiroho upo unaona watanzania jinsi tunavyo kukumbuka na sijui tuta kusahu lini najua wewe ulitumwa na Mungu kuja kutuonyesha jinsi nchiyetu inavyo paswa kuwa nakweli ulionyesha na mwisho ukaondoka na jua kila kinacho endelea unaona pamoja na Mungu Baba yetu aliye kutuma, basi ata Yesu kristo wa Nazareth aliye hai alitumwa na Mungu akafanya yakwake baada ya muda mfupi aka rudi kupeleka report yake kwa Bsba yake na sasa Magufuri nahamini kwamba report yake iko kwa Mungu. Tukumbuke watu walio teuliwa na Mungu ukaa mda mfupi nakuondoka Mungu nakuomba upokee Roho ya Baba yetu John pombe Magufuli iweke mahali pema peponi Amina.

  • @sebastianngimba4850
    @sebastianngimba4850 6 ปีที่แล้ว +1

    waislam wako safi kiuongozi piga kazi

  • @allyduwa9914
    @allyduwa9914 4 ปีที่แล้ว

    Kondoa laini

  • @emmanuelmagesa1590
    @emmanuelmagesa1590 6 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mbona naskia majina ya kisukuma tuuuuuuuuu,,uuuwi

  • @salumubakari1855
    @salumubakari1855 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndoto, naana

  • @evodiamathias2542
    @evodiamathias2542 2 ปีที่แล้ว

    Hamisa mobeto

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 3 ปีที่แล้ว

    Ushazeeka ndo vyeo ,

  • @stephenjonas4866
    @stephenjonas4866 ปีที่แล้ว

    Afande ndomba.... mtu na nusu.

  • @stanslauselias4576
    @stanslauselias4576 6 ปีที่แล้ว

    duuuuu

  • @ksmally1985
    @ksmally1985 6 ปีที่แล้ว

    Kusa mwanawito

  • @salumubakari1855
    @salumubakari1855 4 ปีที่แล้ว

    Ndoto

  • @aminarashid3916
    @aminarashid3916 2 ปีที่แล้ว

    UTENZI MPYA RAFIKI TANZANIA th-cam.com/video/pYJTjaEfQSo/w-d-xo.html

  • @bishopjohnfrancis89
    @bishopjohnfrancis89 6 ปีที่แล้ว

    Magufuli tutafika tu

  • @joshuaciza3043
    @joshuaciza3043 2 ปีที่แล้ว

    Prono

  • @jovithmapela4067
    @jovithmapela4067 6 ปีที่แล้ว

    Jabili

  • @josepheliakim8486
    @josepheliakim8486 4 ปีที่แล้ว

    Nitafika hapo ln

  • @abdalahfarida2074
    @abdalahfarida2074 4 ปีที่แล้ว

    CCM na Magufuli punguzeni Kodi za Wafanya biashara kwani Uchumi Duniani umeanguka kutokana na ugonjwa wa Korona. Kwani CCM hamuwezi kuona mpaka mtukanwe. Ruhusuni Demokrasia nchini kuleta amani. Viongozi wote waliopita walikuwa hawapigi watu. Magufuli unapiga na kuua watu. Hata wewe uko njiani kuuwawa maana watu wamechoka wanataka kulipiza kisasi.

  • @jovithmapela4067
    @jovithmapela4067 6 ปีที่แล้ว

    Jabili

  • @abdalahfarida2074
    @abdalahfarida2074 4 ปีที่แล้ว

    CCM na Magufuli punguzeni Kodi za Wafanya biashara kwani Uchumi Duniani umeanguka kutokana na ugonjwa wa Korona. Kwani CCM hamuwezi kuona mpaka mtukanwe. Ruhusuni Demokrasia nchini kuleta amani. Viongozi wote waliopita walikuwa hawapigi watu. Magufuli unapiga na kuua watu. Hata wewe uko njiani kuuwawa maana watu wamechoka wanataka kulipiza kisasi.

  • @abdalahfarida2074
    @abdalahfarida2074 4 ปีที่แล้ว

    CCM na Magufuli punguzeni Kodi za Wafanya biashara kwani Uchumi Duniani umeanguka kutokana na ugonjwa wa Korona. Kwani CCM hamuwezi kuona mpaka mtukanwe. Ruhusuni Demokrasia nchini kuleta amani. Viongozi wote waliopita walikuwa hawapigi watu. Magufuli unapiga na kuua watu. Hata wewe uko njiani kuuwawa maana watu wamechoka wanataka kulipiza kisasi.

  • @abdalahfarida2074
    @abdalahfarida2074 4 ปีที่แล้ว +1

    CCM na Magufuli punguzeni Kodi za Wafanya biashara kwani Uchumi Duniani umeanguka kutokana na ugonjwa wa Korona. Kwani CCM hamuwezi kuona mpaka mtukanwe. Ruhusuni Demokrasia nchini kuleta amani. Viongozi wote waliopita walikuwa hawapigi watu. Magufuli unapiga na kuua watu. Hata wewe uko njiani kuuwawa maana watu wamechoka wanataka kulipiza kisasi.