Part1_USHUHUDA WA REGINA ALIYEKUWA MALKIA KUZIMU KITENGO CHA MUZIKI NA UMISS(Devil Within Churches)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.3878783
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 38

  • @kanyinginjoroge
    @kanyinginjoroge ปีที่แล้ว +2

    Hakuna raha kwa Shetani. Tutulie kwa YESU Kristo mwana wa MUNGU.

  • @simonnsengiyumva1000
    @simonnsengiyumva1000 ปีที่แล้ว +2

    Karibu tena BURUNDI kwetu🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 JACTAN MSAFIRI , karibu BUJUMBURA na AMIEL KATEKELA!!!

  • @juliuskalama2746
    @juliuskalama2746 ปีที่แล้ว +3

    Jacktan mimi hapa npo Kenya je hicho kitabu cha huyo dada cha huo ushuhuda takipataje

  • @georgie8538
    @georgie8538 11 หลายเดือนก่อน

    Ushuhuda upo vizuri tunamshukuru Bwana Yesu ila ninkama unavuruga huo ushuhuda kwa kuuliza maswali amabayo yanamtoa kwenye mtiririko was kusimulia.

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 ปีที่แล้ว +2

    Ndo ule umiss kwa Nabii mkuu duh Geo Davie unaua roho nyingi saana

  • @sallymumia8425
    @sallymumia8425 ปีที่แล้ว +1

    Thank you so much for bringing this lady.promover tv

  • @quintavitalis926
    @quintavitalis926 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna furaha nje ya Yesu Kristo

  • @austineouma4270
    @austineouma4270 ปีที่แล้ว +1

    Morning, sauti ongeza kiasi

  • @angeliquentakirutimana
    @angeliquentakirutimana ปีที่แล้ว

    Na mimi nasema karibu kwetu huwa ni kusikiliza sanaa vipindi vyenu

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 ปีที่แล้ว +1

    Blessed kaka jacktan

  • @evelynetitus974
    @evelynetitus974 ปีที่แล้ว

    Ndo maana tunashauliwa kuwaombea watoto wetu sanaaaaaa hasa sisi wanawake

  • @endlessloveofchristlovewor9991
    @endlessloveofchristlovewor9991 ปีที่แล้ว +1

    Luke 11:34
    King James Version
    34 The light of the body is the eye: therefore when thine eye is single, thy whole body also is full of light; but when thine eye is evil, thy body also is full of darkness.

  • @Reginajohnson19884
    @Reginajohnson19884 ปีที่แล้ว

    Yani shetani analogies kila kitu kwa mungu

  • @millicentanyango526
    @millicentanyango526 ปีที่แล้ว

    I get you promover tv clearly

  • @lydiahnabwire128
    @lydiahnabwire128 ปีที่แล้ว

    Na sisi wakenya twakipata vipi kitabu hicho please we need it.

  • @Reginajohnson19884
    @Reginajohnson19884 ปีที่แล้ว

    Kuzim wanakatazwa kutoa sadaka kwa watu wa duniani hiwa zinaenda kwa watu watu wao

  • @happynessdavid7921
    @happynessdavid7921 ปีที่แล้ว

    YESU NIFUNIKE KWA DAMU YAKO YENYE NGUVU

  • @gerardineakima1766
    @gerardineakima1766 ปีที่แล้ว

    Abarundi dukurikirana hano hantu munyiyereke plz

  • @patrick55143
    @patrick55143 ปีที่แล้ว

    Kwa yesu inatosha

  • @jonasmpita2206
    @jonasmpita2206 ปีที่แล้ว

    kitabu kizuri, je nikienda Arise Fm naweza kukipata?

  • @juliuskalama2746
    @juliuskalama2746 ปีที่แล้ว

    Hicho kitabu ni pesa ngapi

  • @WakioKyalo
    @WakioKyalo ปีที่แล้ว

    Jesus Christ help your children

  • @fatumaminyeko1875
    @fatumaminyeko1875 ปีที่แล้ว +2

    Polesana dada ibilisi alikutumia sana shalazima usome neno la MUNGU sana tena sana maana naona ugali naomba kupitia wa MUNGU wawili jua kwaba MUNGU nimmojatu alie kuja duniani kwamfano wakibina damu pili unapo sali lazima ufunike kichwa shako neno la MUNGU aliwezi kujipinga soma 1WAKOROTHO 11:5-6 soma 1TIMOTHEO 3:16 soma WAKOLOSAI 2:9 sama ISAYA 9:6 soma1TIMOTHEO 2:5,6 soma WAKOLOSAI 1:14-15

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 ปีที่แล้ว

      Kiswahili chako kigumu kuelewa mimi sijaelewa ulichomaanisha

    • @josephatjoseph1755
      @josephatjoseph1755 ปีที่แล้ว +1

      Nmefurah sana unajua sana maandiko ila mbona jina lako fatuma nauliza tu si kwa ubaya

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 ปีที่แล้ว

      Sheria ya kufunika kichwa aliisema wapi Bwana Yesu?

    • @tonny_n
      @tonny_n ปีที่แล้ว

      ​@@josephatjoseph1755swali zuri sana😂

    • @fatumaminyeko1875
      @fatumaminyeko1875 ปีที่แล้ว

      @@josephatjoseph1755namajina ya ta ukumiwa ? matendo yako ndo MUNGU anagalia siyo majina

  • @godfreymollec8206
    @godfreymollec8206 ปีที่แล้ว +1

    Kwa nini mtu alietoa kafara anamuriwa kuwasaidia masikini na mayatima?

    • @SelestinaJoshua-pn4zv
      @SelestinaJoshua-pn4zv ปีที่แล้ว

      Kufanya hivyo ni kujificha watu wasimgundue kirahisi

    • @phieh
      @phieh 8 หลายเดือนก่อน

      Na pia ni kupandikiza roho za kishetani kwa watu,tuweni making Sana na misaada.