Huyu mama ukimsikiliza unajifunza Imani,Hakukimbilia kwa Nabii wala mtume alimkimbilia Mungu,Alimuamini Mungu anayemtumikia sio Watumishi wa Mungu, huyo binti alikuwa na maagano ya kimizimu ndio maana vita ilikuwa kubwa
Hamjambo jeshi la Bwana, Nasema hongera sana kwa mwanajeshi huyu wa kike, kwa ujasiri, Zaidi juweni kwamba vita vina hendelea, Kila siku ni vita, ila kikubwa ni kwamba Tuko zaidi ya washindaji, ktk yeye awezae yote yaani Bwana wetu yesu kristo. Jeshi la Bwana tukaze boot. Shetani alisha shindwa. Bwana asifiwe
Mama wewe ni Mtu uliyeokoka sio wale wakristo wa Jumapili,Aisee mmebakia wachache sana wenye Ujasiri katika Roho na Mnaoishi kitakatifu,inajulikana dhahabu Safi baada ya kupita katika moto
Mungu awalinde wote wanaojitaidi kusaidia Wengne kupona hasa sisi tulio ufalme wa Mungu YESU KRISTO AZIDI KUTENDA KILA MTU AMKILI YEYE YAKUWA NI BWANA HALLELUYAAAAAAAAAAA.
Shetani huwa hasumbuki na wakristo jina bali wenye moto, Kenya yamkini hawamsumbui sana Ibilisi ndiyo sababu huoni matukio mengi. Wakenya wengi wanaishi ki magharibi zaidi ambao tayari ni mateka wa shetani licha ya utajiri wao.
Mm mambo ya misukule/msukule niliishikia na hii channel sikuwahi sikia kitu kaa hicho kwetu kenya aki kumbe iko nikufahamu hatufahamu but huwa napenda kufuatilia sana hizi stori sijui Mungu yuaniadaa kwa nini but na hinsi kuna sababu...
Ubarikiwe sana mama Mwinjilist kwa kujitoa dhidi ya huyo bint.
Ubarikiwe mtumishi nimejifunza sana
Mtumishi Mungu akukumbuke katika ufalme wake.watumishi kama wewe Mungu anajivunia sana.
Mungu akubariki sana mama muinjilisti . Asante kaka Jactan kwa ushuhuda huu wa kubariki
Amen
* tunashinda na zaidi ya kushinda katika yeye atutiaye nguvu* wachawi na waganga na mapepo na majini nawalipua katika jina la YESU
💃💃 Askari wa YESU😘.. Aksanti kwa shuuda.. Na kuleta maandiko ya vita kati ya biblia.. BWANA YESU asifiwe... Aksanti Mutumishi jacktan...
Hongera sana mtumishi unaujasiri wa ajabu ... Mungu anataka wtu km hawa jeshi kubwa
Huyu mama ukimsikiliza unajifunza Imani,Hakukimbilia kwa Nabii wala mtume alimkimbilia Mungu,Alimuamini Mungu anayemtumikia sio Watumishi wa Mungu, huyo binti alikuwa na maagano ya kimizimu ndio maana vita ilikuwa kubwa
Kweli . Mkristo Jenga Imani yako kwa Mungu.
Madam Mungu atakulipa kwa upendo wako juu ya huyo binti katika Jina la Yesu amen.
Ushuhuda unainua kiroho nimebarikiwa Sana ubarikiwe mtumishi
Amen&Amen, our Lord JESUS CHRIST is still alive &really fights for us day in day out
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe kwa kuomba na kufunga kwa ajili ya nafsi hizi
Hongera sana mtumishi na mungu akubariki
Barikiweni Kwa neema hiyo
Mungu akulinde mtumishi
Mungu atukuzwe sana kwa kazi kubwa alizotenda juu ya mtumishi wake pamoja na binti huyo
Eee Mungu wa Mbinguni unae ishi nipe Imani Kama ya huyu mtumishi wako.
Asante kwautukufu wake Yesu kristu unastahili kupewa sifa nautukufu
Duuuh!!!! Yani natamani sana na mimi nimrudishe baba yangu kifo chake si cha kawaida
Hongera mama kwa ujasiri Mungu akubariki
Mungu akupe Huduma zaidi usaidie wengi ,
STRONG WOMAN OF GOD YESU NI BWANA.
Matendo makuu ya Mungu ubarikiwe mama mtumishi
Ubarikiwe Sana.Yesu akuwatie nguvu saidi
Hongera mama. Wewe nondo wa Yesu. Bwana Mungu wa Israel azidi kukubariki
MUNGU azidi kukutumia nakukutia nguvu Mama ubarikiwe Sana kwa ushuhuda.
Hongera sanaaaa tuvae ujasiri huo sote
Hongera mama mchungaji kwa ujasiri mkubwa, ubarikiwe na Bwana Yesu
eeeh Yesu wewe ni halisi
Baba wewe ni halisi
Hakike Yesu ni halis
Asante Yesu kwa yote
MUNGU akuinuwe mama nakulinde wewe nafamilia yako naakupe nguvu katika jina la YESU
Ubarikiwe sana mama shujaa kwa kazi yake Bwana wetu Yesu Kristo.
Mama we ni mtumishi mkubwa wa mungu
Be blessed
Ubalikiwe San mam kwa kazi nzurii
Kwa hushuhuda Mungu akubariki mama
Hamjambo jeshi la Bwana, Nasema hongera sana kwa mwanajeshi huyu wa kike, kwa ujasiri, Zaidi juweni kwamba vita vina hendelea, Kila siku ni vita, ila kikubwa ni kwamba Tuko zaidi ya washindaji, ktk yeye awezae yote yaani Bwana wetu yesu kristo. Jeshi la Bwana tukaze boot. Shetani alisha shindwa. Bwana asifiwe
Amen amen
Amina
Mungu ni mwema ubarikiwe mamangu 🙏🙏
Mungu anzidisha roho mtakatifu amen
Mungu akubariki sana mama mwijirisiti na aendelee kukutia nguvu na huyo binti pia🙏🙏🙏🙏🙏
Mbona huyo mtumishi ameweka wigi na wigi ni chukizo mbele za Mungu
Asante Yesu hongera mama
Naomba namba yako mama uni saidie kimaombi
Yesu yu hai. Mtumishi naomba namba ya huyo mama mtumishi.
+255622974195
Mungu akibariki mama.
Hongera mama ubarikiwe
Haleluyaaaaaaaaaaaaah Yesu ni Bwana
umenifanya nitambuwe vita nilivyo navyo kumbe ni kwasababu nimearibu mambo ya wachawi MUNGU nipe nguvu nishinde vita ivyo asante mama mutumishi
Haleluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuya
Naombeni namba ya huyu mama please
Mungu azidi kukutumia mamy
Mungu mbariki sana huyu mama
Mungu akubariki mtumishi
Hongera mama kwa bidii katika maombi
Utukufu kwa BWANA YESU dada nimejufunza nguvu ya maombi ndani ya NENO.
Dar! Hongera, mungu yupo
Kwa ushuhuda huu tunasababu gani ya kutomtumikia Yesu?
Ninayo sababu ya kumtukuza bwana maisha mwangu
Number ya huyu pastor ni hipi?
M😊
Mungu anatenda amina
Amina
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA unapatikana vipi
Amen
Mungu atume Malaika wa vita zaidi.. Wakuwalinda hadi mwisho wa vita...
Asifiwe Bwana Yesu Mkuu wa vita
mama watu Mia hai pole sana mama yangu
Mama wewe ni Mtu uliyeokoka sio wale wakristo wa Jumapili,Aisee mmebakia wachache sana wenye Ujasiri katika Roho na Mnaoishi kitakatifu,inajulikana dhahabu Safi baada ya kupita katika moto
Kwan mtu akifufuka anakua na umuri ule ama inakuaje❤
Jeremiah 30 21 leader is Kenyan Gikuyu more information in Jeremiah 30 9 king called by his name like Cyrus in Isaiah
Mu gu.akupe.maisha.marefu.na.mtumainie.mungu.amekutoa.mbali
MUNGU ni mkuu Amen
So this world full craz evil things YESU tupe mwisho mwema.
Wewe ni shujaaa wa IMANI
Amina yesu kristo n bwana
Jacktan naweza kupata number za mtumishi Tafadhali
Namba ya mtumishi ili iweje?
@@ngwanafabian9668 sababu ya maombi ndugu nina matatizo
Namba zake ni +255622974195
@@PromovertvTz ASANTE sana tena sana kwa number mungu akubariki sana Kwani nina matatizo ndugu na naitaji msahada wa maombi
@@nicrosal4231 Amen Upone kwa jina la Yesu
Amena
Ameeen utukuzwe bwana wa majeshi
Nahisi Ushuhuda huu ukiwa mzito kweli. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakika mapepo na Mungu laxima pepo wanakufa
Wanawake ni Jeshi kubwa
Hakika hakuna kinacho mshinda Mungu,
Mungu awalinde wote wanaojitaidi kusaidia Wengne kupona hasa sisi tulio ufalme wa Mungu YESU KRISTO AZIDI KUTENDA KILA MTU AMKILI YEYE YAKUWA NI BWANA
HALLELUYAAAAAAAAAAA.
Mungu akubariki mtumishi nisaidie namba ya huyo mama
Ipo kwenye part 2 .link👇 th-cam.com/video/-iYacVkm4nE/w-d-xo.html
Nimechelewa lakini naomba umwite huyo mama ili kumwimarisha katika bwana yesu ubarikiwe mtumishi
:mtaiyambia milima ngoka ikajitupe baharin nayo itatii hakika mwenye haki atajiponya kwaimani yake bila mafuta ya upako mama amewezaa
Tz imejaa uchawi mbona Kenya hatuna mambo hizi za watu kufa na kuchukuliwa misukule
Shetani huwa hasumbuki na wakristo jina bali wenye moto, Kenya yamkini hawamsumbui sana Ibilisi ndiyo sababu huoni matukio mengi. Wakenya wengi wanaishi ki magharibi zaidi ambao tayari ni mateka wa shetani licha ya utajiri wao.
Muombe Mungu Roho mtakatifu akupe macho ya rohoni utafunuliwa mengi ya ya rohoni
Kwakweli ndugu zetu wame wekwa kuwa misukule
Jaktan naomba namba ya huyo mama
+255622974195
@@PromovertvTz asante sana kaka
Kweli huyu mama ni mtumishi wa mungu..
Nataka kujiunga na what sap
Karibu
Tunaomba mtoe link ya kujiunga whatsap
Link yetu
chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1lDtufLd2LPIP
Naomba nambari ya mama mwingilisti.
Ipo kwenye part 2_ link th-cam.com/video/-iYacVkm4nE/w-d-xo.html
Naomba number ya mama mtumishi uyu please
Ipo kwenye part 2 .link👇 th-cam.com/video/-iYacVkm4nE/w-d-xo.html
Mm mambo ya misukule/msukule niliishikia na hii channel sikuwahi sikia kitu kaa hicho kwetu kenya aki kumbe iko nikufahamu hatufahamu but huwa napenda kufuatilia sana hizi stori sijui Mungu yuaniadaa kwa nini but na hinsi kuna sababu...
👍👍👍🇰🇪 Wakenya Tupo !!
jaman na Mama yangu kumbe angerudi jaman ningejua mapema
Mapambo ni hatari wanawake sikieni kama mna masikio ya kusikia.
Hakika Mungu ni mkuu mno
Ushuuda wa Ajabu
God bless Promover Tv and Jactan for your dedicated efforts to bring us inspiring testimonies.
Amen
Ushuhuda mkali.wakati ujao naomba muwe mukipeana nafasi ya Sala ya toba watu waokoke mwishoni mwa video.
Meambie huyo mama aje huko dar umuombee
Jackchani
Jamani ushuhuda wa mama ya huyo Binti utaletwa hewani lini
Hivi karibuni, endelea kufuatilia
Huyu mama abarikiwe
Jacktani msafiri ,tumezimiss shuhuda za mbinguni na kuzimu,
Oh sawa zinakuja tunaandaa
Jactani kumbe uko dar naomba nikuone tafazali
Ndio nipo Dar, tafadhali tuwasiliane tu
Tunaomb namb ya mama huyu
Ipo hapa kwenye part 2 .link👇 th-cam.com/video/-iYacVkm4nE/w-d-xo.html
Dollar 300 ni laki saba kasoro. Sasa haifikii hiyo uliyoitaja milioni sita.. au labda ulikosea badala ya laki sita ukasema milioni sita
We ndio umekosea.Siyo 300 ni 3,000