PART1:EVELINE BINTI MALKIA WA KUZIMU ALIETUMIKIA KUZIMU NA KUFANYA MATUKIO MENGI YA KUTISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @barakamanu1514
    @barakamanu1514 2 ปีที่แล้ว +2

    asante kwa stori unazotupatia.Aliye juu Mbinguni, muumba wa vyote aendelee kukulinda.
    Mtafute Mchungaji Amieli Katekela wa Tanzania Assemblies of God, mkoani Geita. ana shuhuda kali.ubarikiwe sana.

  • @ambassadorkateme5903
    @ambassadorkateme5903 2 ปีที่แล้ว +5

    Dav hbr yako, mtafute Katekela anapatikana kahama anastor nzr htriiii ukimhoji ww itapendeza Kuna vitu anavyo natamani ufanye naye kipindi,

    • @naomicharles5444
      @naomicharles5444 หลายเดือนก่อน

      Katekelo ni next level walahi

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 18 วันที่ผ่านมา

      niambie Jina la story yake au nitumie link please​@@naomicharles5444

    • @naomicharles5444
      @naomicharles5444 8 วันที่ผ่านมา

      @@saleemsuleiman2220 ni mchungai nenda promover TV kajaa tele

  • @marychacha7084
    @marychacha7084 2 ปีที่แล้ว +1

    Okay.ngoja nisikilize hadi mwisho

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 2 ปีที่แล้ว +2

    Leo tupo kuzimu jamani njooni

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 ปีที่แล้ว

    mtangazaji Bwana Yesu Asifiwe, ulisha mpa Yesu maisha? au hizi shuhuda azikujengi?

  • @ngassangassa3341
    @ngassangassa3341 2 ปีที่แล้ว

    Davista asante kwa kutuletea stori japo kuna mda zinatisha jmn yan naogopa sanaaaaa

  • @jacksonbiswalo8360
    @jacksonbiswalo8360 2 ปีที่แล้ว

    Ila hongera kwa stori nzuri

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 2 ปีที่แล้ว +1

    karemboooo

  • @jkkim3848
    @jkkim3848 2 ปีที่แล้ว

    Pamoja Davister Mr Everything story poa

  • @chazgunda5823
    @chazgunda5823 2 ปีที่แล้ว +1

    kila mtu akitoa shuhuda anasema yeye alikuwa mkuu malkia sijui mfalme wakuzimu sasa uko kuzimu kuna wakuu wangapi

    • @kimchi-91
      @kimchi-91 2 ปีที่แล้ว +3

      kuzimu nikama dunia jinsi unavyoijua kila kijiji kina mtalawala wake,kina wilaya inamtawala wake mkuu,kila mkoa unawakuu wake sasa usishangae kusikia kuwa alikuwa malkia kuzimu ni moja ya sehemu za kuzimu ndo alikuwa malkia.

  • @godlovem7139
    @godlovem7139 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmeendana sana simsababishe tule ubwabwa TU😋

  • @juliusmushi6428
    @juliusmushi6428 2 ปีที่แล้ว +2

    Wachaga tujuane

    • @claramboya2018
      @claramboya2018 2 ปีที่แล้ว

      Tupoooooo

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 2 ปีที่แล้ว

      Aika mbe

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 ปีที่แล้ว

      Hivi kati ya wakibosho ,wamarangu,wamachame,warombo,wasia, wa old moshi,wa rau ni wapi wachaga original

  • @evachuw8092
    @evachuw8092 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU HAJAWAI SHINDWA KAMWE

  • @macamezungu7031
    @macamezungu7031 2 ปีที่แล้ว

    Pamoja saana Mr everything 🔥💯

  • @irineochieng2455
    @irineochieng2455 2 ปีที่แล้ว +3

    Eeh Mungu tupe umri tueze kulea watoto wetu!

  • @chingaboy6917
    @chingaboy6917 2 ปีที่แล้ว

    Mmmh

  • @davidochieng7055
    @davidochieng7055 2 ปีที่แล้ว +1

    Davista tunahitaji pia stori za maisha tofauti na uchawi mfano wale mabaharia waliowahi kuzamia meli na kupata mikasa mikubwa kuvuka boda na mateso wanayopata wakiwa ugenini na mambo mambo ya huko

    • @lizzybeth6344
      @lizzybeth6344 2 ปีที่แล้ว +5

      Walete awahoji maana yeye ajakutana nao bado

    • @babafranco3366
      @babafranco3366 2 ปีที่แล้ว

      Watafute ukawahoj wewe alafu msikilize na familia yenu

    • @frankvianey2438
      @frankvianey2438 2 ปีที่แล้ว

      Hili ni wazo zur,ila kuwapata hao watu ndio changamoto kama kuna mabaharia unawafaham msaidie davista kuwaunganisha nao

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa nafasi nyingine tena ya kujifunza.

  • @Patience.67
    @Patience.67 2 ปีที่แล้ว +1

    Watatu

  • @tututz100
    @tututz100 2 ปีที่แล้ว

    J.BOYS 1999

  • @hamisiismail2577
    @hamisiismail2577 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuongea anaongea mwingine we gras za maji aziishi😂

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 2 ปีที่แล้ว

    😲

  • @jacksonbiswalo8360
    @jacksonbiswalo8360 2 ปีที่แล้ว

    Mbna umefeli kaka,dada hata haonekani tunasikia sauti tu

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 2 ปีที่แล้ว

    Kiini ndo nini mudada?

  • @nolascochaule9342
    @nolascochaule9342 2 ปีที่แล้ว

    SIKU hizi bro huna story kali kabisa, jaribu kwenda hata kenya

    • @michaelkivaria6011
      @michaelkivaria6011 2 ปีที่แล้ว +3

      tatizo mnasikiliza story kwa starehe siyo kujifunza humlipi humchangii hata anchokileta unakiponda aisee