Part 1_USHUHUDA WA ALIYEKUWA WAKALA WA SHETANI KITENGO CHA DAMU KWA MIAKA 17

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 106

  • @glorytoGod639
    @glorytoGod639 4 ปีที่แล้ว +7

    Asnte ubarikiwe mno mmi huwa naongeza sana kitu kwa safari yangu ya mbinguni kwa hizi shuhuda,Amen

  • @barnabasmboya7688
    @barnabasmboya7688 4 ปีที่แล้ว +13

    Mtumishi Jacktan Msafiri Huduma yako ni njema mno. Mungu azidi kukutumia

  • @kennedynjoroge8742
    @kennedynjoroge8742 3 ปีที่แล้ว +5

    Awesome message but hiyo kelele ya back ground inachukiza

  • @queenesther8505
    @queenesther8505 ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi kila kitu anayosema ni 💯%Mwenyezi Mungu akufiche chini ya uvuli wake.❤🎉

  • @horemow9832
    @horemow9832 4 ปีที่แล้ว +10

    Amen napenda sana jinzi anavyo quote scriptures barikiwa sana i say hapo kuna makelele sana

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Ni karibu na msikiti ,mjini unajua tena,pole

  • @RachelEmid-jq6eo
    @RachelEmid-jq6eo หลายเดือนก่อน +1

    Jmn mgogo myangu yesu azidi kukutunza Mtumishi wa Mungu 🙏

  • @tulibumisalu8812
    @tulibumisalu8812 4 ปีที่แล้ว +7

    Mungu atusaidie sana tusiwe walokole wa asilimia arobaini

  • @barakamanu1514
    @barakamanu1514 4 ปีที่แล้ว +4

    Baba yetu aliyeumba vyote akubariki na akulinde, nabarikiwa sana na shuhuda zako. Nipo Mombasa, Kenya

  • @ahmedyally3088
    @ahmedyally3088 4 ปีที่แล้ว +8

    Dah ushuhuda mzuri ila iyo adhana imeharibu

  • @bettynino7354
    @bettynino7354 4 ปีที่แล้ว +4

    God bless you presenter, you are doing a great job

  • @sadikimtega4135
    @sadikimtega4135 4 ปีที่แล้ว +11

    Ushuda mzuri ila tunaomba muenaangalia mda amabao no tulivu. Hizo kelele zinasumbua masikio

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 2 ปีที่แล้ว +1

    Uzuri wake huwa mnatuambia ukweli tupu asante. Mwenye masikio na asikie

  • @mamanchuchu7969
    @mamanchuchu7969 2 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU nimwema sanakwetu ubarikiwe sana baba

  • @hamisiali8494
    @hamisiali8494 4 ปีที่แล้ว +2

    Mimi huwa nafurahia ushuhuda na nko Kenya Mombasa mungu akubariki

  • @miltonjohn1402
    @miltonjohn1402 3 ปีที่แล้ว +8

    Tanzania kuna wachawi Sana sijui KWA nn! Hawa ni wachache wanaoamuwa kuja Kwa yesu, lkn wapo maelfu ambao hawataki kuokoka wakiwemo ile dini nyingine ambao wanaamini wapo sahihi kumbe wao ndio wamepotea kupita maelezo.

  • @davidmatthew1715
    @davidmatthew1715 4 ปีที่แล้ว +8

    Wakamshinda shetani kwa nguvu ya damu ya Yesu na ushuhuda wao.

  • @FamousBerry139
    @FamousBerry139 4 ปีที่แล้ว +4

    Watching from Kenya

  • @LOGOSNew
    @LOGOSNew 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu asaidie watu wake! Huwa wanafurika kwenye miujiza bila kufikiria.

  • @f.alovely6419
    @f.alovely6419 4 ปีที่แล้ว +4

    From Kenya🇰🇪

  • @tigerchristmas5491
    @tigerchristmas5491 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli Mungu Roho mtakatifu anazungumza nasi kuptia ushuhuda huu"
    Nanyi mtaifahamu kweli nayo kweli itawaweka huru"
    Lipo kusudi kubwa sana la Mungu juu ya huyu mtumishi

  • @millicentayangokunting3728
    @millicentayangokunting3728 4 ปีที่แล้ว +2

    Ufunuo nzuri sana👏👏👏👏👏

  • @anethynyirenda9231
    @anethynyirenda9231 4 ปีที่แล้ว +3

    Ninainuliwa kiroho kupitia huu ushuhuda.mungu baba nnakshkr

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 ปีที่แล้ว +1

    JACTAN UKO VIZURI KUKUSANYA SHUHUDA ZA UKWELI NA UWAZI SEMA MB HAZITOSHI HADI MWISHO TENGEZA BASI VITABU TUSOME WAKATI WOTE. UNAYO NGUVU NA FEDHA ZITUMIE HIVYO JACKTAN. ASANTE SAAAANA MTUMISHI

  • @hashimuchambuso9741
    @hashimuchambuso9741 4 ปีที่แล้ว +8

    Dah.... iko haja ya kurudia kurekodi hii. Msikiti umeharibu usikivu.

  • @Star-qf7ls
    @Star-qf7ls 2 ปีที่แล้ว +1

    Too much noise at the background

  • @allandonna_2640
    @allandonna_2640 4 ปีที่แล้ว +6

    mtumishi mimi nashauri siku moja uwatafte watu kama hawa watatu au zaidi tulinganishe nawatwambie wakati mwingine walikuwaga wanakutana...?

  • @millicentayangokunting3728
    @millicentayangokunting3728 4 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana

  • @mackynicky5832
    @mackynicky5832 4 ปีที่แล้ว +6

    Kweli Mungu akikusudia anakuokoa hata uwe umefanya mambo mengi mabaya kiasi gani

  • @costacarlosgomes1387
    @costacarlosgomes1387 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa hushunda

  • @tevercaretv2479
    @tevercaretv2479 3 ปีที่แล้ว +4

    Surely makelele ya msikiti hamngetafuta maeneo fasaha jamani

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 ปีที่แล้ว

      Asante, ndio maana tukaomba radhi kwa maandishi, kama haujaona tunaomba radhi kwa hilo🙏.Unaweza kufuata link hii ili utazame toleo ambalo halina tatizo hilo th-cam.com/play/PLhesxBGiXy1_TP6_tY7GSowYnWRY1n-7q.html

  • @susansenga754
    @susansenga754 4 ปีที่แล้ว +2

    Vp mbona azana ???????

  • @tevercaretv2479
    @tevercaretv2479 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamani wakati mwingine jaribu kuboresha tukio LA kurekodo....tafuta mahali tulivu

  • @thehopetv6299
    @thehopetv6299 4 ปีที่แล้ว +3

    Aiseee

  • @dicksondavid9897
    @dicksondavid9897 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa san

  • @PeninahMwendwa
    @PeninahMwendwa ปีที่แล้ว

    Ni marundio?

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 4 ปีที่แล้ว +3

    Tunashukuru Mungu kwa yote anayoyaruhusu ili sisi tulio wafuasi wa Kristo tupate kitu cha kujifunza na kupata kuwa na maarifa ya rohoni

  • @patricklochoto-bx1sr
    @patricklochoto-bx1sr ปีที่แล้ว +2

    Ushuhuda wako umenijuza mengi

  • @josphatfondo6499
    @josphatfondo6499 3 ปีที่แล้ว +2

    Jina la bwana lipewe sifa

  • @diphinahnanjala7584
    @diphinahnanjala7584 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi wangu ihiyo ni ulimwengu wa Visa ama wa shetani sio wakiroho kabisa.

  • @neemamwalende304
    @neemamwalende304 4 ปีที่แล้ว +4

    Doctor wa roho tupe mwendelezo.

  • @giftielinganga3128
    @giftielinganga3128 4 ปีที่แล้ว +3

    YESU ATUSAIDINAHILA ZASHETANI.

  • @andrewmajita6437
    @andrewmajita6437 4 ปีที่แล้ว +2

    Jacktan ushuhuda mzuri tena unafundisha ila hizo sauti za msikiti

  • @ellyitete938
    @ellyitete938 4 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo saut km mashambuliz ili tusisikie vzr

  • @forjesus1382
    @forjesus1382 4 ปีที่แล้ว +1

    Hio kelele ya msikiti ishindwe

  • @rafaelolemoono6830
    @rafaelolemoono6830 4 ปีที่แล้ว +3

    Damu ya wanawake inachukuliwaje? Na wachukua au wavuna damu unajikingaje dhidi yao?

  • @salehfarid1003
    @salehfarid1003 4 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah jina la ALLAH NA QUR AN INASIKIKA

  • @PastorPhilipMbaabu.
    @PastorPhilipMbaabu. 10 หลายเดือนก่อน

    Ask important questions. Example, anachukua damu za watu aje??

  • @brigithadidas5128
    @brigithadidas5128 4 ปีที่แล้ว +4

    Vinafsi sipendagi kuona hizi picha za kutisha unazozitumiaga kwa nn usiache kutumia yan adi unastuka ukiwa umeshka sm

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  4 ปีที่แล้ว +2

      Tunaomba radhi kwa hilo,tutaziondoa

    • @paulinas.3631
      @paulinas.3631 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli usiweke hizo picha aisee, ila huduma yenu ni njema sana, kwa Yesu kuna uhakika

  • @angelmtisi4611
    @angelmtisi4611 4 ปีที่แล้ว +2

    Alikuwa akichukua damu kwa njia gani kwa kuwauwa watu au?

  • @nizaelluka627
    @nizaelluka627 4 ปีที่แล้ว +1

    Ko nihai huku dam yako inatumika kuzimu

  • @estasage5506
    @estasage5506 4 ปีที่แล้ว +3

    Oh no. Ushuhuda Safi lakini hiyo background za pepo za ki islam katukwaza. Kwa nini ulichagua mazingira hayo?

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 4 ปีที่แล้ว +1

      "Wewe ndio Shetani na Pepo Mkubwa,chunga ulimi wako usije ukalaaniwa"

    • @estasage5506
      @estasage5506 4 ปีที่แล้ว

      @@shenjamamzingi7950 ikurudiliye laana wewe kwa jina la yesu kristo wa Nazarethi. Mimi Si pepo wala shetani. Nafichwa na damu takatifu ya Yesu Kristu wa Nazarethi. Sikutaja mtu, nilitaja mazingira. Kwa hiyo, laana hiyo irudi kwako 100%

    • @isakahissa4130
      @isakahissa4130 4 ปีที่แล้ว

      Naiman mbingun tutakuwa wote motoni, maana yesu halikua hamdhiaki mtu na Iman yake..ila halikua anatumia busara watu kumuamin...kwahio sidhan Kama hutakuwa kondoo wa kwer wa yesu maana mwenye damu ya yesu lazma afate nyayo zake sio Kama wwe una ngozi ya kondoo lkn sikondoo wa bwana, esta🙏

    • @monicabh1668
      @monicabh1668 3 ปีที่แล้ว

      Kweli yaudhi kelele tuu na hizo nyimbo zao za kishetani wa kuzimu .

  • @bwikondefockas3726
    @bwikondefockas3726 2 ปีที่แล้ว +1

    usiludi huko Ni hatar

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 ปีที่แล้ว

    Hizo kelele sauti za islamic why. Meaning what.

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuh!! Unapewa kazi usingizini

  • @charleschisawillo464
    @charleschisawillo464 4 ปีที่แล้ว +4

    SAUTI YA AZANA IMEHARIBU USIKIVU UWE UNAREKODIA SEHEMU YENYE UTULIVU

    • @estasage5506
      @estasage5506 4 ปีที่แล้ว

      Thanks, I was soo disappointed too.

    • @allyawadh8492
      @allyawadh8492 4 ปีที่แล้ว

      Harafu wakristo wengi wanaonekana wanapenda sana mambo ya majini na mambo ya kichawi sababu kila anaetoa shuhuda zake utamkuta baada ya kufundisha mambo ya mungu atakuwa anafundisha uchawi au habari za majini,Sasa mnapataga nafasi yakujifunza mambo ya mungu na uwezo wake kweli?tena kwa hadith hiyo anayoeleza hapo wakisto wanamuona anaelimu kubwa ataakiamua kujiita yeye ni mtume au nabii watamuamini huyo ni msanii tu hana lolote ni hadithi tu anazozitoa kichwani kwake na sio mafundisho ya mungu,huyo ni wakala wa shetani anatafuta kujiaminisha kwa wakristo ili apige hela.

  • @WillyWhiskey-hw7qy
    @WillyWhiskey-hw7qy 7 หลายเดือนก่อน

    Akili kid 1:05

  • @samuelmnada5878
    @samuelmnada5878 ปีที่แล้ว

    Kuzimu hiyo alikua anaimanisha Wafu yaani walioko kabulini

  • @ChancyLuhasa
    @ChancyLuhasa 4 ปีที่แล้ว +2

    Kelele ni nyingi sana za nyimbo za kiarabu.

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  4 ปีที่แล้ว

      Bonyeza link hii kusikiliza iliyo safi
      ALIYEKUWA WAKALA WA SHETANI KITENGO CHA DAMU: th-cam.com/play/PLhesxBGiXy1_TP6_tY7GSowYnWRY1n-7q.html

  • @hassankombo4475
    @hassankombo4475 4 ปีที่แล้ว +1

    Uyu mtumishi naisi kama namjua anatokea simike mbeya

  • @josephinemumbua159
    @josephinemumbua159 4 ปีที่แล้ว +3

    Maelezo mazuri lakini sauti io usiweke kipindi kingine

  • @nizaelluka627
    @nizaelluka627 4 ปีที่แล้ว +1

    Usemage ulimwengu wa kuzimu, sio wa kiroho,

  • @paschalpaul5022
    @paschalpaul5022 4 ปีที่แล้ว +2

    Naonba kuuliza kwanini watakatifu wanatofauitiana nguvu mwingine ndogo mwingine nyingi kwa nini na wote wameokoka

    • @kibalikikubwa804
      @kibalikikubwa804 4 ปีที่แล้ว +4

      Kinacholeta Nguvu zaidi za kiungu kwa mtu ni uhusiano kati ya mtu na Yesu. Kadiri unavyo tafuta kuwa karibu zaidi na Yesu ndivyo Nguvu zake zinavyo ongezeka ndani yako.

    • @paulmzamy3320
      @paulmzamy3320 4 ปีที่แล้ว

      @@kibalikikubwa804 barikiwa na mungu

    • @hassankombo4475
      @hassankombo4475 4 ปีที่แล้ว +3

      Kumtafuta mungu ni pamoja na kufunga na kuomba mutumishi anaefunga sana na kuomba anakua na nguvu sana

    • @joylynenalija4795
      @joylynenalija4795 4 ปีที่แล้ว +1

      Kadiri unavyoishi na kutenda sawa sawa na Neno,kufunga na kuomba,kufuata na kutii maagizo,sheria na amri za Mungu na kufanyazile kazi Yesu alifanya pamoja na kuishi maisha matakatifu yaan kukaa mbali na dhambi,hivi vyote ndivyo vinavyokupelekea kuwa na nguvu kubwa kiroho. Sasa unakuta mtu ameokoka lkn kwny uzinzi yumo, pombe anakunywa,kwny masengenyo yumo,anakopa halipi, kwa ujumla haishi maisha matakatifu huyu hawezi kuwa na nguvu kiroho,wachawi watamtesa tu maana ameokoka kimwili kiroho hajaokoka.

    • @joylynenalija4795
      @joylynenalija4795 4 ปีที่แล้ว +3

      Mtu anasema ameokoka fungu la kumi hatoi, au km anatoa hatoi kwa ukamilifu anamwibia Mungu,na ibilis anawapenda sn hawa unakuta matatizo hayaishi magonjwa nk ukiingia rohon unakuta source ni 10%.
      Kaokoka anavaa nywele za bandia, kucha za bandia n other fake stufs,hafanyi maombi ya ucku.
      Kwa hyo lazima awe tofauti na yule aliyeamua kuwa mwaminifu kwa Mungu na kutimiza mapenzi ya Mungu.
      Shetan haogopi ww kuokoka,anaogopa maisha unayoishi baada ya kuokoka,maisha matakatifu,kujitenga mbali na dhambi.
      Neno linasema iweni watakatifu km mimi nilivyo mtakatifu. Afu Yesu akasema itakufaa nin kuupata ulimwengu huu wte kisha uukose uzima wa milele?.
      Ukitaka kumkomesha ibilis jitenge na mambo ya ulimwengu huu ndivyo unavyokuwa mtakatifu na ndivyo utakavyojitofautisha na walokole wengine walioamua kuuzoelea wokovu.
      Hope umepata mwanga kdgo🙏

  • @harunigaitani2590
    @harunigaitani2590 4 ปีที่แล้ว

    Aa

  • @hamisiismail2577
    @hamisiismail2577 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbn awa watu japo wameshatoka uko lkn utagunduwa kuwa kuna bahaz ya maneno awasemi..utasikia sehem frahn awatoe maekezo kwa kina

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Si kila kitiuu uweke wazi hata hivyo wanajitahidi,zamani nikimsikia hivyo siwezi kusikiliza mahubiri yake,nilikuwa siamini kama kaokoka kweli

  • @mwamvuamkovizuriahsantenih8358
    @mwamvuamkovizuriahsantenih8358 4 ปีที่แล้ว

    Quran inanogesha uo ndoukweli ata mkichukia 🤣🤣

  • @estasage5506
    @estasage5506 4 ปีที่แล้ว

    TB Joshua mnaijeria ni umoja wa false prophets

  • @cartassenga3515
    @cartassenga3515 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana