Pt1_"Yesu Aliniambia Anarudi hivi karibuni" USHUHUDA WA MUIMBAJI LIDYA MICHAEL:Ujumbe kwa waimbaji

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.3878783
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

ความคิดเห็น • 112

  • @user-gv3si2mv3l
    @user-gv3si2mv3l ปีที่แล้ว +2

    God BLESS this channel nlikuw nkijua ntaenda mbinguni ila navozid kuskiza kwa kweli nlikuw NA shida hasa kujiremba 😢

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba ปีที่แล้ว +4

    Hayo tumefunuliwa sana tu ,Wengine tumeshasalenda kwa YESU dunia kwa keri hunipati tena Nasema tena Hunipati tena Neema niliyopata kwa YESU yanitosha

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya ปีที่แล้ว

      Naungana na wewe. Nimeonyeshwa pia na nikasurrender upya kwa YESU. Tuombeane sana sana sana

  • @jacklinelucas9393
    @jacklinelucas9393 ปีที่แล้ว +2

    Hongera mtumishi..songa mbele... Mie Ni mchungaji. Nimeufurahia ushuhudawako, uvumilivu wako..ukiwa Arusha tutafutane.. Wanawake Ni jeshi kubwa

  • @marykibani7848
    @marykibani7848 ปีที่แล้ว +2

    Kweli ni ushuhhda wa kuje nga.Mungu atusaidie

  • @user-pq2vt8yz6p
    @user-pq2vt8yz6p ปีที่แล้ว +1

    Asante Lyidia kwa ushuhuda nimetiwa nguvu.Mungu awabariki sana promover Tv kwa kazi njema mnayofanya,Bwana atusaidie tumtii na kulishika neno lake kama ni maonyo Bwana anatuletea kupitia watumishi wake ni juu yetu kuyafanyia kazi na Mungu atusaidie.

    • @user-gv3si2mv3l
      @user-gv3si2mv3l ปีที่แล้ว +1

      Am in saudi arabia boss wangu alinipokonya simu toka nkanyage kwake its 1 yr and 4 months ila nkipewa simu mara moja kwa wiki promover hutumwa NA Mungu kunifungua.

  • @user-ev6mp5nh5g
    @user-ev6mp5nh5g ปีที่แล้ว +3

    Mungu atusaidie tuishi kama amependavyo na kufanya mapenzi yake...ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv ปีที่แล้ว

    Sawa sawa dada wote alituambia mengi najinsi yakuomba

  • @maryjohn5019
    @maryjohn5019 ปีที่แล้ว +2

    Kwa Yesu raha Jamani asikwambie mtu...Mimi pia Kuna watu walinifungia kwa maombi eti mimi ni pepo la beezbuli nimevamia ofisi ya mchungaji..kisa tu naingia kuombewa Mara kwa Mara

  • @user-kv2sx2fh2z
    @user-kv2sx2fh2z 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc ปีที่แล้ว

    Yesu mwenyewe hakuwahi kuingia kanisani kumamayo

  • @VictoriaSimon-od1dg
    @VictoriaSimon-od1dg ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana dada

  • @SafiAkinyi8361
    @SafiAkinyi8361 ปีที่แล้ว +4

    Waimbaji wengi wa injili walishapotea kitambo aki saii wanamuimbia shetani hawamthamini tena MUNGU 😢😢😢😢😢

    • @kapingalucy2707
      @kapingalucy2707 ปีที่แล้ว

      Yanii kwakwer

    • @stellahmichael789
      @stellahmichael789 ปีที่แล้ว

      Tusome nenn Yesu Kristo alisema siku ya kuja kwake anayejua wala Malaika mbinguni isipokuwa Mungu Baba peke Yake ndio maana alitwambia kesheni katika kuomba wala hatujui Sana wala wakati

    • @user-gv3si2mv3l
      @user-gv3si2mv3l ปีที่แล้ว

      ​@@stellahmichael789amesema anakuja did she mention the day or year? Haya ni maonyo tu chunga usije ukawa kama tajiri mna atakuuliza Mungu je hukumuona huyo dada kwenye youtube?

  • @salmahassan3521
    @salmahassan3521 ปีที่แล้ว +2

    Yesuuuu, ushuuda huu unafanana na wangu jamani, nilikuwa napigwa vita kanisni

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya ปีที่แล้ว

      Hata Mimi nlishapigwa vita mpaka na kiongoz lakin niliondoka hapo kanisani na Mungu alinipa kwingine

  • @dinairenge
    @dinairenge ปีที่แล้ว

    Amen napokea

  • @venicahkwamboka3823
    @venicahkwamboka3823 ปีที่แล้ว +4

    May God forgive us our sins and remember us in his kingdom

  • @fatumaminyeko1875
    @fatumaminyeko1875 ปีที่แล้ว +1

    YESU anasema tuombe sana barikiwa mama

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

    Mjumbe wa agano Duniani, amefundishwa na Mungu mwenyewe, imeandikwa na wote watakuwa wamefundishwa na MUNGU.

    • @mjumbewaaganoduniani
      @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

      Wewe unamjua YESU au unaba Aisha watu. YESU KRISTO ameisharudi. Kama hujui.

    • @mjumbewaaganoduniani
      @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

      Acha kudanganya watu jiufunze kwa mjumbe wa agano.

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 ปีที่แล้ว

    Jamani Mungu wetu anatutafuta kwa kila namna nikwasababu ana huruma nasisi.Tumgeukie natutubu naye ataturehemu.Amina

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba ปีที่แล้ว +2

    Watu warohoni mara nyingi huwa hatuekeweki huwa wanaona tuko kinyume na wao ,ila tunakakiwa kuwa majasiri tu tusiogope

    • @user-gv3si2mv3l
      @user-gv3si2mv3l ปีที่แล้ว

      Sure kama mm rafiki zangu hawanielewi mana salam hata za kawaida nashindwa kutype everyone ni bwana Yesu asifiwe and no one replies to me

  • @byronwinner8179
    @byronwinner8179 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah! Kanisa inafaa liwe tayari kwa kurudi kwake Yesu Kristo.

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว

      Unalo andiko yesu alikuwa mkristo aw yesu aliwahi kuingia kanisani

  • @WilliamNamende-pc9ku
    @WilliamNamende-pc9ku ปีที่แล้ว +2

    Amen naamini BWANA

  • @jessynyambura
    @jessynyambura ปีที่แล้ว +1

    Amen mungu tuhurumiya nautusamehe

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc ปีที่แล้ว

    Njaa mbaya Sana

  • @isayanyingi6387
    @isayanyingi6387 ปีที่แล้ว +1

    God blessing you promover tv amina

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 ปีที่แล้ว

    Amina barikiwa mtumishi wa Mungu kwa ushuhuda wenye mafunzo

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @user-xx6pz6ry8y
    @user-xx6pz6ry8y ปีที่แล้ว +1

    Nakutaman sana Bwana Yesu

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 ปีที่แล้ว

    YESU nizaidie niishi katika mapenzi yako

  • @travesromio6664
    @travesromio6664 ปีที่แล้ว +3

    Yaani naumia hadi mchungaji anauliza lini ?sasa mataifa utawafundisha nini,Yesu anataka tuache dhambi, heshimuni jumbe za Yesu, enyi wachungaji wajulisheni hao waumin na waimbaji waache kujipamba ili waingie mbinguni, shetani amewavuta waimbaji mfano wanaimba wamevaa suruali, wengine wanatetea kuvaa suruali na mapambo hakika dada Mungu akufunue zaidi wafunguke

  • @queenesther8505
    @queenesther8505 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu atusamehe sana viongozi wa makanisa😭tutubu sana ,kila tunachokifanya kiwe kizuri au kibaya Bwana Yesu Kristo anatuona na anatujua.😢

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว

      Muombe Mungu ishallah utafanikiwa usimuombe yesu ni mtume tu tena kwa wana wa Israel

  • @amandaangie4806
    @amandaangie4806 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah 🙏 AMEN SANAAAA

  • @AdamShamkoma-bs7zs
    @AdamShamkoma-bs7zs ปีที่แล้ว

    Mungu atusamehe maan hatuna utii mbele zake

  • @amandaangie4806
    @amandaangie4806 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU AKUTUNZE. USITETEREKE SONGA MBELE.

    • @YasintaDaniel-vd6ci
      @YasintaDaniel-vd6ci ปีที่แล้ว

      Mungu utusaidie ili siku ya unyakuo na sisi tuje tuone ufalme wako.

  • @user-ox8pc5wu7u
    @user-ox8pc5wu7u ปีที่แล้ว

    Dada muongo sana wewe yaani unangea upuuzi

  • @annabyekwaso-wt7oi
    @annabyekwaso-wt7oi ปีที่แล้ว

    Amina .Yesu utakarudi unikumbuke kwenye ufalme wako.

  • @generosakinemo5490
    @generosakinemo5490 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe na Bwana, na sisi pia atubariki

  • @tantinebrijitte6818
    @tantinebrijitte6818 ปีที่แล้ว

    Mungu akutie nguvu mutumishi wa Mungu.

  • @ibrahimjasson3350
    @ibrahimjasson3350 ปีที่แล้ว

    Tunaomba YESU atusaidie kwaugumu wa mioyo yetu

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc ปีที่แล้ว

    Mama umetokea na mungu kwani ww mtume

  • @OpRy-sz3zp
    @OpRy-sz3zp ปีที่แล้ว

    Amina na uje ee bwana yesu🙏🙏🙏😭😭😭

  • @amandaangie4806
    @amandaangie4806 ปีที่แล้ว +15

    JINSI YESU ANAVYOTUPENDA JAMANI HAMWONI???!!! HAMSIKIII ?TUNABEMBELEZWA NA MUNGU JAMANI TUTAJIBU NINI😭😭😭😭😭😭😭

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว

      Wewe wajidangaya mwenyewe yesu hakuhusu hata kidogo maana hajatumwa kwako

    • @redempthatheobard4143
      @redempthatheobard4143 ปีที่แล้ว

      ​@@alzawahirabdallah2299 wewe amin unachoamin hapa umekuja kutafuta nn kama umuamin Bwana Yesu?

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว

      @@redempthatheobard4143 nimekuja kumtetea yesu muislamu mwenzetu kuuliza si ujinga km hujui uliza utajibiwa

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว

      @@redempthatheobard4143 unalo andiko yesu katumwa kwa kwako aw unalo andiko yesu alikuwa mkristo na alikuwa zehebu gani

  • @user-so5et5hn5o
    @user-so5et5hn5o ปีที่แล้ว

    MUNGU nisamee Eeeh mungu unipe moyo wakukutumikia❤🤲🤲

    • @jacklineanthony9919
      @jacklineanthony9919 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki sana mtu wa Mungu kwa kuongea kweli ya Kristo

  • @theresiakasandatedi5341
    @theresiakasandatedi5341 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana kwa huo ujumbe

  • @kelvinsamson2434
    @kelvinsamson2434 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mama angu

  • @petzoojac8683
    @petzoojac8683 ปีที่แล้ว

    asante sana kwa ukumbusho huu

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 ปีที่แล้ว

    Ila kwa kweli nyakati hizi hebu aminini TU haya mnayo yasikia yenye kweli ya kristo maana ni yenye kweli na haki. Shuhuda no zaidi hats ya unabii.

  • @DaudNtare
    @DaudNtare ปีที่แล้ว

    Good bless you

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว

    Yesu kasharudi yuko tongareni kenya

  • @JoyceNchama
    @JoyceNchama ปีที่แล้ว

    Ubalikiweee

  • @byronwinner8179
    @byronwinner8179 ปีที่แล้ว

    Hallelujah!!

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 ปีที่แล้ว

    Aminaa

  • @salomesomi8000
    @salomesomi8000 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe uposahiii

  • @annachachage4931
    @annachachage4931 ปีที่แล้ว

    Ameeni.

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

    Ni MJUMBE WA AGANO pekee ndiye aliyepewa ufunuo wa ufalme wa mbinguni hapa Duniani,wengine wote ni waongo. Soma Isaya 41.1-4. Malaki3.1-6.

    • @antonynyahoro6312
      @antonynyahoro6312 10 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubariki sana, Bwana aendelee kukutumia.

  • @user-ec7pe5bn6d
    @user-ec7pe5bn6d ปีที่แล้ว

  • @odetadaniel1744
    @odetadaniel1744 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana dada kwa ushuhuda wako mzuri,lakini samahani kuna siri sijaielewa,nimewaona watu wengi ambao wanapelekwa kuonyeshwa jinsia ya kike,kwanini wakirudi nilazima wanafunga vitambaa vichwani mwao?

    • @user-gv3si2mv3l
      @user-gv3si2mv3l ปีที่แล้ว

      Yesu anakataza kujisuka ku blowdry nywele kupaka dye dawa NA kujipamba kwa ujumla thats why hata mi sai i have a headrap on my head

    • @happnesskitumbo5713
      @happnesskitumbo5713 10 หลายเดือนก่อน

      Kuvaa kitambaa kufunika kichwa ni ishara ya unyenyekevu kwa Mungu.

  • @issachege5606
    @issachege5606 ปีที่แล้ว +1

    Jiulizeni mbona watumishi wote wakike wa mungu hawajirembi,ndio maana wote wanapinga kujiremba sio dhambi,basi jueni use of makeup it's a sin nanivyombo vya shetani

    • @user-gv3si2mv3l
      @user-gv3si2mv3l ปีที่แล้ว

      Yes hatufai kusuka kupaka makeup kuvaa vipuli wala nn just be natural the way God created you bila neema ya kuskiza promover ningeishia kuzimu i can interpret dreams am a pastor i speak to God but nlikuw najiremba yani snapchat NA simu kama ndio vilikuw abudio kwangu

  • @venicahkwamboka3823
    @venicahkwamboka3823 ปีที่แล้ว

    Jesus is coming very soon

  • @janelopez5550
    @janelopez5550 ปีที่แล้ว

    Hili kanisa linapatikana wapi hapa Kenya natamani sana kuokoka

    • @user-gv3si2mv3l
      @user-gv3si2mv3l ปีที่แล้ว

      Lol its a youtube channel not a church

  • @mobilebeats3086
    @mobilebeats3086 ปีที่แล้ว

    Nawapigia fire 😂

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 ปีที่แล้ว

    Siku zote watumishi wa MUNGU wakweli hubezwa

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc ปีที่แล้ว

    Dini za ushuhuda wa uongo tumekuchokeni

    • @happnesskitumbo5713
      @happnesskitumbo5713 10 หลายเดือนก่อน

      Hujalazimshwa kusikiliza na kumaliza MB zako hutaki pita mbali subiri Siku utakapokutana na Yesu akitoa hukumu.Lakini nakushauri ni heri uokoke.

    • @bakarbakarali-cw3gc
      @bakarbakarali-cw3gc 10 หลายเดือนก่อน

      Kuokoka dunia , hebu nitajie kanisa yesu aliwahi kusali acheni kudanganywa

  • @nurumwita9034
    @nurumwita9034 ปีที่แล้ว

    Nimeupenda Audax hajavaa Pete ya ndoa Bora na nyie mnaamini kinachoshuhudiwa

    • @bonifasiemanueli21
      @bonifasiemanueli21 ปีที่แล้ว +2

      Kuvaa Pete sio dhambi ewe kipofu,wA Roho,hujasoma habali za Mwana mpotevu

    • @nurumwita9034
      @nurumwita9034 ปีที่แล้ว

      @@bonifasiemanueli21 Pete ya ndoa imeandikwa wapi kwenye biblia

    • @CharityPendo-xt3fi
      @CharityPendo-xt3fi ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki kwa kuwa muuazi ,Wala usikae kimya kwa sababu ya wanadamu kwa sababu hawawezi shidana na Mungu.

    • @lidyamichael-jd7h
      @lidyamichael-jd7h ปีที่แล้ว

      Ameen

  • @milley7185
    @milley7185 ปีที่แล้ว

    Acha uongo hakuna yesu mchawi ni kanisaa mnalzimishwa mumkiri kilazima

    • @user-gv3si2mv3l
      @user-gv3si2mv3l ปีที่แล้ว

      The bible says ukiamini kwa moyo wako kuwa Mungu alimfufua yesu utaokoka sa sikubaliani n ww if you are forced unaangamia kwa kukosa maarifa read your bble

    • @EleminaMgeni
      @EleminaMgeni ปีที่แล้ว

      Maadamu umesikia tu itajulikana ama kweli au uongo

    • @NeemaMrisho-y5o
      @NeemaMrisho-y5o 9 หลายเดือนก่อน

      Mwenye kusikia asikie ujumbe umefka

  • @pastormalitiushuhuda9965
    @pastormalitiushuhuda9965 ปีที่แล้ว

    Hivi karibuni lini tuambie embu tuwe makini na shuhuda zetu

    • @Neemakilimba
      @Neemakilimba ปีที่แล้ว

      Duh hiyo kola umevaa hujui YESU anarudi?

    • @jaridajeusi292
      @jaridajeusi292 ปีที่แล้ว

      Wewe si ni mchungaji kabisa kweli hujui maana ya hilo fumbo la imani ama makusudi tu hutaki wengine nao washuhudie!Mungu akusamehe

    • @pastormalitiushuhuda9965
      @pastormalitiushuhuda9965 ปีที่แล้ว

      @@Neemakilimba sio kwamba sijui nimeuliza swali karibuni lini kama alipewa na muda siku tarehe ndiyo nimejaribu kuuliza wewe umeelewaje, mtu wa Mungu, maana kuna mtu alisema ga meambiwa tarehe Yesu atarudi, tunajuwa kuwa Yesu atarudi mara ya pili kuchukuwa kanisa lake

    • @pastormalitiushuhuda9965
      @pastormalitiushuhuda9965 ปีที่แล้ว

      @@jaridajeusi292 acha kutafakari kirahisi sms yangu wewe mtu wa Mungu, alafu unataka nitubu nini kuweni waelewa wa kile nimeuliza Swali rafiki

    • @annachachage4931
      @annachachage4931 ปีที่แล้ว

      @@pastormalitiushuhuda9965 Kwa sababu yeye hajasema tarehe @pastor nafikiri hakusahu kusema inamaana hakuambiwa,hizi ni shuhuda kila mtu anachukua au kuacha sawa na vile Roho mtakatifu atakavyomshauri, huyo alietaja tar pia huenda ujumbe ulikua wa mtu flani,maana kuna mtu alisikiliza shuhuda zozote kati ya hizi halafu alishaondoka duniani lakini kama alitengeneza na MUNGU,si alisaidika? Tumtafute BWANA maadamu anapatikana,YESU KRISTO anarudi

  • @dinairenge
    @dinairenge 9 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @JuliasRanga-dd8zn
    @JuliasRanga-dd8zn ปีที่แล้ว

    Amen

  • @fanuelingalawa6160
    @fanuelingalawa6160 ปีที่แล้ว

    Amen