Amina Amina Mungu hana ukomo wa uwezo; ulinzi wake na ngome yake ni imara.Tutubu tumwelekee na tufunge na kuomba hakika atatushindia na kulilinda Taifa letu.Thank you Catherine for alerting the church and Nation about this nation killing disease
Naipenda sana kazi yenu, Mungu awape nguvu kupambana na janga hili, lakini kutaja chazo Cha taarifa zilizowasaidia kuzipata habari hizo, kunanichanganya !
Hata ungepewa hii nchi ukawa Wazuri mkuu na Makonda akawa Raisi jumlisha Bishop Gwajima akawa Makamo wa Raisi tutakuwa kama tuko Paradiso,ninakukubari saana dada Mungu akupe nafasi ya juu zaidi ktk kuliokowa Taifa letu.
Catherine ipo nguvu ya misaada katika sakata hili, Biden alisema namnukuu nchi ambayo haitaridhia haki za mashoga hatazipa misaada, so Marekani anafanya mambo mawili 1) vikwazo kwa nchi zitazopinga 2) kufadhili kwa pesa hizi taasisi ulizozitaja. Nini kifanyike? Kama taifa tukatae misaada kama Bukina Faso, tutafunga mikanda kwa muda ila tuta adopt. Point of correction: kila mwamini ana uwezo wa kutoa pepo (marko 16:17). Otherwise hongera kwa kazi ya utumishi
Viongozi wengi wanakuwa waoga wakutoamaamuzi hasa Afrika hayamashirika yanajipenyezaji hapa Tanzania nakuanxa kuharibu jamiiyetu pasiposhaka yoyote kanakwamba nchi hazinadheria wala dola ?
Jamani hawa watu walindwe sana nakumbuka magu alianzisha vita ya uchumi lakini bahati mbaya hatukumlinda jamani,sasa hawa wanaopambana na ushoga tuwalinde xana.
Dawa ya kuliponya taifa letu,ni kuamua sisi kama taifa,kukataa waziwazi ushoga na kupiga vita ushoga kwa vitendo" kuwaachia hii vita watumishi wa mungu huko ni kuleta utani"ikumbukwe kuwa huu ushoga umeletwa na wazungu kwa mpango maalumu wa kudhoofisha uzazi duniani"hasa afrika,kwahio serikali ni lazima itunge sheria kali dhidi ya uovu wa aina yoyote ile"
Sasa kama mashirika yanayofanya hivi vitendo kwnn serikal isitoe kauli Moja tu kama Uganda?!,Kila siku tunasomewa ripot za mashoga nchini ili iweje sasa
NINGEPENDEKEZA NCHI ZINAZO TOA MISAADA KAMA USAD FUNGENI BALOZI ZAO SISI TUNAISHI BILA YA MSAADA KUTOKA MAREKANI NA ULAYA VIONGOZI WA NCHI MSIWAOGOPE HAO MUOGOPENI MUNGU.
Mimi nawashauri muishauri serekali ifunge balozi hasa usa ambazo zinatulete misaada hata scholar ships zao za bure zichunguzwe mmarekani na wazungu wengine hawatoi misaada bure ni maradhi ili wauze madawa yao na mashine matibabu.
Mimi naona ameruhusu hili ili muanze kulikemea kwenye vyombo mbalimbali vya habari ili tuone mnalichukia laki sio kweli,maana inshu ni rais sana ni kuweka sheria mpya na kuikataa kama alivyofanya Museveni ila cha ajabu viongozi walivyo wanafk wakamuacha Museveni peke yake afu leo mnakaa mnapiga kelele kwenye vyombo vya habari, niwaambie tu kwa namna hii mnayofanya ushoga hauwezi kuisha bali ndo mnautangaza ili usambae zaidi. Njia sahihi sana ni kuweka Sheria ipitishwe na bunge mara moja na kukataa misaada yao.
Bunge Lipo wapi ? Serikali inaogopa nchi za magharibi na marekani..Bunge la tz kazi unafiki ..Hongerani sana Mungu awalinde
misaada
Amina Amina Mungu hana ukomo wa uwezo; ulinzi wake na ngome yake ni imara.Tutubu tumwelekee na tufunge na kuomba hakika atatushindia na kulilinda Taifa letu.Thank you Catherine for alerting the church and Nation about this nation killing disease
Naungana nanyi kwa kazi nzuri na nzito bila ya uwoga, Mungu awatangulie ktk hili, 🙌🙌🙌
Viòngozi simameni mpambane juu ya vizazi vyetu mungu asaidie
Naipenda sana kazi yenu, Mungu awape nguvu kupambana na janga hili, lakini kutaja chazo Cha taarifa zilizowasaidia kuzipata habari hizo, kunanichanganya !
Wazazi
Na sisi sote
Tulisimamie hili
Na MUNGU MWENYEZI ALIYEHAI atasimama na sisi Amen 🙏 🙏
Hongera sana kwakazi nzuri mnayofanya ila nasikitika sana sana kuona serikali haichukui hatua zozote
Nakuerewa dada 🎉🎉
Mm muislam nawakubali Sana ktk kupinga ushoga 💪💪 mungu wajaalie🙏🙏
Kwani kuwa Muislamu inakuzuia nini kupiga vita ushoga. Wakati Vatican kunaongoza mashoga Duniani.
We nae, sasa sasa huyo dada anaeongea ni mwislam???? We sikiliza tu na uchukue hatua, ushoga hauna dini woiii
@@starlily07Unao dini bana wewe Ah!
Ayubu 3:3 Na ipotelee mbali ile siku niliyozaliwa mimi, Na ule usiku uliosema, MTOTO MUME AMETUNGISHWA MIMBA.
@@Sheba4651 we nae unaongea utopolo gani, kajifunze kwanza kiswahili ndo uje uandike hapa
@@starlily07heh kujieleza yy nani pia imekuuma?haya basi pope anawabariki kwa.mambo hayo..
Asante dada kwa kukemea maovu hayo😊
Asante sana dada yetu na timu nzima.Hakika ninyi ni zaidi ya bunge la ndiyooooo.Mungu awalinde sana katika mapambano hayo.
Mungu Akupe nguvu Dada yetu tunashanga Viongozi wako kmya.
Mm. Ni. Muisilamu. Uvunje. Usoga 😊
Serikali LegeLege Huzaa ,Raia wenye Tabia za Hovyoooo, BUNGE naSERIKALI IPOWapiii???? MunguTusaidiee Saana.
Mungu wambinguni awalinde Kila wakati watumishi Kwa kazi nzuri ambayo hata mungu mwenyewe anafurahia uko mbinguni Kwa kazi nzuri ❤
BWANA AKULINDE DADA
Hata ungepewa hii nchi ukawa Wazuri mkuu na Makonda akawa Raisi jumlisha Bishop Gwajima akawa Makamo wa Raisi tutakuwa kama tuko Paradiso,ninakukubari saana dada Mungu akupe nafasi ya juu zaidi ktk kuliokowa Taifa letu.
Mungu akubariki sana tena sana
God bless you
Mungu awalinde kwa kazi ngumu mnayofanya
Mungu ni mwaminifu. Hakika kazi yenu siyo bure. Anawaona na atakuwa nanyi milele yote. Amen
Catherine ipo nguvu ya misaada katika sakata hili, Biden alisema namnukuu nchi ambayo haitaridhia haki za mashoga hatazipa misaada, so Marekani anafanya mambo mawili
1) vikwazo kwa nchi zitazopinga
2) kufadhili kwa pesa hizi taasisi ulizozitaja.
Nini kifanyike? Kama taifa tukatae misaada kama Bukina Faso, tutafunga mikanda kwa muda ila tuta adopt.
Point of correction: kila mwamini ana uwezo wa kutoa pepo (marko 16:17).
Otherwise hongera kwa kazi ya utumishi
Misaada inatuangamiza
@@rd-worldtv1500 kabisa
Nakupenda sana Catherine,Unasema kweli ,MUNGU akutunze.
Nimekosa cha kuongea Mungu aturehemu hatukukaa katika ka nafasi zetu
Mwenyezi mungu awasimamie make mahadui ni wengi
Hongera kwa kazi ya uponyaji
Uko sawa, maswari yangu, 1- vyazo vya habari izo mnatoa wap? 2- pesa za kufadhili iyo mikutano mbapata wap, sababu mnatakiwa muongeze nguvu.
kazi ya selekali kukamata madada poa lakini mashoga awana shidanao 😂😂😂😂
Kwakweli nastaajabu sana,mashoga wanatembea free hata hawachukuliw hatua n serikal inajua
Ushoga umeruhusiwa kwa kwa kutumia akili kubwa sana ndiomana kuupinga kwa watu wa ngazi za juu inakuwa vigumu
Hao mashoga wanaliwa na wenyewe viongozi na ndio Maana wanazibiazibia
Kaka mumeshasaini kukubari haki za mashoga na sasa haki ya mashoga inafanya kazi. Kwa sasa lawitianeni mkoboane mko huru Uganda walikataa ushoga.
Amen Catherine. Mwanaume ni mwanaume. Natamani watu waelewe
Wenyewe wanafirwa sasa watasisimaje kupinga. Watumishi wa Mungu wanafirana.
Mungu atusaidie kwa kweli, hii vita inayoharibu watoto wetu. Mungu utete
Mimi ni wakwanza dada kukupa ongera sana tena sana ukweli umeongea na Mungu kisha kupa sawabu kwa matamko hayo Mungu awe nawe
Ni vita kubwa sana watu hawajui tu. Mtz kabisa ananunuliwa ili amuharibu Mtz mwenzake. Ifike mahali watafutwe hao Wafilaji.
Nchi hii inaangamia ili hali serikali haitoi tamko lolote. Hongera rais wa Uganda kwa maamuzi sahihi.
Big up sana Kwa TIMU nzima
Mungu akutiye nguvu
Dada mungu akusimamie nakupenda kwakazi nzuli
Keep it up dear sister
Kwajina la Yesu Kristo wameshindwa, dada Kristo Yesu azidi kukulinda milele yote
Catherine songa mbele ❤❤❤
Mungu atusaidie dunia imeisha 😢😢
Mungu nusuru watoto wetu,na Taifa letu
Hatari jamani,mi naona sodoma na gomora,mwenyezi mungu tuepushe na janga hili,viongozi na jamii tukemee ,inauma sana
Mmmm mungu tunusuru na kizazi chetu
Allah alinde vizazi vyetu
Amennn
Wamelenga kahama sababu kuna dhahabu nyingi na watavuna wafuasi wengi ambao watakuwa mawakala wao huko badae ili kupata dhahabu ,
Hiyo inawezekana kwa sababu ya madini, maana sehemu zenye wazungu ndiyo hayo
Serikali ya kishetani hii..mbona haitoi tamko na sheria kali kuhusu ushoga na msimamo wa serikali
Yan Mimi mwenyewe nastaajabu n hii serikal yetu, tunaomba tanko litoke kama Uganda full stop
Wamesaini mikataba ya wazungu
Mungu tusaidie
Mungu awatunze
Hongereni kwa kufichua maovu, lakini pamoja na kufanya hivyo mbona hatuoni hatua zikichukuliwa dhidi ya hao mashoga na wasagaji?
Nadhani huu mkoa uko Kenya,,maana wengi wenu wanaamini ayo mambo yapapatikana tu Kenya
kazi nzuri dada cathe,but we are punching below weight,masskofu mashekhe wachungaji mko wapi?mbona hamja anzisha kampeni ya kupinga?
Kazi unayo mama kibaya zaidi ata baadhi ya taasisi za kidini zina kubaliana na hayo unayo ya kemea hususani ndoa za jinsia moja.
Dada sema ukweli maana yake sisi huku tuna shida
Mmeona vijarida vya ushoga kwanini msiwashitaki
Viongozi wengi wanakuwa waoga wakutoamaamuzi hasa Afrika hayamashirika yanajipenyezaji hapa Tanzania nakuanxa kuharibu jamiiyetu pasiposhaka yoyote kanakwamba nchi hazinadheria wala dola ?
Dada umeolewa Mimi ni mekupenda kutoka moyoni
Pepo.
Ushajua ameolewa
Kweli kabisa
Mungu weta HAJAFA YUKO HAI KIAMA NA KIFO CHAO KIPO KARIBU
Africa yangu sijuwi inaelekea wapi jamani
Jamani hawa watu walindwe sana nakumbuka magu alianzisha vita ya uchumi lakini bahati mbaya hatukumlinda jamani,sasa hawa wanaopambana na ushoga tuwalinde xana.
Acha tu ninyamaze Mungu atatenda siku moja kulikomboa taifa langu dhidi ya wasaliti
Hali tete sana kizazi kimeharibika
kumbuka makonda alivyoongea wakati Magu ni Raisi, Marekani ilivyomjia juu, jibu lako ni misaada, nguvu ya kuineza haya ipo katika misaada
Kule mkinga mkoa wa Tanga ipo hotel moja inaitwa sea eagle ni maarufu kwa mashoga na watu wa kuendeleza ushoga
Mlisha wapokea tumuombe mungu atusaidiie
Sijawahi kumuona mwanamke jasiri kama huyu: Bila shaka ni Mungu alimpaka mafuta
Please niruhusuni niwajoin mimi ni mhamasishaji jamii
Daaaah wasukuma kweli wanamchezo mchafu?
Yaani ili bunge amna kitu
Haya tuliyasema hawa wazungu sio watu shida makanisa ni yao kwani mingu ana jinsia 😳😳😳😳😳
Kahama kuna mgodi usisahau
WACHUNGAJI MPAMVANE BA JABGA LA USHOGA
Sema mama watu wapone jamani . Sijui watoto wataenda wapi?
mwendelezo pls (part two yake)
Dawa ya kuliponya taifa letu,ni kuamua sisi kama taifa,kukataa waziwazi ushoga na kupiga vita ushoga kwa vitendo" kuwaachia hii vita watumishi wa mungu huko ni kuleta utani"ikumbukwe kuwa huu ushoga umeletwa na wazungu kwa mpango maalumu wa kudhoofisha uzazi duniani"hasa afrika,kwahio serikali ni lazima itunge sheria kali dhidi ya uovu wa aina yoyote ile"
Mashoga wauawe
Mliposaini kutambua haki za mashoga hapo ndo mambo yalipoaribika
na tukatae msaada, misaada ndiyo nguvu ya kueneza haya
Iko Tanzania yetu?
Hiyo bendela si yaa kule uyaudini
Hiyo ndiyo bendera ya Taifa takatifu la Israel
@@MOSESIMCHUNGUZIUtakatifu upi, msichanganye mambo, watakatifu ni wale waliopewa mafundisho na kuyashika, sas hivi hawapo, Paulo aliwamaliza wote.
Mashoga hamjakamata wanaolawiti watt hajakamatwa mnatesa waschana ubungo walinyimwa dhamana mashoga hamjakamata mafisadi hawajakamtwa,
Sasa kama mashirika yanayofanya hivi vitendo kwnn serikal isitoe kauli Moja tu kama Uganda?!,Kila siku tunasomewa ripot za mashoga nchini ili iweje sasa
Ua mtaani kwenu shoga
Hao wazungu ndio waliokuleteeni ukristo mkaubeba sasa na hayo wanayoyaleta si myakubali tu. Oneni mambo hayo!!
😂😂😂
Dah! Hatar sana ndugu😢😢😢😢
NINGEPENDEKEZA NCHI ZINAZO TOA MISAADA KAMA USAD FUNGENI BALOZI ZAO SISI TUNAISHI BILA YA MSAADA KUTOKA MAREKANI NA ULAYA VIONGOZI WA NCHI MSIWAOGOPE HAO MUOGOPENI MUNGU.
Mimi nawashauri muishauri serekali ifunge balozi hasa usa ambazo zinatulete misaada hata scholar ships zao za bure zichunguzwe mmarekani na wazungu wengine hawatoi misaada bure ni maradhi ili wauze madawa yao na mashine matibabu.
USHOGA UTAISHA TUKIACHA KUKOPA HAYO MATRILIONI ULAYA
kweli
kweli kabisa, tukatae misaada, tutaishi tu...Burkina Faso wamekataa misaada na maisha yanaendelea.
ukizoea kuomba omba utapewa hata mavi hatuna viongoz kaz nikukaa viti vya mbele tuu na matumbo makubwa
sasa serekali siingilie jamani 😭😭😭😭
Wamejaa mashoga mle hawawezi
Ushetani unapandikizwa kila kukicha
Siwauliwe Sasa MUNGU bariki kizazi changu na vya wote jmn
Na mashoga wanaonekana wanajidai.na.wala hawana shida ndan ya.nchi hii lkn.wale.wadada.poa ndo.wanaonekana wabaya
Nikweli.wape.chai.yao.makanisa.wanazidikupoteza.watu
Wabunge Wana gongwa kwahiyo na wasukuma wameanza kugongwa nchi imeisha itungwe sela wapigwe mawe
Mungu atunusur na watot wetu
Vipi muda wote kuongelea jambo hili hamna linginehamani
Hatua kali zichukulie na jukumu Kali ziwepo na walawiti na wabakaji mheshima visa vimezid sababu hakuna hukumu Kali ñdio wanaendeleza vitendo viovu
Mimi naona ameruhusu hili ili muanze kulikemea kwenye vyombo mbalimbali vya habari ili tuone mnalichukia laki sio kweli,maana inshu ni rais sana ni kuweka sheria mpya na kuikataa kama alivyofanya Museveni ila cha ajabu viongozi walivyo wanafk wakamuacha Museveni peke yake afu leo mnakaa mnapiga kelele kwenye vyombo vya habari, niwaambie tu kwa namna hii mnayofanya ushoga hauwezi kuisha bali ndo mnautangaza ili usambae zaidi. Njia sahihi sana ni kuweka Sheria ipitishwe na bunge mara moja na kukataa misaada yao.
yes, tukate misaada, tutakuwa na kipindi kifupi cha kufunga mkanda halafu utacopy(adapt)
Biblia zao lazima wafanye watakavyo papa kasha waambia waka pate baraka kwao
Mwz wa pili kunakiongozi wa juu Tanzania alienda Vatican kupata upako wa kutambua haki za mashoga, umesaahu?
Kwani sheria inasemaje?
Wanawake ndio matatizo makubwa nnchi hiii akisawa akunaa
Huu ni msiba mkubwa sana
Huyo auawe aliyewafundisha watoto