KAHABI PART 2 ;MASHOGA WANATUMIA RANGI ZA UPINDE WA MVUA KAMA ALAMA YAO WAMEBADILI BIBLIA ZA WATOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @estermgoma7451
    @estermgoma7451 5 หลายเดือนก่อน +3

    Aisee MUNGU akuinue na akufunike kwa mbawa zake

  • @zachariakaseko6282
    @zachariakaseko6282 5 หลายเดือนก่อน +4

    Amini kwa kazi hiyo Mungu atakufuta machozi usipozimia moyo endelea zaidi kuutafuta utakatifu

  • @RehemaMwaifwea
    @RehemaMwaifwea 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubalikiwe sana sana mtumishi

  • @OscarGregorymosha
    @OscarGregorymosha 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana dada mimi sina pongezi sana ila mungu wa mbinguni atakua nawe katika hili nami nitaingia kwenye maombi rasmi

  • @Zubeda-h1m
    @Zubeda-h1m 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani njia nzuri ya kumaliza ushoga wauwawe watakaobaki watakua wateule wa mungu

  • @SubiraNkwavu
    @SubiraNkwavu 5 หลายเดือนก่อน +2

    Dada yangu nakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu pia huo ujasili ulionao Mungu auzidishe ili viongozi wa dini warudi kwenye nafasi zao

  • @happyinnocent8621
    @happyinnocent8621 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie

  • @beatricekihehe3733
    @beatricekihehe3733 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera dada kwa KAZI nzuri Mungu akutunze

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤kazi kwetu wazazi

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl 5 หลายเดือนก่อน

    Safi sana Dada Katherine fundisha maana viongozi wetu wamelemaa kiroho na kimaadili

  • @MussaMillano
    @MussaMillano 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nice🎉

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sana Dada mwanzo 7 7 mume na mke kuhifadhi mbegu

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada jamani serikali mchukue hatua Kwa vitendo vya ushoga na ubasha nchi yetu itaangamizwa watumishi wa mungu fanyeni wajibu wenu siku ya mwisho mtaulizwa

  • @emmanuelburchard3153
    @emmanuelburchard3153 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukubariki sana.

  • @JaphetJairos-n4l
    @JaphetJairos-n4l 5 หลายเดือนก่อน +3

    Uyu dada case me nampendaga sana yuko streit sanaaaa❤❤❤

  • @RwehaburaProjest
    @RwehaburaProjest 4 หลายเดือนก่อน

    Simama imara ulikomboe Taifa .Uchafu ni mwingi juu ya ushoga.Nina mashaka na madawa ya kuongeza nguvu za kiume kwa vijana wetu.lnawe

  • @AburabiyKasimu
    @AburabiyKasimu 4 หลายเดือนก่อน

    Naimba serikali waturuhusi tuasake mashoga kwa muda siku tisini tu mamaetu samia kipenzi chetu turuhusu mamaetu nakura tutakupgia tu,mama samia!!!

  • @FatherKunutti
    @FatherKunutti 5 หลายเดือนก่อน

    "Upinde"
    Dah! Hawa washenzi walianza zamani ushenzi wao! Tuunganishe nguvu tusambaratishe kazi na mtandao wa waovu hao.
    Ombi langu Kwa serikali yetu: itungwe Sheria Kali inayoambatana na adhabu Kali dhidi ya yeyote anayehusika na uchafu huo Kwa namna yoyote

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl 5 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wa Kiroho wanalemaa kufanya kazi zao vizuri kwa kuwa Moral Bearers of the African/Tanzanian Society. Sijawahi kuwasikia wakiongea kwa nguvu na ushawishi kama huyu Dada na Team Yao. Ni aibu ninyi Maaskofu na Mashehe wa Misikiti na Makanisa yote. Oneni Aibu na Muogopeni Mungu na Mtimize Majukumu mliyoahidi kutimiza mbele za watu na Mungu.

  • @michaelgilbert1531
    @michaelgilbert1531 5 หลายเดือนก่อน

    Naona upo na bend saiv

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ni ngumu hao wa kina biden ati waukatae uzungu,haina haja ya kuwaomba hao, ushoga ni jukumu letu kuukataa,tusiisikilize serikali wala hao kina biden,maana wao ushoga ni asili zao"kwahio tanzania tukatae moja kwa moja ushoga na tuchukue hatua kali dhidi ya mashoga

  • @AburabiyKasimu
    @AburabiyKasimu 4 หลายเดือนก่อน

    Lakinini pia mbona hizi ndoa mbona za jinsia moja zinafungwa kanisani jamani

  • @HashimOlomi
    @HashimOlomi 5 หลายเดือนก่อน

    Alafu awo mashekh ni kama vile awajitambui au ni njaa zinawasumbua wasituaibishe sisi waumini wa dini ya kiislamu

  • @nzeyimanaadidja7684
    @nzeyimanaadidja7684 5 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢😢

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kma kweli unapambania kukomesha ushoga kwann huna ubinadamu umeweka bendera ya wauaji

    • @estermgoma7451
      @estermgoma7451 5 หลายเดือนก่อน

      Unafikla finyu unaona rangi nyekundu pale

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 5 หลายเดือนก่อน

    J a mani mashoga ni wagonjwa wa akili lakini hawajitambui kitu ambacho ni hatari.Badala ya kutafuta psychotherapy wanajificha na kuanza kuwapoteza wengine.Mtu anayefurahia kuona choo y a mwenzake siyo kawaida😢😢

  • @HappinessBakuju
    @HappinessBakuju 5 หลายเดือนก่อน

    Walaaninke wasitualibie watoto

  • @makimbiliochannel
    @makimbiliochannel 5 หลายเดือนก่อน

    Shalom Shalom...Mungu akubariki sana Dada Catherine na Mzeee wetu Mwakyembe kwa kazi kubwa muifanyayo...
    KWA MTU YOYOTE MWENYE NO ZAO PLEASE NISAIDIENI

  • @AlexMakala-s7k
    @AlexMakala-s7k 5 หลายเดือนก่อน

    Shida ni selikali ya ccm wanakopa sana

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 5 หลายเดือนก่อน

    Mtihan mkubwa

  • @HashimOlomi
    @HashimOlomi 5 หลายเดือนก่อน

    Kama ni kweli unapinga shoga mbona umeweka bendera ya mauaji apo kwenye ilo kanisa

    • @DafrosaNgusi
      @DafrosaNgusi 5 หลายเดือนก่อน

      Hyo bendera kwetu ni nchi takatifu kam ilivyo kwenu Macca

    • @OscarGregorymosha
      @OscarGregorymosha 5 หลายเดือนก่อน

      Hashim inamaana wewe una saport ushoga? Ama maana yako ni nini hasa?

  • @ElizabethMakwaia
    @ElizabethMakwaia 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani miaka yote hawa mashoga walikuwa wapi.? Maana naona wengi wamezaliwa sasa hivi na vinasaba hivyo. Na hao mababu wamezaliwa lini?

  • @Wendy-kz6cy
    @Wendy-kz6cy 5 หลายเดือนก่อน +1

    Makubwa