🔴 LIVE: RC PAUL MAKONDA ANAFUNGUKA RIPOTI YA MIEZI 6 YA UTENDAJI KAZI WAKE NDANI YA MKOA WA ARUSHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 81

  • @delacruzito360
    @delacruzito360 หลายเดือนก่อน +14

    Huyu jamaa kweli sio mtu wa kawaida, Amesimama kuongea zaidi ya masaa matatu ripoti ya miezi sita ameielezea bila kusoma makaratasi sehemu yoyote. 🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Mungu amjalie maisha marefu tuzidi kuona mengi kwenye uongozi wako.

    • @shabanikasele8071
      @shabanikasele8071 27 วันที่ผ่านมา

      hilo ndio sifa kubwa ya uongozi wa ukweli kwasababu Kilicho kichwani kama ni kweli na unayotenda huwezi kubabaika ktk majibu

  • @MichaelWarioba-s8s
    @MichaelWarioba-s8s 29 วันที่ผ่านมา +4

    Makonda piga kazii kiongozi wangu naomba mama akuongezeee mdaa kiongozi wangu mungu akutunzeee

  • @arthurmwabulambo1201
    @arthurmwabulambo1201 28 วันที่ผ่านมา +2

    Tunataka akina Makonda kila mkoa. Excellent Paul and God bless u.

  • @jacksonmhelela4911
    @jacksonmhelela4911 หลายเดือนก่อน +13

    Nice presentation honorable Rc Makonda

  • @geofreybahema5118
    @geofreybahema5118 หลายเดือนก่อน +3

    3 hours mchizi kasmama hongera boss good explanation

  • @BeaNyenza
    @BeaNyenza 29 วันที่ผ่านมา +2

    Makonda rais akuamishie mwanza baba unaweza Allah akutangulie Amina

  • @silahimumsuya9664
    @silahimumsuya9664 หลายเดือนก่อน +9

    Makonda mungu akulinde tuzidi kunufaika na wewe!!!

  • @asifznz
    @asifznz หลายเดือนก่อน +2

    Mh.paul makoda you nailed it , a good leader only fears god and nobody else but he respects all.

  • @charlesthomas6279
    @charlesthomas6279 หลายเดือนก่อน +13

    Rc makonda naomba msaada wa mtaji wa biashara yangu,,pliiz nisaidie,,by the way unafanya kaz nzr sana..hongera kaka

    • @frankjohnson8420
      @frankjohnson8420 29 วันที่ผ่านมา

      Wazo lako ni zuri. Ila ujumbe unaishia Wasafi. Mtumie direct.,..

  • @aminabandatz
    @aminabandatz หลายเดือนก่อน +3

    Upendo wangu kwa Makonda umeongezeka 👏👏👏💪

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe หลายเดือนก่อน +7

    UKIMSIKILIZA MAKONDA HUCHOKI..KICHWA KIPO BRIGHT SANA HIKI🎉🎉🎉🎉

  • @kelvin_paul
    @kelvin_paul หลายเดือนก่อน +4

    Okay, this is a good presentation, but you faced the challenged question from different reporters, and you answered very well, and that is why I liked your presentation report of six months in your work time, but all the time, but all the best. @makonda, I think one day you will be in a great position in this country because people who are working for them will raise you. #makonda #wasafimedia#wasafi #wasafitv #wasafifm#clouds#tamisemi

  • @FadhiliMgeni
    @FadhiliMgeni หลายเดือนก่อน +11

    Huyu jamaaa anajua Sana ,hasa hapo kwenye nguvu ya chama ,nakukubali San makonda

  • @bensonmshiu1894
    @bensonmshiu1894 หลายเดือนก่อน +6

    Well said and talked

  • @williammduma4180
    @williammduma4180 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee makonda tunaomba barabara ya kwenda simanjiro kupitia kwa murombo, oljoro, mpaka machimbo ya mchanga, huku kuna mzunguko mkubwa wa kiuchumi mazao, mchanga n. K, lakini imekua barabara mbaya kupita barabara zote za mkoa wa Arusha, Hasa kipande ambacho kipo kwenye mkoa wako wa Arusha. Ukiachia kile ambacho kipo manyara.
    Piga kazi Mzee, kazi nzuri aijifichi utaeleweka tu... Hata na wasio kuelewa. Wape mda tu.
    Hongera kazi nzuri.

  • @hassanmussa7664
    @hassanmussa7664 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu jamaa ni real leader..... confidence ya kutosha...next prime minister

  • @thabitdaudi9815
    @thabitdaudi9815 หลายเดือนก่อน +1

    What a genius

  • @giribethmwisua3821
    @giribethmwisua3821 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Sana mkuu wa mkoa wa Arusha
    Kwa kweli unamsaidia sana mama yetu Samia suluhu Hassan
    Kubwa zaidi usipandishe mabega but be humble!!

  • @euvassammy8537
    @euvassammy8537 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna huyu mwandishi anaitwa Charles(From wasafi), Hii kichwa imetulia sana. Jamaa anajua sana career ya Habari kwenye kuuliza maswali.

  • @maryroyer9297
    @maryroyer9297 หลายเดือนก่อน +4

    Namkubali makonda

  • @MariamEmmanuel-b7i
    @MariamEmmanuel-b7i หลายเดือนก่อน +1

    Mh TV kwangu Leo nimeipenda,nilikuwa Nisha acha kutazama mikutano ya nchi Ila leo nimerud enzi zileeee za Magufuri,kama yeye et

  • @azizigaston8631
    @azizigaston8631 หลายเดือนก่อน +1

    Akili kubwa sana makonda nakuona mbali sana muda utaongea broo

  • @PetroMafuru
    @PetroMafuru หลายเดือนก่อน +1

    Mimi binafs namkubali Mh makonda maana amenyooka akwepeshi kitu na anamtunguliza MWENYEZI MUNGU kila wakati mm nataman sana MAMA amlete dar es salaam

  • @Obasaniyo
    @Obasaniyo หลายเดือนก่อน +3

    American siyo mbinguni bro, mbona kawaida tu.ingekuwa mbinguni watu wasinge kufa. Big up my Bro

  • @herryochola2650
    @herryochola2650 หลายเดือนก่อน +1

    BARIKIWA BROO...NIMEJIFUNZA MENGI KWA HII PROGRAM...!

  • @domingosjohnraissemaikomai7930
    @domingosjohnraissemaikomai7930 หลายเดือนก่อน +3

    Nice rc makonda

  • @ZachariaMasana-t6v
    @ZachariaMasana-t6v หลายเดือนก่อน +4

    Yani hii kitu ilitakiwa ifanyike tanzania nzima ingekua poa sana

  • @gallosaid8921
    @gallosaid8921 หลายเดือนก่อน +6

    Mwamba kasimama zaidi ya masaa matatu. Duuhh huyu kamanda

  • @odenmwinji863
    @odenmwinji863 หลายเดือนก่อน +1

    Nice presentation...

  • @abdallahmahsen4091
    @abdallahmahsen4091 หลายเดือนก่อน +1

    From 00:00 sec ,, To 3:11:17 ,,, What kind of Attitude ,, licha ya Gaghabu From Wasafi Team uki include Attention ya zembewela na charles ,, Makonda Si mtu wa kunyoosha Viungo katika kukitwa kwa maswali ,,,, Kikao cha Mihemko ,,

  • @Usalamawave
    @Usalamawave หลายเดือนก่อน +6

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Makonda ni kiongozi,IQ yake ni kubwa sana.

  • @sherbyadhiambo
    @sherbyadhiambo หลายเดือนก่อน +2

    Uko sawa kaka

  • @adrofgwahula7294
    @adrofgwahula7294 หลายเดือนก่อน +4

    Makonda akigombea anapita believe me

  • @Filmz639
    @Filmz639 หลายเดือนก่อน +3

    Huuu baba anaakili nyingi

  • @herryochola2650
    @herryochola2650 หลายเดือนก่อน +3

    BARIKIWA MKUU WA MKOA MR MAKONDA...NIMEJIFUNZA MENGI SANA KWA HII PROGRAM!

  • @saidkambi6792
    @saidkambi6792 หลายเดือนก่อน +1

    MAKONDA NI RAIS WANGU 2030 INSHAALLAH

  • @frankjohnson8420
    @frankjohnson8420 29 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu ni Rais wa Awamu 10. Tunzeni hii sms

  • @LukasiAlubart
    @LukasiAlubart หลายเดือนก่อน +2

    Upo sawa baba

  • @Ngongongalimedia
    @Ngongongalimedia หลายเดือนก่อน +5

    MAKONDA RIPORT YA MIEZI 6 YOTE BILA MAKALATASI Daaaah !! unatisha Mzee ,
    Pambana Binafsi Nipo Nyuma yako Ningekuwa na Nafasi kunwa kimadaraka basi ungepata Nafasi ya Juuuuuuuuuuuuuu🎉🎉🎉🎉🎉

  • @GeofreyMwakalindile
    @GeofreyMwakalindile หลายเดือนก่อน +3

    Huyu jamaa anauwezo mkubwa sanaa

  • @alexisangali9061
    @alexisangali9061 หลายเดือนก่อน +1

    I come from congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩,makonda anastahili kuwa president of Tanzanie🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @omaryjuma7404
    @omaryjuma7404 หลายเดือนก่อน +4

    Sema huyu baba ana paswa kuwa rais wa nchi kiukweli

  • @ericbankobeza4622
    @ericbankobeza4622 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaitaji repoti kama hizi kutoka kwa wakuu wa mikoa wote ili kuleta ushindani katika maendeleo

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 หลายเดือนก่อน +1

    Paul Makonda Suluhu Hassan..sawa sheikh wangu😅😅😅

  • @ELIAKTUM
    @ELIAKTUM หลายเดือนก่อน +3

    Nice 😢

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda mpiga kazi sana ndio maana anapendwa na watu mazuri yake ni mengi sana kuliko mabaya yake halafu nyota yake kali sana🧠

  • @peterjovit7342
    @peterjovit7342 หลายเดือนก่อน +4

    Goood

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 27 วันที่ผ่านมา +1

    Hebu DCs na RCs wote wapimwe kipengele kimoja tu cha lengo.la upandaji miti 1,500,000 kwa kila DCs tuone ni DCs na RCs wangapi.wamelitekeleza?

  • @Mbwanaadam-m2v
    @Mbwanaadam-m2v หลายเดือนก่อน +3

    Makonda anafanya Hadi kazi ya gambo duu

  • @NoelKiwike-wc8wh
    @NoelKiwike-wc8wh หลายเดือนก่อน +2

    Charles😂😂

  • @paschalduwe817
    @paschalduwe817 หลายเดือนก่อน +1

    Zembela anamwali mazuri mpaka makonda anafurahi

  • @FedrickGwaruda
    @FedrickGwaruda หลายเดือนก่อน +1

    Cizza 🙌🙌

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 หลายเดือนก่อน +2

    mh Makonda Mungu awe na wewe chapa kazi "sala na kazi "

  • @EmmanuelZengoSamwel-on9vp
    @EmmanuelZengoSamwel-on9vp หลายเดือนก่อน +1

    Nimmoja2 watu kama huyu ni tunu kwa taifa muda utaongea namuona mbali sana

  • @djumakonki1964
    @djumakonki1964 หลายเดือนก่อน +3

    Mheshimiwa Makonda mimi binafsi nakuunga mkono kwa yote ulioongea na nakuombea kwa MwenyeziMungu kila la heri .
    MwenyeziMungu akulinde kwa kazi unayoifanya serikali na chama tawala .
    umeonyesha ukomavu mkubwa sana.
    Nawashukuru pia wazee wako waliokuandaa wakiwemo Marehem Mzee Samweli Sita,
    Mheshimiwa mwakyembe nawengineo.
    PIGA KAZI MHESHIMIWA BWANA MAKONDA.

  • @MansouryVanman
    @MansouryVanman หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ndio kiongozi tunaemtaka na sio wenyemisimamo regerege.. JPM alimpika na ameiva tunasubiri tu Muda ufike

  • @tumainiaroni7980
    @tumainiaroni7980 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu jamaa ni kichwa NDIO maana hata kujibu kwake kumetulia na kunaridhisha pasina shaka yoyote. Songa mbele usiogope.

  • @hosseasimon3887
    @hosseasimon3887 หลายเดือนก่อน +1

    Akili kubwa ngosha🎉

  • @ViniciusOfficialtz
    @ViniciusOfficialtz หลายเดือนก่อน +1

    Makonda wewe ndo Rais wangu wa moyo ulie bakia

  • @Jamesmwakisambwe
    @Jamesmwakisambwe หลายเดือนก่อน +1

    That's leadership ndio mana jamaa anajua sijuh ukiacha kipaji cha siasa sijuh kasomea nini msada kwa anae jua aniambie

    • @mwanakitenge
      @mwanakitenge หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂si kasema kama alivokuwa sio RC alikuwa mfugaji na mkulima

    • @fredrickjoseph2907
      @fredrickjoseph2907 หลายเดือนก่อน

      Kasoma Community Economic Development (Muccobs)

  • @ThabitMwangu
    @ThabitMwangu หลายเดือนก่อน +1

    Makonda wewe ni kiongozi kwa maana ya kiongozi

  • @shabanikasele8071
    @shabanikasele8071 27 วันที่ผ่านมา +1

    hili swala alilolifanya makonda naahidi kua hakuna kwa tz kiongozi yeyote anaeweza kuwakabili waandishi kwa namna alivyo fanya yeye hakuna wakuweza kuilipa hii namkubali kwa IQ yake nikubwa sana kiongozi kujiamini kwa unaowaongoza ni uzalendo wa hali ya juu zaid namwombea sana mungu amjaalie atufikishe pale penye upeo wake ktk nchi hii

  • @harithpusuleiman1472
    @harithpusuleiman1472 หลายเดือนก่อน +4

    Hapa palikusudiwa kuzungumzia riport ya miezi ila nikiangalia maswali mengi nilioyasikia hapa hayahusiani na riport

  • @NeyloveJaphet
    @NeyloveJaphet หลายเดือนก่อน +1

    Makonda tuna mtaka iringa

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo Dada aliyeuliza mambo ya haki za binadamu kwa hasira naye ni wale wale tu . Lesbian ndio maana amekasirika

  • @shafiimussa3989
    @shafiimussa3989 หลายเดือนก่อน +1

    Akili kubwa

  • @mbatatakiazi1678
    @mbatatakiazi1678 หลายเดือนก่อน

    nimeshangaa tu muuliza swali (mpongezaji), eti ni mjumbe wa baraza kuu la MERU. kumbe kuna hayo mabaraza siku hizi au nimemwelewa vibaya

  • @hildpaul7823
    @hildpaul7823 หลายเดือนก่อน

    wengine hatujapata muafaka na tukienda kama wewe haupo tunafukuzwa

  • @Filmz639
    @Filmz639 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂

  • @BilaliIloko
    @BilaliIloko หลายเดือนก่อน +2

    Tunamuomba aje Tabora kwakweli kama watu wa arusha hamumtaki 😂

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe หลายเดือนก่อน

      Akija Tabora mpango wa kwanza uwe kuwapiga NYUMA MWIKO magoli 9-0 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @JoshuaYohanaLaizer
    @JoshuaYohanaLaizer หลายเดือนก่อน

    Umekua muogo san

  • @suleimanismail8414
    @suleimanismail8414 หลายเดือนก่อน

    Kumae wazee huku wamekuja kutafuna snacks tuu midomo ni iko busy tuuuu

  • @williammduma4180
    @williammduma4180 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee makonda tunaomba barabara ya kwenda simanjiro kupitia kwa murombo, oljoro, mpaka machimbo ya mchanga, huku kuna mzunguko mkubwa wa kiuchumi mazao, mchanga n. K, lakini imekua barabara mbaya kupita barabara zote za mkoa wa Arusha, Hasa kipande ambacho kipo kwenye mkoa wako wa Arusha. Ukiachia kile ambacho kipo manyara.
    Piga kazi Mzee, kazi nzuri aijifichi utaeleweka tu... Hata na wasio kuelewa. Wape mda tu.
    Hongera kazi nzuri.