MCHUNGAJI Aliyetuhumiwa KUUNGA MKONO USHOGA aomba RADHI/Adai HUJUMA amefanyiwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @yustondelwa
    @yustondelwa ปีที่แล้ว +9

    Asante Mungu kwa kujibu maombi yangu, huyu hafai kabisa kuwa mtumishi wa Mungu, Asiruhusiwe tena

  • @GeofreyMtensa
    @GeofreyMtensa 6 หลายเดือนก่อน +7

    Acheni usenge wa kujiita Mtume/ Nabii ..huo ni utapeli na uongo...

  • @evalinemagige495
    @evalinemagige495 8 หลายเดือนก่อน +7

    Mnashugulikiwa mpaka mnaanza kuwa wadhaifu na Bado mnamchezea Mungu hata siku Moja Nuru na Giza haviwezi kaa pamoja mtubu kwa Mungu na muache huouchafu wenu Mungu atawasamehe na kuwa Fanya wapya

    • @amisamaurid1882
      @amisamaurid1882 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 8 หลายเดือนก่อน +4

    Hongerani Sana Wakiristo kwa kukataa kuburuzwa na Watumishi hawa Wafuasi wa shetani
    Kwa kweli Ushoga Hapana

  • @SIMIONNYAMASAI
    @SIMIONNYAMASAI 4 วันที่ผ่านมา

    Hao si watumishi wa Mungu, tunawaombea Mwenyezi Mungu awabadilishe kama alivyombadilisha Sauli

  • @traudkamugisha8051
    @traudkamugisha8051 8 หลายเดือนก่อน +8

    Nawewe Mama Mungu akupige huo mdomo wako wa kishetani mkafie mbali enyi maibilisi pumbavu zenu

    • @drelizakilili
      @drelizakilili 6 หลายเดือนก่อน

      Tinaanza na wewe

  • @josephatmargwe-kn4mu
    @josephatmargwe-kn4mu 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu shusha Moto wa Mbinguni uondoshe uchafu huu

  • @arttilioemiliam2419
    @arttilioemiliam2419 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu ameshachukua hatua zake kidogo hapo Bado serikali inakuwa kuchua hatua Kali zaidi la sivyo na serikali nayo Mungu atachukua hatua Kali zaidi

  • @upendogospelreaching6380
    @upendogospelreaching6380 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ashe male ngai ,,nahavache mfumwa,,Mungu Yuko enzini mwake,, mmezidi kuutukanisha mwili wa Kirstin yaani hao wotee hamna watu hapo NI vivuli tuuu,,,wamekua wakitukana sana

  • @drdd774
    @drdd774 ปีที่แล้ว +5

    Tena hawa hawafai kuitwa watumishi wa Mungu, mnatia aibu ukristo.

  • @zawadielisikay
    @zawadielisikay ปีที่แล้ว +11

    Acheni kutupoteza hawa siyo watumishi wa mungu

  • @greysondavid6445
    @greysondavid6445 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tumepewa mamlaka na Mungu kuwatawala vuimbe wote na kuwapa majina yao.Leo hii wale tuliopewa mamlaka ya kuwatawala,wanatuzidi maarifa ya kiutawala.tunafuga njiwa,bata,punda,kondoo,mbwa,mbuzi,ng'ombe, n.k.Hwa viumbe hawashiriki mapenzi ya jinsia moja.Aibu aibu,aibu watumishi wenye roho za kishetani,waache kazi za Utume na utumishi wakalime.

  • @juanajuan3198
    @juanajuan3198 ปีที่แล้ว +2

    Kamwe msimdhihaki Mungu...Mungu huyu sio wa kumuingiza kwenye dhambi zenu...muogopeni Mungu , achen udanganyifu..Mungu alie hai hadhihakiwi..msipotubu na kuacha dhambi hyo..hakika atakuonyesheni km yy ni Mungu alie hai Mungu wa Israel. Tubuni.

  • @DennisAnthony-j5y
    @DennisAnthony-j5y 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie ni watumishi sio sawaaa mungu ndio ajuaye yote

  • @robertkatole3910
    @robertkatole3910 ปีที่แล้ว +10

    Pesa za wazungu mlizo tafuna mziludishe,kidanguro chenu hakito funguliwa tena mashetani wakubwa ninyi.

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 ปีที่แล้ว +3

    Kwendraaaaaaaaaa mwenyenz mungu atawaadhib nyiny saiv hata aina Aja yakwenda kanisani wakat makanisa yanafagilia ushoga aiwezekan nidhambi tnaenda ktafta t nchkizo kwa mungu

  • @theresiachacha3068
    @theresiachacha3068 ปีที่แล้ว +10

    Ile siku walikua na nguvu kweli. Leo wote wamekua wapole. Hata kuongea hawawezi. Wamwombe radhi Mungu sio sisi

  • @muznatshaban5089
    @muznatshaban5089 ปีที่แล้ว +5

    Nyiiiii Hawa wanauzagaaaa vipodoziiiu jamn wezi hawaaaaaaa mungu tandika Hawa watuuuu wageuko kuwa maweeeee

  • @victoriajulius5239
    @victoriajulius5239 ปีที่แล้ว +2

    Mungu Mkali bwana na Ana watu waaminifu sana wakupigania ukweli na Imani nyie watu sis tumesamehe endapo baba yetu amewasemehe pia

  • @aganomuma
    @aganomuma 8 วันที่ผ่านมา

    Huyo siyo mtumishi wa mungu haende uko

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 ปีที่แล้ว +7

    Unajiita Dr Dr sio jina ujinga ujinga hapa ,,mnatuudhi Sana Sana Sana mpaka mnatupasua mtima wetu ,,mama yetu samia shughulika na huu upepo...

    • @drelizakilili
      @drelizakilili 6 หลายเดือนก่อน

      Subirini sasa wazungu wawaletee mazingaonbwe si mnatukataa sisi watanzania wenzenu?

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mmechosha kuwasikiliza poteeni mbali nyinyi mawakala wasodoma na gomola

  • @annastaziakimaro3042
    @annastaziakimaro3042 8 หลายเดือนก่อน +1

    MITHALI 24:1-2
    Usiwahusudu watu waovu, wala usitamani kuwa pamoja nao,
    Kwa maana moyo wao hufikiri dhuluma, na midomo yao huongea madhara.

  • @heritier5119
    @heritier5119 8 หลายเดือนก่อน +1

    Grace products ni bidhaa za kuzimu kaeni nazo mbali

  • @ericamwkyokile4681
    @ericamwkyokile4681 8 หลายเดือนก่อน

    Mna nia ovu ninyi.Mungu anawaona.mnatuchafua sana ninyi.Nilipenda mafuta Yenu sasa nayaogopa mno.

  • @heritier5119
    @heritier5119 8 หลายเดือนก่อน

    Nasikia nabii wao wa uongo anaepromote ushoga keshapi😮gwa Kofi na Mungu

  • @Edwin-tw3yj
    @Edwin-tw3yj 8 หลายเดือนก่อน

    Jifunzeni kuandaa somo pia kwenda na neno,pia Mila,za watu zizito Linda dhambi..pia ila lenye kweli ya Mungu bila kutetea uovu! Kueshim Neno la Mungu na Shelia kua na kiasi ktk mambo yote Ili kweli yenu isilaumiwe

  • @heritier5119
    @heritier5119 8 หลายเดือนก่อน

    😔🥰tamaa mbaya sana kisa pesa na bado shetani hana fadhila

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama alikuwa na kazi nzuri ya kutengeneza vipodozi sasa tena leo umeongia huko makubws!!!!!!

    • @MwanjiNzala-mo5ni
      @MwanjiNzala-mo5ni 8 หลายเดือนก่อน

      Ukute hata vipodozi vyake vina vina viambatana ushoga na usagaj

    • @drelizakilili
      @drelizakilili 6 หลายเดือนก่อน

      Kwanini usiendelee kuamini? Upinzani ni mbaya sana

  • @AtuganileGodson
    @AtuganileGodson 5 หลายเดือนก่อน

    Nyie mnaojiita nitumie na askofu kuna kitu mnakutafuta kwa Mungu na wewe mke utajipata.Siku chache.
    Ushoga mbele za Mungu nazani mnajua kuwa ni uchagu

  • @Nazareth8119
    @Nazareth8119 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna imani hapo, mtumishi anakejeri biblia na maandiko na watumishi wa Mungu kama Paulo unamuita "mpuuzi mmoja" nyoosheni maneno msamehewe.Mnafanya ukiristo uonekane dini ya hovyo, Bwana na awakemee.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 8 หลายเดือนก่อน

      Dawa ni hao waumini waache kwenda kwenye hayo makanisa yao.

    • @drelizakilili
      @drelizakilili 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe wasema

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 ปีที่แล้ว

    2 Wakorinth 11:13-15 "Shetani kujigeuza

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 8 หลายเดือนก่อน +3

    Sabuni zake situmiiii teeeeeena

    • @ERICAHMWAKILUNGU
      @ERICAHMWAKILUNGU 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu wangu tusaidie mbona tumetuma sana Mungu tutoe kwenye hili jaribu

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 ปีที่แล้ว +1

    Mhuuuuuuuu na ule wimbo alioimba mke wake na zingine za kuhusu kusema ovyo kuhusu Bibilia . Ombeni radhi nyoosheni maneno msipindishe ili msamehewe.

    • @brysonuronu5862
      @brysonuronu5862 ปีที่แล้ว +1

      Aliwahi kusema kitakuja kitabu kizuri kuliko Biblia akasema Biblia imeandikwa na wajinga flani hivi..
      Aliwahi kuita torati ni mavi
      Aliwahi kusema Yesu kaenda Kwa mchepuko wake ...ndio maana harudi...
      Yaani Hata kama ndio Kwa mifano ila anakashifu sana Imani ya kikristo...nimekua nikimuandikia mara nyingi..
      Huyu ni ajenti wa Shetani kabisa ..

  • @AtuganileGodson
    @AtuganileGodson 5 หลายเดือนก่อน

    Yaani wewe ndo grace product?Mungu atakupa unachotaka sooooni.

  • @joyceregani9778
    @joyceregani9778 8 หลายเดือนก่อน

    Acheni kumchafua yesu ,Mungu hazihakiwi

  • @rameckmarembo
    @rameckmarembo 6 หลายเดือนก่อน

    Eti watumishi wa Mungu!!!?? Mungu yupi huyooo!!!?
    Mungu wa kuzimu au wa mbunguni Maana kuna miungu wengi

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว +3

    Tena huyo mwenye masikio kama popo ndio hupotosha zaidi Bible anasema watu wanywe tusker, wine, madhabahuni

    • @chulelubella2819
      @chulelubella2819 ปีที่แล้ว

      😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃🤓🤓🤓🤓😃😃😃

    • @gabrielzakaria2810
      @gabrielzakaria2810 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂 eti maskio kma popo

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 ปีที่แล้ว

    Watumishi hawo siyo watumishi wa Mungu hawo .. mahanithi hawo

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo Kampuni yake ya Bidhaa za GRACE PRODUCTS zichunguzwe sana huenda Kuna Vichocheo (Hormones) vinavyofanya Wanaume wapende Ushoga na Wanawake Wapende Usagaji na Kulawitiwa.

  • @brysonuronu5862
    @brysonuronu5862 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna Cha mtume Wala Dr Wala chumvi na sukari... Acheni utapeli acheni uongofu acheni upotoshaji na acheni ujinga.

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 8 หลายเดือนก่อน +2

    Bado hamjasema😂 Islam is my religion

  • @paulokuze9307
    @paulokuze9307 ปีที่แล้ว +2

    Hawa ni washetani wanajiita wazee wa neema,haaa Sasa Tito 2:2 inasemaje neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa yatukataza kukataa ubaya wa kila namna.

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 8 หลายเดือนก่อน

    U Dr haukufanyi kumjua Mungu.

    • @BarnetLaston
      @BarnetLaston 8 หลายเดือนก่อน

      Ana U Dr gani mavi tu hawa

  • @esthermwaibasa4778
    @esthermwaibasa4778 ปีที่แล้ว

    Masisi sijui umekengeukaje,rudi kwenye njia za Mungu nakuomba,kwa kweli nimekusikiliza nikaishia kusikitika unasema kuna kitabu kinakuja zaidi ya ya hii biblia?ulianza vizuri na unakoishia omba rehema za Mungu shetani anakuwinda,

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 6 หลายเดือนก่อน

    Mnacheza na mungu yupo hai

  • @paulokuze9307
    @paulokuze9307 ปีที่แล้ว +1

    Mungu tandika Hawa maana wamezidi

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 8 หลายเดือนก่อน +1

    HUYO MAMA ALIIMBA WIMBO AKISEMA NEEMA KWA WASENGE WOTE NEEMA IMEFUNULIWA. MSHENZI KABISA

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 8 หลายเดือนก่อน

      Ndo huyo kumbe! Lol
      Mungu ampige eti askof!

    • @drelizakilili
      @drelizakilili 6 หลายเดือนก่อน

      Y hawa tuu huu wimbo sio wa leo wala jana mbona kwa majambaji hamsemi? Na leo ndio kukatwa watu wapanga kumeibuka kwa upya siku moja mtanikumbuka sana

  • @josephmazengo1113
    @josephmazengo1113 ปีที่แล้ว +2

    Huyu sio wa kristo ni mpinga kristo

  • @abdulhakeem959
    @abdulhakeem959 ปีที่แล้ว

    mbona walawi 20:13-14 hamuisomagi na kuihubiri??

  • @costantinekikinda7574
    @costantinekikinda7574 8 หลายเดือนก่อน

    Wamesha mpiga dawa mchungaji ili aumwe kisha wamchafue jamani jichunguzeni mara kazaa kabra ya kukashifu jambo kama ushoga nchi inajua chanzo ni wapi wakamatwe wachukuliwe Sheria sio kukashifu WATUMISHI WA zuri kama Hawa kamateni wamafuta ya upako lakini huyu uhubiri uhalisia WA maisha mnaboa sana hukumu yenu ipo

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 8 หลายเดือนก่อน

    Mapepo nyinyi mungu awahukum

  • @PcgtMsalato
    @PcgtMsalato 8 หลายเดือนก่อน +1

    Waongo wakubwa. Mungu awashighulikie. Iko siku sisi Manabii wa Kweli tutaomba moto ushuke.

  • @deborambutu9547
    @deborambutu9547 ปีที่แล้ว +3

    Yn sura kma zmenyeshewa na mvua jmn..Huyo wa mwisho ssa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 8 หลายเดือนก่อน

      Huyo mwenye masikio popo 😂 Mungu anisamehe! Kakaa kama gay 😂.

  • @paulntalima6998
    @paulntalima6998 ปีที่แล้ว +3

    Waongo wakubwa hawa walimkufuru Mungu hawaon haya kutuongopea

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 ปีที่แล้ว

      Yesu aliwahubiri Waovu waache kutenda Dhambi hakuwa/hana Uwezo (Mamlaka) Kusamehe Dhambi.
      Kama Ushoga na Usagaji (LGBTQ 🌈) ni Mzuri basi Mungu Mola Muumba asinge waadhibi Kaumu Luti/Watu wa Luti (Sodoma na Gomora) mnamnyongesha huyo Yesu huko alipo atamtazamaje Mungu?! Ataweka Wapi Sura yake Yesu siku ya Hukmu/Kiama?!
      Mnamtengenezea Maswali mengi Yesu ataulizwa na Mungu; hivi ndivyo alivyotumwa na Mungu Kuja kuwafundisha hayo?!
      Fanyeni touba ya kweli, inshaallah Mungu Mola Muumba wa kweli na Haki anasamehe Dambi (Mungu ni Mwingi wa Kusamehe) Kwa Mwenye kuhitaji Msamaha wa Mungu.
      WaAllahu Aalamu/Mola Muumba ndo Mjuzi.

  • @pendogwisu
    @pendogwisu 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amepigwa Kofi zito na Mungu

  • @betuelmgullu4631
    @betuelmgullu4631 ปีที่แล้ว +3

    Hastahili kujiita mchungaji hiyo akapumzike kwanza

  • @michaelwanyanga
    @michaelwanyanga 6 หลายเดือนก่อน

    Hapo sijaona kama ni kuomba radhi bali ni technical-know-how to manipulate the slow learners.

  • @aziza9093
    @aziza9093 8 หลายเดือนก่อน

    Mshadw nachama chanu wanafiki wakumw na mungu atawa laani kaumuluti mnaya funya

  • @Rennyanselim
    @Rennyanselim 3 หลายเดือนก่อน

    Sura zinaonekana ni wezi na waongo

  • @kelvinmwalunenge6224
    @kelvinmwalunenge6224 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nema ya wasenge wote imefunuliwa

  • @salumurembo6525
    @salumurembo6525 ปีที่แล้ว +3

    Nimesilikiliza sana hawa watu. Nimewaelewa nia yao. Kwa sasa naogapa kununua biadhaa zao ziwe za kupaka au kunywa naogopa huenda wakaweka viambatisho vya kuchochea vile vitu

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 8 หลายเดือนก่อน

      Dawa ni kuacha kutumia na waumini kutoenda kanisani kwao mbona ni rahisi tu

  • @mkuubonyo1713
    @mkuubonyo1713 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mama chizi mzee chizi ushoga ?

  • @ngwandukadama4229
    @ngwandukadama4229 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna kitu hapo mnatumika na wazungu makanisa haya serikali iyaangalie

  • @kdazzy9967
    @kdazzy9967 ปีที่แล้ว +1

    Awa watu ikowezeka wafungwe kifungo cha maisha

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 ปีที่แล้ว +1

    Huyo aliyepembeni alikuwa anatamba kwa upotoshaji wa Biblia. Vilevile alisema Ushoga si shida. Msijitetee timesikiliza yote. Wala haisidii kujikosha.

  • @baybeshayo18
    @baybeshayo18 8 หลายเดือนก่อน

    Myshindwe ktk jina la yesu kristo aliye hai.

  • @emmanuelmanka
    @emmanuelmanka 8 หลายเดือนก่อน

    Siku zote shetani huwatumia wanawake ata huyu mama apa katumiwa na shetani kutetea ushetani Mungu atakutananae

  • @evalinemagige495
    @evalinemagige495 8 หลายเดือนก่อน

    Msimchezee Mungu mtapigwa naMungu mwenyewe mnasapotiwa na Hawa wakuu wa ushoga mnajifanya kuota mapembe na kuipotosha kweli ya Mungu msijisuuze ndivyo mlivyo mahubiri yenu Yako kinyume na Biblia mapambio yenu ya autukuza ushoga na hata hizo bidhaa zenu nimezitumia ninamiaka kumi Sasa na nimefanya maamuzi kuziacha achenu kujifanya Sasa mnatumia mistari ya Biblia kujifanya ninyi niwatumishi wa Mungu ninyi ni wa ubilisi baba wa uongo

  • @chulelubella2819
    @chulelubella2819 ปีที่แล้ว

    Aisee Mungu huwezi kumchezea chezea wewe wewe wewe si umeona upanga wa Mungu usitubu nenda katubu Kwa Mungu uliyemtukana na biblia yake nabado atakunyoosha lione lilivyokonda kamuulize Lusekelo na wewe mama na laana iwapige wote upanga wa Mungu ushughulike nanyi mpaka mkome

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 ปีที่แล้ว +1

    Masisi ya mkaa endelea kusema biblia ni kabuli ona Leo huwezi kuongea MUNGU ANAPIGA SIO MCHEZO

  • @edwardpeter8569
    @edwardpeter8569 ปีที่แล้ว

    Msitumie defence ya vipande kukiri kosa wazi wazi ni bora kuliko kuzunguka zunguka, hawa watu wahakikiwe elimu zao naona hawako sawa

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 8 หลายเดือนก่อน

    Ina maana hapo ndo tayari mmejitetea? Mbona nguvu ya ki mbingu haionekani ila dhaifu tu? NAWASHAURI MTUBIE MWENENDO WA HUDUMA YENU NA MRUDI MWE WAUMINI WA KAWAIDA ILI MFUNDISHWE JINSI ILIYO NJEMA MBELE ZA MUNGU.

  • @DeborahLemboto-yf8jw
    @DeborahLemboto-yf8jw 6 หลายเดือนก่อน

    Sema Mungu fundi kakupiga na kitu kizit ad kuongea huez😅

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa si ushoga tuu Hadi vitabu vya mungu analeta KUFURU

    • @brysonuronu5862
      @brysonuronu5862 ปีที่แล้ว

      Aliita Biblia ni kaburu la ajabu..kwani kuna mjinga mmoja alisema kitu..tukaamini..
      Aiseeee

  • @paulinbyonge8478
    @paulinbyonge8478 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂 Mungu hadhiakiwi

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว +2

    hebu tuimbieni ule wimbo wa"Neema kwa wasenge wote neema imefunuliwaa

    • @brysonuronu5862
      @brysonuronu5862 ปีที่แล้ว

      Mpumbafu saana huyu mama yaaani wajinga kabisa Hawa watu

    • @gabrielzakaria2810
      @gabrielzakaria2810 8 หลายเดือนก่อน

      Michizi hii

    • @drelizakilili
      @drelizakilili 6 หลายเดือนก่อน

      Ndio maana Kristo alikufa kwa ajili ya wenye dhambi sio watakatifu na kama ni watakatifu bali alikufa bure

  • @hono1232
    @hono1232 8 หลายเดือนก่อน

    Sema shoga Martin bashwanda siyo mtume

  • @MathayoLoboi-uw2uj
    @MathayoLoboi-uw2uj 8 หลายเดือนก่อน

    Upingwe kanza ufe life chakora ufe kifo Cha jeshi lafarao

  • @CostantineBahakaso
    @CostantineBahakaso 4 หลายเดือนก่อน

    Cheki Hilo shoga zee la kulia😂

  • @loner_wolf
    @loner_wolf ปีที่แล้ว +1

    Hawa wakapimwe kwanza kama wabunge......... Watakuwa hawako salama sana

  • @BarnetLaston
    @BarnetLaston 8 หลายเดือนก่อน

    Hawa watu wamefilisika wako tayari kumtukana Mungu kwa ajili ya pesa

  • @domycossan1395
    @domycossan1395 ปีที่แล้ว

    Mtumishi Ceaser mwanzoni nilimuona wa maana sana, lakini baada ya kumsikia na kumwona akikashifu Biblia na watumishi mitume wa zamani kama Paul, nilianza kumwona mpotofu, binadamu sio wakamilifu sisi lakini kwa upotoshaji wake na watumishi wengine katika huduma hiyo na kujiinua wanakojiinua yaani ni dalili za ushetani. Kujiita majina makubwa na kutaka kutunga mavitabu yao kujihalalishia upotofu. Kuhalalisha USHOGA tena anatumia nguvu nyingi kukengeusha injili.

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 8 หลายเดือนก่อน

    How can we believe she is his wife ilhali kasema yeye Ni chakula ....?

  • @RastaSuma
    @RastaSuma 4 หลายเดือนก่อน

    Hatutaki ushoga nyinyi wakristo

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 6 หลายเดือนก่อน

    Hapo hakuna mwema vibaka watupu na huyo mama ndo hatari kabisaaa

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu Askof anatakiwa kwenda kuwashitaki mahakamani wale anaosema kuwa walimchafua ili ukweli ujulikane na mwongo ajulikane pia. Kueleza hayo hakutoshi kwasababu taarifa kamili aliyoitoa Askofu hatukuiona kwahiyo tutaamini hiyo tuliyoiona kuwa ni ya kwake mpaka atakapowexa kuwashitaki waliomchonganisha na jamii na watiwe hatiani. Vinginevyo huyu askofu ataendelea kusomeka hivyo ilivyo kwenye video zake hizo ambazo sasa anazikataa.

  • @hassanchuji8965
    @hassanchuji8965 ปีที่แล้ว +3

    Mnaonekana nyinyi wote mashoga tu

  • @bettynovertyfrances9620
    @bettynovertyfrances9620 ปีที่แล้ว +1

    Asifananishe mtoza ushuru na shoga bwana

  • @bettynovertyfrances9620
    @bettynovertyfrances9620 ปีที่แล้ว

    So huy ceser ndo yesu😢

  • @BarnetLaston
    @BarnetLaston 8 หลายเดือนก่อน

    Shogi afya yake haiwezi kuwa saf.hata siku moja

  • @Chemba67
    @Chemba67 ปีที่แล้ว

    SUUUUUUUUKUMAAA NDANIIIIIIIIIIIIIIII WOTE HAWA

  • @evancejohn5853
    @evancejohn5853 ปีที่แล้ว

    Atutaki Kabisa Kabisa

  • @reenesa
    @reenesa 8 หลายเดือนก่อน

    Asiweze kuongea kwa Sasa mbona mwanzo alikua anaikashfu Biblia?

  • @NovatMarco
    @NovatMarco 8 หลายเดือนก่อน

    Washenzi hao huyu aliyeka kalibu na huyowamiwani kunamahubili aliyosema eti wachunganji wanawakata wava vimini et wakiona mapaja wanakuwaje kwakweli mahubili hayo niyakishoga

  • @Africasafarichannel
    @Africasafarichannel 8 หลายเดือนก่อน

    Don't be deceived God is not Mocked

  • @HabilyTech
    @HabilyTech ปีที่แล้ว +2

    Hakuna kufunguliwa huyo askofu ni mwehu

  • @patmercysecuritycompanylim5689
    @patmercysecuritycompanylim5689 ปีที่แล้ว

    Msihalibu thehebu la Kristo

  • @abduelmnzava-ds5fk
    @abduelmnzava-ds5fk ปีที่แล้ว

    Mtumishi bashando hawa watu nimefwatilia mahubiri yao hapo simamieni kuomba radhi watanzania sio kujitetea huyo mwingine anasema biblia ni kaburi imeandikwa kupitia mjinga mmoja
    Bashando hata mtoto maneno yale akisikia yanamuharibu mazima

    • @ELLYJ24
      @ELLYJ24 ปีที่แล้ว

      Bashando ndiye walewale wapigaji hela tu usimuone anaimba hayo mahip hop yake

  • @nuruamry
    @nuruamry ปีที่แล้ว

    Wamefanya vyema kuomba radhi lkn kanisa lake halina sababu ya kuendelea kutoa huduma mana wako kinyume kabisa na neno la Mungu yeye abaki tu kwenye bidhaa zake tu

    • @brysonuronu5862
      @brysonuronu5862 ปีที่แล้ว

      Mkewe aliiimba neema Kwa wasenge ..uvaaaji wao na maudhui yao sio kanisa ni kiringe kama kiringe kingine