VUNJA NGUVU YA UISLAMU NA MAJINI | Sikiliza Ushuhuda wa Shekhe Aliyeokoka.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 142

  • @JeremiaShimba-cq8mq
    @JeremiaShimba-cq8mq 7 หลายเดือนก่อน +3

    BWANA akulinde sana nduguu

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 8 หลายเดือนก่อน +6

    YESU ANATISHA MNO HAKUNA KAMA YESU

  • @samwelimwanja4105
    @samwelimwanja4105 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana ndugu yangu kutuletea ushuhuda mzuri na unaojenga kama huu.

  • @YusufLugata
    @YusufLugata 8 หลายเดือนก่อน +2

    Uko vizuri mtumishi wa Mungu

  • @LodvolaLameck-jl5vs
    @LodvolaLameck-jl5vs 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeipenda hii sana barikiwa nabii wa Bwana

  • @KhadijaSaidi-bg6nc
    @KhadijaSaidi-bg6nc 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤ iyo imeenda mtumishi wa Mungu... Ubarikiwe sanaaa,umetuweka huru Leo! YESU ndie njia ya kweli.

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 8 หลายเดือนก่อน

      Amina!! Khadija mpendwa katika bwana

    • @sarahkishaluli6087
      @sarahkishaluli6087 6 หลายเดือนก่อน

      ​Amen! Kweli Yesu kristo ndiye njia kweli na uzima(Yohana 14:6)@@nestarnestar4520

  • @hawamohamed6707
    @hawamohamed6707 19 วันที่ผ่านมา

    Subuhannallah we baba muogope Mungu hakuna sura kama hiyo na wala hakuna maneno hayo

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana tunashukuru sana kwa ushuhuda huu

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen,barikiwa sana mchungaji ❤🎉

  • @AshilatAbas-qe4fh
    @AshilatAbas-qe4fh 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 8 หลายเดือนก่อน +1

    Im proud to be christ❤

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika Yesu ni Bwana na mwokozi wetu.

  • @sisterolivia9874
    @sisterolivia9874 8 หลายเดือนก่อน +1

    Blessed ❤

  • @RichardSilvanus
    @RichardSilvanus 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubaliki naakulinde

  • @kitwanajohn8237
    @kitwanajohn8237 2 หลายเดือนก่อน

    Haleluya jina la BWANA lihimidiwe

  • @نيماخميس
    @نيماخميس 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @PastorPhilipMbaabu.
    @PastorPhilipMbaabu. 8 หลายเดือนก่อน +1

    Why can't we download??

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 24 วันที่ผ่านมา

    Waislam wanawatete sana majini et kuna majini mazur na mabaya kumbe wanawatumia kwenye miushiliki wao

  • @khassanjuma1534
    @khassanjuma1534 15 วันที่ผ่านมา

    Sio kweli

  • @mwambaimara1950
    @mwambaimara1950 8 หลายเดือนก่อน

    HAkIKA SASA NIMEWAELEWA WAISLAMU KWA UNDANI...NAMSHUKURU MUNGU KUZAKILIWA MRISTU...AMEEN....AMEEN...AMEEEEN!!

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 8 หลายเดือนก่อน +2

    Vunja nguvu ya uislam na majini.

  • @SalmaRamadhan-l8h
    @SalmaRamadhan-l8h 2 หลายเดือนก่อน

    yesu anatisha sana

  • @NassorHamad-h3m
    @NassorHamad-h3m 8 หลายเดือนก่อน

    Wakati yesu aliwakata wasio Wana WA Isril. Yesu ni muislamu.

  • @njeyaduniatv
    @njeyaduniatv 8 หลายเดือนก่อน +2

    WAISLAM WANABISHA TU UWEPO WA YESU ILA WAKIINGIWA NA MAJINI HUWA WANATULETEA WAROKOLE TUYATOE MAJINI YAO.😁😁😁😄

  • @SalmaRamadhan-l8h
    @SalmaRamadhan-l8h 2 หลายเดือนก่อน

    upo sahihi mtumishi

    • @KhamismussaBwende
      @KhamismussaBwende 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      wewe nenda kartadi wala uislam haukulazimishi

  • @happynessmjumba6461
    @happynessmjumba6461 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukweli tunao Kwa sababu aliyetoka jikoni ndiye anajua Siri ya mapishi

  • @happynessmjumba6461
    @happynessmjumba6461 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kanusha Kwa vielelezo CV zake, ndipo tuelewe anajaa gani. Mtu kapewa msikiti wa Kanda ya maziwa makuu, kama ni njaa huku anatafuta Nini.

  • @AWADHIATHUMAN-s6b
    @AWADHIATHUMAN-s6b 8 หลายเดือนก่อน +1

    Innalillahi wainna ilaihi rajuun, HAKIKA MAKAFIRI WATATUMIA MBINU ZOTE KUUCHSFUA UISLAMU LAKINI HAWATASHINDA KWASABABU UISLAMU NDIO DINI YA HAKI KUTOKA KWA ALLAH.
    KWAHIYO HATA KUTUMIA WATU DHAIFU KAMA HUYO NIMOJA YA MBINU ZAO. PROUD TO BE MUSLIM

    • @godsonishengoma5378
      @godsonishengoma5378 8 หลายเดือนก่อน

      Kwamba hapana Ukristo bila Roho mtakatifu naam vivyo hvyo hapana uislam bila majini,imekaaje hii!?

    • @AaA-ng6rp
      @AaA-ng6rp 8 หลายเดือนก่อน +2

      Am proud to be a christian

  • @HappyAnton-yv4ms
    @HappyAnton-yv4ms 9 หลายเดือนก่อน +2

    imeishia katikati tunakuomba muendelezo wake kuna mengi tumejifunza hapo ubarikiwe

    • @shofarministry2669
      @shofarministry2669 8 หลายเดือนก่อน

      Nenda kwenye Chanel ya Davista mata kuna ushuhuda wake wote tena kaeleza Zaid kuliko hapa

  • @angle3600
    @angle3600 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusameh cz hukua sheik bali ulikua mchawi,uislamu hafundishi kuroga ila ulifanya vizuri kuokoka huko kanisani pia wachawi wako sasa uhakikishe umeacha uchawi ila ukiendelea kuroga wafa cz yesu hana mchezo, na nyinyi wafuasi chungeni na hawa watumishi waliokua masheik wengi hua wacbawi .

    • @8pistons194
      @8pistons194 8 หลายเดือนก่อน

      Waislam wachawii

  • @happynessmjumba6461
    @happynessmjumba6461 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pengine unakataa Kwa sababu alikofika wewe hujafika.😂

  • @RichardSilvanus
    @RichardSilvanus 8 หลายเดือนก่อน

    Balikiwa sana

  • @KhamismussaBwende
    @KhamismussaBwende วันที่ผ่านมา

    hakika huyu ni mungo na mnafiki sana

  • @SalmaRamadhan-l8h
    @SalmaRamadhan-l8h 2 หลายเดือนก่อน +1

    sote laIma tumpende

  • @rosekinyunyu6290
    @rosekinyunyu6290 8 หลายเดือนก่อน

    Usikashifu dini za watu . Watu wote tunamwabudu mungu si shetani

    • @godsonishengoma5378
      @godsonishengoma5378 8 หลายเดือนก่อน +1

      tofautsha mungu na Mungu..
      Uksema mungu kwa kuanza na heruf ndogo huyo n shetani ila Mungu kwa kuanza na heruf kubwa huyo ndye Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo..

    • @godsonishengoma5378
      @godsonishengoma5378 8 หลายเดือนก่อน +1

      Alaf,sis wanadamu ha2mwabudu Mungu mmoja.. N kwel sis sote tu wa Mungu na Mungu we2 n mmoja ila,ha2mwabudu Mungu mmoja ndo mana 2po 2naomwamin Kristo km njia ya kwel na uzma,km kapewa mamlaka yote juu mbngun na dnian,km ndiye njia ya ktfikisha mbngn kwa BABA.. Lkn wngne hawamkbali huyu Yesu,wasemaje twamwabd Mungu mmoja??

  • @Zainab-f9w5x
    @Zainab-f9w5x 8 หลายเดือนก่อน +1

    Makenzi alikua muislamu?

  • @feizalmas
    @feizalmas 24 วันที่ผ่านมา

    Huu ni uongo sana si kweli hata kidogo

    • @Faraja-j2z
      @Faraja-j2z 24 วันที่ผ่านมา

      We unasema ni uongo umeenda handeni, tanga,rufiji,mkulanga na maeneo mengine mengi waislam wajaa ukaona jinsi wanavyo tesana kwa kutupiana majini na wamefanyana masikini kabisa na ukaona wanganga jinsi walivyo jaa huko na kazi ni kulogana tu.mambo ama shetani kakupiga giza usione au we nimmoja wao wanao tupia wenzao majini.njoo kwa Yesu atakuokoa utakuwa safi na mbinguni utakwenda maana yeye ndiye njia na uzima tofauti na hapo kuzimu na jehanamu vinakusubiri

    • @TheMaquiN
      @TheMaquiN 15 วันที่ผ่านมา

      ​​@@Faraja-j2z sasa aliesema kutupiana majini ndo uislamu nani, kwani hakuna wakristo wanga? Mtu kuitwa muislamu haimaanishi ndo atafata uislamu unataka nini wapo waislamu na ni washirikina lakini haimaanish uislamu ni ushirikin wamefata matanio ya nafsi zao,.

  • @SalmaRamadhan-l8h
    @SalmaRamadhan-l8h 2 หลายเดือนก่อน +1

    huku kwetu niahadituu nakuambiwa subira mpaka lini

    • @KhamismussaBwende
      @KhamismussaBwende 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      njaa ndio inayo wapeka huko

  • @khassanjuma1534
    @khassanjuma1534 15 วันที่ผ่านมา

    Huyu hafanani na sheikh kabisa

  • @patrickouma4331
    @patrickouma4331 หลายเดือนก่อน +2

    Islam ni kaburi ulio wazi

  • @hawamohamed6707
    @hawamohamed6707 19 วันที่ผ่านมา

    Wewe baba utakufa kifo kibaya sana

  • @mgosimkulu66
    @mgosimkulu66 8 หลายเดือนก่อน +1

    DUUUUU!!!,JAMAA MUONGO HUYU,SIJAPATAKUONA.

  • @Skeletonking2116
    @Skeletonking2116 8 หลายเดือนก่อน

    Hii inaonekana ni ya zamani sana.

  • @KhamismussaBwende
    @KhamismussaBwende วันที่ผ่านมา

    njaa tu shehena wala sio dhehe

  • @HusnaSharifu
    @HusnaSharifu 8 หลายเดือนก่อน

    Kwani gwajima siyo mbunge tene😂 naona anaitafta hela Kwa Kasi

  • @AmourHamza-m3j
    @AmourHamza-m3j 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu hawez kkkalia kimya lazima akulipe kwa uzushi inshaallah

    • @JaneChissawilo-dr7nn
      @JaneChissawilo-dr7nn 5 หลายเดือนก่อน

      Hata na hapo huamini?basi subiri kwenda kwa Mohamad

    • @TheMaquiN
      @TheMaquiN 15 วันที่ผ่านมา +1

      Tatizo ni kwamba chuki waliyonayo dhidi ya uislamu ni kubwa hadi inawatia upofu kuuona ukwel, chochte watakachoambiwa wao watakubal ikiwa tu kinauchafua uislamu.

    • @KhamismussaBwende
      @KhamismussaBwende 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@TheMaquiNkweli kabisa chuki tu inawasumbua

    • @KhamismussaBwende
      @KhamismussaBwende 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@JaneChissawilo-dr7nnhujalazimishwa kuingia katika uislam

    • @KhamismussaBwende
      @KhamismussaBwende 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      haswaa

  • @johnmwambete6117
    @johnmwambete6117 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi utakataaje mafundisho kama hayo anasoma kitabu cha dini ya kislamu ilivyoandikwa na Bible na dhani ni vema kufuatilia mafundisho yake. Kumbuka dini hazitupeleki peponi bali matendo yetu tumfuate Yesu ndio njia salama

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi hamna jipya bali sibirini kuoana mme kwa mume na mke kwa mke viongozi wenu waliyowaletea ukristo wesha hamua hivyo sijui mtakwepa wapi na moto unawasubiri kwa mungu hivi sasa USHOGA ndiyo imani kuu kwenu hacheni kutapatapa

    • @truth7796
      @truth7796 8 หลายเดือนก่อน

      Ushogo upo kila mahali ata kuna washogo Waislamu hapa Mombasa, zanzibar, middle east uarabuni... Ushago sio kila mtu anafanya ni chaguo la mtu

  • @neptuneplutonium86
    @neptuneplutonium86 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mjinga,ana tamaa za njaa. Hana akili wala hana elimu yoyote ni uwongo umemjaa,shetani yy 😢

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shetani hapendi kumuona huyu shehe

  • @Neema-qm9kk
    @Neema-qm9kk 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sipendi kabisa kukashfu dini ya mtu yoyote. Kwa nini tusifundishwe yanayotuhusu

    • @godsonishengoma5378
      @godsonishengoma5378 8 หลายเดือนก่อน

      Dini n mpango wa mwanadamu kmtafta Mungu,. Cha kshangaza kla dini ina mungu wake ndo mana ktk din kna waabd mizm,waabd majn,waabd mawe,waabd sanam,n.k.. Na hvyo waavbuduvyo wameviita "mungu"..
      Ila mpango wa Mungu kwa mwanadam,n WOKOVU.
      "Yohana 3:16
      Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele"

  • @myself4128
    @myself4128 8 หลายเดือนก่อน

    Hii Video Ya Zamani Sana sana miaka 10 iliyopita

  • @oscarkalihamwe1621
    @oscarkalihamwe1621 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani bado yupo huyu??

  • @NEEMASWEDI
    @NEEMASWEDI 3 หลายเดือนก่อน

    Sema baba ili watu wapate kupona.

  • @SalmaRamadhan-l8h
    @SalmaRamadhan-l8h 2 หลายเดือนก่อน +1

    ndomana kwamwaposa kumejaa waislam wanatafuta uponyaji

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wakiristo kuwen na aibu hiv nanyie mnarusha vtu Kama hiv

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 8 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa karusha mahubiri, ulitaka arushe zuchu anakata mauno? Hapa kanisani na mimi nitaipost

    • @joycekaphevemba7215
      @joycekaphevemba7215 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂​@@richardboaz-mashagospel2346

  • @SalmaRamadhan-l8h
    @SalmaRamadhan-l8h 2 หลายเดือนก่อน

    nikweli hauwi uisilam bia majini

  • @54plus41
    @54plus41 8 หลายเดือนก่อน +2

    wale waislamu wanasema niuongo na so called mtume muhamad alikuwa mtu mwema hamjui yakuwa ukitoa maandiko ya biblia yote from quran,itabaki uchi tu.nimeishi miaka zaidi ya kumi middle east nakupatana na wale original muslims na wote husema haya maandiko niya kweli

  • @angle3600
    @angle3600 8 หลายเดือนก่อน +1

    Fremason nao niwakina nani,ikiwa waislamu ni mashetani,tapeli watu utajirike kama eenzako,

  • @hassaniulende-sp6io
    @hassaniulende-sp6io 8 หลายเดือนก่อน

    NYIE MIKRISTO MIDOGOMIDOGO KUWENI NA AKILI ,HIYO MICHUNGAJI YENU NI WAFANYABIASHARA NA NYIE MNAKUBALI KUWONGEZEA HELA ,ETI SADAKA ,HIVI MNA AKILI KWELI ?

  • @NassorHamad-h3m
    @NassorHamad-h3m 8 หลายเดือนก่อน

    Kama hamuamini kuwa anawadanganya doulod qur an ya kiswahi uisome ujue kuwa huyo anakudanganyeni ili muendelee kuwa mtaji wake

  • @mgosimkulu66
    @mgosimkulu66 8 หลายเดือนก่อน +1

    ACHA UONGO WEWE!!MUOGOPE MWENYEZI MUNGU, UNAPOTOSHA KORAN KWA KIWANGO KIKUBWA HIVYO KWA KUWA TU HAO UNAOWADANGANYA KWA KUWA HAWAJUI KIARABU?

  • @user-mq2ip3dh4v
    @user-mq2ip3dh4v 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani wewe utachomwa na utakuwa Kuni za waovu. Laana tu Lahi. Huoni aibu kuongopa hadharani... Hizo elimu zooote ulizojibambika ni uongo mtupu. Tafuta sadaka za hao lakini utajuta kwa Mungu

    • @godsonishengoma5378
      @godsonishengoma5378 8 หลายเดือนก่อน

      Hv n kwel shetani alisilimishwa na Mohammed?

    • @GreyFransis-gd4td
      @GreyFransis-gd4td 8 หลายเดือนก่อน

      Kikibwa umesikia kazi ni kwako kukubali amakukataa maana hiyo ndo kazi ya majini

    • @johnwaweru7467
      @johnwaweru7467 3 หลายเดือนก่อน

      Utangoja

  • @SalmaRamadhan-l8h
    @SalmaRamadhan-l8h 2 หลายเดือนก่อน

    hakuna majibu niongo mtupu

  • @NassorHamad-h3m
    @NassorHamad-h3m 8 หลายเดือนก่อน

    Zama za Muhammad bibilia haikuwepo. Wakristo someni Dini yenu Hao wanakudanganyeni. Soma Historia ya bibilia. Ushekhe ulio usoma mbona hata kuisoma qur an hujui. Amkeni musiwe munadanganywa na wapika pesa.

    • @oprahpelle2531
      @oprahpelle2531 25 วันที่ผ่านมา

      ILI USIAMINI UKRISTO NI KWA NJIA MOJA TU KUSEMA BIBLIA IMECHAKACHULIWA

  • @fadhilimatumla7891
    @fadhilimatumla7891 8 หลายเดือนก่อน

    Tafsili feki ujui kufasili umefeli mbwa wee

    • @serahmatiru3741
      @serahmatiru3741 7 หลายเดือนก่อน

      Huyu ndugu ni msomi mno .. anashahada za Hali ya juu sana alizokabithiwa na Wakuu wakubwa wakislamu.. Amesoma Kama ni usheikh alikuwa Sheikh.. sasa iweje utamtoa makosa dhidi ya elimu yake? Hakuna uislamu Kama hakuna majini!! Yesu kristo bwana wa mabwana simba wa kabila ya Yuda alimuokoa.. alimutoa kwa mashimo ya ngiza na kumuleta kwenye Nuru Kamili.. Nakuombea ndugu.. uitafute haki na mungu akuongoze kwa jina la yesu kristo.. na namzingira ndugu huyu na sisi wote kwa ndamu ya yesu kristo mwana wa mungu… BARAKA ZA MUNGU..

    • @patrickouma4331
      @patrickouma4331 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndiyo umefeli,ushindwe katika jina la Yesu

    • @Malak4.5
      @Malak4.5 21 วันที่ผ่านมา +1

      Wengine wanavilago vyao kuzimu hata ukiwambia ukweli wanataka kwenda motoni ndio kwao na khakika watafika maadamu ukweli wamesikia

  • @GraceIdaya-bm9pt
    @GraceIdaya-bm9pt 8 หลายเดือนก่อน

    WY lie please read the Qur'an to understand read verse 3:45-49

  • @othmanmasoud1672
    @othmanmasoud1672 8 หลายเดือนก่อน

    Hakuna hasiyejuwa kama ukiristo sio dini ila ni biashara za watu hakuna andiko hata moja kwenye biblia linalosema ukiristo ni dini acheni kupotosha watu na kusema huyo shekh huyo ni mkristo kama wakiristo wengine wasio kuwa na dini

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 8 หลายเดือนก่อน +2

      Ukristo siyo Biashara na Kama Ni Biashara basi Yesu Hakufa wala hakufufuka kama Muhamad

    • @godsonishengoma5378
      @godsonishengoma5378 8 หลายเดือนก่อน

      Hata mi nakataa Ukristo si dini..!

    • @JohnMajebele
      @JohnMajebele 8 หลายเดือนก่อน

      Biblia itaandikaje Dini wakati YESU alikuja kwaajili ya wokovu dini mliletewa nyie mnaojilipua

    • @godsonishengoma5378
      @godsonishengoma5378 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@JohnMajebele Hakika..!
      Yesu alileta wokovu.. Ndye njia ya kwel na uzima.!

  • @DottoSaid-rc2ux
    @DottoSaid-rc2ux 25 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi wa kristo tafuteni tafsiri ya quran kwa kiswahili ndio mtaona uongo wa huyo jamaa sio mnaitikia kila jambo mnaingopewa tu

    • @Faraja-j2z
      @Faraja-j2z 24 วันที่ผ่านมา

      Tutafute tafsiri ya nini tafsiri tunaiona kwa wanao itumia jinsi wanavyo wanga na kusumbua watu kwa uchawi

  • @thechurchoftheedgeministry4325
    @thechurchoftheedgeministry4325 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa wale mnasema anadanganya Mungu awafungue maana swali ni je kweli kuna sura ya majini katika quran? Pili kuna ayah za shetani kani kati quran? Na je Muhammad alirogwa? Lastly je Muhammad alioa Aisha akiwa na miaka 6? Hayo machache kama ni ndio ni dhahiri huyu ni mkweli bila shaka

    • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
      @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 24 วันที่ผ่านมา +1

      Hipo tena ipo kwenye ukulasa wakwanza labisa

    • @Malak4.5
      @Malak4.5 21 วันที่ผ่านมา

      Ndg zangu Waislam Neema bado ipo Yesu kristo ndiyo njia iliyonyoka yakwenda peponi chukueni hatua..

    • @TheMaquiN
      @TheMaquiN 15 วันที่ผ่านมา

      Ayah za shetani hakuna, ipo inayotuhusia kujiepusha nae na pia mtume alirogwa na hkuna madhara alipata na ilitokea hilo ili tupate funzo kama ukifanyiwa hayo ufanye nini, tunamkubali yesu kama mtume, Mungu hauwawi na alio waumba.

  • @beatricenangale5439
    @beatricenangale5439 8 หลายเดือนก่อน

    Ina maana hawa waislamu kumbe huwa hawaisomi hiyo Qurani Yao? Mbona Kuna mambo mengi humo kwenye Qurani yanamshuhudia Yesu, inakuwaje hadi wengi wao wanamtukana

    • @Visionofeagle9689
      @Visionofeagle9689 8 หลายเดือนก่อน

      Baadhi wanajuwa vizuri na wengi hawajuwi, ila upelekwa uku na uku kama upepo.

  • @seifmohammed9167
    @seifmohammed9167 8 หลายเดือนก่อน

    Muongo mkubwa wewe hakuna elimu ulizo soma katIka uislam mnafiki mkubwa wenye macho watakuona utakapo ishia kUlikuwa Na majabari kweli kweli Na waliishia vibaya

  • @HalunaSimba-yg9hv
    @HalunaSimba-yg9hv 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo ni muongo na mwenye kumfuata ameppotea kabisa mtu mwenye akili afuatilie mwenyewe

    • @JaneChissawilo-dr7nn
      @JaneChissawilo-dr7nn 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndiyo muongo na shetani ni Baba yako

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 8 หลายเดือนก่อน

    Ila huyu bwana ni muongo hiv ktk uislam Kuna vyeo hivyo?

  • @seifmohammed9167
    @seifmohammed9167 8 หลายเดือนก่อน

    Wacha kumsingizia uongo Mtume Muhammad hajawahi kufundisha masomo ya aina hiyo hujasoma muongo mkubwa wewe

  • @zuberihamisi460
    @zuberihamisi460 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe muongo wallah njaa mbaya Waite waadhiri wa kiislaam ili ukweli na uongo vidhihirike kati yako na wakristo wenzako na waadhiri wa kiislam na wa islaam wao

    • @GRACE-ru2nn
      @GRACE-ru2nn 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kama nimuongo tueleze wewe sasa unajua nini? Mbona hujui hata aya moja?

  • @SayyedMusungu
    @SayyedMusungu 8 หลายเดือนก่อน

    Swaini mkubwa.dhibitisha. mpumbavu sana wewe.

    • @godsonishengoma5378
      @godsonishengoma5378 8 หลายเดือนก่อน

      Shda kbwa n kuipenda saana din na kuaminishwa kwmb n ya hak.. Wkt Mungu alsha2kataza kjihesabia hak.. Alaf hakna ataefka mbngun kwa kpelekwa na din.. Din ziko dnian 2taziacha.. S kla muumin mwenzio ataenda mbngun,wala eti kila mkristo ataenda mbngn,Yesu alshaweka waz hlo kwmb 's kla asemae Bwana Bwana atafka mbngn,7b ktk msafara wa mamba kenge hawakos! Tetea iman yako kwa Mungu wako,kwa kshka alchokuagza Mungu wako kutii,ila skuitetea din inayotiwa doa na wanafki wanoshka din na kuacha maagzo ya Mungu.!

  • @khassanjuma1534
    @khassanjuma1534 15 วันที่ผ่านมา

    Anawaongopea nyie wajinga mwambieni aje kwa wa islamu

  • @NzeyimanaAlly-g7k
    @NzeyimanaAlly-g7k 8 หลายเดือนก่อน

    Mjinga hajuwi chochote

  • @AmourHamza-m3j
    @AmourHamza-m3j 5 หลายเดือนก่อน

    Wajinga waliwao

  • @zuberihamisi460
    @zuberihamisi460 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe wadanganye hao wajinga wenzako hatakama unakisoma kiarabu feki tunahitaji muwaliko na hivyo votabu vyako humo kanisani hawo wajinga wenzako wakufahamu wewe ni nani.

    • @truth7796
      @truth7796 8 หลายเดือนก่อน +2

      Leta kiharabu yako original basi,, jini la hasha

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 8 หลายเดือนก่อน +1

      Sidhani hata kama kiarabu unakielewa wewe😂 umesikia tu rafudhi ya kiarabu ila maneno hujayasikia😂. Mkiambiwa ukweli mnanuna.... mmeumbuliwa na majini ni mashetani, na yalikua marafiki ya mtume wako😂 yaani muhammad wako anashirikiana na viumbe viovu ili ashindane na shetani au ashindane na Mungu😂Rudi kwa yesu.

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 8 หลายเดือนก่อน +1

      Una pepo wewe dogo, au na wewe una majini?

    • @SamwelKipenzi
      @SamwelKipenzi 8 หลายเดือนก่อน +2

      Hata mimi nilikuwa muislamu nilikuwa naitwa Ahmadi omari kwa sasa naitwa samweli omari namshukuru YESU kaniokoa, baada ya kugundua naabudu na majini nikafanikiwa kuiepuka hii dining sasa nipo huru.

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@SamwelKipenzi Mshukuru sana Mungu, upofu wa waislamu sio mdogo unahitaji neema kubwa sana. Barikiwa

  • @othmanmasoud1672
    @othmanmasoud1672 8 หลายเดือนก่อน

    Kwanza mkiristo hana dini sawa na mpagani na mtu yoyote hasiyekuwa na dini ili uwe na dini lazima uwe muislaam

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 8 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli Hatuna Dini kwa sababu Yesu hakuwa na Dini,Umenena Kabisa

    • @rosemarygelas1473
      @rosemarygelas1473 8 หลายเดือนก่อน +2

      Okoka ujue kweli na kweli itakuweka huru

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 8 หลายเดือนก่อน +1

      Dini Mnayo na dhambi mnazo mpokeeni Yesu Kristo Ili muokolewe

    • @remigiusrwechungula7047
      @remigiusrwechungula7047 8 หลายเดือนก่อน

      Pole🤣🤣🤣

  • @seifmohammed9167
    @seifmohammed9167 8 หลายเดือนก่อน

    Uta wababaisha hao wajinga wenzio Huna jipya uislam Na uchawi wapi Na wapi unaukashifu uislam endelea tuone mwisho wako hahaha eti jini zinatu

  • @seifmohammed9167
    @seifmohammed9167 8 หลายเดือนก่อน

    Wacha kumsingizia uongo Mtume Muhammad hajawahi kufundisha masomo ya aina hiyo hujasoma muongo mkubwa wewe