YUSUPH KAGOMA ALIVYOFANYIWA VIPIMO VYA AFYA BAADA YA KUTUA UNYAMANI/CHE MALONE/KAPOMBE/FABRICE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2024
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com/tz/app/simba-s...
📱 Play Store - play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC TH-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - กีฬา
Kagoma kama mtanzania hi is my best player big up to him,, mungu akulinde na awalinde nyote wapya na wenyeji mfanikiwe kufanya vzr ...
Kwan sio mtanzania huyu mbn kama mbongo kabisa
@@levocatuspjohn8638 ni mtanzania kabisa.
@@levocatuspjohn8638mbongo
Kwa simba hii ligi ianze tu jaman😊🔥🔥❤️
Simba nguvu moja 💪💪💪💪💪
huyu kagoma Simba dam
This is 🦁💪
Nimefrai sana kuona vibaraka vyote nnje sasa hii ndio Simba yetu
Kabisa kabisa
simba nguvu moja
Huyu kocha na timu yake muwape Uhuru hata matola asingekuwepo tu, ili timu ikifanya vibaya wa take full responsibility.
😢😢yani matola km luba
Kawakataa utopolo kachagua chama la wana
Ataki kucheza na wastaafu fc 😂😂😂😂😂
Simba nguv moja
NGUVU MOJAAA
🔥🔥🔥🔥🔥
Oyaaaaaaa
❤
Nguvu moja Simba 😊😅
Editor wa video za simba embu kueni na ubunifu kidogo... Video hazina u professionalism kabsa
Na zile issue za kuwapangia kikosi muache, professionalism ichukue mkondo wake, zile ten percent km zipo mziache, sio vibaya kuiga kwa yanga, kocha yupo huru timu Ina perform, wachezaji wanapewa nafasi kuonyesha uwezo wao
Kwa huu usajili ten percent sijaona zaidi nimeona wakitibu maeneo yaliyokua na matatzo makubwa
Simba kama kama tim ya ulaya emungu isaidie ifanye vizuli tim yangu
Nguvu moja
Kagoma mwamba kweli😊😅
Mbona Kagoma anafanana na Ahmed Ally? Naye anakula panya au?😅
Nimefurahi kuhusu wachezaji wa Tanzania. Naomba tu watumike ili tupate timu nzuri ya Taifa letu.
Inabidi aboreshe Mlo 😅
Unyamaa mwingii
Boyei malamu, boyambi na Simba. Oza makasi, tika basusu bakende malamu 😅
Middle ya ball
Vinini vya afya?
Oyeee
Mambo hayo singida hakuna
🦁🦁♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️👏👏👏👏👏👏
Daaaah!! Safi xana cmba
Chemalon kumbe ni mbavu 😂😂😂😂
😂😂😂 ulitaka awe mnene umesikia ni mti wakupasua mbao huo unene sio afya 😂😂😂
simba nguvu moja
❤