TAZAMA AWESU AWESU & WILLY ESSOMBA ONANA WALIVYOWASILI KAMBINI MAPEMA LEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
  • SUBSCRIBE NOW:
    🌐 Site: simbasc.co.tz/
    📱 App Store - apps.apple.com...
    📱 Play Store - play.google.co...
    🔵 Facebook: / simbatanzania
    📸 Instagram: / simbasctanzania
    𝕏 Twitter: / simbasctanzania
    🎶 Tiktok: / simbascofficial
    About the Official Simba SC TH-cam Channel:
    Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
    🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi

ความคิดเห็น • 145

  • @Jayhood28
    @Jayhood28 2 หลายเดือนก่อน +8

    Simba SC inawapa wa wachezaji program nzuri sana na malazi(shelters) pindi timu inapokuwa inajiandaa na Michuano ya Kimataifa pamoja na Michezo ya ndani ya Nchi..Mungu Awajalie Wachezaji Afya tusipate majeruhi..Nguvu Moja!

  • @meryceanaadrian3593
    @meryceanaadrian3593 2 หลายเดือนก่อน +24

    Nisiwe mnafki nimefurah sanaaa kumuona onana hii siku niliisubir sana Asante UBAYA UBWELA Simba nguvu mojaa❤❤❤❤❤

    • @bellenoe414
      @bellenoe414 2 หลายเดือนก่อน +1

      Atatufunga mdomo huyu😅

    • @emmanuelmayunga1518
      @emmanuelmayunga1518 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kikubwa akaze aache ulaini laini

    • @ElizabethLukosya-lv2vf
      @ElizabethLukosya-lv2vf 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu mtu bado yupo sana Simba

    • @simonzelote5998
      @simonzelote5998 2 หลายเดือนก่อน

      Onana Hana jipya anacheza mwenyewe , Hana malengo na pia hawezi kuisaidia timu inapokuwa Haina mpira Ni Bora kanouti angebaki kuliko onana

    • @emmanuelkema045
      @emmanuelkema045 2 หลายเดือนก่อน +3

      Duh jaman watu ONANA nimchezaji MZURI sana sema apunguze mambo mengi

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 2 หลายเดือนก่อน +6

    Binafsi namkubali sn onana. ubaya ubwela na SIMBA NGUVU MOJA ❤️💯❤️

  • @Jemsi-xz4jv
    @Jemsi-xz4jv 2 หลายเดือนก่อน +1

    Onana mungu akulindie nyota yako ufanye mazuri zaidi

  • @JuliasOnai
    @JuliasOnai 2 หลายเดือนก่อน +5

    onana nimchezaji mzur sana namshaur TU apunguze ubishoo wakuxheza na jukwaaa weydad wanamjua huyo nilikua naumia sana nilivyo sikia anachwa piga kaz onana kaaukijua unamashabiki wako wengi sana Tanzania usituangushe onana tunakuamini❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @IssacNtacho
    @IssacNtacho 2 หลายเดือนก่อน +2

    Karibuuuu saaaana onana,,tunakupata vema

  • @luluray2115
    @luluray2115 2 หลายเดือนก่อน +4

    Namkubali onana sana nampenda awesu ni mchezaji mzur sana

  • @barakaernest7897
    @barakaernest7897 2 หลายเดือนก่อน +23

    Like nyingi kwa AWESU AWESU fundi wa mpira

    • @eliashagai7920
      @eliashagai7920 2 หลายเดือนก่อน

      Mmmh?? Onana tena? Ubingwa mtausikia tu

    • @MwajumaNgaruma
      @MwajumaNgaruma 2 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@eliashagai7920Mpambane na Mzee kagoma na sio Simba yetu Onana oyeeeee❤❤❤

    • @ramaizagire7608
      @ramaizagire7608 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@MwajumaNgarumaoyeeee

  • @laurentkamata550
    @laurentkamata550 2 หลายเดือนก่อน +9

    Nimefurahi sana kuona Onana hajaachwa ....kwangu imekua kama usajili mpya.

  • @iddymobae
    @iddymobae 2 หลายเดือนก่อน +7

    Nimefurahi sana kumuona fundi wangu onana

  • @alsharifudaddy096
    @alsharifudaddy096 2 หลายเดือนก่อน +3

    Onana ana Goli 8
    2-CAF champion
    4-ligi kuu
    1-Muungano cup
    1-simba day
    Tuwe wavumilivu anakitu na anajua mpira

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 2 หลายเดือนก่อน +3

    Aweso aweso anaonek yuko happy simba nguvu moja

  • @yaziduabdallah2836
    @yaziduabdallah2836 2 หลายเดือนก่อน +5

    Nguvu mojaaaaaa

  • @menaurukivuyo6796
    @menaurukivuyo6796 2 หลายเดือนก่อน

    Waoooo anguka nalo karibu unyamani ubaya ubwela,,,,❤❤❤❤❤

  • @officialdana5114
    @officialdana5114 2 หลายเดือนก่อน +13

    MIMI NIMEFURAHI KUMUONA ESSOMBY ONANA TENA NYUMBANI 👏👏👏👏👏👏👏🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

    • @ummymuya.2060
      @ummymuya.2060 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika! ana mapungufu yake ila ni mchezaji mzuri!🥰

    • @WendeMposola
      @WendeMposola 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mim pia

    • @lydiaangeloeric6282
      @lydiaangeloeric6282 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mi pia nimefurahi kwakweli

    • @paulpaschal6185
      @paulpaschal6185 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna mchezaji,anazingua hajitumi,anaonekana.dk 5 tu uwanjani dk 85 humuoni,timu kama inakuwa pungufu...Onana alipaswa kuachwa

    • @JemaChoga
      @JemaChoga 2 หลายเดือนก่อน

      mwaka huu Kuna ushindani mkubwa kwa wachezaji atapambana​@@ummymuya.2060

  • @hamisihamadi8337
    @hamisihamadi8337 2 หลายเดือนก่อน

    Kaz kazin kikubwa uzima2 simbaaa nguvu moja 💪💪💪

  • @LucyNsindagi-fw4hb
    @LucyNsindagi-fw4hb 2 หลายเดือนก่อน +2

    hata Onana ni super talent Yaani ni mchezaji mzuri sana kama atajituma

  • @victorterry227
    @victorterry227 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kiukwel hiiki kitu ndicho nilikuwa nakisubiria kwa hamu sana insha-allah mwenyezi Mungu atufanyie wepesi kwa Kibu D mkandaji ili Kosi langu la kazi likamilike SiMbA nguvu mojaaa

  • @IsackVedasta
    @IsackVedasta 2 หลายเดือนก่อน +2

    UBAYA UBWELA 🔥🦁🇹🇿

  • @PeterGodfrey-p7g
    @PeterGodfrey-p7g 2 หลายเดือนก่อน +5

    Karibu unyamanii

  • @wenceslausngutumi5761
    @wenceslausngutumi5761 2 หลายเดือนก่อน +4

    Onana namkubali sanaaa safi sana

  • @ShadreckMaombi
    @ShadreckMaombi 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ huyo ndo mnyama

  • @SichaliJuan
    @SichaliJuan 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unyama mwingii, ubaya Ubwela tu Simba team yang ❤❤❤❤

  • @WendeMposola
    @WendeMposola 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hatimae amekujs nilimsubiri kwa ham sana Onana❤❤❤❤❤

  • @RamayubaMaestro-e5v
    @RamayubaMaestro-e5v 2 หลายเดือนก่อน +4

    Safi san kwa uongoz kwa kumbakiz onanaaaaaaa

  • @OnesmoMwacha-wp4bo
    @OnesmoMwacha-wp4bo 2 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi kumuona onana.simba mara nyingine tuwezi kumvumilia mchezaji. Kuna wakati tunaacha wachezaji wazuri sana.

  • @bkkomesho9272
    @bkkomesho9272 2 หลายเดือนก่อน +3

    Onana is good player but problem ana remba sana hadi ananyanganywa mpira

  • @stephanojonas9032
    @stephanojonas9032 2 หลายเดือนก่อน

    Nguvumoja ✊✊

  • @khalidsharji2462
    @khalidsharji2462 2 หลายเดือนก่อน

    Simba nguvu Moja 🎉

  • @PaulAdrian-i1l
    @PaulAdrian-i1l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ila simba ni brand kubwa sana asee🫡🫡🫡

  • @iddiramadhan
    @iddiramadhan 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nguvu moja 🦁💪

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy 2 หลายเดือนก่อน +2

    mnyama simbaaa

  • @SharifWilly-w4s
    @SharifWilly-w4s 2 หลายเดือนก่อน +2

    Onana anajua nnaimani kwa kikos cha sasa atakuwa wa moto sana

  • @TELAVOICE-kw1lf
    @TELAVOICE-kw1lf 2 หลายเดือนก่อน +2

    Awesome siku 1 tuu ameanza kunenepa tayr

  • @absm8084
    @absm8084 2 หลายเดือนก่อน +2

    Karibu sana unyamani

  • @FunnyHermitCrab-gh4sw
    @FunnyHermitCrab-gh4sw 2 หลายเดือนก่อน

    Nkupenda sana onana

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 2 หลายเดือนก่อน +1

    Onana be serious ur fantastic

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 2 หลายเดือนก่อน +3

    Onana tunajua uwezo wako ila huwa inaleta mashala ukiwa kazini tunaomba jilekebishe timakuomba

  • @FanuelKilimba
    @FanuelKilimba 2 หลายเดือนก่อน

    Mnafeli Sana .Kwan camera Mani kwann vijideo vinakua vifupi hivyo?

  • @abdallahsaidi5933
    @abdallahsaidi5933 2 หลายเดือนก่อน

    Nampenda onana

  • @adrophinamwanguse1510
    @adrophinamwanguse1510 2 หลายเดือนก่อน +1

    Onana jamani ❤🎉

  • @yaziduabdallah2836
    @yaziduabdallah2836 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wa kwanzaaaa

  • @allysalim9822
    @allysalim9822 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ubaya Ubwela 🦁🦁🦁

  • @patrickmuvendi142
    @patrickmuvendi142 2 หลายเดือนก่อน +3

    Onana, we don't like show game on the pitch this season.

  • @raphaelnovatus7085
    @raphaelnovatus7085 2 หลายเดือนก่อน

    Onana❤

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nina hakika Sana onana baada ya huu upepo kumpitia atajirekebisha na kuwa wa moto Sana msimu huu

  • @ackimibrahim2973
    @ackimibrahim2973 2 หลายเดือนก่อน

    Awesu Awesu💪

  • @JuniorJuniorjunior-x5j
    @JuniorJuniorjunior-x5j 2 หลายเดือนก่อน +4

    Niwakati waonana sasa kujitambua nakujua simba inaukubwa gani

  • @mussakijazi
    @mussakijazi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Leo nimekuwa wa kwanza kukoment 😂😂😂😂

  • @allanfahad4838
    @allanfahad4838 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @geofreykalokola6525
    @geofreykalokola6525 2 หลายเดือนก่อน

    All the best

  • @ShukruMakoko
    @ShukruMakoko 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kramo wanini mtu msimumzima hajacheza sibola hata onana waidad na cost alitusaidia kwanza huyo fitines hana kiramo bado katoka majeruhi nimuda mrefu musikalili

  • @IbrahimMohamed-eq4ek
    @IbrahimMohamed-eq4ek 2 หลายเดือนก่อน

    💯💯💯💯💯💯💯💯💯

  • @rubensamson8681
    @rubensamson8681 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤💪

  • @AljuhaniAllyy-dg4ld
    @AljuhaniAllyy-dg4ld 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna tena nafasi ya mpanzu hapo wakigeni washatimia simba bana wana kitu flani kila wakati usajili wanatuletea mpango wa mchezaji flani mwenye uwezo mkubwa halafu wanafeli tu kila mwaka na mimi kwa mpanzu nilijua tu itakuwa kama manzoki tu. Kwahiyo ukiona media yoyote saizi habari ya mpanzu usifungue kuharibu mb zako hamna kitu kinachoendelea kuhusu mpanzu sasa hizi.

  • @Emanuellaurian
    @Emanuellaurian 2 หลายเดือนก่อน +2

    BORA ANGEBAKI KRAMO SIO ONANA ... JAMAA HAJUI KUKAZA ANAJILEGEZA SANA ONANA 😢😢

  • @absm8084
    @absm8084 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ila Mpanzu Imeshindikana😢😢😢

    • @PROPHETPCANTENA
      @PROPHETPCANTENA 2 หลายเดือนก่อน

      Yaan sisi kupata wachezaji wa garama nikaz saana labda awe Hana mkataba

    • @ramamohamed492
      @ramamohamed492 2 หลายเดือนก่อน

      Kwbisa​@@PROPHETPCANTENA

  • @SamsonSaruni-s3g
    @SamsonSaruni-s3g 2 หลายเดือนก่อน

    🦁🦁♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️👏👏👏👏

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 2 หลายเดือนก่อน

    Unamuacha Moses Phil🇿🇲 unabaki na Bishoooo🇨🇲

  • @sweetbertgervas3425
    @sweetbertgervas3425 2 หลายเดือนก่อน +2

    Marasta Man wetu hao

  • @Karimuhamisi-ue6qq
    @Karimuhamisi-ue6qq 2 หลายเดือนก่อน +4

    Unstoppable 🦁🦁🦁

    • @Nurdin840
      @Nurdin840 2 หลายเดือนก่อน

      ubaya ubwela

  • @DaudWest
    @DaudWest 2 หลายเดือนก่อน +1

    🎉

  • @thaddeusm8810
    @thaddeusm8810 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nguvu moja

  • @WendeMposola
    @WendeMposola 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sipat picha Onana wa Tanga atakua amefurahiaj

  • @LoyceKizuri
    @LoyceKizuri 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda sana wote wananipa raha uwanjani, tiktok pia

  • @DM_15
    @DM_15 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunashaurituu wapunguze ubishoo tuu maana vipaji wanavyo but ubishooo sasa, wakaze kama kibudenga wawe ma fighters

  • @JuliusAlex-eu6fx
    @JuliusAlex-eu6fx 2 หลายเดือนก่อน

    Kalibu Simba kk awesu

  • @ShukruMakoko
    @ShukruMakoko 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimefrahi mno kumuona esomba onana

  • @husseinmussa9471
    @husseinmussa9471 2 หลายเดือนก่อน +1

    Good 👍 onana

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 2 หลายเดือนก่อน +1

    AweAwesu fundi wampira karibu unyamani ila Onana au kwajina maarufu sombasomba uache utani ukiwa kazini tunakuomba

  • @KijaJohn
    @KijaJohn 2 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @kenanimgeni7958
    @kenanimgeni7958 2 หลายเดือนก่อน

    Awesu Awesu anaanza kula matunda ya jitihada zakee🦁🦁🦁🦁💪💪💪Ubaya Ubwela

  • @BarakaAmosi-gb4ve
    @BarakaAmosi-gb4ve 2 หลายเดือนก่อน

    Hamna mchezaji onana bisho sana Yan kalegea mgemuacha tu Kuma hyo anajal nywele

  • @QchiefuBarnaba-u3q
    @QchiefuBarnaba-u3q 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hilo lionana hamna kitu sijui limebakia kwa mazuri yapj

  • @nkairforce5819
    @nkairforce5819 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashine mbili za kazi

  • @HappyDominoes-jf1ji
    @HappyDominoes-jf1ji 2 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo stori za usajili simba zeishia kwa awesu awesu

  • @Nimlodionline
    @Nimlodionline 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja

  • @DaxydizzyChristopher
    @DaxydizzyChristopher 2 หลายเดือนก่อน

    Bishoo

  • @barakamfilinge6943
    @barakamfilinge6943 2 หลายเดือนก่อน

    Mwambieni Bishoo Onana msimu huu asijaribu kuleta utoto wake kabisa

  • @mayassahmtumweni
    @mayassahmtumweni 2 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi kumuona onana mmemuheshimisha kapten bocco aliyeshauri

  • @ManyanguSostenes
    @ManyanguSostenes 2 หลายเดือนก่อน +1

    Onana alikua aende sisi hatutaki wachezaji wakujilengeza tunataka watu wa kazi

  • @abdulytheremedy3607
    @abdulytheremedy3607 2 หลายเดือนก่อน +1

    Awesu awesu a.k.a Rucho

  • @Bensonfrank25
    @Bensonfrank25 2 หลายเดือนก่อน +1

    ONANA AKAZE TAKO AACHE MAMBO YAKISENGE KAMA MSIMU ULIOPITA

  • @lutiak7618
    @lutiak7618 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wote mafundi Onana akisaidiwa vitu vidogo anaujua mpira

  • @SheblackWizard
    @SheblackWizard 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ubaya Ubwela

  • @FredricktheonestShayo
    @FredricktheonestShayo 2 หลายเดือนก่อน

    Waulize Widad kuusu onana

  • @fatumasaid558
    @fatumasaid558 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona wamenuna hawaonqei😅😅😅

    • @WendeMposola
      @WendeMposola 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nashangaa

  • @Sostere98
    @Sostere98 2 หลายเดือนก่อน

    Lameck lawi wamemkosesha raha hizi za Simba

  • @klinikiyabiashara
    @klinikiyabiashara 2 หลายเดือนก่อน

    Onana sasa aache ubishoo na uvivu awe katili na mwenye roho mbaya kwenye goli la wapinzani; vinginevyo dirisha dogo wanaweza wasimbakize!

  • @robertmsendonyamtimba3045
    @robertmsendonyamtimba3045 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu onana lakini dah!! Basi tu

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 2 หลายเดือนก่อน

    Onan umeponea chup chup unatakiwa ufanye kweli safar hii .uache ubishoo uwanjani

  • @abuuhamda6213
    @abuuhamda6213 2 หลายเดือนก่อน +1

    Onana wanin sasa

  • @OmarmakameHaji
    @OmarmakameHaji 2 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwela

  • @JohnEugeni-f8m
    @JohnEugeni-f8m 2 หลายเดือนก่อน

    Washtakiwa wa mzee magoma hawawez maisha haya wanabaki kujificha kigambon kwa Gsm baadae pesa ya kambi inakatwa na rais mwakilish wa Gsm hahahahaaaa

  • @JacksonLapuga
    @JacksonLapuga 2 หลายเดือนก่อน

    Onana angetemwa 2 hana uwezo wowote

  • @elimbotoraphael3940
    @elimbotoraphael3940 2 หลายเดือนก่อน

    Naamini mpaka hapo onana amejifunza kitu.ubisho hatutaki

  • @AllyMwinyi-rx8gr
    @AllyMwinyi-rx8gr 2 หลายเดือนก่อน

    ila jamani tuna rasta wengi duh

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 2 หลายเดือนก่อน

    Onana walisema ameuzwa kumbe sio.

  • @JohnLuanda-v3b
    @JohnLuanda-v3b 2 หลายเดือนก่อน

    Wapendwa vipi kuhusu kibu Denis aonekan kambini why?

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 2 หลายเดือนก่อน

    Safai hi onana usituletee ujinga wako unacheza umelegea legea kama mlenda