HAMNA KUPOA! AWESU AWESU & WILLY ESSOMBA ONANA WAANZA MATIZI MOJA KWA MOJA TAZAMA HAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
  • SUBSCRIBE NOW:
    🌐 Site: simbasc.co.tz/
    📱 App Store - apps.apple.com...
    📱 Play Store - play.google.co...
    🔵 Facebook: / simbatanzania
    📸 Instagram: / simbasctanzania
    𝕏 Twitter: / simbasctanzania
    🎶 Tiktok: / simbascofficial
    About the Official Simba SC TH-cam Channel:
    Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
    🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi

ความคิดเห็น • 123

  • @WatukutuEntertainment-pg4rd
    @WatukutuEntertainment-pg4rd 2 หลายเดือนก่อน +37

    Comment yangu ni ya kwanza naomba likes ❤

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 2 หลายเดือนก่อน +14

    Hii Simba inayosukwa hapa itakuja kuwaua watu hii ni hatari vijana cheki sura zao unaona kabsa wako na morali I love my team SSC forever❤❤❤❤🦁🦁🦁

  • @PatrickJuma-h9v
    @PatrickJuma-h9v 2 หลายเดือนก่อน +5

    Big fan of you broo awesu awesu may God help you on your journey to success 🙏❤❤❤❤❤simba nguvu moja

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 2 หลายเดือนก่อน +1

    Big team big Simba 🎉🎉

  • @iddiramadhan
    @iddiramadhan 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kila la khery mnyama Simba sports club katika maandalizi Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲

  • @WendeMposola
    @WendeMposola 2 หลายเดือนก่อน

    Simba nguvu moja❤❤❤

  • @BernardKivuyo
    @BernardKivuyo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekubali timu yangu wa simba sc

  • @CheerfulAstrolabe-rk3fv
    @CheerfulAstrolabe-rk3fv 2 หลายเดือนก่อน +6

    Tunategemea mambo makubwa sana ndani ya timu yetu

  • @WatukutuEntertainment-pg4rd
    @WatukutuEntertainment-pg4rd 2 หลายเดือนก่อน +23

    Wanangu wa msimbazi tujuane kwenye likes

  • @WatukutuEntertainment-pg4rd
    @WatukutuEntertainment-pg4rd 2 หลายเดือนก่อน +11

    Nani kumuona Awesu Awesu 🎉

  • @AcksunBonifas-mj2sw
    @AcksunBonifas-mj2sw 2 หลายเดือนก่อน +1

    my life team simba❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @GodwinJuliusGodwin
    @GodwinJuliusGodwin 2 หลายเดือนก่อน +3

    🎉🎉🎉moto utawaka 🔥🔥🔥

  • @sabtinaramadhani5413
    @sabtinaramadhani5413 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba kwa mwenyezi mungu ajalie timu yetu ya simba iwe bigwa msimu huku 2024-2025 inshallah

  • @david_nature_africa
    @david_nature_africa 2 หลายเดือนก่อน +18

    Wa kwanza jamani kama unaipenda simba gusa like 10 💪

  • @menaurukivuyo6796
    @menaurukivuyo6796 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mwamba Awesu Awesu namuona ,,❤❤ karibu unyamani ,,,kauli mbiu yetu mwaka huu ni ubaya ubwela,,,,🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Mwaga like nyingi hapo kwangu

    • @paulmkumbo4400
      @paulmkumbo4400 2 หลายเดือนก่อน

      Jean Charles aouh ni hatari sana

  • @mahonanjile6007
    @mahonanjile6007 2 หลายเดือนก่อน +2

    Onana akiwa kwenye ubora wake namuelewa sana lakini kwa msimu huu kuna ushindani wa namba akaze asijekalia mbao ndefu nauombea kwa mola ampe ufanisi na maarifa aweze kuwa na kiwango bora zaidi ya msimu ulioisha

  • @danielkambanyuma767
    @danielkambanyuma767 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi wa ngap jamn❤❤❤

  • @Dicksonshayo-i6j
    @Dicksonshayo-i6j 2 หลายเดือนก่อน

    ahaaaaaa Simba yetu ya moto

  • @dennismazanda7226
    @dennismazanda7226 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi kazi Simba Nguvu Moja

  • @DeussiboyzDeussi
    @DeussiboyzDeussi 2 หลายเดือนก่อน

    Nimechelewa kidogo naombeni like zangu

  • @IbadaSamuel
    @IbadaSamuel 2 หลายเดือนก่อน

    Simba nguvu moja

  • @salvatorykayuki5456
    @salvatorykayuki5456 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nguvu moja🎉🎉🎉

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 2 หลายเดือนก่อน +1

    SIMBA NGUVU MOJA❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenda🇹🇿 kaongeza mkataba lakini haupo na Timu, isitoshe namba yake 5 kapewa Aweso!! Mabadiriko yamekuja na Vituko

  • @HassanMkwenda
    @HassanMkwenda 2 หลายเดือนก่อน

    Sanaa tu

  • @wilfredlaizer2965
    @wilfredlaizer2965 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naona onana anahasira Sana msimu huu anaweza uwa mtu😂😂😂😂😂

  • @JanethTumaini
    @JanethTumaini หลายเดือนก่อน

    Jaman onana hayupo simba

  • @Ibracadablamaster45
    @Ibracadablamaster45 2 หลายเดือนก่อน +1

    GOD BLESS OUR TEAM

  • @MachameMachame-tx3bk
    @MachameMachame-tx3bk 2 หลายเดือนก่อน

    Simba nguvu moja mpaka waseme mwaka huu

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤😂😂😂😂🎉nguvu Moja🔥🔥🔥

  • @marthamsacky6973
    @marthamsacky6973 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba uwalinde wachezaji wetu na mabaya

  • @salumtitho1407
    @salumtitho1407 2 หลายเดือนก่อน +1

    My team

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana

  • @Merrymerry-l4n
    @Merrymerry-l4n 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @emmanuelnkinda3924
    @emmanuelnkinda3924 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @GeorgeNikodemo
    @GeorgeNikodemo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie onana nibonge la mchezaji SEMA wakati anajiunga nasimba kikosi hakikuwa saw lakin Kwa msim huu kwahiki kikosi na kwakocha huyu naiman tuta phaidi matunda yake🎉🎉

  • @Frankkambona-js7vf
    @Frankkambona-js7vf 2 หลายเดือนก่อน +2

    Guys...Nan anaona kama mm kwamba willy Essomba Onana hana furaha now😢😢😢 yaan kapoa saana duh inatakiwa coach amtie moyo ....alaf hivi kibu d mbna hatumuon alaf viongoz wanakaa Kimya why???

    • @RahimYahaya-ql4dx
      @RahimYahaya-ql4dx 2 หลายเดือนก่อน

      Sio Hana furaha hy jamaa yeye kila sehem anajiona star + ubishoo

  • @MasikaSaid
    @MasikaSaid 2 หลายเดือนก่อน

    Ila onana bishooo sana😂😂😂❤

  • @sngrafx
    @sngrafx 2 หลายเดือนก่อน

    Simba feetness ndio kilikuwa tatizo

  • @HairuIssa-f9y
    @HairuIssa-f9y 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simb nguv moj

  • @messiahemmanuel9577
    @messiahemmanuel9577 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbn mnaniogopesha wakati mm mwenyewe ni simba 😂😂 timu yangu naiogopa mwenyewe nyie 😂

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 2 หลายเดือนก่อน

    Kila la kheir mnyama

  • @MurijiRashidi
    @MurijiRashidi 2 หลายเดือนก่อน

    🦁🦁🦁

  • @allanfahad4838
    @allanfahad4838 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤💪💪

  • @raheemvianey7343
    @raheemvianey7343 2 หลายเดือนก่อน

    First of all

  • @SamsonMwambope
    @SamsonMwambope 2 หลายเดือนก่อน

    Atakaa sawa tu,sababu kaacheleweshwa kulipoti kambini anajiona awezi ila makocha wamueke sawa atuoneshe uwezo wake

  • @ozuabrahamu8079
    @ozuabrahamu8079 2 หลายเดือนก่อน

    Imeniuma sana Kuna Onana karudi Bora kuondoka na Kramo hta km ni majeruh kuliko kuondoka na Onana mchezaji ambae hawez kupambana na huwez kuwa nae kweny kikos ukawa na uhakika wa ushindi ah Bora angeumia yeye

  • @charleslucas4365
    @charleslucas4365 2 หลายเดือนก่อน

    Kila raher simba sport katika maandalizi ya msim mpya

  • @RichardFrancis-e5t
    @RichardFrancis-e5t 2 หลายเดือนก่อน

    Nguvu moja

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng 2 หลายเดือนก่อน

    Kwenye timu yetu hivi marasta wapo wangapi.na wasio na rasta wapo wangapi naona fred na yeye Anasuka muda sio mrefu na yeye Anakuwa rasta.

  • @HabibuMuhunzi
    @HabibuMuhunzi 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu onana mvivu

    • @JumaMillanzi
      @JumaMillanzi 2 หลายเดือนก่อน

      Onana bishoo

  • @RAMADHANI-e9h
    @RAMADHANI-e9h 2 หลายเดือนก่อน

    Onana ni bishoo sana

  • @joshuaombeni6417
    @joshuaombeni6417 2 หลายเดือนก่อน

    Mwaka hu simba watay elewa tu

  • @dalalfundikila507
    @dalalfundikila507 2 หลายเดือนก่อน

    Ongeeni na Onana acheze mpira hatutaki ubishoo.

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 2 หลายเดือนก่อน

    Mkichukua ubingwa mniite mbwa. Kama mmeshindwa kumsajili mpanzu basi hakuna kitu mtafanya. Hiyo michezaji mliyokusanya kama mafungu ya nyanya haitawafikisha popote. Tajiri analeta ujanja ujanja tu, hana hela. Mmeshindwa kumtema onana mkaleta chuma mpanzu. Club haiko serious hii. Huu ni muda wa kuhamia azam tu

  • @Francisnsengiyumva
    @Francisnsengiyumva 2 หลายเดือนก่อน

    Will essomb onana tunamutaka mu itimu ya rayon sports

  • @RahimYahaya-ql4dx
    @RahimYahaya-ql4dx 2 หลายเดือนก่อน

    Yaan Kuna mchezaji hapo yeye kila sehemu ni ubishoo tu

  • @ShaabanRamadhanKombo
    @ShaabanRamadhanKombo 2 หลายเดือนก่อน

    huyu Awesu namtabiria ataimbwa sana pale unyamani

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 2 หลายเดือนก่อน

    Naona bishoo wetu karudi kazini japo bado hajiamini,Simba haitaki mzaha mafanikio yake madogo yasijemfanya akajisahau tena, nadhani ameshapata funzo

  • @Bplm1664-og1eu
    @Bplm1664-og1eu 2 หลายเดือนก่อน

    Si kmc walisema n mchazaj waoo 😂😂😂😂

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu Johmakin atacheza mpira kweli na hizi nywele wazee?

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 2 หลายเดือนก่อน

    Where is mwenda

  • @geraldbagole4494
    @geraldbagole4494 2 หลายเดือนก่อน

    Vipaji Vipo ila wafungaji naona kama litaendelea,any way.

  • @AAbubakariSharif
    @AAbubakariSharif 2 หลายเดือนก่อน

    Kaz IPO

  • @EdwinKabasa
    @EdwinKabasa 2 หลายเดือนก่อน

    Timu icheze mech za kirafiki tupate kipimo cha timu yetu

  • @SimonJoseph-h4e
    @SimonJoseph-h4e 2 หลายเดือนก่อน

    Onana mvivu sm

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenda wapi

  • @AliAlimtumwab
    @AliAlimtumwab 2 หลายเดือนก่อน

    Hayzzzzsz

  • @MikaJoseph-h4p
    @MikaJoseph-h4p 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani mbona kibu hayupo au tayari

  • @timothnakiz-zb4rz
    @timothnakiz-zb4rz 2 หลายเดือนก่อน

    Nyoko nyoko gonga like hapa mbwa nyie

    • @KhalidAlliy
      @KhalidAlliy 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani like zinashibisha

  • @rajabukidendasaid7159
    @rajabukidendasaid7159 2 หลายเดือนก่อน

    Amebaki kibu tu hapa jambo letu likamilike

  • @Eliaclassicfurniture
    @Eliaclassicfurniture 2 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubaya tu

  • @HamisiAthumani-h2d
    @HamisiAthumani-h2d 2 หลายเดือนก่อน

    Usjari pamojasana.

  • @OmarMwamlongo
    @OmarMwamlongo 2 หลายเดือนก่อน

    Ok mnyama ananja nazarau Sasa anarudi

  • @MustaphaKilua-f2n
    @MustaphaKilua-f2n 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unyama mwingi

  • @Manoni693
    @Manoni693 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hakika team yangu unarudi kama unaamini like hapa....

  • @DeusSanga-lj2ot
    @DeusSanga-lj2ot 2 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi sana onana kurudi kundini sasa atawasha moto sanaaa

  • @ismailjuma1795
    @ismailjuma1795 2 หลายเดือนก่อน

    Mnyama mnyama aupige mwingi mnyama

  • @SamsonMwambope
    @SamsonMwambope 2 หลายเดือนก่อน

    Wanini ,timu hiyo kibu wanini

  • @dhaluminiumupvcwindows9568
    @dhaluminiumupvcwindows9568 2 หลายเดือนก่อน

    KAMA KIBU ANZZINGUA NAJINI YA YANGA YANAMSUMBUWA AISHIE HUKOHUKO.. SIMBA HATUKUBALIANI NA MAPEPO YA YANGA SISI NI SIMBA NGUVU MOJA KWA UWEZOO NA UPENDO WA WANA SIMBA MFALME UWEZO WA KUUTEKA ULIMWENGU TUNAO NA TUNAUTEKA ULINGU KWA SABABU TUNAWEZA.

  • @munirathomas4585
    @munirathomas4585 2 หลายเดือนก่อน

    Nasikia kibu kaweka mgomo anadai jaman ni kwel,?

  • @maridadipeles8406
    @maridadipeles8406 2 หลายเดือนก่อน

    Kibu yuko wapi?

  • @saidyfundi153
    @saidyfundi153 2 หลายเดือนก่อน

    leadre cr7 namtabiria makubwa

  • @elkanangosha9588
    @elkanangosha9588 2 หลายเดือนก่อน

    9mana mvuvu wa mazoezi hapishani nanAjibu

  • @fadhiliabasi6585
    @fadhiliabasi6585 2 หลายเดือนก่อน

    HIVI MPAKA HIVI SASA SIMBA INA MARAS WANGAPI?

  • @AliAlimtumwab
    @AliAlimtumwab 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona kibudeni simuoni yupoau

    • @munirathomas4585
      @munirathomas4585 2 หลายเดือนก่อน

      Nasikia kibu kaweka mgomo anadai

  • @aloycealphonce4244
    @aloycealphonce4244 2 หลายเดือนก่อน

    Tukija kukasawa tutawakanda Sana watu

  • @SimuMpya-p3t
    @SimuMpya-p3t 2 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwera

  • @sholdaniemmanuel8684
    @sholdaniemmanuel8684 2 หลายเดือนก่อน

    Kibu atolew kwa mkopo kmc

  • @SamsonMwambope
    @SamsonMwambope 2 หลายเดือนก่อน

    Anamkataba

  • @JafariKiduko-ft4wg
    @JafariKiduko-ft4wg 2 หลายเดือนก่อน

    Kibu denis yuko wap

  • @GodfreyIslael
    @GodfreyIslael 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lionana yeye na maeleni tu ananikela

    • @PatrickJuma-h9v
      @PatrickJuma-h9v 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kaka mda wote na maeleni ,utasema kaleft group Yani ananiboa

    • @ozuabrahamu8079
      @ozuabrahamu8079 2 หลายเดือนก่อน

      @@GodfreyIslael yaan huyu jamaa nikimuon naumia balaa Hana msaada Bora angebak Kramo hta km ni majeruhi huyu hpan mwanaume unarembua tu na maheren km bwabwa vle

  • @swalu3020
    @swalu3020 2 หลายเดือนก่อน

    Ni Kaz tu

  • @kombatv2069
    @kombatv2069 2 หลายเดือนก่อน

    mlipeni kibu hela ya usajili ajiunge na timu mapema

  • @PiliSeif-z1f
    @PiliSeif-z1f 2 หลายเดือนก่อน

    Onana mtu wakaz

  • @mzeebabumzee
    @mzeebabumzee 2 หลายเดือนก่อน

    ubaya ubwela

  • @shabanimkasi5804
    @shabanimkasi5804 2 หลายเดือนก่อน

    Wanasimba tupo...

  • @AbdushakuruAmidu
    @AbdushakuruAmidu 2 หลายเดือนก่อน

    Kibu Yuko wap

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama umechukia onana alivyo rudi gonga like

    • @ozuabrahamu8079
      @ozuabrahamu8079 2 หลายเดือนก่อน

      Yaaañ nimekwazik ni Bora ht aumie mapem kabla dirixha halijafungwa ili atemwe hakn mchezaj hapo ah dadek

    • @zakayomgaya2758
      @zakayomgaya2758 2 หลายเดือนก่อน

      Onana mchezaji mzuri ila aache utozi atatusaidia

  • @sandalakabalo5442
    @sandalakabalo5442 2 หลายเดือนก่อน

    Kibu yuko wap