Simba SC ilivyoichapa Nkana FC goli 3-1
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Simba SC imefuzu kuingia hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) baada ya leo kuichapa Nkana FC ya Zambia magoli 3-1 katika mchezo wa marudiano uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Matokeo hayo yameifanya Simba ifuzu hatua hiyo kwa jumla ya mabao 4-3 kufuatia kufungwa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Zambia wiki moja iliyopita.
Katika mchezo wa leo Nkana ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 17 kupitia kwa Walter Bwalya akimalizia kwa mpira ambao mabeki wa Simba waliuzembea kwa kufanya mchezo wa kuotea.
Simba walitulia na kupata bao la kusawazisha kupitia kwa Jonas Mkude dakika ya 29, kabla ya Meddie Kagere kupachika bao la pili kwa kichwa dakika ya 45 na baadaye dakika ya 88, Clatous Chama kuipa Simba bao la ushindi.
Simba SC beats Zambia giants Nkana FC 3-1 in Dar Es Salaam to qualify for CAF Champions League group stage. 23/12/2018.
#simbankana #simbascnkanafc #simba3-nkana1
Tazama LIVE mechi za Vodacom Premier League na vipindi vingine kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App.
Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► play.google.co...
Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
This clip make me always happy like here who still watching like me frequently 💪💪💪simbaaa
Mechi bora sana ,what game what goal.. MUNGU naomba anipe maisha marefu sana niwaadisie kuhusu mguu ya chama,uimara wa manula
Nipo Tena hapa 2024 ama kweli simba tumetoka mbali❤❤❤
Niko hapa 2025 naangalia hili movie la kutisha,kma upo hapa gonga like kwa lunyasi fc
Nipo pamoja naw
@@BarakaChacha-g2u good sana bro
Simba have added a flavour to our African football. Love from Sudan.
E
Aloo haha inaxiximua xana
@@willsonshadrack543simba
2024
Eti mzee wa masaptasapta,, mpenja mbavu zangu huku,, hongera sana simba
Mambo
Kama umengalia 2025 gonga like apa
September 2022 still watching this fantastic event, unforgettable memory for simba fans......gonga like tusonge......I love Simba
Kama umerudia kuangalia 2024 jun like hapa tujuane
This is simba kesho kama kawa lazima tutinge makundi
😂😂😂 mwendo wa raha
poasana
Niko hapa nov
Napenda sanakuangaria
Anaye iangalia hii 2024 gonga like
Zuri sana
😅😅😅
Mm hapa mda huu😂
Nan anapenda kuangalia mara kwa mara hii mechi ajawai kunichosha 😍😍
Mm pia sichok kuangalia hii ilikua t.game kali mnoo
Mimi apaa😂😂
MIMI HAPA NIKO KIGALI RWANDA NARUDIA HII MECHI KILA SIKU
Mimi ni jilani yenu simba fc shabiki ninaejierewa leo. Mmefanya kazi nzuri sana safi sana simba
Chama chama chama mwamba wa rusaka ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥kwa wana simba fc,sema nguvu moja kwa wana simba.
Chama ni kitu kingine
ANOTHER MAFISANGO
Mk14 je,mwamba huyu wataria Pole.
Simba wamefanya wonders
daimond
Kama unaicheki hii video 2023 gonga like taujuane mapema
Was a great and unbelievable match simba nguvu moja 🇹🇿🇹🇿💪💪💪
kV BV v
Simbaa what the come back !!! What the chamaa goal THIS IS SIMBA
Jax Paul
Tunakupenda sana Mo wetu,endelea kutupa hamasa wana SIMBA
Nimefurai mpaka nimelia jamani Asante kaka zetu kwakujituma nimefurai sana kama mnahamini simba nguvu moja lake zenu apa
xn 2
ivi chama unaruhusiwa kufunga magori kama hayaaaa?
Mwanahamisi Hassani sxc
Mwanahamisi Hassani mamb
Saf simb
I will never forget this day it was unbelievable comeback nice moment for simba fans
Our Best Simba SC game of All Times 💥 kipind Iko Yanga walikua wapokeaji wageni leo wanaongea sana Sana wanajisahau... BUT I promise Simba will be the First Team from Tz to get CAF CUP
The third goal killed me, I love Simba from Nairobi
Chama JR,made in Lusaka deliverd in Dar-es-salaam for SIMBA SC,this is Simba 🦁💪 nguvu moja
Naipenda San simba
Hapa Kenya tunasema kongole kwa team simba wakilisha Africa mashariki.... Pamoja twaweza. Mkude, Kagere n Chama goals 💪💪💪🙌🙌🙌👏👏👏
yeah we are together brother
All the best
Still watching this game 2022 what performance by simba✊
Is good
@@wakembetajaphary3648
Ba ba
@@wakembetajaphary3648qqq
@@dornaldbantura5978 😂😂😂
Oya 😂😂😂ladha haiishi
18/12/2022 and I'm still not tired to watch this clip simba is unstoppable
Chama Chama More 🔥🔥🔥
Tanks Your Jah Kwa Uxhindi
This is Simba brother the great
Team Of Tanzania Best Like Kama
Wew Mwana Simba Damu😍😍😍
je suis un
supporteur
de wydad mais je pense que cette equipe simba la plus populaire au tanzania
Exactement
Not only from Tanzania but also east and central africa
Da mimi kama mkenya naipenda simba sana..
Simba
Ieo mnakazi
Uko sawa, mshikaji,wangu
@@ysy3458 simba oyee
@@ysy3458 kazi,imesha,Ha2na,Presha
Asantee sanaaa chama langu la SIMBA 🙏 Mw/MUNGU awajalie afya njema wachezaji wote
Simba sports club big time Africa 👊🇹🇿❤️🦁❤️
I'll never forget this moment it was so amazing
Vp
Jamali
Bado nafurahia hii gem
Amazing Unforgettable ....!
Uchebe tutakukumbuka sana tu (Patrick Ausems) Binafsi nakukubali kinoma noma
Nashukuru Sana Watanzania wenzangu kwa mi nipo Zambia kwa game ya kwanza niliumia Sana na nilichekwa Sana ila saiz ni zamu yao kuwacheka, Gonga like Kama unaamini mi Shabiki wa kweli wa 🦁.
Ww c mtanzania lazma uwe simba lu
Pamoja sana
Future Ken waambie kuimba kupokezana Leo zam yako
pamoja na watani wetu kushangilia Sana bao la wageni ngoja wakome, hiyo ndiyo Simba ya MO
Watakoma
Huyu sports analyst wa Azam nimemkubalii asee. Kama nawe umemkubali gonga likes twende sawa... kwani kuna mtu anateseka 😂😂😂#SimbaSc #NguvuMoja #afcon 🔥🔥🔥⭐⭐⭐
Haaaaaa nalia pole nalia pole Sana. Haaaaaaa hii ndio simba bhaana
Agnes Kabate Hahahahah ni noma sana
Zitizenrediokenu
Emmanuel Sakafu konki💪
@@emmanuelskmtanzania24 mmanimn i
SIMBA hii noma sanaaa 👊
Simba sports club big time Africa 👊🇹🇿❤️🦁
Kama umeanza mwaka na kuangalia marudio haya kama mim gonga like 😂
#+254Congrats neighbors....commentator uko juu napenda
*Naipenda simba kufa*
judith paul aaaah jmn usikufe jama
Halfan Itambu hahah nna raha mpk bhc
hahah kmb na we ulikuA unateseka wkt tnlitft goli LA 3 pole bana
Halfan Itambu acha kbs, shukran... chezea goli la kisigino
huyu chama atamaliza mb zangu ujue....aache misifa yake
Mashabiki wa simba wote gonga like twende sawa
Budagala 2019
a online *
isma company no
Aliyeiangaalia hii video 2024 baada ya Tripil kula kichapo kama hiki gonga like apa
Hii mechi kila mwezi naiqngalia Hua inanipa furaha sanaa❤❤
Nakula Christmas 🎄🌲🎅Vizuri Sana Baada Ya Simba 🦁🦁 Kushinda Kwa Kishindo
Sijui kiingereza ila leo ntajaribu This is simba
Yani Leo laha ilioje simba imeshinda na tumeipokea ndege mpya kama unaikubali simba na mzee magu gonga like
Kutombana
This remains the greatest game in African football i have watched
Exactly
Dec 22 , 2018 nikiwa kazini na karedio kangu Mbulyanhulu gold mine ( barrick) maeneo ya kakola kahama , nilishangilia nusura kuvunja mguu !! Unforgettable match in my life carriah!!
Now 02 Dec 2021 in Dar watching it again
Sichoki kuiangalia kama nawewe huchoki gonga👍
🙄🙄🙄✌️
Haichoshii kuitazamaa
Timu KUBWAAA muumwaaa utachoka kweli kutazama?.
Mimi.hapa❤
mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥chama langu forever ❤❤❤❤❤❤ walllahi raha mpk basi
Hongereni majirani
26.08.2023
Still watching this unforgetable memory for SIMBA SC🔥
Karibu 9m viewers ... Simba is another level ...
2019/13/11 meche bora ya muda wote kwangu
Hata like moja ina tosha
Zßàz
Mech ya kihistoria
Tena mechi mhim zaid
Haki a mungu Leo imekua jumapili njema kwangu kwa kuona couch ausemus ana shangilia
Yaani mindokwanza namuona anashangilia adi raha
@@rahmaramadhani3993 umeonae ehe alafu simba raha
👟
This is Simba in Manara's voice
Chama mungu akupe uhai mrefu sana
I Love Simba SC ♥️ from top of my heart
Simba nkana
Unforgettable match.. i'm so proud to a simba fan....💪🏽💪🏽💪🏽2022 stiil watching this one...
2020 Nani yupo hapa wadau wangu wa Nguvu wekundu msimbazi gonga like twende pamoja Kama hutoisahau hii mechi!!
Hi mechi inanipa matain Sana ndan ya kikosi changu Cha msimbazi
Lllii
Yanga vs tp mazembe
Og
@@renathaalois2499 v6
Chamaaa soma kwenye ramaniiii. Engeneer soma mkudeeee.ngapiiiiiiiii ukooooo kagereeeeeeee
Engineer soma hiyoooo😂😂😂😂
young assaidy soma kwenye ramaniiiii
@@asiajuma5784 hhhhhhhh somaaaaa iyoooo
@@reyjosee9390 engeneer somaaaa
hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh soma kwenye raman
Mimi Mkenya lakini Simda damu. WAPI LIKES ZA WA TZ
Guy Vancans
Safiiiiii sana
pamoja sana
Simba noumaaaa
Safi sana
3 December 2025 naichek tena coz it was so amazing, best moment kwny maisha yangu ya football na ilikuwa mechi yangu ya kwanza kwenda Taifa kuangalia mechi ya Simba sports.Ni mmoja kati ya tuliorudi kwa miguu toka Taifa mpk Mburahati.
😂😂😂kmke famchezo nini
@InnocentKisuge hatariii hy,tutawahadithia sana wajukuu.
Tunaangalia Januari Mwaka 2021 Like Hapa Za Upendo ❤️❤️❤️
March 2021
Thanks y y
This is simba from kenya
One love, East Africa forever
@@godblessjrtz.8652 hurry thou I kick on IOC
Here we go Octobre!!.. 19!!! Sichokiii aiseee daaaaaa hii Simba ilikuwa ya Moto sanaa
Team coach wa simba ,Patrick ! Kwamara ya kwanza leo ,kashangiria kwa mtindo wa Masuod Djuma.
S SALI
S SALIvjvjc
Yani hii ni mara yangu ya 8 naingalia hii mechi it was so fantastic 🔥🔥🔥
Dah hii video imetazamw zaidi
Kama Wewe ni Shabiki Wa Simba Mnyama Gonga Like Hapa
Ramadhani Mussa chamaaaaa na mkude ni noma wameshuka na mashetani wekundu jumla jumla ,
Yuko wapi anayeteseka? Safi sana Sauti ya Radi.
Sekeyi Fabian vichekesho
Sekeyi Fabian
Sekeyi F
#MWAMBA_WALUSAKA
We are happy for you majirani +254
Kenya 12345
Kama umeludia 2025 weka like hapa
Unbelievable love u simbaaaa
Napenda ligi ya Tanzania ila mimi mkenya...mafans wa TZ wanajitolea kwa mpira wao!! Hongera watanzania...ingawa mechi hii ni ya kufuzu ...
Hamia bongo upate raha
Vp
Sichoki kuitazama hii mechi kwkweli
Mapenzl
Mapeenzi
Engineer soma ngapi hukoooo. Angalia wasisome wa matopeni
hehehe wana zengo mna maneno dooh, co kwa dongo gizani kiasi hicho!
hahahahaha, 3 1
Nan hachoki kuchek hii video Kama mie like tujuane
Mm hapa yani mwezi Hu Wi-Fi lazima bili ipande
Jujom
hunishind mm
@@keyakeya8911 muziki wakenya simba mundu
Dah hii game ni hitoria
KAMA BADO UNAANGALIA HII 2020 DECEMBER 18 KUITAKIA SIMBA MEMA HUKO HARARE GONGA LIKE SIMBA IZIDI KUSONGA MBELE
This game still on 🔥🔥 till now Simba 🦁
hii simba sjawai iyo katka maisha yangu gonga like
Like kwa mtangazajj baraka mpenja
Kama umeskia goli la kigaid gonga like hapa ( mkude)
*😅☺☺Kama umelud kuchek hii bada ya pulatnamu ngonga leke*
Xx
.
Tupo mnoo🥰❤️❤️
Wee acha banaa
@@elizabethzachariah9054 X
2021 march
Hii mechi haijawahi kunichosha kuitazama,💪 gonga like kama upo na mimi
Kwel kabila broo
Ainichoshi
Me chama tyu
Kwakwel
Uwa kika 4:29
Ata mfungwe gori mia hiii mechi ilinifanya nijivunie kuishabikia simba YES WE CAN
leo nimefurah sana this is SIMBA
THIS HISTORY FOR THE ALL FANS OF SIMBA IT NEVER FORGET FOREVER...OOOVER!!!! 🦁🦁🦁
...
Th8s his to for the all fans of Simba it never forger
My favorite video in TH-cam ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Aliye Rudia kuitazama hii video Leo tare 5 mwez wa 4 mwaka 2024 gonga like apa
Nimemiss haya mambo mazuri yanakuja soon Simba nguvu moja
noma sana mnyama anatisha mwityuni jamani naombeni ĹÌĶƏŘ
It was marvelous...Naona mkodisho FC walirukia gari kwa mbele wanarudi nyumbani wakiwa na michubuko ya kuburuzwa
This is Simba bandugu
Khalid Mtelemko not
Of coz,,, we call them vinyesiiiii fc
Jaman simba ni simba tu 🦁🦁🦁 ata umpeleke poli ngan bado tu ni simbaaaaaaaaaaaaaa🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
Hiii Simba ilikuwa yamoto jamani sichoki kuiangalia 2024♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Hiii video naipendaaa snaa
Hii simba itanitoa roho hilo goli la chama kuna watu wanatesek
Baba wapo wengivsana wanaoteseka
Hongera zenu wana Msimbazi, hii ni nafasi kwa Yangaa kupambana na TPL.
kw kweli, wakt simba wakienda kufika ile hatua ambayo msimu ujao hana haja ya kuanza mtoano huhuhu
Kama bado unaangalia kama mimi gonga like
2023 na bado cjatoka kuiangalia npen maua yang jaman npen like zang
mungu akulaze mahala pema peponi adel kocha wa viungo uliipenda sana simba😢
Wa kwanza jaman like zenu
Pia Mimi nataka kuwa shabiki wa Simba. Nisajili nami
😘😘😘😘😘😍😍😍
@@athmanrajab7740 karibu maana hii ndo Tim pekee ilobaki Tanzania 🤣🤣🤣🤣💪
Mimi n mkenya Halisi lakini nimeipenda Simba.
Nakubali chama
This is simba brother
One among my favourite match #Simba 🔥🔥🔥🔥 #NGUVUMOJA 😍😍😍😍😍
Kama umerudi 2024 Nov gonga like
Duh, nmerudi Tena kuicheki Leo 2024. Wana simba tujuane