Weka bei boss, hii huhitaji kusaidiwa mtaji au kusoma zaidi hapo hapo umetengeneza Kitu kimoja amazing... Weka bei mtu anaetaka atalipa ndiyo gari itengenezwe
Huyu alifanya vizuri. Kabla ya Masud kipanya, Lakini kwakuwa haikuendelezwa angalia Masud kipanya anaenda mbali zaidi. Na huyu anaelezea vizuri sana, kitaalam hatua kwa hatua.
Ukiangalia impact ya kiuchumi na kimazingira ambayo hii project itakua nayo, huyu brother anahitaji pongezi na support ya hali ya juu. Asante AYO TV kwa kuchimbua madini
ivi kuliko serikali kuendelea kuruhusu pikipiki kutoka China kuingia nchini kwanini wasiwape hawa vijana mtaji na vifaaa watanzania tukaendesha vyakwetu ...ingeokoa sana pesa ,kuepusha uchafuzi wa mazingira na pia ingeokoa maisha ya watanzania wengi dhidi yaa ajali ...
Big up your so great. Halafu ndugu zangu hicho chuo ni cha serikali so fungu lilotumika hadi hapo ilipofika hiyo gari limetoka serikalini ni bora kupongeza WIZARA na Wakuu wa chuo husika kwa kutambua uwezo wa kijana mwenzetu na kumwezesha kuonesha uwezo wake wa kufanya jambo kubwa kama hilo kwa vitendo. BIG UP
Tanzania ...bora itajengwa na wasomi, Hongera kwa kuthubutu na kufanikiwa# Nakupongeza sana brother...elimu yako imeonekana ktk uhalisia.Hiki ndicho kinachotakiwa.
Nice... Haya weka electronic speed controller kisha build app ili uweke tablet hapo mbele badala ya hzo manual switches na hcho kidisplay, gearbox muhim na pia tafuta namna ya kufabricate body kwa material nyepesi na mwonekano mzuri utakaoendana na aerodynamics.... Otherwise good idea and good luck...
Ritchie Xanti nakuelewa sana upogo honest....huyu brother amejitahidi sana. Elon Musk alipewa mkopo wa mabilioni ya dola na serikali yake ya marekani kwaajili ya mradi wa magari ya umeme kama haya (TESLA). Mi nampa big up ! Anahitaji support.
Una uwezo mzuri wa kujieleza kwa maneno na vitendo kaka. Mungu akusimamie, na niwaombe Viongozi wa taifa letu muupe kipaumbele huu uvumbuzi ili dunia ifaidike nao kupitia sisi Tanzania. Ni akili kubwa. Big up mvumbuzi, NIT na wote tulio support!
@@jaysally1379 hivyo vyuo serikali inatakiwa iwekeze hela ya kutosha, mm nimesoma technical schools, nimegundua elimu ya kujifunza kwa vtendo ndo yenye faida kwa dunia ya sasa iv, ya makaratasi kuna wazee wameng'ang'ania ofisi na hawataki kuwapisha vjana ila ukiwa na ujuzi wako mkononi unaweza kujiajiri na life likasonga
Wabunifu Tz wasiwe kama yatima.serikali iifuatiliye China iko mbaali kwa ajili ya hawa wenye vipaji bunifu,si kwa usanii tu ndo Ubunifu.kwakuwa hao wanashiriki siasa za uchaguzi.
Saafi sana..! Umeonesha utofauti sn ktk mfumo wa gear no engine nk hongera mno sema viongoz wenye madaraka hawana habar na hayo na wakiona utaitwa hoteli kubwa na kuzawadiwa jambo juice.
Kazi nzur, hongera, mungeweka na namba y mawasiliano unaweza kutusaidia kama ss tunafikra za ubunifu ila tu nashindwa wapi PA kuanzia, kwa mfano wapi nitapata Mota inayotumia battery, vitu kama hivyo t ukipata mawasiliano wabunifu watakuja wengi, ahsante kutoka zanzibar
niwashauri kitu nyie vijana tafadhalini sana fanyeni kila njia kushirikiana na wahadhiri wenu mkamuone mh. rais magufuli naamini kwa moyo wa rais wetu naanavyo penda maebdeleo atawapa surport nataifa litanufaika ...
Millard ayo TV pia muwasaidie kufikisha ujumbe huu kwa mh.rais nyie uwezo wakupenyeza taarifa izi ikulu mnao tafadhalini sana fanye ivyo kwamanufaaa ya taifa hili mungu atawabariki
Naamini wa ikuru wanaona yote sema wanapotezea tu. Kama walisema walikuwa wanamuonaona Baraka Magufuri mtandaoni. Hawajui kuwa technologia hiyo yaweza punguza changamoto ya usafiri hususani vijijini. Wao wanabenz sisi tunaenda kwa miguu.
nakasirikaga sana pale ninapoona MTU mtanzania kabuni kitu alafu izo mmlaka zinasema hakijakidhi viwango ..alafu ukiangalia mifano ya viwango vyenyewe wanatolea kwenye vitu ambavyo vimeundwa na wazunguu yaani nayaonaga nimajitu majinga ulimwenguni hakina ..inashindikana nini kuwa na vyakwetu visivyo fanana viwango naivyo vyao mnavyo tolea mifano mpaka mnakwamisha watu nakuwakatisha tamaa ....nilini tutatengeza chetu natukaacha kutolea mifano ya viwango ivyo mnavyo tolea ....nani katuloga jamaniiiiiii...
Unajua watu kama hawa wanapaswa kuungwa mkono wana nafasi kubwa ya kuiletea maendeleo nchi yetu... inasemekana asilimia 75% ya serikali ya China ni ma engineer na asilimia hizo hizo USA ni wanasheria ona kasi ya maendeleo ya China ni balaaa. Hebu serikali yetu ione jinsi ya kuwawekea uwezo hawa watu wa kuboresha maarifa na ujuzi wao
hahaha wakati bunge linatoa support kwa piere linasahau vitu vya msing hahaha love u tz
Piere niwakatiwake usihofu
kwelii MWANANG Osward wapuuz xn yan!
piere ni muhimu sana kwa nafas yake
Wabunge wengi si wasanii tu,wewe hujui bro??
Eee bwana
Weka bei boss, hii huhitaji kusaidiwa mtaji au kusoma zaidi hapo hapo umetengeneza Kitu kimoja amazing... Weka bei mtu anaetaka atalipa ndiyo gari itengenezwe
Brilliant...huyu angepewa support angeendeleza fani yake na ingesaidia kukuza uchumi wetu wa viwanda.Dogo yuko vizuri mno
Huyu alifanya vizuri. Kabla ya Masud kipanya, Lakini kwakuwa haikuendelezwa angalia Masud kipanya anaenda mbali zaidi. Na huyu anaelezea vizuri sana, kitaalam hatua kwa hatua.
Ongera sana my brother kaz nzuriiii sanaaaa
AFRICA NA TZ INAWEZA KABISA KUJITEGEMEA, SERA YA MWL.NYERERE ELIMU YA KUJITEGEMEA, EDUCATION FOR SELF RELIANCE. HONGERA SANA KIJANA
🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Safi sana kaka
Ombi letu serikali wawezeshe wazalendo wabunifu
Pia nakupongeza mwalimu kwa kuheshimu mawazo ya kijana ambayo ni lulu kwa nchi yetu.
Ukiangalia impact ya kiuchumi na kimazingira ambayo hii project itakua nayo, huyu brother anahitaji pongezi na support ya hali ya juu. Asante AYO TV kwa kuchimbua madini
Tanzania ni nchi pekee inayovipaji ila sasa serikali yetu aijali inawekeza kwa wasanii tu 😆😆😆 big up sana bro
serekali haihusiki
Sasa kama aiusiku iyo serikali mbona inawasaidi wasanii waimbaji na wacheza movie au auoni ?
Serikali inapoteza pesa nyingi sana kuwa saidia wasanii wacheza movie kuliko watu kama ao wenye vipaji vyakuingiza pesa Tanzania
@@naybakari3490 kweli kabisa sijui kwanini hii serikari haiangalii na vipaji vingine kama hivi
@sabina online yaani ndio tunapokesea apo watu wanashindwa kuwasaidia watu kama awa jmn
Safi Sana amejieleza vizuri Sana Rfu kila kitu ameweka wazi .
AMAZING .....
Hongera kaka .mimi mkenya nakutakia mafanikio
congrats broooo much support ...from ARUSHA TECHNICAL COLLAGE....
Mm nakupa zaid ya hongera
Hongera sana kamanda
Hongera kwa ubunifu wako, kwakua nzuri garihiyo kama hueki mafuta na baadae inawezaikawa inajichaji yenyewe, ukovizuri. Hongera kijana.
Hongera sana kijana mwenzetu nimejifunza kujiamini na kuthubutu katika wazo na kushirikisha watu sahihi hadi kufikia hatua hiiii.
Umenibariki sana bro MUNGU akusimamie.... Mafanikio mema 🙏🙏🙏
TESLA IN TZ BRAVO BRO
we have ge geneous people
ivi kuliko serikali kuendelea kuruhusu pikipiki kutoka China kuingia nchini kwanini wasiwape hawa vijana mtaji na vifaaa watanzania tukaendesha vyakwetu ...ingeokoa sana pesa ,kuepusha uchafuzi wa mazingira na pia ingeokoa maisha ya watanzania wengi dhidi yaa ajali ...
👍🙏🙏🙏
Big up your so great. Halafu ndugu zangu hicho chuo ni cha serikali so fungu lilotumika hadi hapo ilipofika hiyo gari limetoka serikalini ni bora kupongeza WIZARA na Wakuu wa chuo husika kwa kutambua uwezo wa kijana mwenzetu na kumwezesha kuonesha uwezo wake wa kufanya jambo kubwa kama hilo kwa vitendo. BIG UP
Sio kweli raia hua wanatoa pesa zao za mfukoni bhana! Kama umefika chuo utakua unaelewa kama wamepewa na serikali au ni pesa zao binafsi zimetumika!
Tanzania ...bora itajengwa na wasomi, Hongera kwa kuthubutu na kufanikiwa# Nakupongeza sana brother...elimu yako imeonekana ktk uhalisia.Hiki ndicho kinachotakiwa.
Hongera sana kijana hiyo ndio Afrika
bro nakubali sana hongera sana omba hili jambo lako lifike kwa uncle magu naamini utafanikiwa
Nice... Haya weka electronic speed controller kisha build app ili uweke tablet hapo mbele badala ya hzo manual switches na hcho kidisplay, gearbox muhim na pia tafuta namna ya kufabricate body kwa material nyepesi na mwonekano mzuri utakaoendana na aerodynamics.... Otherwise good idea and good luck...
Mpe mawazo afanyeje. Nashauri tatuta namba yake mzungumze umpe mchango wako maana nakuona una mawazo mazuri
Ritchie Xanti nakuelewa sana upogo honest....huyu brother amejitahidi sana.
Elon Musk alipewa mkopo wa mabilioni ya dola na serikali yake ya marekani kwaajili ya mradi wa magari ya umeme kama haya (TESLA). Mi nampa big up ! Anahitaji support.
yani wewe jamaa ni kichwa xn mungu akutangulie tengeneza ikamilike vzr utuuzie sisi walala hoi wenzio itatufaa xn🙏🙏🙏
Hongera sanaaa
God bless
Kama masudi kacopy na kupest hivi. Hongera Sana
Hongera sana
Hiyo ni nzuri sana kwa ishu ya mazingira, hasa kwa vile haitumii mafuta ambayo hutoa moshi na kuchafua mazingira
pamoja saana classmate Mtatiro Boniface hongereni saana kwa hatua hii mungu awatangulie hakika taifa linawategemea saana
Tafadhal naomba unisaidie namba ya huyu kijana.. 🙏
Una uwezo mzuri wa kujieleza kwa maneno na vitendo kaka. Mungu akusimamie, na niwaombe Viongozi wa taifa letu muupe kipaumbele huu uvumbuzi ili dunia ifaidike nao kupitia sisi Tanzania. Ni akili kubwa. Big up mvumbuzi, NIT na wote tulio support!
Very intelligent 🧠 bravo
Kipaji hicho is good man
SAFI Sana. Tanzania. Juu. Zaidi👏👏
Kazi nzuri sana Ndugu yangu Gab.naamini utafika mbali
Hongera sana bro!! Tatizo umezaliwa bongo!! Ungekuwa mbele ungeendelezwa
safi sana. tatizo sijaona support kutoka ya kutosha
Gudila Venance veep
Dah Mungu Asante sana kwa vipaji hivi
co kipaji mkubwa, just better education from National Institute of Transport
@@jaysally1379 wako vizuri kiasi hiko!!???
Fanya ziara NIT siku moja uje ujione vijana wanavyo create vitu kw kutumia elimu pmj na ujuz wanaofundishiwa
@@jaysally1379 hivyo vyuo serikali inatakiwa iwekeze hela ya kutosha, mm nimesoma technical schools, nimegundua elimu ya kujifunza kwa vtendo ndo yenye faida kwa dunia ya sasa iv, ya makaratasi kuna wazee wameng'ang'ania ofisi na hawataki kuwapisha vjana ila ukiwa na ujuzi wako mkononi unaweza kujiajiri na life likasonga
Genereta katengeneza maana si unajua umeme wa Tz 😂😂😂
Hongera sana mdau...!!! Kongole sana kwako, na wote waliotoa support kwa ubunifu wako. Natumai serikali haitapuuza kazi yako. Bravo...!!! 👏🏽👏🏽👏🏽
Nahitaji gari Tano nikupateje
Hajatengeneza gari ameunganisha vyuma vya wazungu
Hongera sana kijana kutoka Wilaya Mbulu
We jamaa upo vzl sana abal zako munaenda kiusomi sana
Ongela kaka nikitu kizuri
safi sana pacha ushirikiano mzuri na ubunifu wa kutosha
Daa we noma sana big up
HONGERA SANA KAKA ........ALLAH BARIKI TANZANIA NCHI YANGU
Wabunifu Tz wasiwe kama yatima.serikali iifuatiliye China iko mbaali kwa ajili ya hawa wenye vipaji bunifu,si kwa usanii tu ndo Ubunifu.kwakuwa hao wanashiriki siasa za uchaguzi.
Well done.
Yan hyu akiwezeshwa na serikali tunaweza kabs Kufungua kiwanda cha kutengeneza Magari kutok Tanzania
hongera sana kaka
Saafi sana..! Umeonesha utofauti sn ktk mfumo wa gear no engine nk hongera mno sema viongoz wenye madaraka hawana habar na hayo na wakiona utaitwa hoteli kubwa na kuzawadiwa jambo juice.
Inajichaji yenyewe duuuh! Hii gari ianze kuuzwa sokoni
Did you make the motor too!!?
Big up sana brother ww ni mtaalam umeiva kabsa
Big up saaana woote kwa kazi nzuri
Wow utafika mbaliii brooo😘
Hongera kijana
Kazi nzur, hongera, mungeweka na namba y mawasiliano unaweza kutusaidia kama ss tunafikra za ubunifu ila tu nashindwa wapi PA kuanzia, kwa mfano wapi nitapata Mota inayotumia battery, vitu kama hivyo t ukipata mawasiliano wabunifu watakuja wengi, ahsante kutoka zanzibar
Namuona fadhli hapao nyuma
Hongera sana bro.
Damu yangu nimekupata kumbe uko freshi namna hiyo
niwashauri kitu nyie vijana tafadhalini sana fanyeni kila njia kushirikiana na wahadhiri wenu mkamuone mh. rais magufuli naamini kwa moyo wa rais wetu naanavyo penda maebdeleo atawapa surport nataifa litanufaika ...
Masha Allah👌
Kongore kijana kwa ubunifu naimani serekali inakuona na itakupa msaada wa hali na mali.
Safi sana ubunifu huu na vijana KAMA hawa waendelezwe
Jee naweza kupata namba yake ya simu
Nyie endeleeni kumsifu yule mlevi liquid wakati wako wenye maarifa hamtaki kuwatambua
Kweli kabisa
Millard ayo TV pia muwasaidie kufikisha ujumbe huu kwa mh.rais nyie uwezo wakupenyeza taarifa izi ikulu mnao tafadhalini sana fanye ivyo kwamanufaaa ya taifa hili mungu atawabariki
Naamini wa ikuru wanaona yote sema wanapotezea tu. Kama walisema walikuwa wanamuonaona Baraka Magufuri mtandaoni. Hawajui kuwa technologia hiyo yaweza punguza changamoto ya usafiri hususani vijijini. Wao wanabenz sisi tunaenda kwa miguu.
Safi sana kijana wangu mangu akuzidishie
Idea nzuri sana. Inanikumbusha gari la kwanza la Mercedes Benz, Walianza hivi hivi..Look how far they are now
Good boy. Utafika mbali
Kubalii sanaa
I like it kamanda, mungu akubariki sana uweze kuwa bonge LA engine
Big up dogo
nakasirikaga sana pale ninapoona MTU mtanzania kabuni kitu alafu izo mmlaka zinasema hakijakidhi viwango ..alafu ukiangalia mifano ya viwango vyenyewe wanatolea kwenye vitu ambavyo vimeundwa na wazunguu yaani nayaonaga nimajitu majinga ulimwenguni hakina ..inashindikana nini kuwa na vyakwetu visivyo fanana viwango naivyo vyao mnavyo tolea mifano mpaka mnakwamisha watu nakuwakatisha tamaa ....nilini tutatengeza chetu natukaacha kutolea mifano ya viwango ivyo mnavyo tolea ....nani katuloga jamaniiiiiii...
father more usalama kwanza kaka
father more moses kulola
Daa kweli weka solar hapo kazi imeisha tuwaamini wanaweza Sana
Waungane na Masudi kipanya sasa
Kwakweli wabunifu hapo mume feli bado sana
Good job keep going
Ni mzuri but inatakiwa iwe na self energy ili iweze kutembea bila kucharge
Hongera
Anzeni kuwa na mikakati ya uhakika na muanze kuweka sokoni, seriously na serikari iwakopeshe
Mama samia live
Saf San!
Allah Awatanguliee Aisee!
bora Kujarib Kushndw kulik Kuach Kabixaa
Sasa hiyo elimu iendelee na tuone hayo magari mtaani, sio kuishia gari moja tu basi
Huyu akiachiwa anaenda kwa Elon Musk wa tesla USA...
Jombaa ikiwezekana move around mtafute Elon Musk pia
Nakubali mwanaaaA
nchi ina vipaji vingi hii , cha ajabu ni kuwa wizara maalumu haiwasaidii chochote hawa watu
Safitu kujiongeza
Rostam clouds tv
Pia uhitaji wa technologia za kilimo
Me naweza niongzee ushaur kdogo
ingekuwa vizur wabun ktu ambacho gar ikienda betri inachajiwa
Si ndo wameisha sema? Hilo wanalishighulikia
Unajua watu kama hawa wanapaswa kuungwa mkono wana nafasi kubwa ya kuiletea maendeleo nchi yetu... inasemekana asilimia 75% ya serikali ya China ni ma engineer na asilimia hizo hizo USA ni wanasheria ona kasi ya maendeleo ya China ni balaaa. Hebu serikali yetu ione jinsi ya kuwawekea uwezo hawa watu wa kuboresha maarifa na ujuzi wao
.....ni hatari km umeme wa 1000 natembea 90km wachina biashara yao imeisha na hasa wajapan na magari yao ya gharama
Hivi ndo vitu ambavyo wadau wa maendeleo na serikali wanapaswa kuvisapoti kwa gharama yoyote