Natumaini serikali hii ni tofauti sana na zilizopita. Naiomba itoe nafasi kwa watu hawa kwa kuwapa mafunzo ya ziada ili nasi tunufaike na rasilimali watu wetu! Ni jambo kujivunia kabisa kuwa na watu hawa. Mungu wasaidie wapewe nafasi hiyo!
Hongereni sana KTV TZ kwa vipindi vyenu vya kuelimisha jamii ila jaribuni sana kwa watangazaji wenu wawe wanaelimisha jamii kwa kila kitu sikupendezwa na mtangazaji kukata mkato wa nywele kama ilivyo hapo hii ni kupotosha maadili AHSANTENI .
Mashaallah Allah amzidishie maarifa...wazanzibari tujifunze kupeana moyo...na serekali mtu km huyu ni wa kuwa nae kabisaa hakuna kisichowezekana kwani waliotengeneza ndege..gari..jet ..na vyenginevyo sio wanyama bali ni binaadamu kwa hio tusidharau mtu kila kitu kinawezekana sana tu hongera mr sugu nakuombea mafanikio na ujuzi zaidi ipo siku watakuelew tu.
Mashallah ndugu yangu umekua imani yako ndio itayokufanya usifike mbali ungekua upande wa pili wangekusapoti na kuendeleza kipaji chako kwani walioanza kubuni vitu ilikuaje lazima wajalibu waone kama inafanya kazi na walikuwa wanafanikiwa Allah akujalie kwa ubunifu wako
Hongera ndugu Said Sugu kwa ufundi wako wa kuigiza helicopter. Mungu akuzidishie kipawa cha kuweza kuvumbua kitu kitakacho saidia taifa kimaendeleo. hapo ulipofika tosha kuwa unao uwezo wa kufanya hivyo. chekecha akili serikali itakuinua kwa mawazo mbadala ya kutatua matatizo ktk jamii. Allah yupamoja nawe
Hongera sana. Allah atakufungulia kila la kheri. In sha Allah atokee mtu aione clip hii na awe na hamu ya kuja kuonana na wewe na uwe mwanzo wa kufungukana. Analolitaka mungu mja hapangui. Iwe ni kheri yako in sha Allah
Tunaiomba serikali impe support kubwa miheshimiwa sugu na wafadhili pia wampe nguvu ili aweze kua miongoni mwa watu wahistoria ktk dunia hii mungu akubariki sana?
Tuko pamoja Sana ndugu yetu mtanzania mwenzetu umeonyesha uwezo uliokuwa nao Mungu akusimamie hadi mwisho wa jambo lako kwa uhakika unaitangaza nchi ya Tanzania kimataifa zaidi
Taarifa haijakamilika bila ya kuirusha hewani watu wakaprove ikiwa angani kwa kuruka na kutua salama. Lakini nampongeza kwa body niliyoiona ikiwa chini.
Hongera sana Sugu pia hongra sana mtangazaji hakika Kupitia hii video fupi nimejionea vipaji viwili adi vitatu ambavyo vitafika mbali sana ktk maisha First wewe mwenyewe ndugu mtangazaji! Yani sio siri ndugu yngu Your the Best! Keep it up utafika mbali sana but the best thing cha kukushauri ni appearance yko kidogo Uizidishe like Those hair apo juu, I know bdo ujana Unakuendea but unaweza kupata nafas ya kutangaza katika mashirika makubwa Tanzania adi duniani lkn Ukafail kwa sababu ya appearance yako tu! But keep it up I believe utafika mbali!💪 then Mh. Sugu Kuhusu Helkopta yko Hauwez kurusha kwasababu Tanzania kuna kitu kinaitwa Mamlaka ya Anga Ambayo ni Tanzania Civil Aviation Authority (T.C.A.A) hawa majamaa kazi yao kubwa ni kulinda maisha ya wana anga na abiria like kwann hawajakuruhusu kurusha iyo Helkopta coz hawajui km ipo salama kuruka ama vipi hawataki kuona mtu apoteza maisha kizembe kwa kutumia vitu vya angali that why wanaangalia safety yko! Cha msingi nenda TCAA ukaombe Permission ya kuja kukikagua Chombo chako then wakakuelekeza jinsi ya kufanya alafu lazima kuna vitu wakufahamishe like wtu angani wanazungumza lugha ambayo ni tofauti na lugha za kawaida kwa mtu wa kawaida hauwez kuelewa so fanya ivo ndugu yngu! Naamini utafika mbal inshallah!👏👏✈💪
mzee baba uko vzr.. tunataka tuone ikiruka kwanza. pia serikali ione vipaji hv na kuviinua.. hata wazungu wao walianza hv by trial and error hata wengine wanapoteza maisha ktk mambo km haya.
Hawa watu wanaojitahidi kutengeneza helicopter waangaliwe wasaidiwe,nchi zote zinazotengeneza vitu vikubwa kwa sasa walianza hivi hivi mdogo mdogo mpaka wakafanikiwa, Korea ya kaskazini ilikuwa haina trchnolojia ya kutengeneza makombora, ikaanza mdogo mdogo wakajaribu zikawa zinaanguka hovyo, wakitengeneza tena zinaanguka, lakini mpaka sasa wameshafanikiwa kutengeneza zinazo aminika, ile kujaribu jaribu na kushindwa ndo kunakoleta mafanikio baadae.
Tanzania kuwawekea vikwazo watu kama hawa, ni ukosefu wa maarifa na siku zote tutabaki nyuma siku zote.... Elimu ya darasani haitufundishi kujitegemea ila watu wanatafuta vyanzo vya wao kujitegemea et sheria inawazui kufanya hivyo.... hakika sheria kama hizi ni mbovu sana na kunakila sababu sheria hizi kufanyiwa marekebisho
Iruke isiruke ila hongera uo ndo mwanzo jamani wazanzibar tuna vipaji. Serikali watu kama hawa watumieni hata ao waliotengeneza magar tunayopanda na meli na kila kitu walianza hivyo uo ndo mwanzo, hongera sana
Mashaallah Hongera Tunaweza Wakati umefika wenye vipaji wasaidiwe tupaye songa mbele
Allah akuwezesheni waznz amin musiwaachie wazungu tu
Mungu akubaliki kipaji chacko kidumu
hongera Allah akujaalie kila lakheri
Natumaini serikali hii ni tofauti sana na zilizopita. Naiomba itoe nafasi kwa watu hawa kwa kuwapa mafunzo ya ziada ili nasi tunufaike na rasilimali watu wetu! Ni jambo kujivunia kabisa kuwa na watu hawa. Mungu wasaidie wapewe nafasi hiyo!
hongera bwana said sugu mungu akuzidishie ujuzi na utaalamu.
Hongereni sana KTV TZ kwa vipindi vyenu vya kuelimisha jamii ila jaribuni sana kwa watangazaji wenu wawe wanaelimisha jamii kwa kila kitu sikupendezwa na mtangazaji kukata mkato wa nywele kama ilivyo hapo hii ni kupotosha maadili AHSANTENI .
Nice
ingekua ulaya angesha zaminiwa
apewe sapota
na vidani
Mast Zube
Sawa, Ahsante sana. Sote tumshukuru Mola. Nawatakia kheri sana Ndugu Sheni na Maalim Seif, Wazanzibari na Watanzania wote kwa ujumla.
Hongera sana bwana sugu lakin serikali ndo wenye dhamana kwaajili ya usalama wako na watanzania wote

Najivunia Nchi yangu ya Tanzania kwa kubarikiwa kwa vipaji tofauti tofauti.
Mashaallah Allah amzidishie maarifa...wazanzibari tujifunze kupeana moyo...na serekali mtu km huyu ni wa kuwa nae kabisaa hakuna kisichowezekana kwani waliotengeneza ndege..gari..jet ..na vyenginevyo sio wanyama bali ni binaadamu kwa hio tusidharau mtu kila kitu kinawezekana sana tu hongera mr sugu nakuombea mafanikio na ujuzi zaidi ipo siku watakuelew tu.
Safi sana kwa moyo wako
Mshkaji hongera mzee baba uko poa mwanangi
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ana kipaji kikubwa mashaallah! Ila bahati mbaya umezaliza tz. Usikate tamaa na Rehma za ALLAH. ALLAH akufikishe mbali aamin.
Masha Allah, hongera sana Best wangu, Coach mwenzangu Mr Sugu Allah akuongezee zaid yahapo ulipo kaka
Mashallah ndugu yangu umekua imani yako ndio itayokufanya usifike mbali ungekua upande wa pili wangekusapoti na kuendeleza kipaji chako kwani walioanza kubuni vitu ilikuaje lazima wajalibu waone kama inafanya kazi na walikuwa wanafanikiwa Allah akujalie kwa ubunifu wako
Peleka udini pimbi ww
Hongera ndugu Said Sugu kwa ufundi wako wa kuigiza helicopter. Mungu akuzidishie kipawa cha kuweza kuvumbua kitu kitakacho saidia taifa kimaendeleo. hapo ulipofika tosha kuwa unao uwezo wa kufanya hivyo. chekecha akili serikali itakuinua kwa mawazo mbadala ya kutatua matatizo ktk jamii. Allah yupamoja nawe
Hongera kaka kwa kuiwakilisha Zanzibar yenu
MashaAllah hongera sana hakika hiki ni kipaji kikubwa sanaaaa
hongera sna lakn kwa inch kama hii mtakufa na vpaji vyenu
Duh!! Mashallah Hays serikali kazi kwenu SSA watu wanataka seaport yenu tuu waiinue tz...
Ikiruka juu mkae mbali Sana,... Odd do change
Mashallah nakukumbuka jang'ombe 1979-80 hongera
Mungu nimwemA sana amina
Hongera sana Mr sugu kutokana na kazi yako nzuri
Mungu Tunakushukuru kwa ajili yake
Naomba namba zake huyu engineer,,tuongee tupange tushinde
Suguuu we noma serikali mpeni fursa mzanzibar mwenzitu mungu amempa kipaji.
Hongera sana. Allah atakufungulia kila la kheri. In sha Allah atokee mtu aione clip hii na awe na hamu ya kuja kuonana na wewe na uwe mwanzo wa kufungukana. Analolitaka mungu mja hapangui. Iwe ni kheri yako in sha Allah
Tunaiomba serikali impe support kubwa miheshimiwa sugu na wafadhili pia wampe nguvu ili aweze kua miongoni mwa watu wahistoria ktk dunia hii mungu akubariki sana?
Sio serekali ya tanzania
Imeishiwa wapi hii watanzania?
umejitahidi saana mzee hongera nimeipenda
Good job bwana sugu
Nasubiri nione itaruka 😘💞💝
Na mimi nitatengeneza ndege ya ajabu ambayo itaizunguka Dunia ndani ya mda mfupi tu.
hongera kwa bw.sugu na mwanae ingawa sioni sababu ya kukupa hongera mtangazaji cz kwanza umetudanganya sana kwa kusema itaruka.
umezimgua boy. .
Mungu akulinde
Hongera broo
Tuko pamoja Sana ndugu yetu mtanzania mwenzetu umeonyesha uwezo uliokuwa nao Mungu akusimamie hadi mwisho wa jambo lako kwa uhakika unaitangaza nchi ya Tanzania kimataifa zaidi
Abdu Salum acha ujinga wewe
Anapatikana wapi
Big up kaka ww ni mfano wakuigwa na vijana wetu
Jamani serekali tunahitaji support
Naomba contact zake huyu jamaa niweze kumuunganisha na sehemu husika katika serikali Zanzibar
Taarifa haijakamilika bila ya kuirusha hewani watu wakaprove ikiwa angani kwa kuruka na kutua salama. Lakini nampongeza kwa body niliyoiona ikiwa chini.
God help Africans.Glory to God
Mashallah sugu
Mko vizuri sana ktv
Hongera sana Sugu pia hongra sana mtangazaji hakika Kupitia hii video fupi nimejionea vipaji viwili adi vitatu ambavyo vitafika mbali sana ktk maisha First wewe mwenyewe ndugu mtangazaji! Yani sio siri ndugu yngu Your the Best! Keep it up utafika mbali sana but the best thing cha kukushauri ni appearance yko kidogo Uizidishe like Those hair apo juu, I know bdo ujana Unakuendea but unaweza kupata nafas ya kutangaza katika mashirika makubwa Tanzania adi duniani lkn Ukafail kwa sababu ya appearance yako tu! But keep it up I believe utafika mbali!💪 then Mh. Sugu Kuhusu Helkopta yko Hauwez kurusha kwasababu Tanzania kuna kitu kinaitwa Mamlaka ya Anga Ambayo ni Tanzania Civil Aviation Authority (T.C.A.A) hawa majamaa kazi yao kubwa ni kulinda maisha ya wana anga na abiria like kwann hawajakuruhusu kurusha iyo Helkopta coz hawajui km ipo salama kuruka ama vipi hawataki kuona mtu apoteza maisha kizembe kwa kutumia vitu vya angali that why wanaangalia safety yko! Cha msingi nenda TCAA ukaombe Permission ya kuja kukikagua Chombo chako then wakakuelekeza jinsi ya kufanya alafu lazima kuna vitu wakufahamishe like wtu angani wanazungumza lugha ambayo ni tofauti na lugha za kawaida kwa mtu wa kawaida hauwez kuelewa so fanya ivo ndugu yngu! Naamini utafika mbal inshallah!👏👏✈💪
Ahsante sana nimekuelewa na nitayafanyia kazi
T.man fatah umejitahidi kutoa maoni mazuri
sugu yuko imara✅namkubal
Nchi ya Tanzania kwenye visiwa vya Zanzibar.... damnnn now
Mwenyezi Mungu ni Mkubwa
Hongera Sana'a kaka yangu
namkubsli
hongera babu
tufikie muda TZ tupeleke ama kuwekeza pesa pahala husika kama huku kwenye mafunzo haya siyo kila kukicha kuziweka kwenye siasa tuu..!!
Chına 1990's ilianza hiv hiv serikali iliwaruhusu wabunifu na leoo hii china ni level nyingne
Asalaamghalaykum maashaallah
salute sana
Safii hongeren
Jee inaruka?
I like hlcpt
duh hongera kwaubunifu
mungu akujalie
Mm nasema penye miti hapana wajenz sina maneno mie langu jicho ....
AkiliMtuwangu 😇
ugera sana
Big up Tanzanians.
Nchi za Africa tunataka watu kama hawa Hongera sana.
Masha Allah
Big up xn kaka
mzee baba uko vzr.. tunataka tuone ikiruka kwanza. pia serikali ione vipaji hv na kuviinua.. hata wazungu wao walianza hv by trial and error hata wengine wanapoteza maisha ktk mambo km haya.
God bless you
Hawa watu wanaojitahidi kutengeneza helicopter waangaliwe wasaidiwe,nchi zote zinazotengeneza vitu vikubwa kwa sasa walianza hivi hivi mdogo mdogo mpaka wakafanikiwa, Korea ya kaskazini ilikuwa haina trchnolojia ya kutengeneza makombora, ikaanza mdogo mdogo wakajaribu zikawa zinaanguka hovyo, wakitengeneza tena zinaanguka, lakini mpaka sasa wameshafanikiwa kutengeneza zinazo aminika, ile kujaribu jaribu na kushindwa ndo kunakoleta mafanikio baadae.
Big up..God bless Africa
TZ vijana tukiwezeshwa tunaweza
Bigup znz
Kwakweli ni nchi kukosa maendeleo na kuwapa sapot watu kama hawa wagekua mbali sana
Unataka kuuwa watu wewe hiyo kama una test weka toy usipandishe mtu kesi hiyo
Hercopter zote za Africa hua haziluki chunguza tu uone vtuko ipo ya Kenya Uganda Ghana Zimbabwe ivory cost Tanzania nk zoote ni vituko
Assalamu alaykum sasa tafuta chuo usomee zaidi ili upate leseni aw k8bali ya hiyo fani
kutengeneza hongela ipae sio tunajalibu tu fanya kweli
Blessed
Hongera
du! big up saidy
Hata ulaya hawakuanza na insurance ndo maana wakafanikiwa , so endelea mbele na majaribio.
Good
Tanzania kuwawekea vikwazo watu kama hawa, ni ukosefu wa maarifa na siku zote tutabaki nyuma siku zote.... Elimu ya darasani haitufundishi kujitegemea ila watu wanatafuta vyanzo vya wao kujitegemea et sheria inawazui kufanya hivyo.... hakika sheria kama hizi ni mbovu sana na kunakila sababu sheria hizi kufanyiwa marekebisho
TALENTED
Hongora ila chuma chakavu
Ndo Mana Siangaliaga Vitu Vya TANZANIA Yan Caption na Video Doh
Yan wamezingua ile mbaya, halafu sasa m nilijua inaruka wala haijapaa
Nyinyi ndio mnatakiwa kuwa watu wa mwanzo kusaporti vipaji lkini ndio Kwanza mnazidi kuwapa changamoto ili wakate tamaa
Iruke isiruke ila hongera uo ndo mwanzo jamani wazanzibar tuna vipaji. Serikali watu kama hawa watumieni hata ao waliotengeneza magar tunayopanda na meli na kila kitu walianza hivyo uo ndo mwanzo, hongera sana
DAH kiukwel uyo jamaa jembe ama nn mdada sema nao selikali wanazingua tu pia cjui kma italukaaa lkn itaruka
VERY GOOD AND COOL
Serekali y kihuni haiwezi kuwasuport watu km hao wapo wengi t
UKOVIZURI SANA BRATHER BAMBANA MBWANA SUGU
Safi sana
mhh umetish
very nice
Serikali muda mwengine mnaboa kamsomesheni huyu baba tuwe na watu hawa nyinyi mko kwenye ujinga tu
Big shaq
Wallah yakh wao wamo tu kalba aswad
we ndo mjinga kweli, huo ni ubunifu au kuiga ? kungekuwa duniani hakuna kitu kama hicho ndo ungekuwa ubunifu,
@@mwibatraining4736 kamanikuiga siuige nawewe wivu unaitafuna bongo watukamanyie hukukwetu nikuwapotezatu
@@mwibatraining4736 yaan wewe
Hongera sana.
Najivunia kua mzanzibar
Hii korokpta ya kwenda giningi ii
meri iriopata ajar evi nyerere
Serikali ya Zanzibar kusuport Mambo Kama hayo ni ndoto sana sabb ubaguzi wa kisiasa na kiitikadi ndio magonjwa yao wahuni wakubwa hao