ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

MZEE ALIEJITENGENEZEA UMEME NJOMBE, KASAMBAZA KWA MAJIRANI, ELFU 5 KWA MWEZI, KAISHIA LA 7

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2019

ความคิดเห็น • 214

  • @rachelkibaya8537
    @rachelkibaya8537 4 ปีที่แล้ว +63

    MZEE WEWE GENIUS KAMA RAIS WETU DR. MAGUFULI.....BIG UP💪

  • @shadowmedia7644
    @shadowmedia7644 4 ปีที่แล้ว +22

    Kama unakubali kuwa elimu ya darasa la 7 ya mwaka 1976 ni sawa na masters ya sasa gonga like millard ayo bro big up msalimie vido vidox mwambie shadow anakusalimu

  • @denisjonathan4919
    @denisjonathan4919 4 ปีที่แล้ว +25

    Tanzania ya viwanda hiyoooo drs la 7 hoyeeeeeeee

  • @newbornhaule1635
    @newbornhaule1635 4 ปีที่แล้ว +17

    Mzee naiona Master's kichwani mwako unaakili kuliko vyeti big up....vyeti vimefungia hazina kubwa.... Wasomi mjitahidi kuiga wenzetu wajerumani walitumia ujuzi wao kumuinua sisi tunafeli wapi?

  • @mechanicaldesignbrain
    @mechanicaldesignbrain 4 ปีที่แล้ว +16

    Mtafutaji hachoki Big Up Ayo you re fighting to reach you're destiny 👏👏👏

  • @nahodahassan6938
    @nahodahassan6938 4 ปีที่แล้ว +14

    Millard Ayo...upo vizuri sana

  • @user-vy6st5ki2v
    @user-vy6st5ki2v 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaoungana na mimi kumukubsli huyu mzee mnipe mnipe.like zangu

  • @youngrappertz1735
    @youngrappertz1735 4 ปีที่แล้ว +107

    kama unaamini watu wazamani walikuwa na akili sana #Gonga like hapa...😀😀

    • @fahadfaraj1263
      @fahadfaraj1263 4 ปีที่แล้ว +1

      Hata wasasahivi aisee ndo mana wao hawagungua smartphone au vitu vyenye technology ya kisasa

    • @fahadfaraj1263
      @fahadfaraj1263 4 ปีที่แล้ว +1

      Hata wasasahivi aisee ndo mana wao hawagungua smartphone au vitu vyenye technology ya kisasa

    • @salimharrasy7047
      @salimharrasy7047 4 ปีที่แล้ว +2

      Heko mzee wetu.
      Mungu akusimamie katika zako.

    • @salummwanjali3207
      @salummwanjali3207 4 ปีที่แล้ว +1

      Darasa la saba hao wakati wengine wanawaona hamna kitu mungu ndiyo mjuzi

  • @Emmanuel_Singu
    @Emmanuel_Singu 4 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana mzee wangu, naomba serikali ikuwezeshe zaidi

  • @agesag.m2476
    @agesag.m2476 4 ปีที่แล้ว +8

    This great, I really like this idea, how I wish Tz Gvt should engage him and start a Technical institute in this compound.

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 4 ปีที่แล้ว +9

    Millard Ayo kazi zako mzuri sana

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 ปีที่แล้ว +5

    Hongra sana Baba uko vzr Mungu akutunze na akulinde na vijana wakuige

  • @neemalkiswaga6126
    @neemalkiswaga6126 4 ปีที่แล้ว +48

    Wanjombe tujuane hapa😍

  • @annambezi6226
    @annambezi6226 2 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante mnoo ayo Tv

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 4 ปีที่แล้ว +79

    WALIO ENDA CHUO SASA ATA KUPIKA CHAPATI YA MAJI HAWAJUI
    HAHAHAHAHAHAHA

  • @jaypili7837
    @jaypili7837 4 ปีที่แล้ว +13

    ingekuwa inchi zilizo endelea huyu mzee angekua millionaire mkubwa sana lkn Africa

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Baba!!!
    Elimu siyo njia pekee ya Mafanikio.

  • @denisjonathan4919
    @denisjonathan4919 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mzee anastahili tuzo kubwa sana hapa nchini na zaidi ya hapo support inahitajika sana

  • @lovenessrichard1473
    @lovenessrichard1473 4 ปีที่แล้ว +49

    Tunaoelewa maana ya nyengo gonga like 😂😂

  • @neemalkiswaga6126
    @neemalkiswaga6126 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongera cn mzee wetu

  • @manumaelectricalworks1850
    @manumaelectricalworks1850 4 ปีที่แล้ว

    Hao ni darasa la saba la zamani,hongera sana mzee wetu.

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 4 ปีที่แล้ว

    Hongera baba yangu umejitahdi sn

  • @user-my9hc6uf9l
    @user-my9hc6uf9l 4 ปีที่แล้ว +8

    "hakika Rais huyu atutufikisha pazuri"
    Ni kweli kabisa

  • @dluena
    @dluena 4 ปีที่แล้ว +2

    Very inspiring

  • @edenihighness8691
    @edenihighness8691 3 ปีที่แล้ว

    Asanteni nimeipenda hii

  • @salumusalumu8165
    @salumusalumu8165 3 ปีที่แล้ว

    Mzeeee upo vizuriii. Wangapi wana
    Mkubali mzeee uyu

  • @MachembaMedia
    @MachembaMedia 4 ปีที่แล้ว +8

    @millard ayo
    Tafadhari unaweza nipatia mawasiliano ya huyo mzee.

    • @ElishaTz-fs2oe
      @ElishaTz-fs2oe 4 หลายเดือนก่อน

      😢😢😢alishafaliki

  • @nicholausnchimbi1599
    @nicholausnchimbi1599 4 ปีที่แล้ว +8

    HONGERA SANA AYO KWA KUWAFUATA WABUNIFU NA WATU WENYEJUHUDI MBALIMBALI WALIPO NJOMBE INA WENGI SANA AINA YA PWAGU WATAFUTE PIA,NI IMANI YANGU MNAMSAIDIA SANA RAIS KUPATAWATU WATAKAO IFIKISHA PAZURI SERIKALI YA VIWANDA,NARUDIA KUKUPONGEZA AYO NA TVYAKO

  • @geofreyexaut5862
    @geofreyexaut5862 4 ปีที่แล้ว +9

    Kweli pwagu sio shida pwaguzi ndo anazinguaga siku zote

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 3 ปีที่แล้ว

    Hongera zake baba

  • @goodluckmasige5276
    @goodluckmasige5276 4 ปีที่แล้ว +13

    changamoto hiyo kwa wasomi na wataalam wetu walolalia taaluma zao.

  • @ramsixymwenga2352
    @ramsixymwenga2352 4 ปีที่แล้ว

    noma San mzee genius

  • @annestamwinuka
    @annestamwinuka 2 ปีที่แล้ว +1

    This is the gift from God

  • @kimitochacha4426
    @kimitochacha4426 4 ปีที่แล้ว

    Hawa wajerumani mungu awabariki sana hawalipwi akini fraha yao kuona mtu akifanikiwa sasa tanzania Hahaha hata kama madarakani hawataki kutoka wanawezaje kuthamini wengine mhhh

  • @kingandreemmanuel7908
    @kingandreemmanuel7908 4 ปีที่แล้ว +2

    Very imresive niliatka pia ckufiaa malengoo natamn tenaa......

    • @wilsonmoses2761
      @wilsonmoses2761 4 ปีที่แล้ว

      Wewe jamaa uko wapi siku hz
      Masumbwe au wapi

  • @kalebumkandi6439
    @kalebumkandi6439 4 ปีที่แล้ว +30

    Kama unaamini Tanzania inaongoza kwa vipaji gonga like

    • @akwanzamtenga2174
      @akwanzamtenga2174 4 ปีที่แล้ว

      Kipaji kama vile Mwalimu alifananisha na urefu au ufupi wa mtu vitaezabiwa?😚😚😚

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mzee uongeaji wake tu kwa kweli ni mtu mwenye AKILI za kutosha sana sana

  • @Afritextvkviewshoursago
    @Afritextvkviewshoursago 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee ongela saana ukukwetu rwanda hatunawaze kamawewe ongerasaana

  • @athumankamote6148
    @athumankamote6148 4 ปีที่แล้ว

    Technology inahtajika sana katika maisha yetu ilituweze kufanya comption na mataifa kiuchumi by Athumani Kamote moshi njoro

  • @konde24ful
    @konde24ful 4 ปีที่แล้ว +2

    Wasomi wadogo wadogo warikuwa faida kwajamii kama sku zote kwani wao wanatambua uwepo wa mungu katika kazi zao. lakini wa vyuo leo niwakuzarisha shida na usumbufu kwa jamii, nakusababisha magonjwa ya kisaikorojia (psychology) kuongezeka. Hawana rorote wana tafuta maisha kiurahisi rahisi ndomana wawo nikupigania viwanja vya politic na uongozi. watu kama hao niwale akishika ungozi frani au madaraka kirakitu uwe na kibari frani iri uunde au ufanye, hawa mara nyingi hugeuka majambazi wa siri. nakuuza wana nchi kwa vikundi vya majambazi, kinacho fuata unapotowa ripoti ya wezi frani sku ifuatayo umesha safirishwa na kuitwa malehemu. Ee Mungu bariki kazi ya mikono ya watu wako na viongozi waelewa.

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 ปีที่แล้ว

    Honger

  • @josephjoseph8982
    @josephjoseph8982 2 ปีที่แล้ว

    Daa mzee kiboko

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 4 ปีที่แล้ว +12

    Na huu ndo uanaume lazima ukaze moyo utafika sehem nzuri

  • @patricksaanane7333
    @patricksaanane7333 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana mzee

  • @bwirechrispus3092
    @bwirechrispus3092 3 ปีที่แล้ว

    Good brain

  • @onegivetoboy4576
    @onegivetoboy4576 2 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @khamisijuma4842
    @khamisijuma4842 4 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana Mzee
    Ni kweli Magufuli alikuwa kiongozi wa kuigwa

  • @Kionambali7
    @Kionambali7 4 ปีที่แล้ว +2

    Hii inaonyesha ni namna gani mfumo wa elimu wa Tanzania umefeli kabisa kutukomboa.......haumuwezeshi mtu kujitegemea zaidi ya kuwaza kuajiriwa wakati wenye elimu kidogo ndiyo wanaofanya mambo zaidi ya mategemeo, mfumo una urasimu mwingi sana. KUJUA KUSOMA na KUANDIKA TU VYATOSHA vingine ni mbwembwe na kupoteza muda!!!

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 24 วันที่ผ่านมา

    Baba yangu amesoma darasa la zamani linaloishia la nne lakini humwambii kitu hasa kuhusu ujenzi sijui rangi malumalu na vingine vingi wee acha tu

  • @lukasanga9483
    @lukasanga9483 4 ปีที่แล้ว +1

    hyo ni kubwa sana aisee...asant bro millardayo kwa habar za nguvu

  • @harounali9057
    @harounali9057 4 ปีที่แล้ว +3

    Nime ipenda

  • @deograsiasngailo4871
    @deograsiasngailo4871 4 ปีที่แล้ว

    Ayo hua nakuelewa sana! Huyo mzee ni dhahabu

  • @eliasmwambeta6453
    @eliasmwambeta6453 4 ปีที่แล้ว +3

    Mzee ww unadhihirisha kipaji chako na wale wenye elimu ya umeme ya juu waje kwako wajifunze zaidi maana kila siku wanasema kuongeza elimu si bora wangekuja kwako wapate ujuz zaidi

  • @xmathematics_
    @xmathematics_ 4 ปีที่แล้ว +23

    Wasomi wa siku hzi mnachoweza ni kuomba LiKe tu.....😀😀

  • @josephlukata2616
    @josephlukata2616 4 ปีที่แล้ว +1

    Naweza kupata connection nahuyo mzee plz

  • @user-zb9sq2ov5z
    @user-zb9sq2ov5z 10 หลายเดือนก่อน

    Safi mzee😅

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana mirad

  • @celebratingunited4064
    @celebratingunited4064 4 ปีที่แล้ว +3

    jaman

  • @alfredtesha3063
    @alfredtesha3063 3 ปีที่แล้ว

    Noma

  • @nsuriitv2468
    @nsuriitv2468 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyo jamaa anamzidi yule mwenye degree 4.

  • @PavicMindPro
    @PavicMindPro 3 ปีที่แล้ว

    Well

  • @leoniamguma973
    @leoniamguma973 4 ปีที่แล้ว

    Mzee nimekupenda bure

  • @bakariabdallah4883
    @bakariabdallah4883 4 ปีที่แล้ว

    ongela mzee

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 4 ปีที่แล้ว +6

    mzee una akila mali yani inatakiwa kuwalinda sana watu kama hawa.

  • @fredrickbochela6509
    @fredrickbochela6509 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimeikubal hiyo hongera sn mzee

  • @tunkuh661
    @tunkuh661 3 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🤝

  • @bobleeswagger8166
    @bobleeswagger8166 4 ปีที่แล้ว

    Tulishafika hapo kwa huyo mzee mwaka 2011 tukiwa kidato cha sita NJOMBE BOYS SECONDARY SCHOOL kufanya project. tuli enjoy sana kwa huyo mzee na alitupitisha kwenye kila sehemu yake aliyopitishia mitambo yake. Alituambia pia huwa analipia hayo maji kwa maji japokuwa ni natural resources

  • @phantyrhymes9536
    @phantyrhymes9536 2 ปีที่แล้ว

    Gifted father

  • @barick
    @barick 4 ปีที่แล้ว +9

    Huyo anaitwa pwagu ni fundi miaka mingi sana

    • @barick
      @barick 4 ปีที่แล้ว

      @@hairesellasie1667 kweli

  • @annambezi6226
    @annambezi6226 2 ปีที่แล้ว

    Jamani huyu engineer wa muhimu sana happa tz. Apanue miundombinu yake zaidi. Serikali iliangalie hili kwa jicho pana zaidi

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 4 ปีที่แล้ว +4

    Kujituma ni mtaji.

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 3 ปีที่แล้ว

    👍

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukikaa vibaya Tanesco watakutumia malimbikizo ya bili ya umeme😂😂😂

  • @mwanamutemi
    @mwanamutemi 4 ปีที่แล้ว +1

    kwa kua uzalishaji wa umeme unapofikia KW 100 ndipo utafuatwa na TANESCO lakufanya ni kuzalisha KW 98 ili usibabaishwe na TANESCO kisha upate SAFETY CERTIFICATE uendelee kusambazia vijiji na wananchi wa karibu na kwako kwa urahisi kabisa.

  • @juliusmpasa634
    @juliusmpasa634 4 ปีที่แล้ว

    Gd

  • @obedmlule5863
    @obedmlule5863 4 ปีที่แล้ว +2

    Nilifika kwa huyo mzee Njombe mji mwema

  • @eliakipampu8235
    @eliakipampu8235 4 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @mohammedabdallah6390
    @mohammedabdallah6390 4 ปีที่แล้ว +4

    Ayo waambie hao wadhamin wako Azania waambie unga wa ngano PPF huku zanzibar watuleee umehadimika sana

  • @ernestmwanalinze2612
    @ernestmwanalinze2612 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania tunavipaji vikubwa sana lakini taifa limeshindwa kuwatumia....utasikia oooh wee umesoma chuo gani.Tuna maporopesa hawajui kitu wapo tu ukiwambia wamefanya nini hakuna hata kitu chakukumbukwa kwa taifa

  • @captenndunga6199
    @captenndunga6199 4 ปีที่แล้ว +2

    Wanasema njia nyepesi ya kumuua muafrica KIFIKRA weka historia kwenye vitabu waafrica hatupendi kujisomea vitabu. Na kwa hilo makaburu wamefaulu ndo mana wanaichafua BANGI huku mataifa yao wanahalalisha ila ukweli wa bangi uko kwenye VITABU. Hatuzungumzii kwa kuvuta mana ukiizungumzia GANJA watu wanakuona umepotea lakini kumbe tumefungwa mawazo na watu wa dunia ya kwanza.

  • @hamisimgugu6397
    @hamisimgugu6397 3 ปีที่แล้ว

    Nakazia. Hakuna ulazima wa tanesco kutumia gharama kubwa sana kusambaza umeme kila sehem, wakati kuna maeneo ambayo kuna vyanzo vya nishati. Kwa iyo kila rasilimali nishati zilizopo ktk maeneo tofauti tofaut zitumike ili kupunguza gharama za kusafirisha umeme kutoka kwenye vyanzo vichache vilivyopo Tanzania. Big up mzee wewe ni engineer

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 ปีที่แล้ว +6

    Vijana hawataki kutuliza vichwa vyao na kuona au kudadavua ndoto zao muda wote wanachati

  • @pesangwasalim5258
    @pesangwasalim5258 3 ปีที่แล้ว

    Wazee kama hawa serikali ingekua inawapa jimbo zima lisambaze umeme wao,nina uhakika tungekua na umeme tunakaa hata miaka mia bila umeme kukatika kisha tanesco wao wangepewa nafasi umeme wao wausambaze viwandani tu

  • @kimitochacha4426
    @kimitochacha4426 4 ปีที่แล้ว +1

    Serikali baada ya kuwapa mazingira mazuri watu kama hawa wanajua kuiba kura swala sio kuwaita ikulu inatakiwa kuwanadlia mazingira mazuri hata kumwanadalia shule afundishe wengi kama kila mwaka atatoa wahitimia mia ndani ya miaka 30 tanzania hatutakuwa na shida ya umeme

  • @obedyfredy3311
    @obedyfredy3311 4 ปีที่แล้ว

    Uko Vzr Mzee ajila Kwa ko inapatikana??????

    • @alexchungu9505
      @alexchungu9505 4 ปีที่แล้ว

      Obedy Fredy , wewe mpelekee vyeti na cv yako, atakuajiri

  • @joveticndekyo8374
    @joveticndekyo8374 3 ปีที่แล้ว

    2po pamoja sana

  • @smartismine1127
    @smartismine1127 3 ปีที่แล้ว

    Pwagu nakufahamu tangu ujana wako unapamba kuhusu umeme mm nilikuwa bafu bite hangafilo hongera

  • @suzanmgaya4323
    @suzanmgaya4323 4 ปีที่แล้ว

    Bug millard Ayo kweli mfatilia vitu vaukweli

  • @musso238
    @musso238 4 ปีที่แล้ว

    Anaitwa mzee pwagu nikitambo sana kaanza haya mambo

    • @neemalkiswaga6126
      @neemalkiswaga6126 4 ปีที่แล้ว

      Mie nataka ni mtembelee yuko mji gani Njombe

  • @zimboj5278
    @zimboj5278 4 ปีที่แล้ว +7

    Siku nikienda njombe lazima nifike

    • @starmsictv1649
      @starmsictv1649 4 ปีที่แล้ว

      Mm nipo njombe ntkupeleka

    • @zimboj5278
      @zimboj5278 4 ปีที่แล้ว +1

      Ntashukuru kaka

  • @saidmbanga2867
    @saidmbanga2867 4 ปีที่แล้ว

    Saf sana.

  • @awadhirashidi3531
    @awadhirashidi3531 2 ปีที่แล้ว

    Tunaomba mwendelezo wa huyu Mzee tangu kumalizika kwa mahojiano haya

  • @saidali7331
    @saidali7331 4 ปีที่แล้ว

    Mzee hana hata physics , lakin ni mtaalamu watu wako na physics hata idea yoyote mpka anakufa

  • @sidetiamoszillieno808
    @sidetiamoszillieno808 3 ปีที่แล้ว

    Sawasawa

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 3 ปีที่แล้ว

    Sema ni hera tu

  • @Josung08
    @Josung08 10 หลายเดือนก่อน

    kashapumzka kwa aman sas mzee wetu

  • @hassamfariis5151
    @hassamfariis5151 4 ปีที่แล้ว +1

    Watu wanakuja nawasaidia sana wananowa mapanga yao..mkoani njombe

  • @ammaherman3391
    @ammaherman3391 2 ปีที่แล้ว

    Aisee Mzee huyu ni zaidi ya maprofesa wetu wenye vyeti! Angekua USA huyu angepewa heshima yake anayostahili. Sio hawa wasomi wa TZ wakuzalisha shida badala ya kutatua mattzo kwa jamii.

  • @anwarykilunga5694
    @anwarykilunga5694 3 ปีที่แล้ว

    Atimae Mzee Pwagu tumempata,Sasa yeye ndo atasema Pwaguzi yupo wapi????