𝗦𝗼𝗺𝗲𝘀𝗵𝗲𝗻𝗶 𝗔𝗾𝗲𝗲𝗱𝗮𝗵 𝗬𝗮 𝗔𝗵𝗹 𝗦𝘂𝗻𝗻𝗮𝗵 𝗧𝘂𝗷𝘂𝘄𝗲 𝗡𝗮𝗻𝗶 𝗠𝗸𝘄𝗲𝗹𝗶

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 31

  • @salafi.
    @salafi.  2 หลายเดือนก่อน +8

    ولا تلبسوا الحق بالباطل وتكتموا الحق وأنتم تعلمون

    • @abuuyasir1253
      @abuuyasir1253 หลายเดือนก่อน

      Kwa watu wa kawaidi majadidah ni wakali kwa watawala waovu their masters have soft spot

  • @elimikanamadrasa5490
    @elimikanamadrasa5490 2 หลายเดือนก่อน +7

    منهج الســـــــلـــف بدأ في عهد رسول الله

  • @AbulqassimAshirazy-yd7th
    @AbulqassimAshirazy-yd7th 2 หลายเดือนก่อน +2

    Good mashallah Baraka Allah fiiki. Abulkhatwab Allah akuhifadhi.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 หลายเดือนก่อน +5

    DK maneno yako hayafanani na wewe!!
    Unaacha kusema haki ili uwaridhishe watu?
    Ruduud si ktk qiila wa qaala!!
    Rudud ni ktk dini!!bila Ruduud ,uislam umgekuwa mithili ya UNASWARA (UKIRISTO)

  • @ahlulhadeeth
    @ahlulhadeeth 2 หลายเดือนก่อน +7

    لِّيَهۡلِكَ مَنۡ هَلَكَ عَنۢ بَيِّنَةٖ وَيَحۡيَىٰ مَنۡ حَيَّ عَنۢ بَيِّنَةٖۗ

  • @KhalidNassor-qh9mc
    @KhalidNassor-qh9mc 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh wachape mpaka warejee katika haki

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 หลายเดือนก่อน +2

    Daawat Salafiya ni kazi Tukufu sana lakini imevamiwa .

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tulkua tunaishi na watu ambao walikua wakizikalia sunna, sasa alhamdulillah wamekuja watu wakaeneza dawa salafyah ikaenea na watu wengi sasa wamezinduka..
      Masalafy wanasomesha na wanajitolea Lakin mahizb wanatanguliza maslahi Ndio Maana dawaa Yao imekaliwa juu.
      Allah awahifadhi mashekhe ZETU wa kisalafy na awazidishie uwezo wa kueneza daawa salafyah.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 2 หลายเดือนก่อน

      @@AbulqassimAshirazy-yd7th Daawat Salafiya ni kazi Tukufu saana ila Usulubu unaotumika na walinganiaji wa sasa ni wa kihizbi. Ubishoo mwingi, ria'a na sum-a'.Kinyume na Muongozo wa Kitabu na Sunnah kwa ufahamu wa Assalafi Asswalih. Tabia mbaya zimepelekea Daawat Salafiya kueleweka vibaya katika Umma wa Kiislamu kutokana na vitendo na maneno yasiyofaa ya maduat.

  • @GOP-Abdallah
    @GOP-Abdallah 2 หลายเดือนก่อน +3

    eh,kwa kweli daktur amewatia kisunzi

  • @abuuaisha6110
    @abuuaisha6110 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jee yafaa kuweka picha za wenzenu lakini picha zenu kuzificha?

    • @GOP-Abdallah
      @GOP-Abdallah 2 หลายเดือนก่อน

      mufti wa mkomani amesema yafaa,bora waeke sauti yake akisema mpaka kieleweke

    • @sharifsayyidalmahdal
      @sharifsayyidalmahdal 2 หลายเดือนก่อน

      Picha haramu

  • @TahfifuAlly
    @TahfifuAlly 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallaaah

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ndo aina ya Daawa waliyonayo wazee wa hasadi na khusuma. Wanaweka picha za Waislamu halafu wanapiga vijembe. Wanawaita watu mahizbi wanazisahau nafsi zao. Lakini umma unawatambua kila uchao. Hapana Apasae kuabudiwa kwa Haqqi ila ALLAH SUBHANAHU WATAALA.

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 6 วันที่ผ่านมา

      Je? Una ilimu yoyote ututolee na Allaah akulipe kher au ni maneno matupu tu?

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 6 วันที่ผ่านมา

      @@islaminmyheart9348 WALILLAHIL HAMDU. In which field?

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 6 วันที่ผ่านมา

      @@islaminmyheart9348 Tumeumbwa kwa ajili ya kumuabudu ALLAH A'ZZA WAJALLA pekee pasina kumshirikisha na yeyote wala chochote. Na Ibada maana yake ni neno la ujumla kwa kila analoliridhia ALLAH SUBHANAHU WATAALA na kulipenda, katika maneno na vitendo. Dalili;Surat Adhariyat:56.

  • @okwirioby3803
    @okwirioby3803 2 หลายเดือนก่อน

    هؤلاء يعلقون كلاماً سيئاً عن السلفيين فهم مسكين حفظ الله تعالى كلامهم ما كان السلف يحذرون منه بل تسمع عن الشيخ فوزان ولكن قلوبهم مختوم عليها سبحان الله، والشيخ عبد الله حميد وغيره من هؤلاء، ولو كانوا يعلمون عقيدة أهل السنة لطردوا من المسجد.

  • @waleedahmed6530
    @waleedahmed6530 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhifadhi duktoor ISLAM MOHAMMAD SALIM hakika umewakosesha usingizi wanaojiita kwa jina "salafy" kaeni chini musomeshwe na duktoir wacheni hasad jamanyyy😁😁

  • @KhalidNassor-qh9mc
    @KhalidNassor-qh9mc 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sulhu kheyri wajinga wengi hatutaki sulhu sulhu yetu murejee ktk haki basi hayo maneno ya kijahili

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 หลายเดือนก่อน +1

    وغير التقي يأمر الناس بتقا...طبيب يداو، وطبيب مريض.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 หลายเดือนก่อน +1

    Fitna zenu zimeshindwa katika njia za kawaida mmeona muanze mpango wa kiharamia wa editing. Hivi nnauliza;"Hivi mnapata faida gani kuendeleza magomvi na malumbano kila uchao? Mpaka leo sulhu na Shaykh Salim haijapatikana?Ina maana mmeridhia mpaka umauti uwafike bila sulhu?Uislamu upo hapo kweli?! (Na sulhu ni khayr).

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 2 หลายเดือนก่อน +2

      Reejeeni katika hakii wacheni usugu. Kama mnataka suluh, ivi utaweza kufanya suluh na mtu anaejua hakki Kisha akaipindisha Hali ya kua anajua.??

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 2 หลายเดือนก่อน

      @@AbulqassimAshirazy-yd7th Acha ujahili Suluhu ni Amri ya ALLAH SUBHANAHU WATAALA. Kuna sharti mpaka za kufanya sulhu na makafiri. Rudini darasani acheni kumtia ujinga shekhe wenu.

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

      Hakki ya marumbano wenyew kwa wenye vijisalaf uchwara mmshindwa kujisuluhisha mara madahila mara baramika mara hajjawira wenyew kwa wenyew mnatoana kwenye hilo kundi kila kundi linamtowa mwenzio we so salafi ww hizbi baramika nao watarusha kadi kwa hajawira ninyi ni mahizbi ushaona salafi wa kweli ansaari suna wanarushiana kadi za kutoana kwenye sunna lakini Hawa jamaa wametupa mipaka kweli.

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@user-yj5on8cz3e kwaio fauzan, Alban, na wengine ni mahizbi kisa wanawazungumza nyinyi. Istoshe nynyi mna mpaka kadi za uanswari na uanachama wa na mkawatwan wanachuoni ambao wametoharishwa na wanachuoni wakubwa et kwa sababu wamekuradini na kubainisha uovu wenu.
      Sh rabii Hajasalimika na midomo yenu michafu Hali ya kua wanawachuoni wakubwa wanamsifu na kumtakasa sh rabii kua ni ulamaa wa sunna.
      Hata mkakataa kufuata hakki itabakia hakki tu hata mkachukia vipi.

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@ahmadmzoa74 baina yetu na watu wa bidaa Kuna vitabu vya salaf. Hakki skuzote haichanganyiki na batili. Mnataka tukusanye kama mnavokusanya nyinyi mpaka maibadh na masufi, matabligh Kisha mkaichafua manhaji yenu ikawa yaingiwa na kila kundi potofu.
      Lazima murud katika mstari wa Sawa, hapo ndipo penye suluhu na umoja wa kweli.