KUJIGONGA GONGA KWA NURDIN KISHKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 มิ.ย. 2021

ความคิดเห็น • 48

  • @NahimanaMoussa-jq4tl
    @NahimanaMoussa-jq4tl 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kiukweli Sheikh Nurdin Kishki kakosea,,, ila kwakweli Hujatumia hekima ya hali ya juu kweny kumkosoa,, Lau kama ungemsogelea ukamkosoa akakataa ndio ungetumia njia kama hii,, Allah atustiri sote na atuongoze

  • @RamaMshangama-nc5wi
    @RamaMshangama-nc5wi หลายเดือนก่อน

    Mashekhe zetu tunawapenda sana,ila tafadhalini kama kuna mmoja wenu anakosea ni bora kuwekana shura kuliko hii njia mnayotumia kwa sasa imekuwa hakuna tofauti sasa kati ya mashekhe na watu wengine,allah awaongoze

  • @hubamaringo
    @hubamaringo หลายเดือนก่อน

    Allah atuongoe kwakweli Kuna mashekh kazi Yao kukosoa wenzie tu kila siku

  • @YazidSalum
    @YazidSalum 3 หลายเดือนก่อน

    Barakallahu fika nakupenda kwa ajili ya Allah
    Allah akuhifadhi
    Akhy abdallah humeidi

  • @idrisshogobe6424
    @idrisshogobe6424 2 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂 Maskini kishki

  • @AsmaaIssa-wz6by
    @AsmaaIssa-wz6by 3 หลายเดือนก่อน +1

    Cku zote mtu akisema hakki lzm wapingaji watakuwepo. pasua kaka yangu Allah yupo pamoja na ww ndio kishki haeleweki

  • @idrissamsilagi9978
    @idrissamsilagi9978 28 วันที่ผ่านมา

    Kishk hata Mimi simkubali na wewe huko ndiyo ufikishaji kwanini usifuate inbox

  • @user-bp6fb6wo5u
    @user-bp6fb6wo5u 2 ปีที่แล้ว +2

    Duh hawa mahizby bwana wanajigonga sanaa... na hili wanalo watu wote wabaatil.

  • @idrissamsilagi9978
    @idrissamsilagi9978 28 วันที่ผ่านมา

    Mtume kasema hata kama mtu kafanya khatwa kweli lakini kumfikishia hasharani ni kumdhalilisha

  • @salummbarouk4216
    @salummbarouk4216 หลายเดือนก่อน

    Mtume Muhammad s.w.a alikuwa dhehebu gani

  • @user-lx2wg4je3t
    @user-lx2wg4je3t 3 หลายเดือนก่อน

    Madhehebu kwani kipindi cha mtume kulikuwa na madhehebu kulikuwa na uislamu tena walikuwa na umoja

  • @HamisiR
    @HamisiR หลายเดือนก่อน

    Yani we unakosoaga wenzako na hatujawahi kukuona

  • @salmaahmadnguhwe3285
    @salmaahmadnguhwe3285 3 หลายเดือนก่อน +2

    MASHEKH.. TUMIA MUDA MWINGI KUJIKAGUA WEWE MWENYEWE SIO KUKOSOA WENZAKO TUUU!! KWANI SIKU YA HISABU UTAULIZWA MAMBO YAKO WEWE SIYO FULANI ALINYA NINI. MNATUDUMAZA... HATUMJUI MUNGU WETU IPASAVYO

  • @hadijamohamed623
    @hadijamohamed623 หลายเดือนก่อน

    Fanya yako bwana weeee kwani mtume Muhammad S.A.W alikuwa shehebu gani bwana weee

  • @alfajahussein9074
    @alfajahussein9074 2 ปีที่แล้ว

    Du, mashekh nishida

  • @immtm4930
    @immtm4930 2 ปีที่แล้ว

    Mbona waisilamu tuko hivi hatuwekani kitako kujadili mambo yetu kwa pamoja

    • @mussakatoro8079
      @mussakatoro8079 2 ปีที่แล้ว

      Mbona unabana pua, we sheikh shogaaaa. Au ndo mamb ya Tangaaa

  • @fatmaally7241
    @fatmaally7241 3 หลายเดือนก่อน

    Yani hapa shekh umetaka kushusha tu heshma ya sheikh kishiki .mngekua mnatumia muda kuelimisha jamii na co kushushiana heshima .yani hili ulilo lisema ni jambo ambalo halina maana sasa ndonini!!!

  • @MsarakaPinja-sv6vg
    @MsarakaPinja-sv6vg 2 หลายเดือนก่อน

    Duh

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนก่อน

    Hiki kikundi kama jamat, tabligh tuu kwani amsomi maneno ya utheimin kuhusu usalafi wa kweli jamaa wamekuja na usalafi mpya arafu waita watu mahizbi kumbe kwa fatwa za utheimin wao ndo hizzbi

    • @user-jb6lp1zi9q
      @user-jb6lp1zi9q 3 หลายเดือนก่อน

      Arafu ndo nin we ,unasem uthamin km mdg wk hun adabu

  • @user-wj8xg4fr9t
    @user-wj8xg4fr9t 3 หลายเดือนก่อน

    Mtume alikuwa madhehebu gani?

    • @OmariKaya
      @OmariKaya 2 หลายเดือนก่อน

      Hata mimi nahitaji kujua mtume alikua dhehebu gani

  • @msambyaonlinetv3934
    @msambyaonlinetv3934 3 หลายเดือนก่อน +1

    Utopolo. Tu Umekosa kazi Ukaona utafute Views

  • @MadinaChikumbi
    @MadinaChikumbi 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli kama kishki utamfutilia Kwa makin utagundua hayuko sawa anajigonga gonga

  • @user-ou6ku6kd8b
    @user-ou6ku6kd8b ปีที่แล้ว

    Na si umfuate na ukamwambie mbona wamkashifu kwa TH-cam hiyo daawa yako sio ya swa

  • @user-yb3gg2gt7o
    @user-yb3gg2gt7o หลายเดือนก่อน

    ukiwa na elim ya Allah fanya kazi ya Allah usipende kuchunguza watu ulisoma kupeleleza watu washekhe vipi

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 2 ปีที่แล้ว +1

    Dhehebu la mafuta ni wahabiya.

    • @IssaSimbilla-hw9ev
      @IssaSimbilla-hw9ev 4 หลายเดือนก่อน

      La barahiyani tapeli hizb jahil murakab

  • @user-fy4op1sw2f
    @user-fy4op1sw2f 10 หลายเดือนก่อน

    Huna jipya humeid kazi kuraddi tu

    • @Silay1034
      @Silay1034 3 หลายเดือนก่อน

      Kama wewe unadhehebu bc dhehebu ni alokuwa nalo mtume s.a.w

    • @Silay1034
      @Silay1034 3 หลายเดือนก่อน

      Masalafy tushawajua hawatusumbui mayahudi tu hawa

  • @salumngakonda2182
    @salumngakonda2182 3 หลายเดือนก่อน +1

    Madhehema ni vyama vya sheitani.

  • @Mapyatv
    @Mapyatv 4 หลายเดือนก่อน

    Uislam hakuna madhehebu katikadini swadakta shekhe kishik

    • @IssaSimbilla-hw9ev
      @IssaSimbilla-hw9ev 4 หลายเดือนก่อน

      Loooh pole 😂😂nakishk wako

    • @Mapyatv
      @Mapyatv 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@IssaSimbilla-hw9ev ww nipehadithi au aya mtumeanasema tuwenamadhehebu tusidanganyane

    • @mohamedothman5792
      @mohamedothman5792 2 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa mbona huyo shekhe wako kishki hana msimamo
      Mara yeye Salafy mara hana dhehebu. Dalili ya unafiq

    • @mohamedothman5792
      @mohamedothman5792 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@Mapyatvmtume alifuata quran. Matendo yake ni sunnah kwetu. Salafy (ansaar) hufuata Quran na sunnah.
      Sasa waulize hao wengine wanamfuata nani

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyinyi ni wapuuzi sana, na mna mambo ya kike, usalafi gani huo kukata vipande mawaidha ya msheikh? Hii si khiyana? Na huko si kufwatilia Aibu za Waisalam!!
    Alafu huyu dilele wenu mbona hakuwahi kumtukana mohamed mafuta kwa kusema kwake MANENO YA SHEIKH RABII NI KAMA WAHYI???

    • @aliyabasi2058
      @aliyabasi2058 3 หลายเดือนก่อน

      Hujaelewa maskin

    • @banihashim5347
      @banihashim5347 3 หลายเดือนก่อน

      @@aliyabasi2058 wewe tajiri umeelewaje?

  • @binnassorabdallah37
    @binnassorabdallah37 3 หลายเดือนก่อน

    Maalimu,wewe unatafuta umaarufu tu kupitia mgongo wa mtu lkn hutoupata kwa njia hyo fanya daawa tumikia Qur an Allah atakunyanyua lkn kwa njia hyo utakua chini daima Sheikh Othman maalim ni msomi anaejua nin anasema nin anatenda nasi tunampenda sana kwa ajili ya Allah na tunamuombea kher siku zote. Kapewa na Allah nawe muombe atakupa sio kujibana migongoni kwa walio pewa .

  • @maalimhemedsalumu
    @maalimhemedsalumu หลายเดือนก่อน

    Chuki na hasad ndio zilizo kutawala

  • @andrewmoi2186
    @andrewmoi2186 หลายเดือนก่อน

    We auna KAZI nyingine ya kufanya mjinga wewe ata auna akili kiski sio mwenzako

  • @mirajiramadhani8128
    @mirajiramadhani8128 หลายเดือนก่อน

    Kishki yuko sahihi mana yuko na elimu kuliko wewe salafi usotaka kusoma