SOMO LA KUMSAMBARATISHA YUSUF DIWANI MKUFURISHAJI HAPA HATOKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 มิ.ย. 2024
  • #Tafadhali_Gusa_SUBSCRIBE_ilikupata_mazuri_yajayo

ความคิดเห็น • 41

  • @HakimRamadan-kl1hx
    @HakimRamadan-kl1hx หลายเดือนก่อน +1

    Maansha Allah darsa lako limeeleweka,twamuomba Allah akuhifazi

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 หลายเดือนก่อน +1

    Ma sufi nipeni maji ni kisema برب الناس na ملك الناس na اله الناس hapo nimetaja mungu watatu?

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 หลายเดือนก่อน

    haki inang'aasiku zote kwa dalili bali batwil ukiitiloa nia kuwa utaendelea kubaki nayo shetan atakupendezesheeni mpaone pazuri katika batil Allah atuongoze tusifuate matamanio ya nafsi tukapotea

  • @RamadhaniShembillu
    @RamadhaniShembillu หลายเดือนก่อน +2

    Msomeshe uyo shekhe yani %kubwa ya awa makhurafi hawajiekewi .kama uyu Yusuf diwani hajulikani hata aliposomea,kasoma vichochoroni na ao nduguzake, ndomana waborongatuu,nauongo mwingi

  • @user-hf4pb7wi1j
    @user-hf4pb7wi1j หลายเดือนก่อน +4

    Msomeshe huyo ajili amefuatilia sheikh Abdurahman wa burundi tena huyu sheikh amesoma vyuo vikuu misri na saidia lakini tunamuona diwani haja soma chuo kikuu chochote kukosa adabu tu

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 หลายเดือนก่อน

      Huyu anasema kajisomesha mwenyewe huyu

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 หลายเดือนก่อน

    Musema. Ndimu kama sio ndimu na wakristo wanasema yesu ni mungu lakini sio kama mungu baba

  • @user-ug8hc4yh5k
    @user-ug8hc4yh5k หลายเดือนก่อน

    Uyo mnganga wa kienyeji mpinga vipande Yusuf diwani msomeshe
    Uyo mushikina mpinga vipande Yusuf diwani
    Ni mkiya wa mashia
    Yusuf diwani kukata tauhidi uluhiya na rububiya na asmau wasifati ni fika za Kishia kukata hizo tauhidi tabu
    Mashia ndiyo waliyo kataa vigawanyo vya tauhidi

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u หลายเดือนก่อน +1

    MAWAHABI OYEEEE......!! ASLIMIA 99% YA MASHEKHE WA ZAMANI WA ZANZIBAR HAWAJASOMA SOODIA VYUO VIKUU.

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 หลายเดือนก่อน

    Sikio la kufa halisikii dawa, Yusuf Diwan sioni akitubu, atakufa msufi mpiga ramli

  • @HakimRamadan-kl1hx
    @HakimRamadan-kl1hx หลายเดือนก่อน

    Katika watuwajinga huyu diwani kwakweli ni jinga kwelikweli!

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 หลายเดือนก่อน +1

    Kama Yusuf Diwani hajafahamu somo la Leo basi atakuwa mbumbu

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 หลายเดือนก่อน +2

    Mashehe wote wanaotetea maulidi kuyafanya kuwa ni dini tunawaomba watutafsirie vitabu ya maulidi ili watu wajuwe kilichomo ndani mbona hawa wanaopinga wantamba sana na wanaonesha ubovu uliomo ktk vitabu hivo

    • @SaidMadai
      @SaidMadai หลายเดือนก่อน

      Hhhh ww upo kwenye serra wkt hp inazungumzwa ukatoliki w kitauhid mlio nao nyinyi mawahabi mkajinasibu n tauhid 3 ambazo hazina mapokezi yoyote kutoka kw mtume zaid y uzushi kumpwekesha Mungu n km kiumbe

    • @MBAROUKSAADHUSSEIN
      @MBAROUKSAADHUSSEIN หลายเดือนก่อน

      Je Maulid yanamapokezi Kwa Mtume mbona haukubali ukiambiwa ni uzush au ambao sio sahahih ni bidaa ni hili tu Kwa kua haulitaki?
      Msikilize SHEKHE tu utelewa

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 หลายเดือนก่อน +1

    Diwan nakushaur ukaw kimya huyu shekh sıo saşz yako
    Ukıangalia huyu shekh Muhammda İs'haka mdıo shekh peke yake aliyepigilia msumar kark Kırab cga maulıd kukıtafsr na kasqsıda fekı na mpka leo hakuna altmpinga
    Maaana ni elimu kubwa anayooo mzee huyu !!!!

  • @hassanrangambo8007
    @hassanrangambo8007 หลายเดือนก่อน

    Yooooote sijaona sehemu kafundisha mtume swahaba tabii na tabii tabiina bali ni jitihada tu za wanazuoni hujamwelewa na huto mwelewa nilitegemea upite kwa nahw swaraf kama yeye tupate elimu inshaalla

  • @NassirSaidmassoud
    @NassirSaidmassoud หลายเดือนก่อน

    Kumbe hapo ulipo unamakaratasi mwenzako anatuonyesha wapi tufat e ushaid ibn taymia nimshirikina

  • @adamcity9441
    @adamcity9441 หลายเดือนก่อน

    Itikadi ya Mawahabi
    Sheikh Alislaami Ibnu Taimia Alharaani:
    كما في الحديث الصحيح المرفوع عن قتادة عن عكرمة عن ابن عباس قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: رأيت ربي في صورة شاب أمردُ له وفرة جعد قطط في روضة خضراء
    Kama ilivyo katika *hadithi sahihi almarfuu* kutoka kwa Qataadah kutoka kwa Iqrimah kutoka kwa Ibnu Abbaaas amesema: amesema Mtume wa Allah s.a.w.: “nilimuona Mola wangu akiwa katika sura ya kijana barobaro nywele timtimu nyingi chooko akiwa katika bustani kijani.” [Rf. Bayanu Talbiis Aljahmia 7/290]

    • @BilaliIloko
      @BilaliIloko หลายเดือนก่อน

      Kaka kakae usome kaka usisikilize hao mashia rafidhwa utapoteza dini yako,

  • @BakariBinuri
    @BakariBinuri หลายเดือนก่อน

    Masufi tauhidi yao no moja tu

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b หลายเดือนก่อน

    Wale hawafai kwenye jami

  • @user-od1xx3tk9y
    @user-od1xx3tk9y หลายเดือนก่อน

    Inaonekana hawajiamin haya wazee wasifa

  • @darajanida
    @darajanida หลายเดือนก่อน

    kama ashaaira si ahulusuna ahlusunna nimawahabi au milango ya tauhid hujui mzee wang bora unyamaze tu utafedheheka

  • @user-od1xx3tk9y
    @user-od1xx3tk9y หลายเดือนก่อน

    Halafu kwann kina diwan wakitoa clip zao wanafunga sehemu ya coment.

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 หลายเดือนก่อน +1

      Makafiri wasiingie na kubadisha maana

  • @JabirBakar-ys8dw
    @JabirBakar-ys8dw หลายเดือนก่อน

    Huyu bwana n muongo kweli kweli

  • @NassirSaidmassoud
    @NassirSaidmassoud หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh utwambie hivi imegawanyika tauhidi kwakitabu hiki kisicho cha mawahabi wewe. Ni ndacha ujui usemalo akili yako ni mgando

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u หลายเดือนก่อน

    MAWAHABIIII TUKISEMA NDIMU HII KAMA SI NDIMU HIYO BADO ITABAKI KUWA NDIMU ILA INASIFA ZA ZIADAAAAA

    • @idisaidi287
      @idisaidi287 หลายเดือนก่อน +1

      Sheikh Muhammad Abdul bi wahab
      Ni Sheikh mkubwa
      Wew endeleya kulishwa matango pori na masufi

    • @darajanida
      @darajanida หลายเดือนก่อน

      ni shekh mkubwa kwko wewe

    • @idisaidi287
      @idisaidi287 หลายเดือนก่อน

      @@darajanida na kwako pia

    • @darajanida
      @darajanida หลายเดือนก่อน

      laa mim najuwa vizuri historiya ya shekh muhammad ibn adulwahab mimi nlko mbali na daawa yake usinlsingizie nduguyangu

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 หลายเดือนก่อน

      ​@@darajanidatupe hiyo history yke kma kwel unamjuwa

  • @AlhajiShabani-rq9vm
    @AlhajiShabani-rq9vm หลายเดือนก่อน

    umekosa radhi ya shekhe hakusema diwani ni vitabu vyenu sio diwani mbona wajichanganya

    • @RamadhaniShembillu
      @RamadhaniShembillu หลายเดือนก่อน

      Wewe Haj hujielewi kichwa box icho

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 หลายเดือนก่อน

      Yusuph diwani khuraf mkubwa

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 หลายเดือนก่อน +1

    Diwani elimu hana hata maulama wao hajui kuwa wamegawanya tauhidi 3 na aseme sasa kuwa na hawa ni wakatoliki
    Kweli kumsomesha mganga tauhidi ni kazi ngumu ....kwa sababu tauhidi inakataza shirki na Diwani na wenzake hawako tayafi kuacha shirki