SHEIKH BACHU UPO SAHIHI NA ALLAH AKUJAALIE KHEIR NA SALAMA DR. SULE ASEME PALE PALIPO NA USHAHIDI WA VITABU BASI NA HIUO NDIO DINI SIO KULETA HADHITHI ZA MITUME WAKTI HAO NI MITUME WA ALLAH. WEWE NI NANI?
Wallah mazungumzo yoooote ya baba kirwasha yameanguka huku mwisho Kwa kutegemeya fatawa aliyo tegemeya Muhammad bachu Allah akuweke ukupe umri mrefu ili tuzidi kupata faida nakusoma kwako
Nakupenda kwa ajili ya Allah s.w. Allah s.w. azidi kukubariki. Tumuombee tuuu ndugu yetu maana tayari ameshatawaliwa au amepumbazwa na majini. Pia hata Sheikh Nassoro Abdallah Bachu, Allah amrehemu, mada KUIPA MGONGO DUNIA 1-4, anaeleza vizuriii sanasana.
ASALAM ALEY KUM ,ALLAH AKUJALIE UMRI WENYE MANUFAA UZIDI KUTUELIMISHA ZAIDI.MM NAPENDA KUJIULIZA INAMANA HILI SAKATA LA MAJINI KUWA NIHALALI KUWATUMIA JE HAWA MASHEIKH WETU AMBAO UWA TUNAWAONA MWEZI MUANDAMO WA RAMADHANI NA ARAFA NDIO UWA WANAWAKOSOA MASHEIKH WENZAO SASA MM NAPATA KIGUGUMIZI SIMSIKII HATA MMOJA JE KUKAA KIMYA INAMANA NAWAO NIMIONGONI MWA WANAOTUMIA MAJINI.??? MAANA DK SULE ALISEME MASHEIKH WENGI WAMEVAA PETE ZA BAHATI NAYEYE DK SULE ATAKUWA ANAWAJUWA NI MTIHANI.MAANA TANGU HABARI HIZI ZIMEJITOKEZA MASHEIKH KIMYAA !!! ILA MTU AKITANGAZA MWEZI KOSA UTAWASIKIA SHURA YA MAIMAMU NA WANAZUONI UTAWASIKIA NANI MWENYE MAMLAKA YAKUTAZA MWEZI ,!!!! KWA HILI LA MAJINI KIMYAAAAA SHARIFU MAJINI KIMYA KISHIKI SHEIKH WETU TUNAYEMUAMINI KIMYA YUSUFU DIWANI KIMYAA .MUFTI WETU KIMYA SHEIKH WALIDI KIMYA ALHADI MUSA KIKYA RUSANGANYA KIMYA. NGOJA IKIKARIBIA ARAFA UTAWAONA WANAIBUKA !!!! NINAANZA KUAMINI KUWA MAISHEKH WENGI WA MAULIDI WATAKIWA WANATUMIA MAJINI .HERI MAKAFIRI WA ZAMANI KULIKO WAISILAMU WA SASA WANAWEKA NA USHIRIKINA KISOGO MAELEZO YA SHEIKH AMDALAH SH FARSI.
Kisa kizuri kinaukweli NDANI YAKE dalili zipo unaweza ukawaunakudia kheri ila anatokea MTU anakushauri anakwambia kwani LAZIMA ulifanye hili KWA mfano utasikia MTU anakwambia mpaka ukaswali msikitini swali NYUMBANI inatosha!!! Kisa kizuri
Shukran sana sheikh Muhammad bacho nakupenda kwaajili ya Allah Lile genge la kihawariji masalafiya jadidah atuwasikiyi wakiwarekibisha hawa washirikina wanao tumiya majini Hawa mahawariji masalafiya jadidah wawatowa kwenye sunna doctor Islam na Muhammad bacho na sheikh salimu barahiyani kuwaradi ati ni watu wa bidah
Allahu Akbar . Shekh bachu binafsi nilianza kufanya dawa za kisunna ila Kila nikenda wallahi ilikua ni hatari .. Nilifikia sehemu mpaka nikawa naota mtu atakuja nimfanyie dawa gani na kweli ukimfanyia anapoa basi nikaja nikajikuta natoka ktk mstari kidogo kidogo mpaka mwisho mama yangu mzazi alitumia nguvu nyingi Ili niache Allah amsamehe mama yangu na amlipe kheri ... Mambo haya wallahi ni mtihani nilipitia mambo mengi sana . Namuomba Allah anisamehe makosa yangu na aniongoze ktk haqi Amin Amin Amin
Shekhe Muhammad Bachu Allaah akuhifadhi na akupe umri mrefu na akuzidishie Elimu na Maarifa ktk Dini. Laiti wange zingatia juhudi yako, wengi ktk wazushi na washirikina wasinge kufanyia uaduwi na kukukashifu Wallaahi.
Shekh ukovzri allah atupe sote iiman pia shekh hikikisa kosa la mchamungu yule aliacha haki kwa maslah yake allah akamwondolea nguvu pia shekhe shida ninachokiona hapa nani anasema shida madhehebu yanapoteza mno dua zinaitajika kama kusema panasemwa vzr kabisa
Naam hakika ktk hili umesimama vema sana mdogo wangu bachu bali wasia wangu kwako ni kwamba mche Allah ktk elimu yako na jiepushe na riaa kwakuwa ukijiepusha na hilo Allah atakufundisha usipo fanya hivyo Allah atakufeshehesha kama ilivyoonekana ktk baadhi ya mijadala mingine pima kwamba ikiwa kunawatu walikupinga mwanzo na sasa kwa hili wanakuunga mkono basi kuwa makini na ujue waru sio wajinga kama inavyodhaniwa Allah akulipe kheri kwa hili na akufungue ktk memgine ikiwa utasimama ktk taqwa inshaalah 55:20
Shekh Muhammad Allah akuhifadhi Sana coz unapambana sana.lkn kwa hoja hizi umeshamaliza kazi,hawata elimika Tena .lkn wakiongea Tena usiwaache..waelimishe tu hata km hawataki.
Jazaqallahu khaira Sheikh.. Mwenye kutaka radhi za Allah atakuelewa vizuri nawenye kutamani maisha ya dunia zaidi bado wataleta hoja mbadala kuaaminisha waislam kutumia majini hao sabb ndio njia mbadala inayotumika kwa wingi sasa na watu kupata riziki kwa kigezo cha kutibia na kutatua matatizo ya binadam Tumekuelewa Ahsante sana Allah atakulipa zaidi.
@@MilesReileigh unaweza ukasoma lakn ulimi wako ukakosa ufasaha kama wa Muhammad bachu, na kujenga hoja or kuvunja hoja hicho ni kipaj Had Allah akupe.
Jazzakallah, Tabarakallah Alla akuhifadh shekh muhammad bachu kwa juhudi zako zote za kufundisha Tawhid. Allah atunusuru na washirikina wa kutumia majini.
Mashallah shekhe haifai kutumia majini majini waongo binaadam unamuona na anakudanganya je jini usiemuona yy ndo nakithiri haswa alf mbali na ivyo kwani hakuna binaadam waislamu na ni waongo hao kupitiliza je hao majini baba kirowasha ache kwasbb kuna wanavypenda majini alf ukiwaambia inafaa ndo wanafurahi wanasema yes inafaa
Msifungue milango= =Kweli yake !. Bali tuwe waacha mungu, tumtegemee Mwenyezi Mungu mtukufu. Maisha ya duniani ni mafupi sana. Maisha ya baadaye ni ya milele. Chaguo ni lako!.. tumieni akili sio matamanio 🎉
Dalili ziko wazi ila si kwamba hawaelewi tatizo lao hawataki kuonekana wameshindwa mbele ya umma, na hii inaonyesha wazi kwamba wameweka masilahi mbele kuliko dini. Allah atuongoze na atujaalie mwisho mwema kwa kweli maana ni mtihani.
Nawapenda watu wa sunnah watu wa tauhiid na nasikitika baba Kiruwasha nilimuamini niisemamtuwa tauhid ila.kurudisha iman kwangu kwake sio rahis tena maana anavyoonekana ni tofaut kabisa na anayoyasimamia kwa maslah yake
Ustadh Muhamad, wanazuoni wanashauri kutahadhari na kuwatumia majini. Swali toka awali ilikuwa je watu wanaweza kutumia majini?. Na pili inakatazwa kidding, hadith na Quran. Toka mwanzo unatumia wanazuoni bila ya kuonyesha Nabi Muhamad saw, anasemaje. Mimi kwa spandex wangu namtegemea Allah sihitaji kiumbe yeyote, Allah ndie Khaliq.
Ninachokiona, Baba kiriwasha kaegemea ktk Sheria: Majini kutumika na Binadamu inafaa au haifai? Sheria Imeruhusu na kajengea hoja vizuri tuu. Sheikh Bachu:Yeye apingani na sheria ya kujuzu kuwatumia majini ila yeye anakubali inafaa ila kwa wakati wa sasa ni vyema Ikaharamishwa. Binafsi nilivyoelewa ndio hivyo,Sheria inaweza ruhusu jambo lakini kama lile jambo likiwa lina madhara ni bora likaachwa. Mfano,Kipindi cha Corona Hija ilifutwa baada ya kuonekanwa madhara ni makubwa kuliko hijja. Hata hili la majini,kwa sasa madhara ni makubwa kwa hiyo halifahi kwa sababu matokeo ya mengi ya kutumia majini zama zetu faida ni chache,japokuwa sheria haijaharamisha moja kwa moja.
Umeelewa vzur lkn hii kutumia majin si kama anaiharamisha kwa mda huu ila yeye anasoma vitabu vya zaman walivyokatawza watu kutumia majin yaan tangu zaman watu walikua wanakatazwa wasitumie
@@saadaAbdalla1371 Kusomwa vitabu vya kale si hoja, mfano, Suala la Talaka Tatu kwa Pamoja, je Ni Tatu au moja? Ukiangalia Saidina Omar alipoona madhara ya watu kufanya Talaqa Kama mchezo, akapitisha hukumu ukisema nimekuacha Talaqa Tatu Basi Ni Tatu. Ila sheria ilikuwa inatambua ukitamka Talaqa Tatu Ni Talaqa moja. Kwa hiyo Jambo linaweza ruhusiwa kisheria lakini tukiona madhara Ni makubwa ikatengenezwa sheria ndogo hili kuzuia madhara.
Ukisoma vzuri au ukimsikiliza vzuri sheikh utagundua kuwa majini na binadamu hawakuumbwa ili wapate kumuabudu Allah sasa hakuna anaejua jini yupi mbaya yupi mzuri na usiabudie kiumbe muabudie m/mungu mmoja tu sasa ndo utambue kuwa binadamu pia huwa wabaya na wazuri
Bila shaka wewe sio muislam nadhan Ivo ndo ulivo ndo mana unasema waislam na majini ni ndugu wakat hujui kama Majin wako mataifa mbali mbali makabila mbali mbali na aina tofaut za dini mbali mbali wapo wakiristo wapagani waislam n.k. sio wote waislam au wakiristo wako tofaut na ni wengi sana kuliko watu
Majini Walisilimu wakawa Waislamu Qur'an 72: 1-14 kwani ni vibaya waumini kusaidiana wa dini Moja kusaidiana? Muumini Mwenzako anawezaje kukufanya ukufuru? Majini ni ndugu wa Waislamu acheni kupingana!
Sule namkubali kwasababu ya kazi yake kuwalingania wakristo kushindananao lkn kwahili kakurupuka na abadilishe manhaji najua manhaji yake wengi wanatabia chafu zisofaa
Sule hajasubuliwa analinganiwa ache shiriki.. Shafii kashindwa na mada kila akijibiwa analeta mamb mengine hamna kitu pale debe tu na kama unafanta yule ufaham wako upo chini sana
SISI TUNAPOMILIKI MAJINI HUWA TUNAWATUMA KAMA WATOTO WETU NYINYI MAWAHABI HAMNA ELIMU YA MAJINI KWASABABU MASHEKHE WENU HAWANA ELIMU YA FALAQ AMBAYO NDIO INAYOELEZA NAMNA YA KUMILIKI MAJINI
Jee ikiwa mtu kapata jini na linamtesa anataka limuondoke inafaa kwenda kwa mwalimu akamtoa kwa njia ya kusomewa na dawa za mitishamba Ina juzu naomba jawabu
Asalam Alaykum. Shekhe unavyosema ni sawa kabisa, lakini kwa ushuhuda wangu wako Maruhani wa tiba ambao ni Waislam Waumin ambao hawamshiikishi Allah wala hawafugwi wanasaidia kwa tiba peke yake sio kumnufaisha mtu kwa mali. Wanafanya kwa ridha yao wenyewe tena wanatumia quraan pia.
Swali linakuja utawajuaje pia Tambua kwamba Jini ambaye hamshirikishi Allah hawez kukaa kwnye Kichwa cha Mwanadamu pia Utambue kwamba hata Wanaofanya Tiba za kishirikina pia Wanatumia iyo iyo Qur'an katka Kuwatibu watu na hicho nd imekuwa kifichio chao.
Wala hawamuingi mtu. Infact wanasema kumuingia mtu ni makosa haifai.Wala hawataki kafara. Wala hawakupi oesa. Wao kazi yao kupambana na mashetani waasi peke yake. Makazi yao Makka.
Waislaam tumearishwa kuwa na التواضع sasa akiwa anaongea pasi na utulivu anapoteza sifa za mlinganiaji hatakama anaongea haqi akitulia itakuwa nikher kwangu nakwake nasisi hatumpingi anachosema.
@@ashrafhashim2116 kama ni mfuatiliaji mzur wa sheikh Muhammad bach basi usingelicoment hiy coment yako.. Maana huo ndio uongeaji wake pia ni urith pia kutoka kwa sheikh nassor bachu
Nakuamini sana Shekh wangu Allah akulipe.
amiin
Huyu sheikh Allah amhifadhi
amiin
Shakuwa mashekhe wenu Wa bongo feki.KUMTUKUZA JINI MAKOSA
Sheikh Muhammad Bachu Mwenyezi MUNGU azidi kukujaalia umri mrefu wenye kheri tunajifunza mengi kupitia Elmu unayotufundisha
Ameen yaa Rabb
Allah akupe umri mrefu wenye faida
SHEIKH BACHU UPO SAHIHI NA ALLAH AKUJAALIE KHEIR NA SALAMA DR. SULE ASEME PALE PALIPO NA USHAHIDI WA VITABU BASI NA HIUO NDIO DINI SIO KULETA HADHITHI ZA MITUME WAKTI HAO NI MITUME WA ALLAH. WEWE NI NANI?
Mung akuzidishiy elim sheikh wetu uzidi kutufundish mengi mung akuwezesh
amiin
Sheikh Allah akuhifadhi...na Akubariki. Sasa vipi kuhusu hawa Masalafia Jadida... endelea kuwachambua masalafia jadida In sha Allah
Wallah mazungumzo yoooote ya baba kirwasha yameanguka huku mwisho Kwa kutegemeya fatawa aliyo tegemeya Muhammad bachu Allah akuweke ukupe umri mrefu ili tuzidi kupata faida nakusoma kwako
Nakupenda kwa ajili ya Allah s.w. Allah s.w. azidi kukubariki.
Tumuombee tuuu ndugu yetu maana tayari ameshatawaliwa au amepumbazwa na majini.
Pia hata Sheikh Nassoro Abdallah Bachu, Allah amrehemu, mada KUIPA MGONGO DUNIA 1-4, anaeleza vizuriii sanasana.
maashaaallah mwenye hofu ya Allah ameelewa mwenye matamanio ya dunia ngumu sana kuelewa Allah akuzidishie elimu
ASALAM ALEY KUM ,ALLAH AKUJALIE UMRI WENYE MANUFAA UZIDI KUTUELIMISHA ZAIDI.MM NAPENDA KUJIULIZA INAMANA HILI SAKATA LA MAJINI KUWA NIHALALI KUWATUMIA JE HAWA MASHEIKH WETU AMBAO UWA TUNAWAONA MWEZI MUANDAMO WA RAMADHANI NA ARAFA NDIO UWA WANAWAKOSOA MASHEIKH WENZAO SASA MM NAPATA KIGUGUMIZI SIMSIKII HATA MMOJA JE KUKAA KIMYA INAMANA NAWAO NIMIONGONI MWA WANAOTUMIA MAJINI.??? MAANA DK SULE ALISEME MASHEIKH WENGI WAMEVAA PETE ZA BAHATI NAYEYE DK SULE ATAKUWA ANAWAJUWA NI MTIHANI.MAANA TANGU HABARI HIZI ZIMEJITOKEZA MASHEIKH KIMYAA !!! ILA MTU AKITANGAZA MWEZI KOSA UTAWASIKIA SHURA YA MAIMAMU NA WANAZUONI UTAWASIKIA NANI MWENYE MAMLAKA YAKUTAZA MWEZI ,!!!! KWA HILI LA MAJINI KIMYAAAAA SHARIFU MAJINI KIMYA KISHIKI SHEIKH WETU TUNAYEMUAMINI KIMYA YUSUFU DIWANI KIMYAA .MUFTI WETU KIMYA SHEIKH WALIDI KIMYA ALHADI MUSA KIKYA RUSANGANYA KIMYA. NGOJA IKIKARIBIA ARAFA UTAWAONA WANAIBUKA !!!! NINAANZA KUAMINI KUWA MAISHEKH WENGI WA MAULIDI WATAKIWA WANATUMIA MAJINI .HERI MAKAFIRI WA ZAMANI KULIKO WAISILAMU WA SASA WANAWEKA NA USHIRIKINA KISOGO MAELEZO YA SHEIKH AMDALAH SH FARSI.
Kisa kizuri kinaukweli NDANI YAKE dalili zipo unaweza ukawaunakudia kheri ila anatokea MTU anakushauri anakwambia kwani LAZIMA ulifanye hili KWA mfano utasikia MTU anakwambia mpaka ukaswali msikitini swali NYUMBANI inatosha!!! Kisa kizuri
Sule bado mtoto sanaaaa na njaa inamdhalilisha
Shukran sana sheikh Muhammad bacho nakupenda kwaajili ya Allah
Lile genge la kihawariji masalafiya jadidah atuwasikiyi wakiwarekibisha hawa washirikina wanao tumiya
majini
Hawa mahawariji masalafiya jadidah wawatowa kwenye sunna doctor Islam na Muhammad bacho na sheikh salimu barahiyani kuwaradi ati ni watu wa bidah
Mtume Muhammad swallallahu alaihi wasallama alikua na pete kama nyenzo ya muhuri lkn hakuwahi kuwa na pete kwa ajili ya nyota ama ya jinni
Akili inachaji chizi pia akiskiliza anatafakar. Umefahmika ila kwa mwenye ukaidi mwache andelee kubisha. Uko sawa apo kaka yangu . GOOD JOOB
Allah akujaje kheri,shufaa
Na mlisho mwema kama waliopita kabla yetu
Nilikua namuamini Baba kiruwasha ila naye ni walewale tu.Kanichefua sana.
Yule angezungumzia mambo ya ndoa tu
Akili nyingi sana hiki kichwa Allah akuuhifadhi ndugu yangu
زادك الله حرصا وعلماً وفهما ورزقك الإخلاص في الأقوال والأعمال.
أحبك في الله. أخوك أحمد عمر سعيد من جمهورية موزمبيق مدينة نامبولا
Allah akuhifadhi sheikh nakuelewa vzr San.
Allah SW akupe ujira mkubwa mwema.Amin
Dr Sulle anatafuta umarufu
Allahu Akbar .
Shekh bachu binafsi nilianza kufanya dawa za kisunna ila Kila nikenda wallahi ilikua ni hatari ..
Nilifikia sehemu mpaka nikawa naota mtu atakuja nimfanyie dawa gani na kweli ukimfanyia anapoa basi nikaja nikajikuta natoka ktk mstari kidogo kidogo mpaka mwisho mama yangu mzazi alitumia nguvu nyingi Ili niache Allah amsamehe mama yangu na amlipe kheri ...
Mambo haya wallahi ni mtihani nilipitia mambo mengi sana .
Namuomba Allah anisamehe makosa yangu na aniongoze ktk haqi Amin Amin Amin
Ameen
Amien @@KhalfanMassoud
Shekhe Muhammad Bachu Allaah akuhifadhi na akupe umri mrefu na akuzidishie Elimu na Maarifa ktk Dini.
Laiti wange zingatia juhudi yako, wengi ktk wazushi na washirikina wasinge kufanyia uaduwi na kukukashifu Wallaahi.
Yoyote atakaerithi kazi aliyoifanya Mtume hatosalimika na madhwalim Allah amlinde. awalinde na masheikh wote wa sunnah
Twakupenda Kwa ajili ya ALLAH
Shekh ukovzri allah atupe sote iiman pia shekh hikikisa kosa la mchamungu yule aliacha haki kwa maslah yake allah akamwondolea nguvu pia shekhe shida ninachokiona hapa nani anasema shida madhehebu yanapoteza mno dua zinaitajika kama kusema panasemwa vzr kabisa
Muhammad bachu Allah akulinde wapige spana waxhirikina huenda wakajirudi inshallah
Tumuombee tu ndugu yetu Dr. Sulle
Mashallaaah allah akulipeni mashekhe zetu kwaelimi mujarrab
Naam hakika ktk hili umesimama vema sana mdogo wangu bachu bali wasia wangu kwako ni kwamba mche Allah ktk elimu yako na jiepushe na riaa kwakuwa ukijiepusha na hilo Allah atakufundisha usipo fanya hivyo Allah atakufeshehesha kama ilivyoonekana ktk baadhi ya mijadala mingine pima kwamba ikiwa kunawatu walikupinga mwanzo na sasa kwa hili wanakuunga mkono basi kuwa makini na ujue waru sio wajinga kama inavyodhaniwa Allah akulipe kheri kwa hili na akufungue ktk memgine ikiwa utasimama ktk taqwa inshaalah 55:20
Mashallah uko sahihi sheikh .uvae hata kofia usiwe kama msela
Leo umesahau kofia ustadh bachu
Haja sahau ametaka watu wajifunze jinsi ya kunyoa wala sikujinyolea kihuni mipanki
kumb siko pekee kias nmkatae isingekuwa sauti
Allah akulipe kheri kwa hili ahsante sana
Barakh Allah Kher sheikh
Mashallah, mambo umeyaweka wazi kabisa kwa mtu mwenye kutafakari.
Allah akuhifadhi sheykh wetu unafny kazi kubwa
Allah azidi kukuwezesha mpk mzee wa mipete mapepo yamtoke
Shekh Muhammad Allah akuhifadhi Sana coz unapambana sana.lkn kwa hoja hizi umeshamaliza kazi,hawata elimika Tena .lkn wakiongea Tena usiwaache..waelimishe tu hata km hawataki.
Jazaqallahu khaira Sheikh.. Mwenye kutaka radhi za Allah atakuelewa vizuri nawenye kutamani maisha ya dunia zaidi bado wataleta hoja mbadala kuaaminisha waislam kutumia majini hao sabb ndio njia mbadala inayotumika kwa wingi sasa na watu kupata riziki kwa kigezo cha kutibia na kutatua matatizo ya binadam Tumekuelewa Ahsante sana Allah atakulipa zaidi.
Nakupenda kwasababu ya allah
Twaiby wanakuelewa shekhe sema muwamba ngoma uvutia kwake sule na baba kiruwasha waanaonekana wanatetea biashara wew unatetea hakki wale wapo kimaslahi ndomana wamekuwa wakaidi naimani washirikina humsapot sule hapa kwenye comment usikute watu wanayafuga ndomana wavutia ngoma kwao
Tabaraka Allah shekhe wangu ustadhi wangu, Allah azidi kukupa ujasiri na elmu ututoe taka .
Mashaallah akuzidishie elimu shekh wetu tena yenye manufaa
Maa shaa Allaah sheikh bachu
Mashaa Allah baraka Llhah fyka
Mm naomba sana ipatikane angalau watu kumi kama sheikh Bachu inshaAllah
Watu 10 mfano wa bachu biidhini llah bidaaa itakimbiya kwakiasi kibwa nawakifanya watafanya kwakujificha mnooo
Amin
Watapatikana tukiwahamasisha watu katika kusoma.
@@MilesReileigh unaweza ukasoma lakn ulimi wako ukakosa ufasaha kama wa Muhammad bachu, na kujenga hoja or kuvunja hoja hicho ni kipaj Had Allah akupe.
Tizamen Alhajar online TV wapo wengi tu huko
Allah akulipe kwa elimu unayotupatia
Shukran sanaa sheh.انا اسماعيل من بو رو ندي
Jazzakallah, Tabarakallah Alla akuhifadh shekh muhammad bachu kwa juhudi zako zote za kufundisha Tawhid. Allah atunusuru na washirikina wa kutumia majini.
ماشاء الله يا محمد 🌺
Jazaaka llahu khaira kwa juhudi yako. Uko sahihi kwa walili ya Quran/surat KAHF aya 50. Baraka llahu fika.
Mashallah shekhe haifai kutumia majini majini waongo binaadam unamuona na anakudanganya je jini usiemuona yy ndo nakithiri haswa alf mbali na ivyo kwani hakuna binaadam waislamu na ni waongo hao kupitiliza je hao majini baba kirowasha ache kwasbb kuna wanavypenda majini alf ukiwaambia inafaa ndo wanafurahi wanasema yes inafaa
Mungu akihifadhi sheihewetu
Mā-shā-a-llāh, Sheikh Muhammad. Tunstafiid sana. Najifunza mengi.
Baaraka llahu fik
HayyakaLlahu waHafidhak
masha'Allah
Msifungue milango= =Kweli yake !. Bali tuwe waacha mungu, tumtegemee Mwenyezi Mungu mtukufu.
Maisha ya duniani ni mafupi sana. Maisha ya baadaye ni ya milele. Chaguo ni lako!.. tumieni akili sio matamanio 🎉
Allah akuhifadh ungevaa kofia ungependeza zaid
Aaaaah, sikunyengine kichwa kiachwe banaaa kipate upepo. Haha😂😂😂😂
@@KhalfanMassoud 😂😂😂
@@KhalfanMassoud Ndugu yangu mfuatiliaji sana wa vipindi hivi Maa shaa Allah
@@KhalfanMassoud akitoe inje kwa dirisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@ARNOLDKARISA-fs3ht mmh watu wataondoka nacho ety.
Ma Shaa Allah
Dalili ziko wazi ila si kwamba hawaelewi tatizo lao hawataki kuonekana wameshindwa mbele ya umma, na hii inaonyesha wazi kwamba wameweka masilahi mbele kuliko dini. Allah atuongoze na atujaalie mwisho mwema kwa kweli maana ni mtihani.
Kweli kaka juu unapata mtu anakuja mbele zawatu kujigaamba Kua Ako na Mali na magari makubwa wengine
Ameen
Maneno yakweli unayo sema ndugu yangu
leo umewavulia kabisa na kofia labda watakuelewa😊
😂😂😂 صم بكم عمي فهم لايرجعون
😂😂
ما شاء الله تبارك الرحمٰن
Mohd Bachoo darsa yako imeeleweka naamini ata yeye kiriwasha hasubutu kumtafuta jini asiwaaminishe watu wakaendea shirki
Mashallah
Faida kubwa hii
Hatar sana 5:41
Asalam allaykum sheikh samahani naomba niulize inaruhusiwa kula nyama iliyochinjwa kwaajili ya matibabu ya kiganga
Hairuhusiki hata kidg.
Nawapenda watu wa sunnah watu wa tauhiid na nasikitika baba Kiruwasha nilimuamini niisemamtuwa tauhid ila.kurudisha iman kwangu kwake sio rahis tena maana anavyoonekana ni tofaut kabisa na anayoyasimamia kwa maslah yake
Assalam alaikum warahmatulullah wabarakatuh sheikh mungu akupe umri mrefu naomba number yako sheikh insh.Allah
Ustadh Muhamad, wanazuoni wanashauri kutahadhari na kuwatumia majini. Swali toka awali ilikuwa je watu wanaweza kutumia majini?. Na pili inakatazwa kidding, hadith na Quran. Toka mwanzo unatumia wanazuoni bila ya kuonyesha Nabi Muhamad saw, anasemaje. Mimi kwa spandex wangu namtegemea Allah sihitaji kiumbe yeyote, Allah ndie Khaliq.
Baba kiruwasha duuuh
Ninachokiona,
Baba kiriwasha kaegemea ktk Sheria: Majini kutumika na Binadamu inafaa au haifai? Sheria Imeruhusu na kajengea hoja vizuri tuu.
Sheikh Bachu:Yeye apingani na sheria ya kujuzu kuwatumia majini ila yeye anakubali inafaa ila kwa wakati wa sasa ni vyema Ikaharamishwa.
Binafsi nilivyoelewa ndio hivyo,Sheria inaweza ruhusu jambo lakini kama lile jambo likiwa lina madhara ni bora likaachwa.
Mfano,Kipindi cha Corona Hija ilifutwa baada ya kuonekanwa madhara ni makubwa kuliko hijja.
Hata hili la majini,kwa sasa madhara ni makubwa kwa hiyo halifahi kwa sababu matokeo ya mengi ya kutumia majini zama zetu faida ni chache,japokuwa sheria haijaharamisha moja kwa moja.
Inaonyesha Bado hujaelewa somo
Kiruasha Nae mshirikona tu
Allah atuongoze
Umeelewa vzur lkn hii kutumia majin si kama anaiharamisha kwa mda huu ila yeye anasoma vitabu vya zaman walivyokatawza watu kutumia majin yaan tangu zaman watu walikua wanakatazwa wasitumie
@@saadaAbdalla1371
Kusomwa vitabu vya kale si hoja, mfano, Suala la Talaka Tatu kwa Pamoja, je Ni Tatu au moja?
Ukiangalia Saidina Omar alipoona madhara ya watu kufanya Talaqa Kama mchezo, akapitisha hukumu ukisema nimekuacha Talaqa Tatu Basi Ni Tatu.
Ila sheria ilikuwa inatambua ukitamka Talaqa Tatu Ni Talaqa moja.
Kwa hiyo Jambo linaweza ruhusiwa kisheria lakini tukiona madhara Ni makubwa ikatengenezwa sheria ndogo hili kuzuia madhara.
Hivi nyie watu mpaka Leo hii bado tu shiliki hamuijui tu haifai kwa Aya gani
Umeona eeh.
Majini ni waislamu na mtume alikuwa anawasomea quran. Uislamu na majini ni ndugu 💯✅. Alah kaumba majini.
Ukisoma vzuri au ukimsikiliza vzuri sheikh utagundua kuwa majini na binadamu hawakuumbwa ili wapate kumuabudu Allah sasa hakuna anaejua jini yupi mbaya yupi mzuri na usiabudie kiumbe muabudie m/mungu mmoja tu sasa ndo utambue kuwa binadamu pia huwa wabaya na wazuri
Bila shaka wewe sio muislam nadhan Ivo ndo ulivo ndo mana unasema waislam na majini ni ndugu wakat hujui kama Majin wako mataifa mbali mbali makabila mbali mbali na aina tofaut za dini mbali mbali wapo wakiristo wapagani waislam n.k. sio wote waislam au wakiristo wako tofaut na ni wengi sana kuliko watu
Kwaiyo ww unatakaje?
Majini Walisilimu wakawa Waislamu Qur'an 72: 1-14 kwani ni vibaya waumini kusaidiana wa dini Moja kusaidiana? Muumini Mwenzako anawezaje kukufanya ukufuru? Majini ni ndugu wa Waislamu acheni kupingana!
@@dulividuli5237 Anataka utumie majini maana ni ndugu zako katika Imani
HIYU BABA KIRUWASHA KAMA HAWATOMZUIA WENZAKE BASI ATAMTOA NY'ONGO BACHU MAKOJO
Jifunze kuandika kwanza 😂😂
Assalam alaykum warahmatullah maaashaaallah
wa aleikum salaam warahmatulillahi wabarakatuh
mwambieni Sheikh wetu avae kofia jamenii
Usijali tutamwambia inshaallah na atavaa biidhnillahi
Allah akuhifadhi pamoja nasi na aendelee kutusamehe
@@jamalijamali6820 amiin
Unashindwa kusikiliza mawaidha ukaelimika unaanzakufatilia kofia kwa shekhe ndo nn ss ebu jaribu kujielewa
Inshaa Allah
Hivi nyie watu mpaka Leo hii bado tu shiliki hamuijui tu haifai kwa Aya gani acheni uwongo
Dr. Sule hawezi kuelewa kwani ameshapingwa muhuri keaajili ya ushirikina kwa miaka mingi!
Assalamualaikum sheikh naomba kufundishwa je ati inaruhusiwa kumuoa jini wakiisilamu?
Haaha ww nawee sasa jini huyo utamua wapi yeye ana ulimwengu wake na ww una wako.. Maswali mengine basi tu
Baba kiruwasha kapinda yule nayeye anaonekana ni mshirikina
Huyu Sule katusilibia sana
Kuna tofaut Kati ya jini na shetani
Sule nilikuwa namuheshim sana lkn kaniangusha yani mdomo hajauchunga kakurupuka
Huyo baba kiruwasha pia ni akili kijiko.
Sule kasema ukweli mtupu 🤣😂😅
Hakika uislam ni upuuzi na upotevu
Kwa hiyo wewe ni kafiri ? Sorry
yes🎉❤
لا فض فوك يا شيخنا
watu wanauuza akhera wananunua dunia kutumia majini ni shirk kubwa
Sule namkubali kwasababu ya kazi yake kuwalingania wakristo kushindananao lkn kwahili kakurupuka na abadilishe manhaji najua manhaji yake wengi wanatabia chafu zisofaa
Wanaomtetea Sule ni Wanafki tu
Niwaganga wenzake
Enhee... obviously correct
Muhammedi usimsumbue Dr sure Kwanza zungumza ushirikina wa ibn taymia
Sule hajasubuliwa analinganiwa ache shiriki.. Shafii kashindwa na mada kila akijibiwa analeta mamb mengine hamna kitu pale debe tu na kama unafanta yule ufaham wako upo chini sana
SISI TUNAPOMILIKI MAJINI HUWA TUNAWATUMA KAMA WATOTO WETU NYINYI MAWAHABI HAMNA ELIMU YA MAJINI KWASABABU MASHEKHE WENU HAWANA ELIMU YA FALAQ AMBAYO NDIO INAYOELEZA NAMNA YA KUMILIKI MAJINI
Baba kiruwasha njaa
Mm swali langu , hivi nataka niongee na jini NAMPATA WAPI? nataka nimjue ni mzuri ama mbaya NAMUONAJE AMA NAMTAMBUA VP?
Zama kwenye bahari ya kina kireeefu Kisha ita jinniiii
@@allymbarouk5362😂😂
Kazi ipo simameni kwenye hoja
Jee ikiwa mtu kapata jini na linamtesa anataka limuondoke inafaa kwenda kwa mwalimu akamtoa kwa njia ya kusomewa na dawa za mitishamba Ina juzu naomba jawabu
@zehara4116 ndio inafaa.
Asalam Alaykum. Shekhe unavyosema ni sawa kabisa, lakini kwa ushuhuda wangu wako Maruhani wa tiba ambao ni Waislam Waumin ambao hawamshiikishi Allah wala hawafugwi wanasaidia kwa tiba peke yake sio kumnufaisha mtu kwa mali. Wanafanya kwa ridha yao wenyewe tena wanatumia quraan pia.
Swali linakuja utawajuaje pia Tambua kwamba Jini ambaye hamshirikishi Allah hawez kukaa kwnye Kichwa cha Mwanadamu pia Utambue kwamba hata Wanaofanya Tiba za kishirikina pia Wanatumia iyo iyo Qur'an katka Kuwatibu watu na hicho nd imekuwa kifichio chao.
Swali umemuona wapi huyo jini au yupo kichwani Kwa watu na kichwani Kwa mtu basi huyo jini amemuasi mola wake jini mchamungu hakai kichwani Kwa mtu
Wala hawamuingi mtu. Infact wanasema kumuingia mtu ni makosa haifai.Wala hawataki kafara. Wala hawakupi oesa. Wao kazi yao kupambana na mashetani waasi peke yake. Makazi yao Makka.
Na ni khamsa swalawat.
@@ahmadabdallah6641 sas km hawapandi kichwani watakuja kwa njia ipi na jini haonekani
KWA HIYO ENDAPO JINI ATAMKUTA BINADAMU YUPO PORINI KAPOTEA AU YUPO BAHARINI HAPASWI KUMSAIDIA ???
Na mm nakuliza Mtu akiwa porin hana kit cha kula ni halal kula nguruwe?
Ndio ni HALALI kabisa Kwa mujibu wa Quran japo sheria inaangalia Kiwango Cha tatizo
Hvi saut haipo au
Ipo broo
Mada hii ifungwe tu ili sheikh bachu aendlee kumfundisha yule gol Shia
Jaribu ukiwa unaongea utulie acha mambo megi
Huna mada..
@@YahyaYahya-vp2pp kivipi
@@ashrafhashim2116 ww unamwambia akiongea atulie. Je akitulia itakusainia nini.. Au akiongea akiwa hajatulia husikii au hufahamu