𝗨𝗵𝗶𝘇𝗯𝗶𝘆𝘆𝗮𝗵

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 มิ.ย. 2024
  • Fuatilizia Clip hii kabla Clip itakaokuja Karibuni (𝗛𝗼𝗷𝗮 𝗞𝘄𝗮 𝗛𝗼𝗷𝗮 𝗦𝗲𝗵𝗲𝗺 𝗬𝗮 𝗣𝗶𝗹𝗶)
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 107

  • @salafi.
    @salafi.  หลายเดือนก่อน +5

    Fuatilizia Clip hii kabla Clip itakaokuja Karibuni (𝗛𝗼𝗷𝗮 𝗞𝘄𝗮 𝗛𝗼𝗷𝗮 𝗦𝗲𝗵𝗲𝗺 𝗬𝗮 𝗣𝗶𝗹𝗶)

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 หลายเดือนก่อน

      Nimeona risala ya Dr amejibu zile ruduud za awwal..nadhani mumeiona

    • @abuumuslim3601
      @abuumuslim3601 หลายเดือนก่อน

      @ABUUJAFAR92 ntumie akhui

    • @Nature-xe7lu
      @Nature-xe7lu หลายเดือนก่อน

      ​@@ABUUJAAFAR92 pengine risala bado iko chumbani hebu iwekeni mtandaoni apigwe radd nyengine

    • @abuumuslim3601
      @abuumuslim3601 หลายเดือนก่อน

      ​@@ABUUJAAFAR92ntumie akhui hio risala

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 หลายเดือนก่อน

      @@abuumuslim3601ntakutumia vipi?

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b 25 วันที่ผ่านมา

    Nyie mnaodai usalafi mbona mkowakorofi acheni ukorofi allah anauchukia ukorof (annaru yuladuna alyihaa udhuan wanshia wayaumatakuun nsaaa)

  • @ismailmohamed41
    @ismailmohamed41 หลายเดือนก่อน +4

    HAKI NI CHUNGU MZITO KWA ANAYECHUKIA LAKINI HAKI NI NURU TAMU KWA ALIYEAFIKIWA NA ALLAH. HATA MKACHUKIA MANHAJ SALAFIYUN NI HAKI. ALLAH AWAHIFADHI WALINGANIZI WA HAKI WA MANHAJ SALAFIYUN. JAZAKA ALLAH KHAIRAN

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Huo so usalafi kitu ni fikraa mbayaa sana kuliko uaadui wa maaadui na allh atakwenda kuwahukumu watu kwa kule kuwadhulumu waisslamu wenzao bila hakki ya kustahili kudhulumiwa daawa ya mtume na wema walotangulia haikuwa kuwatoa watu kwenye man hajji moja wote mnalingani
      a kitabu na sunnah daah! Nikifatilia fatuwa za wanazuoni zzwakubwa hawako huko mliko nyie ghu maata matamanio ya n ukisi 0 utheiminy, al fawzan ibn baaz hawako Albany wako mb

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Huo so usalafi kitu ni fikraa mbayaa sana kuliko uaadui wa maaadui na allh atakwenda kuwahukumu watu kwa kule kuwadhulumu waisslamu wenzao bila hakki ya kustahili kudhulumiwa daawa ya mtume na wema walotangulia haikuwa kuwatoa watu kwenye man hajji moja wote mnalingani
      a kitabu na sunnah daah! Nikifatilia fatuwa za wanazuoni zzwakubwa hawako huko mliko nyie ghu maata matamanio ya n ukisi 0 utheiminy, al fawzan ibn baaz hawako Albany wako mb

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Huo so usalafi kitu ni fikraa mbayaa sana kuliko uaadui wa maaadui na allh atakwenda kuwahukumu watu kwa kule kuwadhulumu waisslamu wenzao bila hakki ya kustahili kudhulumiwa daawa ya mtume na wema walotangulia haikuwa kuwatoa watu kwenye man hajji moja wote mnalingani
      a kitabu na sunnah daah! Nikifatilia fatuwa za wanazuoni zzwakubwa hawako huko mliko nyie ghu maata matamanio ya n ukisi 0 utheiminy, al fawzan ibn baaz hawako Albany wako mb

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Huo so usalafi kitu ni fikraa mbayaa sana kuliko uaadui wa maaadui na allh atakwenda kuwahukumu watu kwa kule kuwadhulumu waisslamu wenzao bila hakki ya kustahili kudhulumiwa daawa ya mtume na wema walotangulia haikuwa kuwatoa watu kwenye man hajji moja wote mnalingani
      a kitabu na sunnah daah! Nikifatilia fatuwa za wanazuoni zzwakubwa hawako huko mliko nyie ghu maata matamanio ya n ukisi 0 utheiminy, al fawzan ibn baaz hawako Albany wako mb

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Huo so usalafi kitu ni fikraa mbayaa sana kuliko uaadui wa maaadui na allh atakwenda kuwahukumu watu kwa kule kuwadhulumu waisslamu wenzao bila hakki ya kustahili kudhulumiwa daawa ya mtume na wema walotangulia haikuwa kuwatoa watu kwenye man hajji moja wote mnalingani
      a kitabu na sunnah daah! Nikifatilia fatuwa za wanazuoni zzwakubwa hawako huko mliko nyie ghu maata matamanio ya n ukisi 0 utheiminy, al fawzan ibn baaz hawako Albany wako mb

  • @answarmohamed4564
    @answarmohamed4564 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂yaani mpaka wao kwa wao hawaachani,Subhaanal Malikil Quddus

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani 23 วันที่ผ่านมา

    kwanza mtume hakusajili taasisi, vipi wewe hapoo PONGWE UMESAJILI TAASISI AU, ILEE MARA YA KWANZA ULIKURUPUKAAA😂😂😂😂?

  • @ExcitedCricketHelmet-wr4sq
    @ExcitedCricketHelmet-wr4sq หลายเดือนก่อน +2

    Tandika kisawa swa mpaka warudi swa

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Nani arudi sawa wao ndo warudi sawa katika usalafi wa kweli wakiendelea hivi Allah atawahukumu so siri maana dawa yao ina ghuruu na matamnio ya nafsi zao mtume na wema walotangulia akuwatoa watu katika dinni mmetupa mipaka ibis anachezea nafsi zenu kuwasengenya wenzenu huku mkijificha kwenye kivuli cha watu wema huo so usalafi kitu masalafi hawakuwa na vurugu kama zenu katika kulingania hata wanazuoni wakubwa hawwpo huko mlipo ninyi sikiiza fatuwa zao wanawasikitikia sana vijana wa hivi ninyi mmejipa pepo duniani ninyi so Allah wwla mtume dini so yenu usalafi ni man hajji ya wema walotangulia so wenu

    • @ExcitedCricketHelmet-wr4sq
      @ExcitedCricketHelmet-wr4sq หลายเดือนก่อน

      @@user-yj5on8cz3e lazima mpatiwe viboko ndo mta koma kuchezea dini ya Allah masalafi wamekuja kuondoa uchafu kwa ummah hangaikeni tu nyie mahizbi na makhurafi hakuna kuwapa nafasi

  • @khamiskhamis9947
    @khamiskhamis9947 หลายเดือนก่อน

    Kujikweza tu!

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน +1

    Mbona ninyi mnao dai usalafi wakorofi sanaa hiyo daawa yenu ni dawwaa ya ufedhuli wala so dawa ya usalafia Allah anawaona kuwatoa waislamu wenzenu katika njia arafu ukiangalia hata wanazuoni hawawaungi mkono na ujahil wenu huo mnadai usalafi hamna usalafi wowote ule masalafi hawakuwa hivyo bhana nani aje afate ujadida wenu huwo dawa ya kuwasengenya wwtu nani anataka itaqi llah mcheni allah

  • @zakariaomari3840
    @zakariaomari3840 หลายเดือนก่อน +1

    Masalafi mna kero wallah

    • @IssaSimbilla-hw9ev
      @IssaSimbilla-hw9ev หลายเดือนก่อน +1

      😂😂 kunamtu kakushika shingo kakulazimisha kuwasikiliza? Kama wana kera hujalaximishwa kuwa sikiliza 😂 wanakukera laxima ukereke unapotibiwa sababu unaguswa panapo maradhi ingekua sio maradhi yako sio hayo bc usingekua na muda wakutegea sikio hivyo vumulia dawa ipite

    • @YusufAli-gc9cu
      @YusufAli-gc9cu หลายเดือนก่อน +1

      Ikiwa kuinusuru sunnah isichafuliwe ni kero,,,tutawakera sana,,,,mpaka kueleweke

  • @abdulazizially607
    @abdulazizially607 หลายเดือนก่อน +1

    watu wamechoka uma ukotaabani lakini wao kazi kusema watu

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Ukisikiliza fatuwa za wanazuoni wakubwa hata hawapo huko kabisa wanasikitika sana fitna iliyoingia kwa ahlsunna msikilize al fauwzan mwenyew,ibn baaz shehe utheimeeny ,Alban hawaungi mkono hilo kundi la Hawa jamaa wametupa mipaka sana tena wasiporudi katika usawa Allah atakwenda wahukumu kwa kule kuwdhulumu waislamu wenzao ambao hawakustahili kudhulumiwa sasa mtu analingania kitabu na sunnah bado unamtoa unamsema vibaya unasengenya sasa ndo daawa ya usalafi hiyo au chama cha upinzani tuu,mtume alitukanwa watu wala hakulingania kama Hawa wanavyofanya leo

    • @YusufAli-gc9cu
      @YusufAli-gc9cu หลายเดือนก่อน

      Kwani si wewe pia hapo wasema watu,,,,,kinachozingatiwa ni kuwa je? unachosema ni haki

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      @@YusufAli-gc9cu haki gani mlokuwa nayo ninyi majadida wenyew kwa wenyewe tuu mnachukiana huyu baramika arusha radi kwa hajawila so hizbi so salafi hajawila arusha radi kwa madahila so salafi kila mtu amtoa mwenzie so saafi kuna mmoja nilimsikia afadhali misikiti ya makadiani ienee kuliko misikiti ya khajawira kuenea yani kila mtu kati yenu fulani so salafi kaaaaaa mpk kelo ndomana ukifanya uchunguzi Hawa wanazuoni wakubwa hawawaungi mkono kabisa huyo fawzan mwenyew akubali ujinga wwnu huo chukii so usalafi tena shetwani amewaghuli sana ndugu zetu hilo pote lenu jipya

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani 23 วันที่ผ่านมา

    ulimsema barahiyani, sio salafi maana yeye amesajili TAASISI 😅😅 VIPI WEWE MZEE?? umekuwa hizbi siku hiziiii, Elimu sio kukurupuka kijana😅😅

  • @khamiskhamis9947
    @khamiskhamis9947 หลายเดือนก่อน

    Hivi nyinyi hamuingii kwenye farqa baina ya waislamu?
    Lini utaweza kukaa chini na waislamu wenzako ili msije mukafa mkaenda kujuta mbele ya Allah kwa kutokuelewana na waislamu wenzako?

  • @IbrahimMahmoud-em1np
    @IbrahimMahmoud-em1np หลายเดือนก่อน +1

    Wapumbavu hawa genge la qasim mafuta anaejiona yeye mtakatifu na mjuzi wahuni tu

    • @saidramadhan4516
      @saidramadhan4516 หลายเดือนก่อน

      Hiyo chuki binafsi

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo lako hutaki kuelewa ilmu, umeamua kumhukumu hivyo kuwa ajiona ametakasika ,,,siku ukiamua kutafuta haqq ndipo utamuelewa sheikh qaasim mafuta ,,lkn kwa Hali ulojiweka nayo hutoweza kumuelewa sheikh qaasim,,utabaki wewe na Kuwaita watu wapumbàvu ambalo halitakusaidia

    • @SaidKanana-em5py
      @SaidKanana-em5py หลายเดือนก่อน

      Mche Allah sub'hallahu wataala

  • @kasimubangu1875
    @kasimubangu1875 หลายเดือนก่อน +1

    Mpasuko baina ya watu wa sunna nitatizo kubwa kwanini msikae mkajadiliana kulikoni kila mtu kuwa na msimamo wake hata mm naweza tengeneza genge langu na nikaegemea dalili hizo hizo inamaana hatuwezi kukaa pamoja kuliweka sawa au ndo kila mtu ashike msimamo wake maduwat na mashekhe kaeni mezani mbainishiane naikiwa hamja fikia mwafaka bas muheshimiane

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Dawaa ya kusengenya watu imejiweka kwenye kivuli cha watu wema waliotangulia wakorofi sana Hawa ila Allah anawaona kwakule kuwatoa walinganizi wa sunnah kuwatia upotevuni hali ya kuwa wanalingaania kitabu na sunnah mi naskiliza sana fatuwa za wanazuoni wakubwa naona hawaungi mkono masuala haya yakuwatoa watu kwenye man hajji moja tofauti ndogo tuu kuna watu watakwenda kuhukumiwa kwa kule kuwafanyia dhulma waislamu wenzao

  • @khamiskhamis9947
    @khamiskhamis9947 หลายเดือนก่อน

    Masalafi mmefeli hapa, hampendi kupiga picha lkn sasa mmeshindwaa

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Na video wanaangalia kabisa utube saivi ni kikundi cha vurugu tuuh wao kwa wao huchukiana huyu so salafi red card fulani naye anarudisha fulani so salafi red card yani ahlsunnah imeingiliwa na pote lenye vurigu subuhana llah subuhana llah Allah katupa mtihani kweli kwa fitna hii ya ujadida uloingia duniani aujamuacha mtu salama kila mtu ajeruhiwa hata awe mtu wa sunnah madamu wamesema wao watamjeruhi abaki salama kabisa wallahy wanazuoni wakubwa wenyew wapo mbali na hilo kundi ukisikiza fatuwa zao

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani 23 วันที่ผ่านมา

    Tunapo elekea kassim mafuta atanza kuabudiwa na kikundi chake kama manaswara wanavyo abudia viumbe. Maana yeye hatoki dalili KTK QURAN Wala hadithi, yeye anamtoa ktk manhaji yeyote yule anaekhitalidiana nae, HAJA TOA Aya Wala hadithi juu ya Fatua aliyo inukuu DR. Islam ya Ibn Uthaimiin juu ya Usalaf

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 หลายเดือนก่อน

    أثرثارون،ولمتشدقون، ولمتفيهقوت.

  • @GOP-Abdallah
    @GOP-Abdallah หลายเดือนก่อน +3

    mmeshindwa kujibu raddi ya daktur?😅mtabaki mkiropokwa tu

    • @abuuawadhassalafy1594
      @abuuawadhassalafy1594 หลายเดือนก่อน +1

      Raddi ipi hiyo au maneno yasiokua na msingi alafu alokuambia tumeshindwa ni nani ama waona masalafi hujirupukia tu kuongeza subiri masheikh watokea hajj wakae watulie alafu salamu utazipata Dr ana kipi Cha kuwafanya masalafi washindwe kumjibu

    • @IssaSimbilla-hw9ev
      @IssaSimbilla-hw9ev หลายเดือนก่อน

      Wewe😂 unawazimu Duktur radd ipi hebu iandike hapa tuione kisha tukuonyeshe sisi maswali kumi aliyo ulizwa yeye pamoja na barahiyani na mahizb woote kashindwa kujibu sio yy wala barahiyani waba Muhammad bichwa na kapewa udhuru akiweza hata miaka miinne 😂😂 mnahoja nyie mahizb ndo maaa ukizingumzwa uhuzbi mahizb wa kwel mnakomenti matus wewe hetu wasaidie waalim wako sikiliza hoja za haq sio poroji haikusaindii kitu ewe kijana wa kianswar bidaa

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      @@abuuawadhassalafy1594 mmeshindwa ndy raddi ile tanga maneno ya shekhe utheimeeny kalipuwa kikundi chenu hiko ductur alipoyasoma aliwapagawisha mpk leo hakuna alikanusha kwa hoja za kuelewwka kuwa so sisi kila dalili mmo ninyi et mnadanganywa na mashekhe zenu ni salafiyya jihadia shekhe alikusudia dadekiii salafiyya jihadia wanawabadii watu kuwatoa kwenye sunnah ? Wale si khawariji wajulikana mmeshindwa ndy

    • @nurdinali4026
      @nurdinali4026 หลายเดือนก่อน

      ​​@@abuuawadhassalafy1594acheni kuropokwa ropokwa, mujibu raddi ya Dr islam kwa Dilele....huyo Dilele ache kelele aende akalale

    • @nurdinali4026
      @nurdinali4026 หลายเดือนก่อน

      ​@@abuuawadhassalafy1594 mujibu kwa maandishi ya kiarabu....mujibu kwa maadnishi ya kiarabu acheni tavia za kuropokwa kama wanawake....kalamu zenu zitujibu, hatutaki perere nyungi

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 หลายเดือนก่อน

    Hapana APASAE KUABUDIWA kwa Haqqi ila ALLAH A'ZZA WAJALLA. Hana mshirika.Kibali cha kutathmini matendo ya waja mmepata wapi?Kila siku unaatafuta malumbano. Qasim ana Elimu nzuri ila amekosa ; 1.washauri 2. Misingi ya Daawa. Pia anapenda magomvi (mshari).Ufanyaji wa Daawa yake inakiuka Kitabu na Sunnah. Kuna shubha katika Daawa yake. Hata kama yeye na wafuasi wake hawakubali, hatujali. Ameinyongesha Daawat Salafiya kutokana na tabia yake ya khusuma.

    • @azizisulay6005
      @azizisulay6005 หลายเดือนก่อน

      Kwa koment yako hii yaonekana ww ni hizbi au sufi kabisa

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 หลายเดือนก่อน +1

    Tabia mbovu, ambazo hawakuwa nazo wema waliotangulia. "Total approved failure Daawa "

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 หลายเดือนก่อน

      Mola atujalie hatima njema bora Wewe ulie elewa hilo na kuliona, wengi bado hawalijui hilo.

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Mi naona kila kukicha siku zinapoenda hili pote la usalafiyya jadida mtihani sana wametupa mipaka lakini ukisikiliza fatuwa za wanazuoni wakubwa kuhusu usalafi utajuwa hiki ni kikundi tofauti na salafi swalehe kabisa ni chama hutobabaika nao kabisa

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 หลายเดือนก่อน

      @@user-yj5on8cz3e Sahihi bro,pote hili mtihani wamejipa jina tu. Lakini tofauti na tabia halisi za Assalafi Asswalih OG."Haja ya mja hunena muungwana ni kitendo."

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 หลายเดือนก่อน

      @@user-yj5on8cz3e Sahihi bro,pote hili halina Usulubu mzuri wa Assalafi Asswalih OG ila baadhi. Wanavurugu ambazo zinapotosha na kuleta tafsiri isiyo sahihi kwa wasio wafahamu Assalafi Asswalih ni kina nani na vipi zilikuwa tabia zao na kauli zao. Hawa ni watu wa khusuma, mihemuko na malumbano.

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 7 วันที่ผ่านมา

      So do you have any knowledge to bring forth to us? Or just a mere words?

  • @CoComelod123
    @CoComelod123 หลายเดือนก่อน

    Masalafi muna unafik, mbona kupost video zenu na picha ni Haram lakini kueka picha za munao waponda ni halali kwenu.. mutawabeba wasiojelewa, salafi ni chama Cha mayahudi

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani 23 วันที่ผ่านมา

    ILI UWE SALAFI LAZIMA UPEWE CHETI NA KASSIM MAFUTA KUTOKA MAKAO MAKUU PONGWE TANGA TANZANIA 😂😂 kama hajakupa kibali yeye basi wewe siooo salafi 😅😅 vibali VYA USALAFI anatoa KASSIM MAFUTA TU Kwa TANZANIA HII NZIMA

    • @ShafiiAbuu-jb8hp
      @ShafiiAbuu-jb8hp 13 วันที่ผ่านมา

      We muongo uslafi nikufuata mfumo wa maswahaba kuanzia itikadi ibada na muamala

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 7 วันที่ผ่านมา

      @@ShafiiAbuu-jb8hp saasa ndo anavyofanya mafuta hivi mwendo huu ndo wa wema waliotangulia,?? Au kutupa mipaka katika dini, huyu jamaa anafitna kweli sijui analipwa pesa apambane na kuwauwa ummah wa ahlsunna na kuvuruga vuruga, wallahy asipoangalia kassimu bin mafuta hiyo ilmu itakwenda mshitaki mbele ya allah, maana anachotafuta huyo bwana ghuruu na watu wanamuangalia tuuh!

  • @oxygrp7393
    @oxygrp7393 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni ushabiki nyie apigwe radi kwani nyie ndo wakamilifu au?

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 หลายเดือนก่อน

      Kwa hawa jamaa unajisumbua tu maana wao hawajui kukosea wala hawajui kuomba radhi maana wao ndio wanao jiona bora na sahihi kuliko waislam wengine. Sijui huu uislam wao waliutoa wapi ata sijui.

    • @azizisulay6005
      @azizisulay6005 หลายเดือนก่อน

      ​@@abdullahmasakata170Nyie ndo mumeharibu uislam tangia zaman maana masheikh wenu waliopinda walikuwa wakiongea chochote wanachotaka katika din hata chenye kukhalifu Quran na sunna hususan masufi mpaka Sasa uislam unaonekana na ushirikiano na majin kwa masheikh wenu wa kisufi walikuwa hawaambiwi din ikawa shamba la bibi

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 หลายเดือนก่อน

      @@azizisulay6005 Wewe unajua dhehebu langu ni lipi ndugu? Kama wewe sio mnafiki niambie mimi ni dhehebu gani? Alafu tuambie mtume MUHAMMAD S. A. W, alikuwa dhehebu gani na jee aliwahi kulingania madhehebu katika uislam au alilingania nini katika uislam wake? Jee aliwahi kulingania kama mnavyo lingania na kujisifu na kujiona mumeokoko zaidi ya waislam wengine, Jee huu ndio utaratibu na msingi wa uislam? Acheni umadhehebu katika dini na Fundisheni dini na sio makundi yenu.

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 หลายเดือนก่อน

      @@azizisulay6005 unao ushahidi?

    • @YusufAli-gc9cu
      @YusufAli-gc9cu หลายเดือนก่อน +1

      Mimi na wewe twakosea,,,,ama huu mfumo aliokuja nao mtume ni haki hauna dosari yeyote

  • @adamcity9441
    @adamcity9441 หลายเดือนก่อน

    Itikadi potofu ya kiwahabi
    Sheikh Al islaami Ibnu Taimia Alharaani:
    كما في الحديث الصحيح المرفوع عن قتادة عن عكرمة عن ابن عباس قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: رأيت ربي في صورة شاب أمردُ له وفرة جعد قطط في روضة خضراء
    Kama ilivyo katika hadithi sahihi almarfuu kutoka kwa Qataadah kutoka kwa Iqrimah kutoka kwa Ibnu Abbaaas amesema: amesema Mtume wa Allah s.a.w.: “nilimuona Mola wangu akiwa katika sura ya kijana barobaro nywele timtimu nyingi chooko akiwa katika bustani kijani.” [Rf. Bayanu Talbiis Aljahmia 7/290]

    • @azizisulay6005
      @azizisulay6005 หลายเดือนก่อน

      Na hiyo hadithi kainukuu imam suyut na kaikubali kuwa sahihi Sasa nashangaa unaiweka hapa ukidhan labda watu watashashangaa na Imam Ahmad bin hanbal kasema kuwa hadith tuisimusilie mbele za watu yaan kwamba hadith hii sahihi

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      Jititu la bidaa linatafuta nini humu jisufi hilo limetokea wapi akaabudie makaburi kule ya masharifu wao huku kwa wasomi watupu hukuwezi