Asanteni sana waumini wa kristo Tanzania Kwa kuusikiliza wimbo wangu wa kwanza,UNAWEZA BWANA.Hii Ibada nitaifuatia maana Ina neema nyingi . After listening to this upendo wangu Kwa MUNGU unanizidi
Dr Ipyana Nakufurahia hakika upo kwa kisudi maalumu Mungu akutunze hakika Umeongea vitu ambavyo vikundi vingi vya Praise huchukulia easy sanaa na ndio vinavyowaangusha hili somo nawapelekea naamini watabadilika Amen
Mungu awasaidie kaka zangu hawa mliopewa neema hii kubwa,msije mkauza Urithi wenu mkuu namna hii,kwa maana Yule Mwovu halali usiku na mchana,Dr Ipyana,Chunga ulacho,chunga marafiki,Chunga Mialiko,na Promotion,na zaidi Mungu akuongoze akakufanikishe
My everlasting ringing tone with thanks giving to God every single day of my life. Niseme Nini(Baba Ninakushukuru ) This song is a blessing.Be blessed Dr and we give Glory to God.
DR. IPYANA MUNGU AKUBARIKI SANA. 🎉🎉🎉🎉🎉 Umenirudisha Mafunzo mazuri ya Msingi nikiwa Primary School kule KAPENGURIA ( WEST POKOT ) , KANISA LA FULL GOSPEL CHURCHES OF KENYA ambapo nilipata Mafunzo Hadi na UBATIZO WA MAJI MENGI.
from o level nilikuwa nasikiliza ur songs sana they lifted me up much And they breath until today May God bless your ministry Tanzania is blessed to have you!
I do worship in the morning before going to work and one morning the holy spirit directed me to certain place in my house what I found My God is a story for another one if God gives me strength to open up
Nampenda sana Dr lpyana ule wimbo wa nikupe nini siwezi kueleza ulinibadilishia Maisha nilikuwa nausikiliza sana na kumshukuru Mungu nikapokea muujiza wangu
Mungu ninakuomba watumishi wote wakutumikiao ktk roho na kweli watie nguvu wasichoke siku zote baba haya ni maombi yangu kwako Yesu asante hata kwaajili ya huu ujumbe baba yangu❤❤❤
Dr, am in a praise and worship team. I thank God for teaching me this lesson on how to worship God with the heart of Thanksgiving. God bless you abundantly
Namshukuru Mungu sana sana kwa mafundisho haya Dr Ipyana. Yamenifikia kwa wakati sahihi kabisa. Nimejifunza kitu kikubwa sana sana ktk maisha yangu. Mungu azidi kukutumia kwa utukufu Wake. Bwana Yesu ni Bwana.
Namshukuru Mungu sana kwa mafunzo haya yenye maana sikua najua kabisa wala sijayasikia ila Mungu alikusudia niyapate ili nisaidike..ni ombi langu Mungu uweke nuru yako kwenye ufahamu wangu na nitembee mwangani mwako nisianguke
Mungu nakushukuru Kwa ajili ya huyu Mtumishi wako. Asante Kwa ajili ya huyu Mtumishi. Sifa na utukufu ni kwako Mungu. Ninasema asante na niseme nini Kwa Wema na fadhila zako Mtakatifu🙏🙏
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Dr. Ipiana. Kwa kweli Mungu akakutumie kwa viwango vya juu na pia ukazidi kuwa mtii na mnyenyekevu. Atakufikisha mahali pake pa juu na yamkini kupitia wewe nasisi tutafika mahali pake pa juu hapa duniani na huko mbinguni.
Thank you Jesus.i really needed this today Mimi muimbaji ila tu ilinibidi kwenda mlimani maana nilihisi napungukiwa na imani.ila nashukuru nimepata neno hili hapa ,neno la Mungu ni chemichemi na maji ya uzima.nisingetaka kuimba tu Bali kuimba na ufunuo ili nihisi uwepo wake katika sifa.
Natamanii ningejua hii mapemaa..napenda sana Ibada ya kusifu na kuabuduu
Kuna wakati niliimba nakusifu nilifanyiwa delivence Moja kwa moja Hakika Mungu ni halisi na anaishi Ndani ytu
Dr Ipyana You are a Blessing to This Land of the Living..Amen Learning So much from Your Sermons..May Our Good Lord Keep You.
Dr ipyana you are such a blessing in Tanzania and in East Africa it is my prayer that when jesus will come you will be among the chosen one😢
Dr. Ipyana wewe ni zaidi ya mwimbaji. Namtukuza sana Yesu kwaajili YAKO. Atukuzwe sana Yesu kwa ajili ya nafasi YAKO
NIKO MBAYE NIKO
Barikiwa sana sana
Wow!
Happy for you Dr. Ipyana.
Watching from Washington and I am really blessed.
You are a blessing to this genaration man of God thank you coz u hv teached me hw i can worship the one Who created me,God is music ❤🎉🙏💪
You ignited my spirit, my spirit has liften up more and the love for Jesus increases
Kaka msomi, mdogo na anayempenda Mungu.
Ee Mungu nakuomba NAMI unikuzie watoto wangu katika Imani yakukupenda na kukutumikia.
Nasonga mbele kwa jina la Yesu.
Oh YHWH usinipite.
Mungu unifanyie Jambo jipya sasa.
Napokeanjambo jipya unalolium a kwa jina la Yesu.
Asanteni sana waumini wa kristo Tanzania Kwa kuusikiliza wimbo wangu wa kwanza,UNAWEZA BWANA.Hii Ibada nitaifuatia maana Ina neema nyingi . After listening to this upendo wangu Kwa MUNGU unanizidi
Uñaweza
Dr Ipyana
Nakufurahia hakika upo kwa kisudi maalumu
Mungu akutunze hakika
Umeongea vitu ambavyo vikundi vingi vya Praise huchukulia easy sanaa na ndio vinavyowaangusha hili somo nawapelekea naamini watabadilika
Amen
Mungu yupamoja na wewe. Naweza vipi kumpata Je, huyu Dr ipyana japo ata kidogo
Mungu awasaidie kaka zangu hawa mliopewa neema hii kubwa,msije mkauza Urithi wenu mkuu namna hii,kwa maana Yule Mwovu halali usiku na mchana,Dr Ipyana,Chunga ulacho,chunga marafiki,Chunga Mialiko,na Promotion,na zaidi Mungu akuongoze akakufanikishe
umeongea vyema sana.. wengi huwa wanaanza vzr baadae wanatingwa
🎉
❤ umeongea vizur sana ubarkiwe
Hallelujah, Mungu aendelee na kukutumia.
Mungu amuonekanie
Mungu akubariki sana mtumishi nikisikiliza wimbo wako ule ulioimba umefanya hili umefanya lile machozi huwa yananitoka sana sana mwili unasisimuka
True and Amen. God first,,,God remember us to remain faithful to you 🙏 Keep fire burning for God, s glory my brother.
Amen mtumishi, Mungu azidi kukuinua na watu wamjue yeye aliyehai, ambaye yupo na atakuwepo mpaka ukamilifu wa dahari.
My everlasting ringing tone with thanks giving to God every single day of my life. Niseme Nini(Baba Ninakushukuru ) This song is a blessing.Be blessed Dr and we give Glory to God.
Great insights man of God, will put them in practice, Kenya we love your ministry
Nakushukuru MUNGU kunionesha video hii kweli nashuudia uwepo wako ASANTE.
Wow this is so powerful. Nayaheshimu mafuta yaliyopo juu yako Man of God. Hossana ndiwe Mungu wetu.
Asante sana nimebarikiwa sana
Sifa na utukufu ni kwa Bwana wetu Yesu Christo..Asante Dr kwa mafunzo haya mazuri..
Glory to God.
Kaka nabarikiwa naq nyimbo zako zinabariki naomba maombi na mimi nipate hushuda wa kutembea By jescra
mung akubarik sana
Oh Glory unto the Living God, asante sana Dr. Ipyana kwa haya maneno ya nguvu, umenijenga sana na kunitia moyo. Sifa kwa Mwenyezi Mungu
DR. IPYANA MUNGU AKUBARIKI SANA.
🎉🎉🎉🎉🎉 Umenirudisha Mafunzo mazuri ya Msingi nikiwa Primary School kule KAPENGURIA ( WEST POKOT ) , KANISA LA FULL GOSPEL CHURCHES OF KENYA ambapo nilipata Mafunzo Hadi na UBATIZO WA MAJI MENGI.
What a wonderful teaching doctor.part 3 twangoja,Kenya massive.
from o level nilikuwa nasikiliza ur songs sana they lifted me up much And they breath until today May God bless your ministry Tanzania is blessed to have you!
Ubarikiwe sanaa Mtumishi wa Mungu kuna jambo jipya naamni limeumbika ndani yangu
Asante Bwana Yesu Kristo, ilikuwa kila nikipata, nisisikilize, Roho ananisukuma tu kusikiliza thanks so much LORD
I do worship in the morning before going to work and one morning the holy spirit directed me to certain place in my house what I found My God is a story for another one if God gives me strength to open up
🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲 najivunia kumjua sana Mungu ili nipate kuish maisha ya utakatifu
Nampenda sana Dr lpyana ule wimbo wa nikupe nini siwezi kueleza ulinibadilishia Maisha
nilikuwa nausikiliza sana na kumshukuru Mungu nikapokea muujiza wangu
Kupatikana uweponi wa Mungu❤❤❤, consistency matters....
Mungu tusaidie kupatikana uweponi mwako
Hongera kwa kukitumia kipawa ulichopewa sawasawa na kusudi la Mungu na kuwarithisha wengine ujuzi.
Mungu wa mbinguni Akubariki umeniamsha ndani roho ya kukaa uweponi mwa Bwana hata nikiwa kazini kwangu 🎉❤
Whwh
Nimrbarikiwa sana sana Mungu akubariki sana. Roho Mtakatifu azidi kukufunulia mafundisho mengi zaidi
Who is this wonderful amazing God ❤❤❤🔥🔥🔥🔥💯💯
God let me here!
I am learning about worship
Mungu ninakuomba watumishi wote wakutumikiao ktk roho na kweli watie nguvu wasichoke siku zote baba haya ni maombi yangu kwako Yesu asante hata kwaajili ya huu ujumbe baba yangu❤❤❤
God bless you Dr.Ipyan am also in a team of praise and worship en you're my mentor
Very powerful message man of God glory to His name
Nimejifunza mengi,I was struggling in my worship,but now I know what to do,be blessed man of GOD
Nimejifunza kitu, Mungu akubariki
Am blessed servant of God. From Kenya
Ubarikiwe mtumish wa Mungu azidi kuwa mdhamini wako uzid kua na maono ya mbali sana kiutumish
Oh my God, the presence of God in this ministration is overwhelming. More grace to you servant of God. Am revived.
Dr, am in a praise and worship team. I thank God for teaching me this lesson on how to worship God with the heart of Thanksgiving. God bless you abundantly
The Bible says enter His gates with Thanksgiving
Psalm 100:1...
Namshukuru Mungu sana sana kwa mafundisho haya Dr Ipyana. Yamenifikia kwa wakati sahihi kabisa. Nimejifunza kitu kikubwa sana sana ktk maisha yangu. Mungu azidi kukutumia kwa utukufu Wake. Bwana Yesu ni Bwana.
Nabarikiwa sana kila nikimsikiliza huyu Baba Mungu amtunze kwa utukufu wake
Ibada maisha Mungu aendelee kukubariki mtumishi wa Mungu Ipyana
Mwanangu Mchungaji Mungu akutuze ktk utumishi wako umenibariki kwa jinsi unamtumikia Mungu ungali kijana.
from 254🇰🇪 Dr Ipyana we ni wa baraka sana kwetu ,MWENYEZI MUNGU na akuzidishie tele
naguswa mtumishi..Mungu autkuzwe.Nakuombea amani ili uzidi kumtukuza
This message has uplifted me❤
Namshukuru Mungu sana kwa mafunzo haya yenye maana sikua najua kabisa wala sijayasikia ila Mungu alikusudia niyapate ili nisaidike..ni ombi langu Mungu uweke nuru yako kwenye ufahamu wangu na nitembee mwangani mwako nisianguke
Mungu nakushukuru Kwa ajili ya huyu Mtumishi wako. Asante Kwa ajili ya huyu Mtumishi. Sifa na utukufu ni kwako Mungu. Ninasema asante na niseme nini Kwa Wema na fadhila zako Mtakatifu🙏🙏
Amen 🙏 Abarikiwe Bwana, Mungu wa Israel, Tangu milele hata milele. Zaburi:41:13
Kubadilisha kazi kuwa ibada.
Nimejifunza kitu.
hakika Mungu ni mwemaaa sana ubarikiwe
Napenda kuabudu ata wakati huu unaongea nahizi nguvu za Roho mtakatifu ndani yangu. Glory to God.
God bless you, Dr Ipyana umeimanisha kwa MUNGU wetu aliye juu, usirudi nyuma
Nimepata kitu kipya Asante sana Dr
From part 1, i have been rejuvenated.God bless you MOG.
Barikiwa sanaa Dr., Kiufupi sipajui nakupatia wapi lakin skumoja natumaini utakuja manyara kiteto..
Mungu akubariki sana Kaka Ipyana, Roho mtakatifu amekutumia kunifungua kwenye eneo hili la namna ya kusogea uweponi mwa Mungu🙌
God bless you so much man of God. Hapa unanifundisha kiti kipya.
Mungu wa Mbinguni akubariki milele aendelee kukulinda na kukuhifadhi katika kumtumikia yeye aliyekuita kwa jina Lake umtumikie yeye
I tap this grace. Mungu nisaidie
Namshukur kwa kunipa maarifa hakika sipo kama nilivyokuwa
Quelle profondeur, suis inspirée par ce témoignage
Aaaaaaaah Mungu akubariki mno mtumishi wa Bwana, 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Napenda niwe na huduma kama yako napenda sana mungu akubariki
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Dr. Ipiana. Kwa kweli Mungu akakutumie kwa viwango vya juu na pia ukazidi kuwa mtii na mnyenyekevu. Atakufikisha mahali pake pa juu na yamkini kupitia wewe nasisi tutafika mahali pake pa juu hapa duniani na huko mbinguni.
Hallelujah
I have received something important, thank you LORD JESUS CHRIST 🙏
AMEN, AMEN GLOIRE SOIT RENDUE A NOTRE DIEU 🎉🎉🎉🎉FROM DRC KINSHASA
Dr Ipyana Mungu akubariki Sana hata Katinka huduma uliyopewa na Mungu
Asante. Umenijenga kwelikweli! Amen 🙏 🙏 Am following from Kenya
Hallelujah nduniani kama vile Mbinguni❤ 🎧
Asantee Kristo Yesu kwa kunipa mafunsiaho haya
Thank you Jesus.i really needed this today Mimi muimbaji ila tu ilinibidi kwenda mlimani maana nilihisi napungukiwa na imani.ila nashukuru nimepata neno hili hapa ,neno la Mungu ni chemichemi na maji ya uzima.nisingetaka kuimba tu Bali kuimba na ufunuo ili nihisi uwepo wake katika sifa.
Ubarkiwe sana mtumishi mimi ni mwana sifa yaani nipo lwenye huduma ya kusifu na kuabudu naomba uniunge kwenye kundi lako mtumishi.
Mungu akuinue zaidi Mwana wa mungu,,kwa kupitia mafundisho yako umefufua kitu ndani yangu nimesikia nguvu ya ajabu ndani yangu nimebubujika sana,
What a powerful teachings . Najifunza mno
Self sustaining God. I love this. This beautiful
Ipyana ubarikiwe sana
Nakupenda sana mutoto wa mungu umbarikiwe sana
Amina mtumishi nime kusikiza mwanzo paka mwesho yani sijutii kumtumikia uyu MUNGU umenibariki sana kaka 🙏🔥
Waoooh nimepata kitu ubarikiwe Sana mtumishi Wa MUNGU.
Umenibariki doctor Ipyana. Endelea na hiyo kitu. Ni kizuri.
Utukufu Umrudie BWANA ,nimeongezeka maarifa ndani Yangu.
Bless you Man of God 🙌
Asante MTUMISHI MUNGU AKUBALIKI Umenifungua AMINA
Nimejifunza kitu, Mungu akubariki Dr.
Napenda sana haya mafundisho amen doctor
Such Revelations Glory and Honor to Jesus.
Mungu akubariki sana Dr Ipyana nimebarikiwa kwa mafundisho yako
Nazid kumuogopa MUNGU na kutetemeka kwa shuhuda zako, utukufu apewe Mungu
May God bless you man of God
U have blessed me so much my brother may the Lord increase you in whatever you do
Thank you Jesus for such a message in such a time as this
You truly know the word my brother
God wants consistency kwenye kumtumikia... umenifundisha kitu kikubwa sana Dr.