1_UNAWEZA KUWA MTUMISHI MZURI KABISA WA MUNGU NA UKIFA UKAENDA KUZIMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
    1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
    3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

ความคิดเห็น • 81

  • @OwikeSibonike-x3b
    @OwikeSibonike-x3b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen. Neno La MUNGU Li hai! Tena Lina Nguuvu. Ubarikiwe SANA Kutufumbua Macho Mtumishi.

  • @ipyanadanny9959
    @ipyanadanny9959 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameni mtumishi barikiwa

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 2 ปีที่แล้ว +1

    Habari njema ndizo hizo kamili

  • @JaneKuyokwa-ng2qf
    @JaneKuyokwa-ng2qf 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubaliki mtumishi

  • @carendeborah5687
    @carendeborah5687 2 ปีที่แล้ว +1

    Haha. Eti can I pro can I pro Mimi hutoka mbiooooo

  • @albert3359
    @albert3359 2 ปีที่แล้ว +1

    Somo nzuri lakini andiko zinazotolewa ni tofauti na mada, amena

  • @gashugijonatan7817
    @gashugijonatan7817 2 ปีที่แล้ว +1

    Unasema kwere

  • @fedhamuzuri284
    @fedhamuzuri284 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen

  • @FaithHozza
    @FaithHozza 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli mtumishi wa Mungu

  • @fatumaminyeko1875
    @fatumaminyeko1875 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubarikisana mtumishi wamungu umenifungua mashoyangu nilikua sijakutana na injili kamahii ila yesu amenileta apa mungu 🙏🙏 akujaze roho wake ili ufunguwe wengi kiroho amen amen amen

  • @nsimirrlove2139
    @nsimirrlove2139 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen

  • @estherrebecca1575
    @estherrebecca1575 ปีที่แล้ว +1

    Thank you for this message thank you father ❤❤

  • @riccahcate8126
    @riccahcate8126 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen mtumishi Langi Stany umenibariki sana na ni ukweli naomba Mungu anipe ufahamu wa kumjua kweli kweli.. Thank you man of God

  • @ashairakoze1386
    @ashairakoze1386 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana asifiw Mtumishi Mungu mbarikiw kwakweli

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 2 ปีที่แล้ว +2

    We mis u so much,msalimie adam mbay,kaka jack asante kutuletea neno jaman

  • @sayunicasmiry4365
    @sayunicasmiry4365 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante mchungaji hili neno NI Tamu kuliko asali, nimejua nimefahamu , be bless my brother. Sayuni from Tanzania

  • @rehemasamson442
    @rehemasamson442 2 ปีที่แล้ว +1

    amena mtumishi

  • @RamRam-rk9lr
    @RamRam-rk9lr 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimebalikiwa sana na neni hili leo yani mpaks nimelijua hilo neno la wakina kenaprofesa hata nilikuwa nawasikiaga tu
    Balikiwa sana mtumishi wa MUNGU,AMINA

  • @magrethmollel1078
    @magrethmollel1078 2 ปีที่แล้ว +1

    unachosema mtumishi ni kweli manabii wa uongo ni wengi sana profesai hao ni hatari

  • @eunicebukokhe6805
    @eunicebukokhe6805 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika neno la Mungu lina bariki

  • @alicechirande2304
    @alicechirande2304 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa kabisa mchungaji ukweli usemwe

  • @fezakabala6589
    @fezakabala6589 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwe saana baba 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @evangelistdanielsenyagwa4018
    @evangelistdanielsenyagwa4018 2 ปีที่แล้ว +2

    Uyu jamaa napenda sana mafundisho yake

  • @florencemuthoni6301
    @florencemuthoni6301 2 ปีที่แล้ว +1

    Neno halibandiriki ni sisi tubandirike,,,,me I believe

  • @issamgendi8679
    @issamgendi8679 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe saana

  • @petermageta4987
    @petermageta4987 2 ปีที่แล้ว +4

    Mtumishi mbona husemi kuhusu pete

  • @joysshow9460
    @joysshow9460 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeeeeeeeeeeeeen

  • @glorykapenja9473
    @glorykapenja9473 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie sana

  • @gestinakuya8117
    @gestinakuya8117 2 ปีที่แล้ว +1

    Aiseee nilimiss haya mahubili ya kweli

  • @furahaneema920
    @furahaneema920 2 ปีที่แล้ว

    Tuna wa miss sana wewe na Adamu mbaya mimi uwa na barikiwa sana na mahubiri yenu hallelujah hallelujah

  • @roselineatamba916
    @roselineatamba916 2 ปีที่แล้ว

    Nakubaluana na Mtumishi wa Mungu aliye Hai ni neno la Uzima, endelea kutufundisha ili tufahamu sisi wanafunzi.

  • @sarahmdindile4301
    @sarahmdindile4301 2 ปีที่แล้ว

    Aminaaaa! Mtumishi , Mungu azidi kutufundisha na kutufunulia siri zake kila iitwapo Leo.

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว +2

    kwan manabii n vijana tu mbona kuna watu wazima na ni manabii wa uongo tu

  • @evangeliststanleykibwobi6441
    @evangeliststanleykibwobi6441 2 ปีที่แล้ว +1

    Well versed in the word of God

  • @lawimanumbu5103
    @lawimanumbu5103 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen, P. Lang Stany

  • @susankimani3697
    @susankimani3697 2 ปีที่แล้ว +1

    This all we need man of God your very collect

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 2 ปีที่แล้ว

    Amen Barikiwa Sana Pastor Langi. Barikiwa Sana Jacktan

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 2 ปีที่แล้ว

    Ameeen, Haleluyaaaa we miss you so much, Mtumishi Lang Stan

  • @gracelauzi9746
    @gracelauzi9746 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen MUNGU ATUSAIDIE

  • @totoyamungu
    @totoyamungu 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen Mtumishi Bwana Mungu wetu muweza wa yote na Mwanawe Yesu Kristo aliyekufa na kufufuka na sasa yu hai milele na milele naye anazo funguo za mauti na za kuzimu akulinde na kukuepusha na Jehanam ya mateso

  • @dorcusamisi2926
    @dorcusamisi2926 2 ปีที่แล้ว

    Mungu. Akubariki. Sana. Kwa. Ujambuzi. Mzuri. Wa. Neno. La. Mungu

  • @editarichard3590
    @editarichard3590 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana mtumishi

  • @suzankulamiwa8721
    @suzankulamiwa8721 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie. Asante sana Mtumishi. Sasa tumejua.

  • @claudinandonde3835
    @claudinandonde3835 2 ปีที่แล้ว

    Mutumishi unafundisho vizuri

  • @eugeniekalagiwa4376
    @eugeniekalagiwa4376 2 ปีที่แล้ว

    Mubarikiwe sana

  • @bienfait1282
    @bienfait1282 2 ปีที่แล้ว

    Katika Luke 10:20 inasema “majina yenu yameandikwa mbinguni.” Je, majina yao wanafunzi 70 yamekuwa yameadikwa mbinguni lakini apana wote 70 walikuwa wameo kokwa? Iyi ina wezekanaaje? (Line 00:00 - 35:30) Tueleze vizuri Luke 10:70, na John 6:66

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 2 ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi kwa neno

  • @claudinandonde3835
    @claudinandonde3835 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen

  • @nzumimawa9853
    @nzumimawa9853 ปีที่แล้ว

    Why all this, anyway. Go on.

  • @furahaneema920
    @furahaneema920 2 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍❤️❤️❤️❤️

  • @freddiegnabry8919
    @freddiegnabry8919 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @sokakilumbi9293
    @sokakilumbi9293 2 ปีที่แล้ว

    Yaani wewe ukiwa mkristo basi jua kuwa wewe ni mshirikina na hukumu ya washirikina woote ni motoni tena milele!!

  • @mlowegb4097
    @mlowegb4097 2 ปีที่แล้ว

    Ufafanuzi Mtumishi wa Mungu : Unasema kubatizwa kwa Jina la Baba, la Mwana na la Roho Mtakatifu ni Ukatoloki....
    Mbona ktk Mathayo 28:19 imeandikwa hivo ; Tena ni agizo la Bwana Yesu mwenyewe....!!!?

    • @johnssaimon450
      @johnssaimon450 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa BWANA YESU alisema hivyo Wala so uwongo.

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว

    mmmmmmmmmmh huyu anachanganya mambo sidhan km yuko sahihi mungu aliinue neno la kwel la mungu ndan yake

  • @MaggieG276
    @MaggieG276 2 ปีที่แล้ว +1

    Powerful.

  • @bonheurtoketoke
    @bonheurtoketoke 2 ปีที่แล้ว +2

    Mchungaji hakupata muda wa kutosha wa kusoma na kuelewa, andiko anazo soma na mada anayo zungumza haviendani hata kidogo, hajaelewa vizuri alicho kimaanisha bwana yesu kwenye kitabu cha yohana 6:22 na kuendelea mpaka chini.........tuwe makini sana jinsi tunavyo tafsiri neno la bwana, tujuwe kwamba chanzo cha zehebu kuwa nyingi ni kwa ajili ya tafsiri mbaya ya neno la bwana .
    Eeee bwana, tuokowe.

    • @nuswemwaipopo9558
      @nuswemwaipopo9558 2 ปีที่แล้ว

      Zehebu lipi ni sahihi? Heelp

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว

      na mm naamin ivo najua ivo, kwan hajui chanzo ni km yeye anatfasiri tofaut anaanzisha dhehebu lake

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว

      @@nuswemwaipopo9558 dhehebu sahihi ukitaka kulijua funga kwa iman mwombe mungu wako soma bible kwa iman ya roho wa kweli amin kataka bwana na mungu atakujib kuwa ni lip neno lake lililo la kwel

    • @agathaladislaus8991
      @agathaladislaus8991 2 ปีที่แล้ว

      Nashukuru kw neno,nauliza swali sheria ya Musa ilikataza watu kula nyama na dam,Sasa Je ninayekula nyama Ni kosa? 7bu agano la kale linakataz na agano jpya linaruhusu kula; plz msaada cjaelewa nifate neno lip.

    • @carendeborah5687
      @carendeborah5687 2 ปีที่แล้ว

      @Agatha kula nyama isiyo na damu Kwa maana uhai wa mtu ama mnyama upo ndani ya damu.Osha vizuri damu itoke kabisa usile damu ya nyama ama kuku

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว

    lakin nn alianzisha haya maagano ya kuvaa pete wakati wa kufunga ndoa ineandikwa wap katka bible et lazma kuvaa pesa ndo umefnga ndoa, hili swala mm sijalielewa katka maandiko

    • @christianmwabukusi8132
      @christianmwabukusi8132 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna ulazima bali ni taratibu za madhehebu

    • @ngwanafabian4612
      @ngwanafabian4612 2 ปีที่แล้ว

      @@christianmwabukusi8132 ndugu kwani kila jambo lazima hadi liwe limeandikwa katika biblia? Mbona uvutaji wa sigara haujaandikwa katika biblia je ni halali mbele za Mungu? Mimi naona ulimbukeni wa kiimani unazidi kupoteza wengi hata desturi za kawaida zisizohusisha ibada ya sanamu nazo mtu anahoji iko siku watahoji kwanini wachungaji wavae kora.

  • @sammyolesina5242
    @sammyolesina5242 2 ปีที่แล้ว

    A

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว +1

    mmmmmmmmh wewe yan ufanye miujiza kwa jina la yesu akukane mmmmmh huyu jmaaa hapan, yan labda analitumia kwa uongo lkn yesu alokuwa wa kweli hawez kukaa mahala penye dhambi na huwa hackilizi maombi au sala za mtu mwovu sasa atamsaidiaje mtu mwovu kufanya miujiza!??? hakuna ktu kama hicho, mtumishi anatafasili vibaya maandiko huyu

    • @jeniphaledaschali4594
      @jeniphaledaschali4594 2 ปีที่แล้ว

      Yuko xahihi kabixa mungu anaweza kukutumia kwaajili yawengi hiyo tunaixhuhudia hata kwetu nikwaxababu yaupendo wamungu nakama hapo mahali hapana mtumixhi mungu atamtumia kwaajil yawengine

    • @carendeborah5687
      @carendeborah5687 2 ปีที่แล้ว

      Shida wachungaji they don't rebuke sins in the church na hiyo ndo makosa.

  • @sarairingo2207
    @sarairingo2207 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nafikiri ungetumia muda huu mzuri uliopewa kwa kuhubiri neno la Mungu unalolijua wewe kuliko kutumia references kufanya upinzani na huku unacheka please be careful.

    • @annamalingi7415
      @annamalingi7415 2 ปีที่แล้ว

      Kwahivyo amefanya vibaya kuonya watu awasche huko asiwaambie kitu wee vipi. huelewi huoni kua anasomesha kutokana naebibilia inavyosema. Ndo nyinyi mnao ambiwa lakini naona hutaki kuambiwa wacha watu wasikize kama haikujalishi ni wewe.

  • @miriammpatrick5795
    @miriammpatrick5795 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen Amen

  • @tatumluv6054
    @tatumluv6054 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏

  • @zenataashura792
    @zenataashura792 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @sallymumia8425
    @sallymumia8425 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen,amen

  • @nsimirrlove2139
    @nsimirrlove2139 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen

  • @claudinandonde3835
    @claudinandonde3835 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @asherylungwa3647
    @asherylungwa3647 2 ปีที่แล้ว

    Amen