- 2 057
- 7 761 841
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
เข้าร่วมเมื่อ 15 มี.ค. 2017
Usharika wa KKKT Kijitonyama ni miongoni mwa sharika za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) zilizopo katika Jimbo la Kaskazini Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) ya KKKT.
Usharika wa Kijitonyama ulianza kama mtaa wa Usharika wa Kinondoni mwaka 1981 na kuzinduliwa rasmi mwaka 1985. Hivi sasa Usharika una Washarika takribani 5500 waliojiandikisha.
Usharika huu kwa sasa unaongozwa na Mchungaji Kiongozi Dr. Eliona Kimaro akisaidiwa na Mchungaji Anna Kuyonga.
Dira Yetu : Kuwa kiongozi katika kutangaza Injili ya takatifu ya Yesu Kristo kwa mataifa yote.
Dhima Yetu : Kujitoa kikamilifu katika kueneza Injili Takatifu ya Yesu Kristo na kutumikia jamii kiroho na kimwili.
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako.
LIPA KWA M-PESA 5510222
AIRTEL MONEY +255 682 683 333
TIGO PESA +255 679 112 500
M - PESA +255 756 445 544
+255 762 644 681
Pia unaweza kutuma sadaka kupitia:
CRDB BANK
0111013720000 KKKT - KIJITITONYAMA

REV. DR. ELIONA KIMARO: UTAKATIFU NI KUTENDA HAKI
REV. DR. ELIONA KIMARO: UTAKATIFU NI KUTENDA HAKI
มุมมอง: 480
วีดีโอ
REV. DR. ELIONA KIMARO: USITHUBUTU KUZUIA HAKI ZA WATU
มุมมอง 579หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: USITHUBUTU KUZUIA HAKI ZA WATU
REV. DR. ELIONA KIMARO: ULEVI WA MADARAKA NI URAIBU MBAYA
มุมมอง 331หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: ULEVI WA MADARAKA NI URAIBU MBAYA
REV. DR. ELIONA KIMARO: TENDA HAKI ILI UISHI
มุมมอง 175หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: TENDA HAKI ILI UISHI
REV. DR. ELIONA KIMARO: MUNGU AKUPE NEEMA YA MTENDE
มุมมอง 316หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: MUNGU AKUPE NEEMA YA MTENDE
REV. DR. ELIONA KIMARO: MALI YA DHULUMA HAIRITHIWI
มุมมอง 433หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: MALI YA DHULUMA HAIRITHIWI
REV. DR. ELIONA KIMARO: JAMII IKUBALI KUTENDA HAKI
มุมมอง 210หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: JAMII IKUBALI KUTENDA HAKI
REV. DR. ELIONA KIMARO: HERI WANAO UDHIWA KWA AJILI YA HAKI
มุมมอง 239หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: HERI WANAO UDHIWA KWA AJILI YA HAKI
KKKT KIJITONYAMA: IBADA YA YOUTH FELLOWSHIP 03/11/2024
มุมมอง 319หลายเดือนก่อน
KKKT KIJITONYAMA: IBADA YA YOUTH FELLOWSHIP 03/11/2024
Copy of KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA SIKUKUU YA MAVUNO 27/ 10/ 2024
มุมมอง 1.2Kหลายเดือนก่อน
Copy of KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA SIKUKUU YA MAVUNO 27/ 10/ 2024
KKKT KIJITONYAMA: IBADA YA YOUTH FELLOWSHIP 20/10/2024
มุมมอง 198หลายเดือนก่อน
KKKT KIJITONYAMA: IBADA YA YOUTH FELLOWSHIP 20/10/2024
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: ADHIMISHO LA MIKAELI NA WATOTO 05.10. 2024
มุมมอง 7512 หลายเดือนก่อน
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: ADHIMISHO LA MIKAELI NA WATOTO 05.10. 2024
KKKT KIJITONYAMA: IBADA YA YOUTH FELLOWSHIP 06/10/2024
มุมมอง 2032 หลายเดือนก่อน
KKKT KIJITONYAMA: IBADA YA YOUTH FELLOWSHIP 06/10/2024
REV. DR. ELIONA KIMARO: ASILIMIA MOJA YA MACHOZI NI MAJI, % 99 NI HISIA
มุมมอง 3612 หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: ASILIMIA MOJA YA MACHOZI NI MAJI, % 99 NI HISIA
REV. DR. ELIONA KIMARO: TUNABARIKIWA ILI TUWE BARAKA KWA WENGINE
มุมมอง 1552 หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: TUNABARIKIWA ILI TUWE BARAKA KWA WENGINE
REV. DR. ELIONA KIMARO: MUNGU AMEWEKA VITU KATIKA MIKONO YA WATU WANAO KUZUNGUKA
มุมมอง 4272 หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: MUNGU AMEWEKA VITU KATIKA MIKONO YA WATU WANAO KUZUNGUKA
REV. DR. ELIONA KIMARO: KUNA WATU UNAWAHITAJI WAWEPO TUU KWENYE MAISHA YAKO
มุมมอง 5042 หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: KUNA WATU UNAWAHITAJI WAWEPO TUU KWENYE MAISHA YAKO
REV. DR. ELIONA KIMARO: KUMBUKA ULIKOTOKA
มุมมอง 1512 หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: KUMBUKA ULIKOTOKA
REV. DR. ELIONA KIMARO: HERI WALE WATAKAOKUBALI KUPOKEA BARAKA
มุมมอง 2162 หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: HERI WALE WATAKAOKUBALI KUPOKEA BARAKA
REV. DR. ELIONA KIMARO: DUNIANI MUNGU HAKULETEI WATU WOTE BURE
มุมมอง 6492 หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: DUNIANI MUNGU HAKULETEI WATU WOTE BURE
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 30/ 09/ 2024
มุมมอง 3.6K2 หลายเดือนก่อน
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 30/ 09/ 2024
REV. DR. ELIONA KIMARO: UKUAJI WA NDANI UNAFUNGUA MACHO UWEZE KUONA FURSA
มุมมอง 4632 หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: UKUAJI WA NDANI UNAFUNGUA MACHO UWEZE KUONA FURSA
REV. DR. ELIONA KIMARO: USIOGOPE KATIKA KUKUA
มุมมอง 4042 หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: USIOGOPE KATIKA KUKUA
REV. DR. ELIONA KIMARO: UKUAJI BINAFSI
มุมมอง 1942 หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: UKUAJI BINAFSI
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH - YOUTH FELLOWSHIP 22 SEPT 2024
มุมมอง 1342 หลายเดือนก่อน
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH - YOUTH FELLOWSHIP 22 SEPT 2024
REV. DR. ELIONA KIMARO: KAZI YA SADAKA NI KUMFANYA MTU AKUE NDANI PERSONAL GROWTH
มุมมอง 4192 หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: KAZI YA SADAKA NI KUMFANYA MTU AKUE NDANI PERSONAL GROWTH
REV. DR. ELIONA KIMARO: UKIKUA NDANI UNAWEZA KUVUMBUA VITU PERSONAL GROWTH
มุมมอง 2342 หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: UKIKUA NDANI UNAWEZA KUVUMBUA VITU PERSONAL GROWTH
REV. DR. ELIONA KIMARO: UFANIKIWE KWA KADIRI YA ROHO YAKO IFANIKIWAVYO
มุมมอง 2062 หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: UFANIKIWE KWA KADIRI YA ROHO YAKO IFANIKIWAVYO
REV. DR. ELIONA KIMARO: MLANGO MMOJA UKIFUNGWA MUNGU ANAFUNGUA MILANGO SABA
มุมมอง 5112 หลายเดือนก่อน
REV. DR. ELIONA KIMARO: MLANGO MMOJA UKIFUNGWA MUNGU ANAFUNGUA MILANGO SABA
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA YOUTH FELLOWSHIP 08/09/2024
มุมมอง 3303 หลายเดือนก่อน
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA YOUTH FELLOWSHIP 08/09/2024
Truly blessed abundantly
Ameen
1:42:04 1:48:00-1:50:30 1:51:39 1:56:49 1:59:40 2:04:30 2:29:50 2:34:40 2:38:07
Ameeen
Nitafaa mara 10 zaidi
Amen
Amen 🙏🙏
Asantembarikiwe
Tunaomba sauti asanteni
Hongereni sana kwa maombi
Nimebarikiwa sana asantee Mchungaji
Waumini wa Kijitonyama daahh Nafeel wivu juu yenu. Huyu mchungaji ni baraka kwa wengi. Mwombeeni sana mchungaji wenu. Yaan unatizama waumini wanafurahi kwanajili yake. Nimejikuta machozi ya furaha yananitoka kwa ajili ya mahubiri ya mchungaji Kimaro. 🫶🏻🫶🏻🫶🏻
Mchungaji unawavutia waumini wengi sana katika mahubiri ambayo yanatufanya tulijur neno la Mungu zaidi. Wachungaji wengi wangeiga mfano huu wengi wangekombolewa. Natamani siku moja niingie katika madhabahu haya. Tunaomba uzidi kutuombea katika kweli ya Kristo Yesu. We love you na Mungu azidi kukuinua. 🙏 Amen
AMINA🙏🏼🙏🏼
Hallelujah nifae mara 10 zaidi..
Amen uhai wa Mungu upenye ndani yangu na uzao wangu katika jina la Yesu
Amen
Amina nitafaa mara 10 zaidi
Nipe bwana Yesu mara kumi zaidi ya wengine katika kila eneo la maisha yangu na uzao wangu kama Daniel na wenzake pamoja na Dorcas ee Mungu tukumbuke
Ubarikiwe sana mchungaji Kimaro, kupitia wewe nahizi morning na evening glory za Kijitonyama zimenifanya nijue neno la Mungu.
Huyu mchungaji metiri amenigusa sana ana kipawa cha Kuimba alipokuwa akiimba nilitamani asimalize nilijiona Niko uweponi.Naomba Basi aanze kuposti nyimbo kwenye mtandao watu wengi watapona hata Kwa njia ya uimbaji wake
Amen and Amen 2025 nitatafutwa na kutambulishwa sababu nitaenenda kwa uwezo wangu huu
Ameeeeee Napokea Kwa Jina la YESU 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nikafae mala Kumi Zaidi👏👏👏👏👏
Nikafae mara kumi zaidi
Sauti tulioko on line hatuwapati
Amen
Maombi yawe non stop kwangu bwana Yesu, ubarikiwe sana mtumishi Eng Goodluck
Mungu akubariki sana mwl Eng Goodluck Mushi uzidi sana mtumishi
Bwana Yesu aksante kwa Neema hii ya kuifikia siku ya leo, Tunajiungamanisha na madhabahu takatifu ya kikushi pamoja na maombi ya ijumaa kutana na haja zetu.
Amina
Ameen
Baba tukumbuke mana huku tuliko uwarabuni hatutaweza kufika ila Kwa Imani Sio mbali🎉
Amina
Napokea
Amen
Asante Yesu kwa neema na uaminifu wako 🙏
Asant sana Mungu baba Kwa mafundish na na maomb tunaomb Mungu akatende sawa sawa na mapenx yakoo
Amen asante sana Baba Mungu kwa mafunzo na maombi katika mfungo wa siku 40. Hallelujah 40/40🎉🎉🎉
Hello sauti inakata.
Nimepokea uponyaji kwa Jina la Yesu
Ameen🎉🎉🎉❤❤
Roho mtakatifu nisaidie kuyatambua na maandiko
Amen
Amen Ameeeeen
Aminaa
Tumekuja na jina la Yesu🎉🎉🎉
Ameeeniii
Amen👏
Amen👏😙😘😇
Amen👏
Hi
Amen and amen 🙏🏽 ❤❤❤
Amen