Sehemu ya Tatu: Afsa Usalama wa Taifa Ni Mtu Gani? Pia Stori 2 Za Kijasusi Kuhusu Iran na CIA Uganda

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2020
  • Mwendelezo wa mapitio ya kitabu bora kabisa cha "Afisa Usalama Wa Taifa Ni Mtu Gani Na Anafanya Nini," ambapo makala hii inajikita kwenye vitendo vikuu ya adui yaani ugaidi, uzandiki, hujuma na ujasusi.
    Kadhalika kuna stori kuhusu operesheni ya kijasusi ya Mossad (shirika la ujasusi la Israel) huko Iran lililopelekea kifo cha mwanasayansi ya nyuklia. Vilevile kuna stori ya Darrell Blocker, jasusi mzoefu wa shirika la ujasusi la Marekani (CIA) ambaye anatajwa kuwa huenda akawa Mmarekani Mweusi wa kwanza kuwa bosi wa shirika hilo. Darrell aliwahi kuwa mkuu wa stesheni ya CIA nchini Uganda kwa miaka kadhaa na alitumia uanamuziki kama kitu cha kufika ukweli kuwa ni jasusi mzoefu.
    Kama huja-subscribe chaneli hii, basi fanya hivyo hapa bit.ly/JiungeY...

ความคิดเห็น •