Simba SC 4-0 Fountain Gate | Highlights | NBC Premier League 25/08/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 431

  • @MendradMuhile-m2m
    @MendradMuhile-m2m 2 หลายเดือนก่อน +4

    I love Simba from kenya❤

  • @Daie9Da9322
    @Daie9Da9322 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hii Simba ya Msimuu Huu Inakuja Moto Sanaa Ubayaaa Ubwelaaa Simbaaaaaaaa❤❤❤❤

  • @abouwiztv
    @abouwiztv 2 หลายเดือนก่อน +4

    From Rwandaa Ligi ya TZ Kali sana❤

  • @EpiphaniaMassawe
    @EpiphaniaMassawe 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu azid kusimama na wachezaji wetu❤

  • @UwisunzemariyaTeta
    @UwisunzemariyaTeta 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ubaya ubwela Asante sana kutoka 🇷🇼

  • @RobbyRomanus
    @RobbyRomanus 2 หลายเดือนก่อน +3

    simba love forever

  • @maikomatayo2794
    @maikomatayo2794 2 หลายเดือนก่อน +1

    mungu ibariki chama langu simba tufike mbali 🎉🎉❤❤❤

  • @MwasitiMsafiri
    @MwasitiMsafiri 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mimi nasimba mpaka nakufa yani naipenda Simba mimi jamn

  • @JUMAKIJA-qx3vg
    @JUMAKIJA-qx3vg 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yeah is good from Niger 🇳🇪

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hii sasa ndo simba ya ubaya ubwela❤❤❤

  • @MohamedAbdallah-dd2dm
    @MohamedAbdallah-dd2dm 2 หลายเดือนก่อน +6

    I'm from Capetown city I love both in international duty I mean champions league

  • @TadayoAnodi-j9n
    @TadayoAnodi-j9n 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤ Simba hii ndiyo yawaaume

  • @IsackVedasta
    @IsackVedasta 2 หลายเดือนก่อน +1

    This is siiiiiiiiiimba ❤️🦁🇹🇿🌍
    UBAYA UBWELA 🔥

  • @bagokashaidu5431
    @bagokashaidu5431 2 หลายเดือนก่อน +3

    Good job

  • @adelikelivisadelikelivis9051
    @adelikelivisadelikelivis9051 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simba SC Tanzania Nguvu moja daima ❤❤

  • @abdallahomary9614
    @abdallahomary9614 2 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana kwa Simba hii Kuna timu itapigwa 10

    • @ramadhanimrungu5806
      @ramadhanimrungu5806 2 หลายเดือนก่อน

      Bado sana uwe uo Amna izo ndoto za mchana

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisa yn ubaya ubwela❤❤❤

  • @cosmamsacky773
    @cosmamsacky773 2 หลายเดือนก่อน +3

    This is simba

  • @MkungwaNgwarumbwa
    @MkungwaNgwarumbwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ni mwendo wa tabasamu mpk mwisho wa msimu kwa raha zetu wanasimbaa ❤❤❤❤

    • @ramadhanimrungu5806
      @ramadhanimrungu5806 2 หลายเดือนก่อน

      Bado mechi ngapi umalize msimu mpk unasema Raha sana duh hatar

  • @ZakaliaGodeni
    @ZakaliaGodeni 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hio ndy maana halisi ya ubaya ubwela... chongen maneno cc nivitendo tyuu😅❤❤🦁💪

    • @ramadhanimrungu5806
      @ramadhanimrungu5806 2 หลายเดือนก่อน

      Amna lolote subili kidooogo dawa yenu inachemka mtakunywa

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisa yn❤🎉

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@ramadhanimrungu5806utopolo bado hamjasema acheni shobo

  • @RashidiMwiga
    @RashidiMwiga 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hi coaches, please we need high pressing football.

  • @HappyNessWegoro-ns2fp
    @HappyNessWegoro-ns2fp 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤

  • @Fofo-z6t
    @Fofo-z6t 2 หลายเดือนก่อน +2

    Aweeeee ubaya ubwela tuu hii ndio simba yetu ❤️❤️❤️🤍🤍🦁🦁🦁🦁🦁💃💃💃

  • @SarahMathias-v1g
    @SarahMathias-v1g 2 หลายเดือนก่อน +4

    Asante mkwala niliomba Leo ufunge

  • @ValelianaMlawa
    @ValelianaMlawa 2 หลายเดือนก่อน +3

    Okay wana msimbazi

  • @NecksonLemslulambo
    @NecksonLemslulambo 2 หลายเดือนก่อน +2

    I love you simba

  • @HalfaniKibonji
    @HalfaniKibonji 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hatr

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simba.🎉

  • @ValelianaMlawa
    @ValelianaMlawa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Saana...mpaka waseme🎉

  • @NOVATISIYAME
    @NOVATISIYAME 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ndio simba anakuf❤❤❤unga yoyote adi goali kipa hii ndio simba sasa

  • @sulleimanshalua168
    @sulleimanshalua168 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simba SC #Nguvu moja

  • @yusuphmyinga
    @yusuphmyinga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ubaya Ubwela ❤️🙏👊👊👊

  • @Failuna
    @Failuna 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ubaya ubwela tumeaza kuwaonyesha❤❤

  • @michael-t3z9d
    @michael-t3z9d 2 หลายเดือนก่อน +3

    hakika simba niya moto xana

  • @goblessjrtz5464
    @goblessjrtz5464 2 หลายเดือนก่อน +1

    Well done lads

  • @DayaSerengeti
    @DayaSerengeti 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤ nguvu moja

  • @Brown-7Jr
    @Brown-7Jr 2 หลายเดือนก่อน +7

    afu azamTV tangu ligi imeanzaa picha zinazngua kinomaa au ndo hasira kwasababu timuyenu mbovu inatolewa hatua za kwanza tu kila mwakaaaa,,,, sasa tunaomba msitufanyie ivo sisi niwatanzania wafanyieni hivo wanyarwanda jaman😂😂😂😂😂😢😢😢😢

  • @AminaLibisa-y9x
    @AminaLibisa-y9x 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤I love simba sport

  • @NyanjiraMagambo
    @NyanjiraMagambo 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ hongera munyama😊

  • @MpendaAmani-e2r
    @MpendaAmani-e2r 2 หลายเดือนก่อน

    Simba sport club 🔥✅🙌🙌

  • @YohanaKivuyo-u3w
    @YohanaKivuyo-u3w 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉hiii ndio simbaaaa

  • @josemaro-ei9go
    @josemaro-ei9go 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ndio simba

  • @festofrank-z3m
    @festofrank-z3m 2 หลายเดือนก่อน

    Ndio Simba hii Raha sana

  • @JamesLyakurwa-f7w
    @JamesLyakurwa-f7w 2 หลายเดือนก่อน +2

    Safi

  • @Joseph-l9r2l
    @Joseph-l9r2l 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simba hongera nashangaa kuna watu wanasema timu imefungwa tujiulize ingekuwa vitalo ingekula ngap kwa simba hii

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 2 หลายเดือนก่อน +1

    ALHMDHULILLAH

  • @iptisamismaill-f6h
    @iptisamismaill-f6h 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mechi ijayo simba tunawaomba tff tucheze bila ya kipa au tuanze upya na yanga iz point sita wazifute😂😂😂😂😂

  • @DaluChiwinga
    @DaluChiwinga 2 หลายเดือนก่อน +3

    simba imeshinda ila bado

  • @Mahahastudio
    @Mahahastudio 2 หลายเดือนก่อน

    asanteni sana wana simba

  • @clemencechengula6960
    @clemencechengula6960 2 หลายเดือนก่อน

    ❤simba

  • @MalackMalack-r2b
    @MalackMalack-r2b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndiyo hii no simba

  • @neemamangushi8187
    @neemamangushi8187 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pira la kwenda❤

  • @SilasNassary
    @SilasNassary 2 หลายเดือนก่อน +2

    simbaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @ufiteyesusimonpierre9767
    @ufiteyesusimonpierre9767 2 หลายเดือนก่อน +2

    Fauntain Gate Goalkeeper is very short surely

  • @FatumaKanyenye
    @FatumaKanyenye 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mchana kweupe❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @hamadiayossy
    @hamadiayossy 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mukwala asipokuwa shap wa kupiga atapata tabu sana kwenye kufunga,anavuta sana mpk mabeki wanawahi kuondoa hatari,anatakiwa awe shap sana kwa maamuzi

  • @ValelianaMlawa
    @ValelianaMlawa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sana...spandex wapili wataisoma namba

  • @MbwanaPindo
    @MbwanaPindo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Simba yangu naimani nayo ...

  • @iptisamismaill-f6h
    @iptisamismaill-f6h 2 หลายเดือนก่อน +3

    Goli nyingi, pass za kumwaga, pira tele

  • @Merrymerry-l4n
    @Merrymerry-l4n 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @JohnasNestory
    @JohnasNestory 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri

  • @AnfieldUpdates5
    @AnfieldUpdates5 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndo MVP Ahoua Tunaemtaka 🔥

  • @ggelishachannel450
    @ggelishachannel450 2 หลายเดือนก่อน +3

    KAMA WEWE HUJAONA MPIRA TENGENEZENI TIMU NA FAMILIA YENU

  • @BenjaminMartini-m3z
    @BenjaminMartini-m3z 2 หลายเดือนก่อน

    Simba nguvu mojaaaa

  • @FiniasYotham
    @FiniasYotham หลายเดือนก่อน +1

    Jamani azam rekebishen video zenu

  • @halima1798
    @halima1798 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tutaelewana tu🔥

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 2 หลายเดือนก่อน +2

    Utopolo mnateseka sana

  • @chikualiy8705
    @chikualiy8705 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hapa mjinga hajibiwi atajijibu yy mwenyewe ubayaaaa ubwelaaa 2

  • @sukariricco91
    @sukariricco91 2 หลายเดือนก่อน +4

    Simba hii ikija kukaa sawa hao wachezaji wakizoeana inavotakiwa itakua balaa zito watu maji wataita mma

    • @DrswalehOmarry
      @DrswalehOmarry 2 หลายเดือนก่อน

      Inshaa allah

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 2 หลายเดือนก่อน

      Hamna kitu pasi 6 hawendi.

  • @BajobuJohn-y1k
    @BajobuJohn-y1k 2 หลายเดือนก่อน

    This is simba brother we ambae unasema Simba hamna kitu katengeneze timu yako mpuuz😮😮😮😮 week

  • @HajiMwanz-to3vg
    @HajiMwanz-to3vg 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simba nguvu mojaaa UBAYA UBWELA

  • @JeanpierreDavid-r6i
    @JeanpierreDavid-r6i หลายเดือนก่อน

  • @NeemaZebedayo-ct2if
    @NeemaZebedayo-ct2if หลายเดือนก่อน +1

    Mimi na Simba damdam

  • @MSELLAOG-we7zu
    @MSELLAOG-we7zu 2 หลายเดือนก่อน

    This is simbaaaaaaaa😊

  • @kaizerabilahi5958
    @kaizerabilahi5958 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu NGODA huyu 🔥🔥🔥

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 2 หลายเดือนก่อน +2

    Simba kipindi Cha pili baada ya mabadiliko ndo angalao first eleven baada ya kagoma kuingia

  • @bestman3651
    @bestman3651 2 หลายเดือนก่อน +23

    Siku hiz quality ya videos za Azam imekuwa mbovu sana! Why?😢

    • @TGMediaa
      @TGMediaa 2 หลายเดือนก่อน +7

      Unaangalia kwenye Infinix gan watu Wa HD tunaona mpaka nyusi @azamtv

    • @Spanakibabi
      @Spanakibabi 2 หลายเดือนก่อน +4

      hahaha😂​@@TGMediaa

    • @jesuslivesministry9352
      @jesuslivesministry9352 2 หลายเดือนก่อน +1

      Anaangalia 240p

    • @deoperacc
      @deoperacc 2 หลายเดือนก่อน

      Hujachagua ubora. Kama mtandao wako ndio unaanmua ubora wa video unazoangalia kwenye TH-cam baasi mtandao uko chini.

    • @luluray2115
      @luluray2115 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@TGMediaa😅😅dah

  • @HusseinMoyo-d3w
    @HusseinMoyo-d3w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wanangu sana

  • @DerickLibrary
    @DerickLibrary 2 หลายเดือนก่อน +2

    Simba mkaze buti bado sana

    • @zamdahamisi8786
      @zamdahamisi8786 2 หลายเดือนก่อน

      mnateseka mkiwa wapi jamani

  • @issayaibrahim8490
    @issayaibrahim8490 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna timu hapa wanakutana na vibonde subiri utaona marathon hii

  • @EvodiusMathias-c3f
    @EvodiusMathias-c3f 2 หลายเดือนก่อน

    So Quality ..unakuta setting ya quality za simu zeny ndo ndogo piaa

  • @Daie9Da9322
    @Daie9Da9322 5 วันที่ผ่านมา

    Hapa Wangekua Ma beki Wa nyuma mwiko Wangemuangusha Jean Shale ahua😂😂😊

  • @Cashboy_tz
    @Cashboy_tz 2 หลายเดือนก่อน

    Mmeiona hii game ndo utakavokua tarehee 19 nawale wa wakongwe 🎉🎉🎉

  • @anangisyejoseph925
    @anangisyejoseph925 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu barua Nia hatar sana

  • @wasafirecordlabel5248
    @wasafirecordlabel5248 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana❤

  • @Cashboy_tz
    @Cashboy_tz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Oya zile combination zngu ndo kidg zinanza kdg bdo io trela ubaya ubwela 🎉🎉🎉😂😂😂

  • @FredrickMwita-b9t
    @FredrickMwita-b9t 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wivu tu mtakufa vibaya mikundu ikiwa juu wanayanga😂😂😂😂

    • @ramadhanimrungu5806
      @ramadhanimrungu5806 2 หลายเดือนก่อน

      Wakwanza ww utakufa uku umebong'a nama kimeng'ng'nia nyuma kenge we

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @HenryMayunga
    @HenryMayunga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simba Damu Damu

  • @BernaDf
    @BernaDf 2 หลายเดือนก่อน

    Nguvumoja ❤❤❤❤

  • @JamalMustaf
    @JamalMustaf 2 หลายเดือนก่อน

    Simba

  • @NajmaAmir-j9x
    @NajmaAmir-j9x 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ahou vua kinyago tushakujua ww ni messi 😅

    • @Brown-7Jr
      @Brown-7Jr 2 หลายเดือนก่อน

      messi ya nyokoooooo mtamuota sanaaa hahahaha

    • @ZakiaMndeme-tj7ru
      @ZakiaMndeme-tj7ru 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅

    • @bantujunior9549
      @bantujunior9549 2 หลายเดือนก่อน

      Messi mwenye mikimbio mizito ivo acheni kumfananisha messi na vitu vya kijinga jamaa

  • @SilasMoris
    @SilasMoris 2 หลายเดือนก่อน +7

    Ubaya ubwela 😂😂😂😂

    • @fatumakassim64
      @fatumakassim64 2 หลายเดือนก่อน

      Ubaya upwuruuuuuu😅😅😅😅😅

  • @LuckMmbaga
    @LuckMmbaga 2 หลายเดือนก่อน

    ❤ubaya ubwela

  • @edwinkakonze3324
    @edwinkakonze3324 2 หลายเดือนก่อน +2

    Quality za video ni mbaya sanaa fanyeni namna yakuongeza ubora

    • @moseskapama2805
      @moseskapama2805 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa quality si ukaset mwenyewe unayotaka kwenye settings mzee😅😅

  • @bekasantana5244
    @bekasantana5244 2 หลายเดือนก่อน +3

    uBWELA uBWELA tuu

  • @MICHEZONABURUDANTV
    @MICHEZONABURUDANTV 2 หลายเดือนก่อน +2

    safiiii

  • @RajabuKatambala
    @RajabuKatambala 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huna Akili wew wivu tu

  • @FaizaMfaume
    @FaizaMfaume 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ubaya ubwela

  • @sospeterkamata4532
    @sospeterkamata4532 2 หลายเดือนก่อน

    Hatarii, ndo simbaaaa huyo.

  • @innocentgideon9167
    @innocentgideon9167 หลายเดือนก่อน

    ule mchungaji alikata waumini wote kisa cha sadaka kuwa ndogo Mungu amuangalie

  • @IddyShabani-k5b
    @IddyShabani-k5b 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwaa simba hiii watatukoma na bado hawajazoena wachezaji gojeni wazoeane watajuta

    • @Shaha-d1i
      @Shaha-d1i 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna kitu hapo ila tumewazoea kwa kuongea

    • @ramadhanimrungu5806
      @ramadhanimrungu5806 2 หลายเดือนก่อน

      Ww unatamba kwa timu Gani ulioifunga acha kutuongopea ww