Asante daktari kwa maelezo mazuri. Mungu aipe familia faraja. Ata baada ya upasuaji bado hangeishi mda mrefu sababu survival rate ni 5 years after elective aortic aneurysm repair. Tuachie mungu sababu inakaa shidaa ameishi nayo kwa mda mrefu bila yeye kufahamu.
Mimi nipo hai leo kw uhodari wa madaktar wa Tasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete... Shukrani zangu za dhat kabusa kwa Daktar Angelo na Nyangasa +dokta Shabani
Asante Sana Doctor n Doctors for the great work you all did directed by our greatest God,, ni siku ya Marco ilifika ya kumrudia Mungu wake,,, family members jipeni moyoni, bro Marco rip
We proud of u dr in our nation for your transparency. That's all patient hakuna mgonjwa anayekufa mtu anamuangalia kwa kweli.hivi ndivyo ilitakiwa mtu wa afya awe anatoa maelezo kwa famila umati kama huu hasa kwa case za emergency na wale wajawazito
Asa te sana Doctor,Mungu akupe upendo huo zaidi,alilopanga Mungu binadam hawezi kuzuia,Mungu alimtaka Marko,tunazidi kumshukuru Mungu kwa maamuzi yake,Pumzika kwa amani Marko
Poleni sana Ndugu zetu. Mungu Awafariji kwa faraja Yake kuu. Tuyapokee Mapenzi ya Mungu. Tunawaombea sana kwa Mungu Awatie nguvu kipindi hiki kigumu kwenu!
Kwa kweli nimeshuhudia anayosema kwa sababu ninaye mtoto anayeugua ugonjwa wa moyo tangu 2013 pale Mater Hospital Nairobi. Ni jambo ngumu kupitia hizo operesheni mara tatu, hata huu mwaka 2024. Ni mungu tu, anayeweza. Asante madaktari kwa kujaribu Mungu ndiye huponya, awafariji familia na ailaze roho ya Marcos mahali pema🙏
Ahsante sana Daktari mungu awabariki sana but hizo jitihada zilizofanyika kwa mgonjwa huyo ziwe zinafanyika kwa wagonjwa wote sio kwa yule anayejuana na flani
Kila sehemu ukiwa na ndugu lazima utofauti wa huduma iwe tofauti na wasio na ndugu eneo hilo,hata ungekuwa niww utafanya hivyo lazima utatumia akili yako mpaka mwisho kumpania nduguyo katika sekta yoyote utayo kuwepo, hilo nikawaida kabisa, R I P Maco
Msiwe na mawazo ya hivo wote tunaimani na mungu but ata binadamu tuliumbwa kwa mfano wake kwa maana ya kuwa na amarifa ya kujikinga na majanga panapowezekqna
Mm ni mmoja ambaye nishakutana Dr. Nyangasa kiukweli mungu ambariki sana na madaktari wote wa jakaya kikwete...nilipompeleka bibi yangu jakaya kikwete...kiukweli tumuachie mungu ndomuweza wa yote ...
Ni kweli lkn hata baba yangu mdogo alipasuliwa jakaya kikwete, na akatoboa, mpaka Sasa yuko safi japo Sasa hawezi safiri safiri, Wala kazi ngumu hawezi ili operation ya huo mishipa mkubwa alifanyiwa hapa
Yaani tusomeshe Mungu tusaidie yaaani huyu Dr. kwa maelezo tuu yaani Dr. bingwa vibarikiwe vizazi vyote na hichi kilichomzaa Dr. huyu yaani ameelezea hata kama ni mwanafunzi anaelewa nini amefundishwa Mungu tunakuomba endelea kuwatunza na kuwabariki Dr wote duniani wenye wanaojitoa kupambania uhai wa mtu mpaka dakika ya mwisho
Pardon my long comment!!! After watching this reassuring and quite organized funeral service. Naomba tu niulize if those politicians who tend to capitalize funerals or final send off meetings as a platform to big up themselves and to propel their political agendas ultimately diluting the focus and respect for the deceased and their hurting family/loved ones kama wana utu? Especially 🇰🇪 wale wote wenye hii tabia mbaya. Please borrow a page from ndugu zetu wa 🇹🇿 on humility and humanity(utu wapendwa, nawasii utu jamani). Firstly, take notes from this exemplary and well thought out funeral service program. Hebu jamani tuwape HONGERA 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾to the planning committee and all the participants for consistently displaying utaratibu with profound orderly attitude of respect, compassion and encouragement. Secondly, it’s quite impressive how Dr. Harun Elmada Nyagori (Consultant Physician-Cardiologist and professor) humbly utilized a somber day and painful experience positively as an opportunity to provide comfort and public health promotion. Not only did this physician leader use his “airtime” to clear some negative allegations surfacing all over and particularly in social media surrounding the demise of Marco Joseph Bukulu’s but also, Dr. Nyagori provided a wonderful overview and teaching moment on an integral health issue of concern. Cardiac issues specifically high blood pressure AKA “the silent killer” has claimed many black lives over the years. This can mostly be attributed lack of or inadequate routine exercise and knowledge gap in maintenance of our optimum health and well being. We need more of this pertinent information and discussions in our social circles. May God continue to provide strength and fortitude to the family and friends perpetually as we all cling to the blessed hope of resurrection morning. Blessings🙏🏾
Kiukweli madaktari mlipigania sana uhai wa Marco ...hakika siku ya mwanadam ikifika ata daktari hawezi kupinga .. ni Mungu tu apewe sifa😭🙌 na roho ya marehem ilale mahala pema peponi ......Amen and Amen🙏🙏🙏
Doctor congratulations your explanation it's very clear,Mungu akubariki na tunakupa pole Kwa waliyo toa MANENO mabaya kwako,upo Makini sana,tumeridhika na maelezo Yako.
Apumzike kwa amani marko kazi ameifanya na Neema ya Mungu haijampungukia hata amepatana na Kristo pamoja ametutangulia tunaowivu juu yake kazi ya Mungukafanya na njiayake nyeupe
Mtu anatatuzo lamoyo kama mliona kupelea India shida itakua presha kwenye ndege na kunahatar yakutokufika na anaweza kufa kwa presha wakati ndege inapopaa au kutua .swali langu sasa hivi kunakitu kinatia na kuongeza presha zaidi kama kitendo chakumwambia tunakupasua lakini uwezekano wakupona ni 13%tu hata iweje ilikua nilazima afe
Ngoja niwaambie kitu.duniani kote mgonjwa akishaondoka kwenye ot oparation table salaama madactari hapo wamefanya kazi kuwa inaitwa op was success akifa hata masaa 4 baadaye hiyo sio tena op problem inageuka kuwa post op complications.Mungu atusaidie kupima afya zetu japo mimi mwenyewe naogopa
Hakika hii inatoa faraja kubwa sana kwa wafiwa kweli dactari mkuu ni Yesu tu 😢😢😢 Hongera sana Dr. Kwakweli msiba yote dactari hata mmoja ajitokeze tu kufafanua hivi jmn
Jamani,Madaktari wanatibu.mponyaji ni Mungu.Pia tuamini Mungu ana uwezo wa kuzuia au kuruhusu.Tukubali mapenzi ya Mungu.Pengine kanyakuliwa.na wakosaji tumebaki? Mungu tufundishe kuhesabu siku zetu.
Dr. Umetoa maelezo vizuri.....ukweli ni kwamba Madaktari mnatibu ila mponyaji ni Mungu....Tunamuombea pumziko la amani mbinguni....
Yani hizo dalili mpaka nimeogopa MUNGU naomba unitetee🙏🙏🙏
Ameeen
Amina🙏
Well explained Doctor .Thank you for trying your best,and indeed your team tried. Pole kutoka Kenya
What a wonderful doctor thank you for that information may God bless you.. Rispah from Kenya
Asante daktari kwa maelezo mazuri. Mungu aipe familia faraja. Ata baada ya upasuaji bado hangeishi mda mrefu sababu survival rate ni 5 years after elective aortic aneurysm repair. Tuachie mungu sababu inakaa shidaa ameishi nayo kwa mda mrefu bila yeye kufahamu.
True
I went through his last song and I can say he has been in pain and God answered his prayer to take him to rest
Hatari sana
There is Divine Healing
Asante saana saana Doctor. Natamani saana sana madactari...wangekuwq wanafunza hivi kila msiba. Asante saaana sana
Mnisamehe Madoctori Maana Niliwachamba Sana 🙏🙏
Pole Marco, nenda salama
Thank you Doc for good explanation.may God comfort the family 😢
Mimi nipo hai leo kw uhodari wa madaktar wa Tasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete... Shukrani zangu za dhat kabusa kwa Daktar Angelo na Nyangasa +dokta Shabani
Give me your contact pls
Well explained and articulate points. The Doctor has said it all. Pumzika pema mtumishi wa mungu.
Asante sana Dr.kwa ufafanuzi,sio kosa lenu Bali MUNGU amejitwalia Cha kwake.Mbarikiwe sana wauguzi na madaktari wote.
Asante Sana Doctor n Doctors for the great work you all did directed by our greatest God,, ni siku ya Marco ilifika ya kumrudia Mungu wake,,, family members jipeni moyoni, bro Marco rip
We proud of u dr in our nation for your transparency. That's all patient hakuna mgonjwa anayekufa mtu anamuangalia kwa kweli.hivi ndivyo ilitakiwa mtu wa afya awe anatoa maelezo kwa famila umati kama huu hasa kwa case za emergency na wale wajawazito
Shukrani za dhati daktari kwa ufafanuzi wa kina. Mungu akubariki kwa kupigania uhai wa wengine.
Dr hongera sana kwa kutuelimisha kwa kwel umetuelimisha na pia mlihangaika na mtanzania mwenzetu polen mnoo mungu awatie nguvu
Dr. Asante kwa hayo maelezo
Asante doctor kwa maelezo hayo ya kimantiki kabisa na tutaendelea kuiamini JKCI hao wapotoshaji kama kina munis wapuuzwe.
Yani lile libaba linalaaan ya matakon kwake limeniboa sana 😢
Asa te sana Doctor,Mungu akupe upendo huo zaidi,alilopanga Mungu binadam hawezi kuzuia,Mungu alimtaka Marko,tunazidi kumshukuru Mungu kwa maamuzi yake,Pumzika kwa amani Marko
You have explained this Doc
Pole to the family, let God help you on healing journey.
Acute aneurysm . Thank you, Dr., for clearing the air. We should all learn from that. RIP Marco.
The doctor is very awesome
Pole Doctor
We understanding
Your there to serve
Na furaha yenu nikuona watu wamepona
Mungu awatunze kwa namna mnamsaidia Mungu kuponya Afya zetu
Poleni sana Ndugu zetu. Mungu Awafariji kwa faraja Yake kuu. Tuyapokee Mapenzi ya Mungu. Tunawaombea sana kwa Mungu Awatie nguvu kipindi hiki kigumu kwenu!
Thats a good thing explaining to everyone and people, thank you Doctor 🙏.You guys tried your best and God did His part🙏🙏
Thank you Doc for the explanation. May the Lord confort the family and friends.
Dokta, kwa heshima kubwa sana. Ngoja nirudie kusikiliza
Umeona eeh
Pole sana Mungu amuweke Ndugu yetu Marcos pahali pema peponi 😭🇨🇩
Kwa kweli nimeshuhudia anayosema kwa sababu ninaye mtoto anayeugua ugonjwa wa moyo tangu 2013 pale Mater Hospital Nairobi. Ni jambo ngumu kupitia hizo operesheni mara tatu, hata huu mwaka 2024.
Ni mungu tu, anayeweza. Asante madaktari kwa kujaribu Mungu ndiye huponya, awafariji familia na ailaze roho ya Marcos mahali pema🙏
Ahsante sana Daktari mungu awabariki sana but hizo jitihada zilizofanyika kwa mgonjwa huyo ziwe zinafanyika kwa wagonjwa wote sio kwa yule anayejuana na flani
Kila sehemu ukiwa na ndugu lazima utofauti wa huduma iwe tofauti na wasio na ndugu eneo hilo,hata ungekuwa niww utafanya hivyo lazima utatumia akili yako mpaka mwisho kumpania nduguyo katika sekta yoyote utayo kuwepo, hilo nikawaida kabisa, R I P Maco
Dàah cku zake ziliisha tu jmn mbna madoct waljitahd kadri wawezavyo Mungu ampokee 😓🙏🙏
Hii ndio njia yake ya kuondoka
Naelewa daktari Mwenyezi Mungu awatunze. Amina
Thank you doc for very informative information
Mungu abaki kuwa mungu ulimwimbia na watu wakapona mungu akupe pumziko la milele markos amina
Kazi ya Mungu haina makosa
Msiwe na mawazo ya hivo wote tunaimani na mungu but ata binadamu tuliumbwa kwa mfano wake kwa maana ya kuwa na amarifa ya kujikinga na majanga panapowezekqna
Kwa mfano hawa watoto wanaotekwa nayo tumwachie mungu????
Pole sana.Thanks Doc for the explanation .May he rest in peace...may the Lord grant the family peace.
Mm ni mmoja ambaye nishakutana Dr. Nyangasa kiukweli mungu ambariki sana na madaktari wote wa jakaya kikwete...nilipompeleka bibi yangu jakaya kikwete...kiukweli tumuachie mungu ndomuweza wa yote ...
Doctor kaongea vzr sawa ila ukweli tz kupasua kifua cha mtu bado sana kiukweli sisi bado wazungu wametuzidi mbali ila yote kwa yote kazi ya mungu
Ni kweli lkn hata baba yangu mdogo alipasuliwa jakaya kikwete, na akatoboa, mpaka Sasa yuko safi japo Sasa hawezi safiri safiri, Wala kazi ngumu hawezi ili operation ya huo mishipa mkubwa alifanyiwa hapa
Yaani tusomeshe Mungu tusaidie yaaani huyu Dr. kwa maelezo tuu yaani Dr. bingwa vibarikiwe vizazi vyote na hichi kilichomzaa Dr. huyu yaani ameelezea hata kama ni mwanafunzi anaelewa nini amefundishwa Mungu tunakuomba endelea kuwatunza na kuwabariki Dr wote duniani wenye wanaojitoa kupambania uhai wa mtu mpaka dakika ya mwisho
Kabisa
Well explained daktari,fare thee well Marcos
Achichichichi😢😢😢 dah aiseeeh mipango ya mungu
Doctor Mungu akubariki Kwa muda wako na kwenda kuungana na familia ya marehemu
Prof. Nyagoryo
Cardiologist kwenye ubora wako. Ubarikiwe sana kwa maelezo mazuri
Hongereni sana madaktari kazi kubwa mmeifanya ya kumpigania kifo ni mipango ya Mungu
Pardon my long comment!!!
After watching this reassuring and quite organized funeral service. Naomba tu niulize if those politicians who tend to capitalize funerals or final send off meetings as a platform to big up themselves and to propel their political agendas ultimately diluting the focus and respect for the deceased and their hurting family/loved ones kama wana utu? Especially 🇰🇪 wale wote wenye hii tabia mbaya. Please borrow a page from ndugu zetu wa 🇹🇿 on humility and humanity(utu wapendwa, nawasii utu jamani).
Firstly, take notes from this exemplary and well thought out funeral service program. Hebu jamani tuwape HONGERA 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾to the planning committee and all the participants for consistently displaying utaratibu with profound orderly attitude of respect, compassion and encouragement.
Secondly, it’s quite impressive how Dr. Harun Elmada Nyagori (Consultant Physician-Cardiologist and professor) humbly utilized a somber day and painful experience positively as an opportunity to provide comfort and public health promotion. Not only did this physician leader use his “airtime” to clear some negative allegations surfacing all over and particularly in social media surrounding the demise of Marco Joseph Bukulu’s but also, Dr. Nyagori provided a wonderful overview and teaching moment on an integral health issue of concern. Cardiac issues specifically high blood pressure AKA “the silent killer” has claimed many black lives over the years. This can mostly be attributed lack of or inadequate routine exercise and knowledge gap in maintenance of our optimum health and well being. We need more of this pertinent information and discussions in our social circles. May God continue to provide strength and fortitude to the family and friends perpetually as we all cling to the blessed hope of resurrection morning. Blessings🙏🏾
Kifo sio mipango ya mungu Bali ni nature ya kiumbe chochote
@@AdamMohamed-u4pImani Yako inaonekana ni ndogo sana
Kwako wewe
Cc wengine ni Mungu
Maana ni agadir
Hakika ahadi
@@AdamMohamed-u4p😂😂 kwani wewe unakaa ulimwengu gani??
Asante kwa elimu dr 🙏🏻
Kiukweli madaktari mlipigania sana uhai wa Marco ...hakika siku ya mwanadam ikifika ata daktari hawezi kupinga .. ni Mungu tu apewe sifa😭🙌 na roho ya marehem ilale mahala pema peponi ......Amen and Amen🙏🙏🙏
Ohhhhh rip marco ata madaktari walijaribu lakini kweli mungu alikupenda.pumuzika kwa amani
Kikubwa alimkumbuka mungu dk za mwisho akaomba. Ni neema ya pekee . Atuna budi kumshukuru mungu.
Asante sana daktari Mungu awabariki sana
Asante Sana Dr
Mungu ampokee vyema mtumishi wamungu Marco mahala pema amen
Ukimsikiliza dokta vizuri, nahisi waliona hawamuwezì ndo maana walitaka wampeleke India.
Kweli walishindwa ndio maana
Mungu awabariki madaktari wote, kazi yenu ni kubwa
Be blessed doctor you did your part you tried your best but above all everything was planned 🙏 my condolences to the entire family.
Hongera profu.ikiwa hivi ufafanuzi kwa viongozi wakubwa ingependeza ufafanunuzi huu isingekuwa kuhoji sana
Kaz yenu mliifanya vyema madaktar wetu, ilibaki nafas ya MUNGU hapo
Doctor congratulations your explanation it's very clear,Mungu akubariki na tunakupa pole Kwa waliyo toa MANENO mabaya kwako,upo Makini sana,tumeridhika na maelezo Yako.
Doctor we mwalimu mzuri sana tumeelewa kuliko masomo mengine
Maelezo ni mazuri sana doctor.. asanteni kwa mapambano
Poleni sana familia wote ya markos
Apumzike kwa amani marko kazi ameifanya na Neema ya Mungu haijampungukia hata amepatana na Kristo pamoja ametutangulia tunaowivu juu yake kazi ya Mungukafanya na njiayake nyeupe
Asante sana dokta Kwa maelezo mazuri
Safi sana doctor
Umeeleweka sana Dr
Mtu anatatuzo lamoyo kama mliona kupelea India shida itakua presha kwenye ndege na kunahatar yakutokufika na anaweza kufa kwa presha wakati ndege inapopaa au kutua .swali langu sasa hivi kunakitu kinatia na kuongeza presha zaidi kama kitendo chakumwambia tunakupasua lakini uwezekano wakupona ni 13%tu hata iweje ilikua nilazima afe
Swali Konki.
😢😢
You did your part as doctors but Mungu ndie muamuzi wa maisha yetu
Mungu ndie huponya, daktari ni kutibu asanteni sana. Kwa ufupi siku ilikuwa imefika
Mungu awabariki Kwa kazi nzito na ya lawama mungu ndo kila kitu
tuifarij family hiyo mungu awalinde❤
Jaman poleni cn familiar Mungu awape furaha na uvumilivu
Mungu amlaze Mahalia pema
Dactar anatibu Mungu anaponya
Siku zake ziliisha Mwenyezi Mungu amrehemu
Madaktari mlipambana Mungu amlaze maharishi pema.Maelezo yapo vizuri sana na udaktari wako upo vemaz.Mungu awabariki
Aiseee dada enjoy pole mmeo kapitia hali ngumu sana jmn hzo damu hyo operation masaa 8 yakafanyika 16 daah😢😢Marco😭😭R.I.P
Upo sahihi,sio munish tapeli.uchonganish na serikali
Munisi fala sana badala amuombee anachunguza madaktari
Mmmh Mungu ampokee
Ni mipango ya Mungu ,Mungu awabariki madaktari
Hongeren kwakumupingsnia kijana wetu irakwampango wamungu hamna nana mungu ampuzise kwaamani sana
pole sana wandugu zabron single Mungu awatiye nguvu jamani
Mungu akutangulie kaka mbele ya nyuma yetu pole shemeji yangu mungu atakutia nguvu
Daaaah kweli tumeumia Sana'a lakini MUNGU afanyike kuwa faraja kwenu amina
Mimi naona tatizo hapo lilianzia pale mlipomwambia kua hata mkimfanyia operation uwezekano wakupona ni 13%
Mmmm, daktari kama daktari yote kwa yote Mungu kampenda zaidi
Ngoja niwaambie kitu.duniani kote mgonjwa akishaondoka kwenye ot oparation table salaama madactari hapo wamefanya kazi kuwa inaitwa op was success akifa hata masaa 4 baadaye hiyo sio tena op problem inageuka kuwa post op complications.Mungu atusaidie kupima afya zetu japo mimi mwenyewe naogopa
Umeeleza vizuri sana ubarikiwe
Hakika hii inatoa faraja kubwa sana kwa wafiwa kweli dactari mkuu ni Yesu tu 😢😢😢 Hongera sana Dr. Kwakweli msiba yote dactari hata mmoja ajitokeze tu kufafanua hivi jmn
Hata operation za kawaida watu wengine hawaamki . Siku za mwanadamu zikifika Mungu akiruhusu hakuna anayeweza kubadili
Good explanation
No comment,apumzike kwa amani
Mungu alikuwa amemhitaji zaidi. Mapenzi yake yatimizwe
Well spoken dr
Polen sana mungu atawatia nguvu katika kipindi hiki kigumu
Poleni wanafamilia wote na Mungu awape nguvu, kutoka kitabu cha psalm 150 :6 Mungu anasema tushkuru tulio hai
Mungu akutunze doctor
Kweli mimi siwamini hawa Madactari
Jamani,Madaktari wanatibu.mponyaji ni Mungu.Pia tuamini Mungu ana uwezo wa kuzuia au kuruhusu.Tukubali mapenzi ya Mungu.Pengine kanyakuliwa.na wakosaji tumebaki? Mungu tufundishe kuhesabu siku zetu.
Doctor umeeleza tukaelewa,mungu amuweke mahali pema
Dah bsi bwana tumuachie Mungu ngachoka jaman
Ubarikiwe dr kwa kupambania uhai wa Marco vile vile kushiriki mazishi ya mpendwa wetu
Kuna madaktari wanatibu na kuna Mungu aponyaye... hongereni sana madaktari
Asante sana kwa elimu hii
Hongera sana doctor yaani mmefanya palipo penu ila huduma hii iendelee na kwa wengine pia
Mungu amlaze mahali pema peponi
Duuh e mwenezi mungu tusaidie 🙏