Fahamu vipengele vyenye ukakasi Sheria ya Usalama wa Taifa
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
- #ijuesheria #bungeni
Wakili Livino Ngalimitumba akichambua muswada wa marekebisho wa sheria ya idara ya usalama wa taifa kwenye studio za Wakili TV ambao serikali iko mbioni kuwasilisha bungeni.
Vzr DG awasiliane Moja Kwa Moja na rais
Safi mkuu kwa maelezo mazuri.nina kesi niko Shinyanga mjini mawasiliano yako yanapatikana wapi
Baba Ahsante sana Kwa elimu hiyo
Hongera ndugu Livino Haule ,, product of Malangali high school
Ahsante Boss. Yes hii ni Malangali Sekondari 😅
MWalimu wangu wa sheria .
So
uko sahihi ,maana huyo huyo polisi anaweza kuwa ni afisa usalama ,kwahiyo akienda usalama direct kulinda sio shida
Safi kabisa. Tupeni maarifa!
Livano ngalimtumba jibu swali hili
❤ 19:50 ❤❤❤❤❤
Hivi cag Ludovic ottu kwa sasa kwa nafasi aliyonayo kwa sasa si kutumia umma kama ni mkuu wa chuo au mjumbe wa bodi?
Salute
Kaka but i kaka
tunachoitaji zaidi ni mipaka kati ya police na siasa utakuta police ana elemia kwenye cha kimoja kama ccm