Dr. Chris Mauki: Mbinu 6 za kudumisha mahusiano ya chumbani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Je unakiu ya kuamsha hamasa ya mahusiano yenu ya chumbani? Je unasikitika kwa sababu mahusiano yenu ya chumbani yamedorora au yamekufa? Inawezekana kuamsha na kurudisha hamasa hiyo. Je unafanyaje? Ninalo jibu lako hapa. Fuatilia video hii mpaka mwisho. ‪@ChrisMauki1‬
    #ChrisMauki#Mahusiano#Chumbani

ความคิดเห็น • 20

  • @Neema-fh1wp
    @Neema-fh1wp ปีที่แล้ว +3

    Wale wa 2023 twende zetu na Dr.Chriss Mauki😊

  • @salmasaid7112
    @salmasaid7112 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukraaan hakika nimejifunza hapaaa somo zuri sanaa ahsante sanaa dr.mauki

  • @user-fh7fx1dq2u
    @user-fh7fx1dq2u 7 หลายเดือนก่อน

    Asante nimejifunza kitu

  • @jamesobedy3940
    @jamesobedy3940 2 ปีที่แล้ว +3

    Mapenzi ni bahati nasibu jamani tukubali kushindwa na kushinda 😭

  • @user-lu5uk9wd2h
    @user-lu5uk9wd2h ปีที่แล้ว

    Thanks Doctor

  • @kiehbhzh7044
    @kiehbhzh7044 2 ปีที่แล้ว +4

    mapenzi ni mchezo ambao auereweki😢mm nimeshakataa tamaa kabisaa na mapenzi kila siku nimekua mtu wa kuumizwa tu😊nimechoka na nimekata tamaa

    • @salmasaid7112
      @salmasaid7112 2 ปีที่แล้ว +2

      Usikatee tamaaa kwani watu hawalingani 💪kua na nguvu nyengine ili uwe imara zaid

    • @rhodasaid3262
      @rhodasaid3262 2 ปีที่แล้ว +7

      Katika kila kitu kinachogusa maisha, changamoto ni lazima yaani haziepukiki na hakuna dhambi kubwa kuliko zote kama kukata tamaa, Omba upate uwezo wa kustahmili kila hali isiyo ya kawaida kwako utashinda mpendwa, Asante!!

    • @uwinezaleillah9951
      @uwinezaleillah9951 ปีที่แล้ว

      Duuuh poleee saaan yn hako kamcgezo me nilishag achana nako maan kanachosh saan😂😂😂

  • @rebekajohn9471
    @rebekajohn9471 2 ปีที่แล้ว

    Asante doctor chris

  • @saraphinasahani5104
    @saraphinasahani5104 ปีที่แล้ว +1

    😊

  • @BettyAlex-m9z
    @BettyAlex-m9z 10 หลายเดือนก่อน

    Mmmh Yan ukishagundua unasilitiwa n sumu moyon

  • @user-qt6gw6ed9j
    @user-qt6gw6ed9j 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi nasikiliza nakupitia coment😅😅

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 2 ปีที่แล้ว +1

    Leo umekuwa mpole umeongea kihisia

    • @Neema-fh1wp
      @Neema-fh1wp ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @Neema-fh1wp
      @Neema-fh1wp ปีที่แล้ว

      Wale wa 2023 twende zetu na Dr.Chriss Mauki 😊

    • @evertheobald1811
      @evertheobald1811 ปีที่แล้ว

      💃💃💃💃💃💃💃

  • @gracemasubo9425
    @gracemasubo9425 8 หลายเดือนก่อน

    Naomb namba yako

    • @asteriashios1852
      @asteriashios1852 4 หลายเดือนก่อน

      Angalia hapo namba yake anapoongea Kuna muda inapita