Dr criss hongera sanaaa ,,,,,izo lugha za mawasiliano kwakweli zitatusaidia sanaaa mana tuliowengi mahusiano yetu tayari yamekwishakufa bado kuzikwa tuu
Hivi mnajua kama kuna watu ambao wako busy kama magari ya ambulance,,,sasa cjui tuwafanyaje Dr kuna mtu mwingine yupo busy hawezi kuelewa haya,,utaonekana kama kituko flani hivi ,,sasa cjui na mi niwe busy
Duh leo ndio nimegundua had nacheka kabisa lugha kuu ya mume wangu hapo ni matendo ya huduma 😆😆😆 nlikuwa simuelew kabisa anaona simpendi wakat nampenda sana nkisahau huwa analalamika anaona simpendi sasa nkawa nachanganyikiwi nkawa natumia lugha yangu mm yan maneno ya hamasa kumbe kwake sio 🤣🤣🤣 full kupishana
I love your videos ,they are short and detailed ❤,be blessed
Inaelekea doctor cris wewe ndoa yko inafuraha sana
Shukran Dr mauki hakika yatatusaidia Sana maneno haya Allah akitujaalie wenza amin
Dr criss hongera sanaaa ,,,,,izo lugha za mawasiliano kwakweli zitatusaidia sanaaa mana tuliowengi mahusiano yetu tayari yamekwishakufa bado kuzikwa tuu
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nikimpata nitamfanyia ivyo 🙏
Barikiwa mtumishi nimepata kitu,,,,nimependa hiyo ya kusaidiana,,,,
Asantee sana Dr Chris naendelea kujifunza
No.5..umenierevusha hapa..mm mda wote nmefikiri ni bulling nafanyiwa..kumbe ni mapenzi..God bless you doctor.
Some nzuri
Issue sio joto jamani,,,,,, mpigie makofi mtumishi kwa darasa zurii
Thank you for doing this in Swahili
Ww shuubavu wa mafunxo ubarkiwe sana
Asante xan mauki kwa mafundisho yako mungu akutie nguvu
Napenda nakufurahia mafundisho yako yananijenga Sana.
Asante sana Dr. Kwa mafundisho yako, Mimi napenda sana lakini kiu yangu ya miaka mingi natamani kukutana na wewe uso kwa uso!!!
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Tuwasiliane kwa 0713407182 Thanks
Fantastic nice speech indeed be blessed dr Cris mauki 🙋♂️🙋♂️🙋♂️
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Barikiwa haki umefunza jambo njema la mbolea katika ndoa zetu mtumishi hongera kwa mara ingine tena
Asante sana mauki sijutiii kukufaham
Napenda kazi yako ndugu,daktari,ubarikiwe sana.
Shukran kaka mkubwa.... I appreciate you brother
Nimependa sana hii topic ya leo nzuri Sana na ni ya muhimu
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@@ChrisMauki1 unawez kuw nalov languages 2 au 3
Mmmh, Asante Sana doctor Mauki hiyo ya Tano wanaume waliobora ndo wanaitumia, Asante MUNGU akutunze 🙏
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Wanaume Bora ni wapi???....Kwan wewe umekutana na kila mwanaume??
Hahahah Dr Unajua
We ninomaaa kila unachokisema Nikwelii kabisaa huwanaona hizo hali zotee Ahsante Sana Dr
ASANTE nimejifunza.hapi
Shukran doctor
Mh! Haya mambo mazuri sana.
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Nilichogundua yuliowengi tunaingia tu kwenye mahusiano bila kujua vitu 🙏🙏🙏
Kabisaa sikupingi ndo mana tunafer
@@neemamsabaha8791😂😂😂
Love languages
Maneno yenye hamasa ya penzi
Kuwa na muda wa falagha
Zawadi
Matendo ya huduma (kupenda kusaidia)
Mguso (kugusana)
Shukrani dokta 🙏🙏
Shukran Dr mngu akubariki
Hivi Dr. mtu mmoja anaweza akawa na love language zaidi ya moja
Maana mi naona 3 ninazo,hii ya nne tu ndo sina
Asante kwa somo zuri.
Mh hiyo ya tano ninzuri sana ila dah haya doct asante wengi watajifunza
Mpenz wng anapenda cn kukumbuka mzito alio pitia kwnn inakua hv
Doctor anamapenz ya mbele! Ety mguso 😂nimependa
Hiyo ya 5 ya kizazi sana Ndio demu wangu anapenda hatari
Daaaah Doctor asante sana
Mme wangu ni msaliti mpaka sielewi na hii tabia yake ni ya mud mrefu sana nimejitaid sana ila ninapoelekea nashindwa
Mungu akubarik
Dokta you are my light in the dark
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
I appreciate dat....Thanks doctor unaniteach meng
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Asante kwa mafundisho yako
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Dr Chris nakushuru Sana umenibariki na kunisaidia Sana katika mahusiano
Naxhukur xana kwan nmejfunza kwako juu ya mahuxiano yanguu
Mimi kabisa napenda kutoa zawadi nikusubili kupewa najitoaga mpk nakuwa Kama chizi 😅💗
Huyo unae mpa ni mbnafs pia ni mchoyo maana ukijua kupokea ujue na kutoka mijanaume mingine mpaka KERO
Asante kwa mafunzo mazuri
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Safi sana , psychologist!!!
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Hapa umesema Dr Mimi wangu anapenda kugusa muno atanisipomuekea mkono time yakulala yeye ananiekea wake tu
I appriciate umeniongezea uelewa..!
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Wow I just got to learn something today
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Hapo kwa mguso ndo mm kabisa
Asante kaka tunajivunza vingi toka kwako🙏🙏
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Thnx Mauki,be blessed
Somo zuri sana Dr.
Nmejifunza kitu kizuri mno.
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Mimi doctor na fel kabisa jamani Mme wangu Mimi ana chepuka sana
Dr Chris Kama Mimi napenda lugha ya mguso na mpenzi wangu anapenda neno nifanyaje ili tuende sawa
Tulio single tucoment wapi?????????
Thanks again
Asante sana doctor
Nakuelewa sana kaka chris mauki asante,
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Shukran sana Dr. Watching from Italy
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Medical phsyics & biomedical engireening naomba tuwasiliane tafadhali kama uko italy nina shida sana ndugu mimi nipo tanzania
Hii ya tano ni mm exactly.
Hap umenigusa asnt Dr🙏
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Is happiness the choice ?
True kbsaa
Je kama unazo lugha zote inakuaje
Asante sana
Viashiria gani vinavyo onyesha mwanamme muoaji
Mbon hujasem secondary
Mm napenda zawad jaman yaan mtu asiponipa zawad nawezaaga ata kulia
Shukran sanaaa
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Wengn wanaahid zawad na hatimiz Kila kuahid hatimiz kabsa
You can choose for one of the above gifts
Like it
Hataukifanyahayoyote usalitiuponaulikuwepoenzinaenzi
Somo zur sana
Kabixa wengin ukimguxa unajibiwa tokaaaa 😀😀
😁
WaaAa...mafunzooo mazuri xana imeipenda sana
But W anaume wa siku hizi awanashukrani
Dudu.asante
P
Nakupataje prv doct ?
Lugha ya upendo
Hivi mnajua kama kuna watu ambao wako busy kama magari ya ambulance,,,sasa cjui tuwafanyaje Dr kuna mtu mwingine yupo busy hawezi kuelewa haya,,utaonekana kama kituko flani hivi ,,sasa cjui na mi niwe busy
😂😂😂😂😂
Yaan hapo kwenye izo lugha zote zangu jaman kasiro moja tu iyo a kubebea vitu. Ila iyo ya tano jaman doctor ni mimi kabisa jaman.
Ndo ubadilike sasa dada Tupilike,
Yan kubeba tu!!
Sasa inabidi uielewe yamwenzako na yeye aielewe yako
Somo Zuri dr
Unajaribu sana dr
Thank you dok....be blessed
Nashkuru
how did you do it can you share with me , thank you
Mbona npo kote humo..... itakuaje
Jamani ya tano mimi huyo ahahahaaaa
Shukran
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Noted something
Lkn nafikiri kuna watu hawasomeki lugja zao au mm cjui kusoma?😄😄😄
Mbona zote hizo wakwangu hana nazo
💕💕💕💕
Je, ni wakati gani sahihi wa kuzungumza lugha hizi kabla au baada ya Ndoa?
Hollow
Sasa mm mbona kama nipo kote kote jmn
Dr Chris vip kam mtu upo naye kwenye relation halaf hujaona lugha yoyote ambayo anaipenda na kuitumia kati ya hizo ulizo eleza hapo juu
Nahs mtu anachokilalamikia sana inaashiria lugha yake
Habar yako DR CRIS nataka kukuuliza maswal lkn ni private nitumie njia gani pls
Kwa ushauri tumia 0713407182
@@ChrisMauki1 asant sana DR
Ninafurahi kuyajua masomohaya
Dr nawezaje kuwasiliana na ww private
Mtu kama hyo kaka utamwambia nni et
Unaweza ukawa na love languages zote?
Duh leo ndio nimegundua had nacheka kabisa lugha kuu ya mume wangu hapo ni matendo ya huduma 😆😆😆 nlikuwa simuelew kabisa anaona simpendi wakat nampenda sana nkisahau huwa analalamika anaona simpendi sasa nkawa nachanganyikiwi nkawa natumia lugha yangu mm yan maneno ya hamasa kumbe kwake sio 🤣🤣🤣 full kupishana
Haswaaaa
Je mtu mmoja anaweza akawa na hizo love languages zote tano?
Asante jamani daaah nahisi nilichelewa sana ku-subcrible channel yako, Blessed.
Sawa kaka