Kwetu usukumani usipo jihusisha na jamiii/ nzengo basi likikukuta jambo we tulia tu upambane nalo au utozwe faini ya pesa na ng'ombe ndio watu waje kwako. Itakua ye pia aliwaza atawaambiaje jamii watamsimanga.
Hakuna chochote mtoto mchanga hata kwetu tunazika wenyewe syo lazima watu ni watu hao watosha msimjaj hyo baba ni kawaida tu. Yuko sawa tu nyie majilan kunawatu hawapendi mambo mengi
Akuna maajabu apo wala ofu ilonijambo la kawaidatu mtoto mcha malanyingi ndio uzikwa ivo uwezi kuita watu ata sisi. Tunazika ivo. Tu baba. Na kaka. Basi
Jaman msiba bajet hari yenyewe ya mchungaji inaonyesha sio nzur muhim katoa taarifa ajataka mambo mengi gharama kubwa vyakula sijui nn ko kaona amalize tu
Inawezekana kuna watu walimkamia kwamba siku akipata tatizo watamsusia yawezekana akaona isiwe tabu bora amalize mwenyewe tu, lkn chamsingi si amezika tayari? Bas imeisha hiyo
Kaskazini mapepo yapo kwenu tu kila siku?😢 mjitafakari sana,je hakuna waombaji na wanawake waombolezaji huko kaskazini,kufunga hayo maroho? Manyara,arusha na kilimanjaro.
Mzee unazingua na wewe kwani kichanga huwa kinazikwa na watu wengi kichanga kinazikwa na watu wacheze mbona kama mnamkandia jamaa wa watu,acheni hizo,wabongo wengi huwa wanafata mikumbo,kuliko kutafakari uhalisia
Binadamu wanavyochosha yupo tu sawa kuchagua kuishi maisha yake na Imani yake.
Majirani wambea sanaa mimi naona yupo sahihi tu
Bora huyu katoa taarifa, kuliko Mzee makonyagi wakule Chuga town hataki mtu yoyote kwenye msiba wa mtoto wake.
Marasi hawana mambo mengi sana
Mtoto mchanga ujaze watu 😂😂 msiba wa kichanga hauna watu muacheni baba wa watu
Jamani majirani acheni unafki na kufwatilia maisha ya watu mbona mnahangaika sana,na amejieleza vizuri kabisa
Ndio hivyo mtoto wako lakini hauwezi kujipangia kumzika au kufanyaje
Acheni kuongea sana, kama ni huyo Ras anaye fua nguo hapo! Huyo anaishi katka imani ya kirasta na huwa awana mambo mengi! ..
Mmmh inashangaza jmn nashindwa niseme nini ,apumzike kwa Aman mtoto mzuri
Duuu pole sana
Ni maisha yake aliyojipangia kama alijulishq wengine Kuna Kosar gani😊
Kwahiyo mtoto mchanga naye ujaze watu 😆
Mwacheni kabisa uwezi jua Nini kimemsibu
Kwetu usukumani usipo jihusisha na jamiii/ nzengo basi likikukuta jambo we tulia tu upambane nalo au utozwe faini ya pesa na ng'ombe ndio watu waje kwako. Itakua ye pia aliwaza atawaambiaje jamii watamsimanga.
Hakuna chochote mtoto mchanga hata kwetu tunazika wenyewe syo lazima watu ni watu hao watosha msimjaj hyo baba ni kawaida tu. Yuko sawa tu nyie majilan kunawatu hawapendi mambo mengi
Akuna maajabu apo wala ofu ilonijambo la kawaidatu mtoto mcha malanyingi ndio uzikwa ivo uwezi kuita watu ata sisi. Tunazika ivo. Tu baba. Na kaka. Basi
Maelezo yako ya mwanzo ni marefu sana!
Jaman msiba bajet hari yenyewe ya mchungaji inaonyesha sio nzur muhim katoa taarifa ajataka mambo mengi gharama kubwa vyakula sijui nn ko kaona amalize tu
Inawezekana kuna watu walimkamia kwamba siku akipata tatizo watamsusia yawezekana akaona isiwe tabu bora amalize mwenyewe tu, lkn chamsingi si amezika tayari? Bas imeisha hiyo
Kichwa cha habari kinasema mtoto Mchanga kwenye maelezo unasema mtoto wa miaka miwili
Huo ndo umbea unajua ana miaka mitano lkn usijue Hana familia
Umeonaee
Magugu jmn
Shida nini mtu kuishi maisha yake
Labda kamtoa kafala duuuu maajabu kuzika watu watatu tuuu mmmm
polen watu wa mbugan
Imetokea arusha kitu kama hiki juzi
Kutakua na kitu kwanini wanazika bila kuwaambia ndugu????
Kaskazini mapepo yapo kwenu tu kila siku?😢 mjitafakari sana,je hakuna waombaji na wanawake waombolezaji huko kaskazini,kufunga hayo maroho? Manyara,arusha na kilimanjaro.
Kama mchungaji alikuwepo basi.
Uyo Rasta mwenyewe ndo mchungaji
Mzee unazingua na wewe kwani kichanga huwa kinazikwa na watu wengi kichanga kinazikwa na watu wacheze mbona kama mnamkandia jamaa wa watu,acheni hizo,wabongo wengi huwa wanafata mikumbo,kuliko kutafakari uhalisia
Tulip lalini tena jamani
Mbona Hilo tulio Ni Kama la kata ya kiutu Arusha jamani!
Ndugu yangu kaskazini kuna mambo ambayo hata SHETANI ANAWASHANGAA
Pia nashangaa ila yule hana lasta alitoka adi getini kwake akawa anafokeana na wananchi
Ni maisha yake aliyojipangia ili mradi havunji sheria
Itakuwa kauwawa huyu mtoto kwa iyo kawai kuzika ili isigundulike 😢
Acha ujinga wewe
Yawezekana mjinga ni wewe coz kama hujaelewa taarifa basi utakuwa na utindio wa ubongo
Kweli kabisaaa❤huyu mtoto kauwa😢😢
Bakali sauti yako iko chin sana uongezage sauti bana unaongea kama unanon'gona
😮😮😂
Asa wewe unacheka nini
@@user-sv6zy3hc8okichaa sio lazima kutembea uchi😢😢😢😢
Meru leo tupo magugu yote ni kaskazini ndio maana majanga hayaishi tumrudie Mungu jaman inauma nyie
Ww ni mmbea tu
Umbea unakuwasha wewe