Mungu, asante kwa huruma zako ambazo hazina kipimo na kwa kuwatibu wanao ambao wamelemewa na maradhi mengi. Kwa uongozi wa Mama yetu Maria tunaomba ,Yunis azidi kuponya ndugu zetu akifuata muongozo wa Bikra Maria. Asante Mama Bikra Maria Mama yetu unayetupenda! Endelea kutuombea sisi wenye dhambi!
Mungu akulinde kabisa zidi kiwaponya wote walio na shida mbalimbali na utuombee watu wote tudumishe mapendo na pia utuombee Kwa mama yetu tuwezekuwa wachaji wa mungu
Sijui niamini au nisiamini.ila Mimi naamini Yesu na mungu .sjui about bikira maria.maria alifariki according to holy bible .just ombeni guys shetani pia anaponya vizuri tu...hii story ni kama movie ya unholy .alitokewa na maria na akawa anaponya wengi ..mwisho wa Siku sio maria ni shetani .so sjui kwa kweli
Kila ninapockia haya ayatendayo huyu mtoto mwili unanisisimka sana. Ila, ushauri wangu, tafuteni shuhuda kutoka kwa wale wahusika waliopona. Mm ninaamini Ila wakishuhudia wenyewe, ni vizuri sana. NB: ni ushauri tu.
Mtoto ni chombo tu ,anayeponya ni Mungu .Shida ya watu wanamwangalia huyo mtoto kwamba ndiye anawaponya, ndo maana wengine wanadhubutu kukufuru wakimuita shetani.Hicho ni chombo tu .Je tunategemea kwamba B.Maria tutamwona kwa sura yake ? Sio rahisi labda tu kwa wale walioteuliwa.Hata mtoto huyo akitokewa naye kwenye kundi LA watu wengi , ni yule tu aliyeteuliwa .
Mimi pia nimewahi kutokewa na B.maria nilipo kuwa mtoto ila kumbukumbu zangu ni sanamu yake tu nilipo waambia wakubwa nilipelekwa hospital ilikuwa ni homa
Can I make an order so that the water can reach me please.....currently am at Lebanon. I want the water to reach my sick mum in kenya ......please is their any way I can be helped
Yaani eti Maria anatenda miujiza alafu eti sanamu lazima iwepo yaani Hapa ni Roho za malkia wa Pwani au malkia wa kuzimu ndio yupo ndani ya huyu mtoto,,, Ndugu zangu hata shetani naye hutenda hiyo miujiza na nyie mnaosema mnamshukuru Mungu Kuna siku Mungu atawaambia sikujui sikujui,,, Mungu hawezi tenda miujiza Mara na maji Mara bikira Maria,,, how????
mungu wa mbinguni adhiakiwi. Watu wanapenda, jia ya mikato kutafuta msada, amelaniwa anaye tengeya mwanadamu na moyoni mwake amemuacha bwana yeremia 17:5-8
May God continue to used the Eunice to touch our hearts. Is it possible to translate these stories. We need to hear the message yet we can't speak Swahili. Thanks.
Tatizo watu wanapenda kupinga kila kitu. Yesu mwenyewe alipingwa na watu wengi sana. Hata yanayotokea leo ya kupinga mambo ya imani ni mwendelezo tu wa yale yaliyowahi kutokea kipindi cha nyuma.
Kwann ufafanue mzazi na asifafanue wewe je huyo mtoto ndio anatengeneza mawe na chumv embu tumwache mungu afanye Kaz yake mtoto huyo ndio inatakiwa aongee na kama alikuja malaika na alikuwa haongei je alimuitaje baba njoo tusali wakat mtoto mdogo
Hail Mary full of grace the Lord is with you blessed are you among women and blessed is the fruit of your womb Jesus holly Mary Mother of God pray for us sinners now and at the hour death Amen 🙏
Très chère bien aimée unise pardon essais d adresse mes prières à la vierge Marie quel intercede pour devant le seigneur Jésus . Que le seigneur me localisé et visité et restore moi agir dans ma vie seigneur mon dieu exaucé mes surpplication entend mon cris vers toi seigneur Jésus Christ amen amen amen
Jesus Christ our Lord God said give them these instructions and this teachings don't let anyone look down on because you are young, but be an example for the believers in your speech, your conduct, your love and purity
Mimi ni mkenya nimekua nikifuatilia hii habari ya mtoto yunis sababu ilinipendeza niko na swali kwamba Hii maji niya uponyaji pekee ama pia na mashida zingine??
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa ni shirki thambi isio samehewa milele usijaribu kukufuru NA kupoteza dini yako ya uslaam muoba mungu wako katika salah tano yako
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele NA unapotea dini yako ya uslaam
Jaman kumbukeni shetani aliachiwa nguvu na mnaambiwa msifungwe nira na wasio aminitafuteni ufalme was mungu nafasi ingalipo yalinenwa manabii was uongo watatokea s k u za mwixho na watapewa uwezo na nguvu ta kuponya watu waangamia kwa kukosa maarifa jiulizeni babu wa loliondo Yuko wapi !?? At amxhtuki jamani.
Wanaohitaji mawasiliano ya mtoto Yunis th-cam.com/video/qmCohLLxlOA/w-d-xo.html namba iko kwenye hii video.
Mungu ambariki jaman
@@SalomeAgustino-iv6hp amen
Namba iko wap?
@@felisterandrew8741 karibu tena
Mungu amusidishie nguvu mtoto yunis na hata aniombee NAMI pia
much blessings sister Eunice nakupenda sana mungu wetu ni mwaminifu 🙏🙏🙏🙏🇪🇺
Barikiwa mtangazaji pia kwa kutufikizia Habari njema, God's wonders are real
Divine Protections to sista Yunis.. Amen.
Mungu, asante kwa huruma zako ambazo hazina kipimo na kwa kuwatibu wanao ambao wamelemewa na maradhi mengi. Kwa uongozi wa Mama yetu Maria tunaomba ,Yunis azidi kuponya ndugu zetu akifuata muongozo wa Bikra Maria. Asante Mama Bikra Maria Mama yetu unayetupenda! Endelea kutuombea sisi wenye dhambi!
Imani mtoto huyu ni wa mungu na mungu azidi kumkuzaa zaidi
Amen
Eunice, God's blessing Mungu akubariki sana.
This child is really blessed by God . But let us here testimony from the people who have received there healing but not fro the child father .
Mungu akulinde kabisa zidi kiwaponya wote walio na shida mbalimbali na utuombee watu wote tudumishe mapendo na pia utuombee Kwa mama yetu tuwezekuwa wachaji wa mungu
Mungu awezi kukuacha Kwa shida
Amen
I wish to meet the girl. God niunganishe na yy. 🙏🙏🙏
Dada yunis ubarikiwe Na omba kufunguliwa (delivrancy ) Na uponyaji wa Kaka yangu Alphonse sibo mungu amuponye kifafa
Mungu azidi kutu Lindatumwamini yeye tu 🙏🙏
Amen niombee Kuna mwenye ananinyanganya peza eti stanitafutia kazi amekataa kunirudisia na hka kazi tafadhali nahitaji maombi mmi nko 🇰🇪
Wanaohitaji mawasiliano ya mtoto Yunis th-cam.com/video/qmCohLLxlOA/w-d-xo.html namba iko kwenye hii video.
uchawi mtupu
@@mosesmaina2227 Una haki ya kuamini unachoamini
@@BMGOnlineTV we we naamini una share apo huna lolote washirikina wakubwa
Wanataka kupiga pesa wanaita wateja haraka, kama ni kweli aachwe mtoto alone afanye dawa mbali na wao hasa kule arumeru
There is God in heaven,be blessed baby Eunice
Mungu bariki huyu mtoto yunis naumuongezee maarifa yakuponya watu Amen
Amen
Indeed God is great,, Mungu azidi kumuuinua sana,, ni upande gani Tanzania nko kenya mm
Kijiji cha Bukama, Rorya
@@BMGOnlineTV Thanks nitafika huko, kutoka kenya hadi Tanzania ni pesa ngapi?
@@daughterofzion135 Utauliza hapo hapo Kenya
@@BMGOnlineTV ok poa
@Ed In Isibania ama Namanga kulingana na eneo ulilopo. Ila Isibania karibu zaidi
Mzee tunamshukuru muumba kwa yoote hayo, tunaomba matendo makuu hayo ya Mungu yarekodiwe tuonyeshwe na watoa ushuhuda waseme wenyewe.
Tunashukuru mama Maria sister Yunis niombee na mtoto Dorine Mungu atuponye
Amen
Eunice God bless you
Asnte Mungu kwa zawad hii ya mtoto YUNIS.
How can I get her contact
Mungu akubariki sana mtoto unice
Amen
Nampenda huyu mtoto jamani, Mungu akubariki mtoto mzuri
Amen
Anapatikana wapi mkowa gani
Dar... Au sehem gani
Mungu na aendelee kutenda mema na kuwaponya walio mbali na kutoweza kufika maeneo hayo
Amen
Mungu akubaliki sana
God bless you how can I get the water? Mnawez kuombea mtu kama Yuko mbali
Blessed
God bless you my dear sister
Sijui niamini au nisiamini.ila Mimi naamini Yesu na mungu .sjui about bikira maria.maria alifariki according to holy bible .just ombeni guys shetani pia anaponya vizuri tu...hii story ni kama movie ya unholy .alitokewa na maria na akawa anaponya wengi ..mwisho wa Siku sio maria ni shetani .so sjui kwa kweli
Amen, fact
imani upendo matumaini uvumilivu katika maisha ya kristor amina
Amen
Kila ninapockia haya ayatendayo huyu mtoto mwili unanisisimka sana. Ila, ushauri wangu, tafuteni shuhuda kutoka kwa wale wahusika waliopona. Mm ninaamini Ila wakishuhudia wenyewe, ni vizuri sana. NB: ni ushauri tu.
Mtoto ni chombo tu ,anayeponya ni Mungu .Shida ya watu wanamwangalia huyo mtoto kwamba ndiye anawaponya, ndo maana wengine wanadhubutu kukufuru wakimuita shetani.Hicho ni chombo tu .Je tunategemea kwamba B.Maria tutamwona kwa sura yake ? Sio rahisi labda tu kwa wale walioteuliwa.Hata mtoto huyo akitokewa naye kwenye kundi LA watu wengi , ni yule tu aliyeteuliwa .
Mimi pia nimewahi kutokewa na B.maria nilipo kuwa mtoto ila kumbukumbu zangu ni sanamu yake tu nilipo waambia wakubwa nilipelekwa hospital ilikuwa ni homa
Akina peter wanaambiwa Yesu amefufuka wanasema lazima tumuone
Ni uongo mtupu
Uongo gan sasa@@alialamoudi9729
I love you Jesus and Mary protect your little child Unice
Mungu amuongoze na Mimi niombee mama maria amuongoze
Niko Saudi Arabia na Mimi ni mkenya nahitaji kubarikiwa na sister Eunice
Mungu akubariki yunice akutie nguvu
Amen
Mungu nimwema Amen naomba mawasiliano yakufika uko
I pray for Eunice
All glory to God Almighty. Mary mother of God and our mother pray for us
Na walio mbali hawezi ombea mtoto yunis❤❤❤
Mungu alinde familliya yote na bikira Maria Awa sayidiye kwa uponiadi
Mungu ni mwema
Amen
Mama maria mama wa mkombozi wetu yesu krsto naomba msaidie mama yangu Capone apate kuona tena maana ni Kippur zaidi ya miaka kumi ss
Mungu ndio kila kitu
Msiamini kila roho , zichunguzeni na mzijaribu kama zinatoka kwangu, asema BWANA WA MAJESHI
Amina
Tunashukuru Ee Mama yetu Bikira Maria kwa kutuonekania,watanzania tunajivunia kuwa na mtoto Eunice!!
Mungu atukuzwe
Yunis!Bwana asifiwe,ninaomba uponyaji na ukombozi .Ameen.
Mungu n mwema kila wakat maisha marefu baby unice🙏🙏 naamin siku moja nitamfikia tukoka Kenya ishalah 🙏
Ameen
Barikiwa
Tumshukuru Mungu asante tutapataje hayo maji mikoani Asante Mungu
Anapatikana wap njami
Hello how can I reach the girl please my mum has a problem.....am from kenya....is their any way I can reach her
Isibania-Sirari then to Bukama Rorya, Tanzania.
Can I make an order so that the water can reach me please.....currently am at Lebanon. I want the water to reach my sick mum in kenya ......please is their any way I can be helped
@@alicenyabuto2202 ok th-cam.com/video/1Dg11QvZXIc/w-d-xo.html
Msiamini kila miujiza jaribuni hizo roho.miujiza ya Yesu hazichanganywi na chochote.
Yaani eti Maria anatenda miujiza alafu eti sanamu lazima iwepo yaani Hapa ni Roho za malkia wa Pwani au malkia wa kuzimu ndio yupo ndani ya huyu mtoto,,, Ndugu zangu hata shetani naye hutenda hiyo miujiza na nyie mnaosema mnamshukuru Mungu Kuna siku Mungu atawaambia sikujui sikujui,,, Mungu hawezi tenda miujiza Mara na maji Mara bikira Maria,,, how????
Ee mama yetu maria twaomba Sana ee mm usituache ngizani kwa mwanao tuombee
Mungu anipe uzime na siku moja nimfikie huyu mtoto
Amina
@@BMGOnlineTV naomba mawasiliano ya mzee ogot kama anaweza kunitumia maji ninashida
Jaman naombeni namba zake nina shida sana
Tuwasiliane 0757432694 BMG
mungu wa mbinguni adhiakiwi. Watu wanapenda, jia ya mikato kutafuta msada, amelaniwa anaye tengeya mwanadamu na moyoni mwake amemuacha bwana yeremia 17:5-8
Duh, huu nao ni ubunifu. Bwana tupe roho ya kukutafuta Kila siku make mazingaombwe ni mengi mnooo. Neno linasema asomaye neno na afahamu.
May God continue to used the Eunice to touch our hearts. Is it possible to translate these stories. We need to hear the message yet we can't speak Swahili. Thanks.
This is a little girl, named Sr. Yunis from Rorya Tanzania. The Virgin Mary appeared to her and gave the ability to pray for water that healing.
Tunaomba namba za kuwapata huko tunahitaji huduma
@@BMGOnlineTV tunaomba namba plz ile inayoishia 97 haipatikani
I thank you God, for ur Grace and Mercy on us. Praise the Lord.
Tatizo watu wanapenda kupinga kila kitu. Yesu mwenyewe alipingwa na watu wengi sana. Hata yanayotokea leo ya kupinga mambo ya imani ni mwendelezo tu wa yale yaliyowahi kutokea kipindi cha nyuma.
Blessed
God is so great
Ave Maria Amen
Amen 🙏
Mungu amusayitie uyu mutoto ahanze
Nitumie namba
Ya nani?
Eunice pray for me 😭😭😭🙏
Mungu azidi kuoneka
Naomba ya simu nigan
Kwann ufafanue mzazi na asifafanue wewe je huyo mtoto ndio anatengeneza mawe na chumv embu tumwache mungu afanye Kaz yake mtoto huyo ndio inatakiwa aongee na kama alikuja malaika na alikuwa haongei je alimuitaje baba njoo tusali wakat mtoto mdogo
Fika nyumbani umuulize mwenyewe
@@BMGOnlineTV hasante kwa jibu hilo
Wazushi unataka kiki
@@samxx411 Hakuna aliyekamilika chini ya jua, kikubwa ni mtu mwenyewe kufuata anachokiamini na kuachana na asichokiamini
Hail Mary full of grace the Lord is with you blessed are you among women and blessed is the fruit of your womb Jesus holly Mary Mother of God pray for us sinners now and at the hour death Amen 🙏
Très chère bien aimée unise pardon essais d adresse mes prières à la vierge Marie quel intercede pour devant le seigneur Jésus . Que le seigneur me localisé et visité et restore moi agir dans ma vie seigneur mon dieu exaucé mes surpplication entend mon cris vers toi seigneur Jésus Christ amen amen amen
Jesus Christ our Lord God said give them these instructions and this teachings don't let anyone look down on because you are young, but be an example for the believers in your speech, your conduct, your love and purity
Jambo naitaji namba.
Ya nani?
Amen yarabbi
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo ni shirki thambi isio samehewa milele usijaribu kukufuru
Remember wat Jesus told people about children
Yunis naomba uniombee uwa nikiingia kusali uwa naumia sana kama vile naunguzwa na moto nisaidie
Pole, Mungu akuponye
Nani kawaloga enyi wenye imani potofu?
Imeandikwa usihukumu
Wacheni watoto wadogo waje kwangu
Sure
❤❤
Chumvi ya mawe ndio ngani?
Mtakatifu yunis uniombee
🙏
nitumie namba yasimu
Iko Mtandaoni, anaitaja mwenyewe
pray for me.
Kabisa
Amen
Jamani tunaomba na sisi wa mbali tupate huduma ili tupone uwezo wa kuja huko ni mdogo hali zetu za chini sana
Amen
Naomba kupata mwelekeo ili niweze kufika mliko,nko Kenya naezatulia njia gani
Pitia Isibania-Sirari hadi Tarime stendi, ulizia magari ya kwenda kwa Yunis
Shukurani
jmn naomba mawasiliano na huyo mtt
+255693268319
Mimi ni mkenya nimekua nikifuatilia hii habari ya mtoto yunis sababu ilinipendeza niko na swali kwamba Hii maji niya uponyaji pekee ama pia na mashida zingine??
Tumia kulingana na unavyoamini
Ningetaman niende hii sehem na familia yangu naomba namba za wazazi watuelekeze.
Wanaohitaji mawasiliano ya mtoto Yunis th-cam.com/video/qmCohLLxlOA/w-d-xo.html namba iko kwenye hii video.
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa ni shirki thambi isio samehewa milele usijaribu kukufuru NA kupoteza dini yako ya uslaam muoba mungu wako katika salah tano yako
Mmh! 😳
Naomba number zao
Wanaohitaji mawasiliano ya mtoto Yunis th-cam.com/video/qmCohLLxlOA/w-d-xo.html namba iko kwenye hii video.
Tumboni,miaka,3
ndiyo
Nielezeeni directions pia mmi niende
Sasa Direction kutokea wapi?
Namba ya fone
OK
@@BMGOnlineTV could you please pray for me and my husband
I'm called malish Nadia from Uganda suffering from inability to produce thanks 🙏
@@anyovidenis183 God bless you according to His will and give you the need of your heart, Amen!
@@BMGOnlineTV amen
Could you please pray for my family thanks 🙏 and me too thanks 🙏
Nataka namba zenu niongee nahuyo mtoto
Wanaohitaji mawasiliano ya mtoto Yunis th-cam.com/video/qmCohLLxlOA/w-d-xo.html namba iko kwenye hii video.
Anapatikana wap
Bukama Rorya Tanzania
Mungu anaweza yote
Nitapataje mahali mtoto mponyaji unice
Unaulizia nyumbani kwao?
mimi naomba namba
Wanaohitaji mawasiliano ya mtoto Yunis th-cam.com/video/qmCohLLxlOA/w-d-xo.html namba iko kwenye hii video.
Natoka mkoani nikifika mwanza niulize wapi