MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Katika maadhimisho ya kupiga vita dawa za kulevya 2024

ความคิดเห็น • 179

  • @victoriarichard8761
    @victoriarichard8761 หลายเดือนก่อน +11

    Mungu hajalala amesikia atatenda kwa wakati wake kila mwenye Nia ya dhati kutoka kwenye janga Hilo na atamuinua kwa ukubwa.. Mungu ilinde Tanzania 🇹🇿 iondoe kwenye majanga haya na mengineyo yanayoitesa Dunia. AMEN

  • @MagrethMhina
    @MagrethMhina หลายเดือนก่อน +14

    Mungu kumbuka watoto wetu ooh yesu asaidieeee matumbo mengi ya wamama yanaliaaaa kwa watoto kutumizaaa oooooh Yesuuuuuu

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ujumbe mzuri ila hapohapo watu wa selikali ndo wanayofanya hayo.inasikitika mnno😢😢😢😢

  • @tatumatango2207
    @tatumatango2207 หลายเดือนก่อน +12

    Najuta kuusikiliza mbele za watu,,bora ningeusikiliza nyumbani nikalia vzr,,maana naona aibu nalia mbele za watu😢😢😢

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 2 หลายเดือนก่อน +8

    Uwiiiiiiiiiiiiiiiii wimbo unagusa sanaaaa .......MAMA YANGU SAMIA NAKUPENDA MAMA NAKUOMBEA UFANIKIWE KUWALEA WATOTO HAWA WA MTAANI WATOTO WETU HAWA NAWAOMBEA SANAA .....

  • @shamiramsoke1365
    @shamiramsoke1365 2 หลายเดือนก่อน +27

    BWANA YESU ULIE KETI MBNGUNI KONE KITI CHA ENZI NAKUOMBA UWASAIDIE WATOTO WETU

    • @juliethmagezi3104
      @juliethmagezi3104 หลายเดือนก่อน

      AMINA NA ITAKUWA HIVYO TANZANIA NA ULIMWENGUNI KOTE

    • @shamiramsoke1365
      @shamiramsoke1365 หลายเดือนก่อน +1

      @@juliethmagezi3104 AMINA KWA JINA LA YESU KRISTO ALIE HAI

    • @bothinaabothinaa2643
      @bothinaabothinaa2643 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @MARYNAGUJustin
      @MARYNAGUJustin 25 วันที่ผ่านมา

      Amina

  • @mcmlandali441
    @mcmlandali441 หลายเดือนก่อน +9

    Hiii ni zuri mno and so emotional hongera sana Mrisho Mpoto

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 หลายเดือนก่อน

      Inachoma moyoni inaniumiza mpaka natokwa na machozi imenifanya nimkumbukue rafiki yangu ambae kaka yake aliuwawa kwa kumchomwa kisu na producer nakabaki yeye na mama yake tu nae alifariki na kuzikwa pembeni ya nyumba yake karibu na gate ili mwanae asije uza nyumba lakini kwa akili ya unga akauza hakujali hata kaburi ya mama yake nyumba ilikuwa ya ghorofa na ukubwa wa eneo zaidi 5000sqm kwa mlioni Mia na 20 tu, inahuzunisha sana namuombea kill kukicha asirudie tena maana aliacha.

  • @KissBoytz-t9i
    @KissBoytz-t9i หลายเดือนก่อน +21

    Kama nawew umeludia malambili kama Mimi ngonga like😢

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 2 หลายเดือนก่อน +11

    Mtoto wa nyoka ni nyoka wallah, Mrisho hongera

  • @ErickLusabara
    @ErickLusabara 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hakika hii ni zaidi ya sanaa. Nawapongeza saaana kwa mlichokifanya, mmefikisha ujumbe kwa njia rahisi na yenye kuvuta hisia. Mungu aliponye taifa letu dhidi ya janga hili.

  • @AngelinaChacha-gb3yh
    @AngelinaChacha-gb3yh หลายเดือนก่อน +4

    Wimbo huu uibwe angalau kwa kila chombo cha habari walau mara moja kwa wiki jioni maana unaelimisha sana. Mungu ibariki Tanzania.

  • @juliethmagezi3104
    @juliethmagezi3104 หลายเดือนก่อน +9

    Ipo NGUVU YA MUNGU mahali apo....I can feel it

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 2 หลายเดือนก่อน +14

    Bwana wa Majeshi Mungu Mkuu uishiye Milele tunakuomba uwashe taa yako isiyozimika ndani ya mioyo ya watoto wetu wakujue wewe kuwa unatosha🙏🙏🙏

  • @rithaurassa
    @rithaurassa หลายเดือนก่อน +6

    Wauza. Unga wamo humo wametulia kwenda kuziandaa hawapendi watoto wa wenzenu mnataka wafe wo te ili watot wenu wabaki

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mama Samia wewe ni mama nakupenda mnoo MAOMBI YANGU NA DUA ZANGU MUNGU ASIKUACHE ASIKUPUNGUKIE MAMA WEWE NI MAMA MAMA HAWEZI BADILIKA AKAACHA WATOTO WAKE MAMA NAKUOMBEA SANAAA UTUFIKISHE MAHALI SAHIHI MAMA NAKUOMBEA SANAAA

  • @yustinasindamwaka8072
    @yustinasindamwaka8072 หลายเดือนก่อน +8

    Ntaonyesha vijana wanaonizunguka wengi ni walevi hawatadhubutu Mungu ibariki na kuirehemu Tanzania

  • @peterlucas7246
    @peterlucas7246 หลายเดือนก่อน +9

    I was thinking that am strong ....i find myself very weak while listening this song😭😭

  • @robertmwanja-ld4hd
    @robertmwanja-ld4hd 25 วันที่ผ่านมา +2

    Hongereni sana ujumbe mzuri na umefika, mbalikiwe sana mwenyezi MUNGU awalinde.

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 หลายเดือนก่อน +5

    Kwakweli inaumaa.sana madawa.ya.kulevyaa imeangamiza watu wengi🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤲😭😭😭😭😭😭

  • @estamarodaofficialtz5233
    @estamarodaofficialtz5233 หลายเดือนก่อน +7

    Asante mungu mkwakulitetea taifa la Tz mungu ibariki tanzania bariki viongozi waTz

  • @zaishanga1622
    @zaishanga1622 หลายเดือนก่อน +12

    Naomba hii nyimbo ipigwe kwenye azam tv two kabla ya kuanza pambano la yanga tarehe 8 mwezi ujao ili maelfu ya wengi itaonekana na wengi maana hao wateja wengi hawana cm ya whtsup naona watajipata na wataokoka 80 cio Tanzania na nchi jirani pia watapata tiba ! Na pia iwe inapigwa kila cku kwenye tv Amun

    • @FiveStar-uc5ec
      @FiveStar-uc5ec หลายเดือนก่อน

      🎉🎉.

    • @LeilaAdija
      @LeilaAdija 17 วันที่ผ่านมา

      🎉🎉🎉

  • @RusiaMwambungu
    @RusiaMwambungu หลายเดือนก่อน +2

    Daàaa kiukweli naomba wimbohuu uluxhwe kwenye tv tarehe 8/8/2024 ilimaelfu ya watu waweze kusikiliza angalau kazi ya MUNGU nanguvu yake ikawaponye vijana Amina

  • @challemartin
    @challemartin หลายเดือนก่อน +10

    Mungu waponye watoto wetu wakike na wakiume

  • @judithmwakibete3036
    @judithmwakibete3036 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kwa yo yote aliesikiliza ujumbe huu Ana nafasi ya kusemezana na kijana wa jinsia yote juu ya janga hili

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 หลายเดือนก่อน +4

    Kweli haramu ni tamu .mmmmmh..china Wa. Tanzania..wakishikwa wanadungwa .sindano ya.sumu .na kuchomwa .kwenye .pipa . Lakini wao.wakikatwa..hatusikui.chochote..😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭😭😭

  • @bujanlau7079
    @bujanlau7079 26 วันที่ผ่านมา +3

    Wameu design vzuri huu wimbo na hatta jinsi ya ku ACT uhalisia saafi saana kwa ajili ya kuokoa ambao wanataka kuingia au wameshaingia lakin wanashida ya kutoka....
    MADAWA YA KULEVYA HUANZIA KWA KUSHAWISHIWA NA WATU WA KARIBU EITHER MARAFIKI AU WANAFUNZI WENZAKO WENGI WAO HUANZIA MASHULEN...

  • @user-ff4im5ze2t
    @user-ff4im5ze2t หลายเดือนก่อน +5

    Mungu isaidie Tanzania

  • @emmymwakabana
    @emmymwakabana หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana kazi nzuri

  • @user-ye7hg5pn7x
    @user-ye7hg5pn7x หลายเดือนก่อน +2

    Nimeipenda hii mungu akupe hekma zaidi

  • @TausiGeorge
    @TausiGeorge 16 วันที่ผ่านมา +1

    Naumia mm hili janga linaniumiza mm malengo yake yote yameisha kwenye madawa angalau kidogo afya ni nzuri 😭😭😭😭

  • @user-jm4vn3fx7u
    @user-jm4vn3fx7u หลายเดือนก่อน +1

    It's very good song for the society god help us to mantain our life

  • @lazaroeliphas8353
    @lazaroeliphas8353 25 วันที่ผ่านมา +1

    God bless Tanzania God bless Africa

  • @nsubisiseth2993
    @nsubisiseth2993 18 วันที่ผ่านมา +1

    Very touching message

  • @JuniorVsllence
    @JuniorVsllence หลายเดือนก่อน +1

    Party two hii,hongera kaka mrsho mpoto,hii ni zaid ya sanaa

  • @MwinjilistiJestusMhelela
    @MwinjilistiJestusMhelela 20 วันที่ผ่านมา

    Hakika mmefanya wanders sanaaaa...
    Hapa kilichobaki in KUOKOKA TU, MUMPE YESU MAISHA YENU...!!!
    Maana kuacha dhambi Ba kumwamini YESU na kuokoka ni vena zaidi ya kuacha madawa ya mulevya na kula ngada...!!!
    YESU ANAWAPENDA
    BY
    JESTUS MHELELA

  • @kalamuyangu1
    @kalamuyangu1 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mbegu bora iliyopandwa juu ya mtoto huyu yapaswa kulindwa kwa gharama kubwa.

  • @DavidAnthony-bk1lm
    @DavidAnthony-bk1lm 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ni kweli madawa ya kulevya ni hatari Kwa taifa letu

  • @daudkindy5807
    @daudkindy5807 17 วันที่ผ่านมา +1

    Ujumbe mzur sana

  • @mamaabubakari2752
    @mamaabubakari2752 หลายเดือนก่อน

    Ni dhana njema kuangalia chanzo cha tatizo, uwajibikaji dhaifu wa wazazi. Hongera sana kwa ujumbe mzito wenye kuleta athari pia.

  • @user-sp4jr4vw6t
    @user-sp4jr4vw6t 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeipenda hii jamani tumewapoteza vjana wetu mi niko kjjni zamani vjana wa kiume na kike walikuwa na umoja wao asub na mapema saa 11 waliwahi mashambani zamu kwa zamu kulima na kupalilia leo watoto wetu wanawahi kwenye magenge ya dawa za kulevye jamani tufanye je tuwanusuru watoto.

  • @hashimposho-ju6nz
    @hashimposho-ju6nz วันที่ผ่านมา

    Wimbo mzuri ila najiuliza serikali haijui madawa yanapitia wapi

  • @user-qf7tc9sw6k
    @user-qf7tc9sw6k 2 หลายเดือนก่อน +2

    Touching song, moyo unatetemeka

  • @THEEaglz
    @THEEaglz 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kubwaa sanaaa my g

  • @zaishanga1622
    @zaishanga1622 หลายเดือนก่อน

    Mamangu kipenzi chetu pambana mama tembo hashindwi na mkonga wake pambana mm big up mungu akutunze kwa ajiri yetu!!

  • @fahmiabdi7539
    @fahmiabdi7539 2 หลายเดือนก่อน +6

    Ujumbe unasikitisha na ufahmuka na najikuta naliaaaa

  • @blessingmapazia9545
    @blessingmapazia9545 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu Kristo naomba waponye watoto wetu walio kwenye makundi mabaya

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt หลายเดือนก่อน

    Mashallah kwa kufikiaha ujumbe mzuri kwakeeli dunia imearibika

  • @lucypatrick7830
    @lucypatrick7830 8 วันที่ผ่านมา

    Kuna watu wakubwa na wafanyabiashara wa hayo madawa unakuta wapo hapo, watoto wa wenzao wanaangamia wao wanaingiza vipato kwa ajili ya watoto wao, dah Mungu tusaidie

  • @youtube.mwosatv
    @youtube.mwosatv หลายเดือนก่อน +3

    Bonge la movie leny ujumbe mzito

  • @user-ez4no2sk4o
    @user-ez4no2sk4o หลายเดือนก่อน +2

    Mungu bariki watoto wetu

  • @mbonigabasamueli1860
    @mbonigabasamueli1860 หลายเดือนก่อน +2

    Mara nyingi Mtoto hufanya kazi ya babaye, Mrisho ndagukunda

  • @mariakilasile8792
    @mariakilasile8792 27 วันที่ผ่านมา

    Nimeipenda sana njia hii ya risala, hakuna anayeponyoka kuisikiliza hii, very touching. Tupeni elimu namna ya kuwasaidia hawa tulionao huku mtaani. Tunawasaidia kuwalisha lakini wanahitaji kazi tufanyeje?

  • @user-uq5rs9mb6s
    @user-uq5rs9mb6s หลายเดือนก่อน

    mungu ibariki Tanzania mung u walinde watotowetu

  • @EmmanuelMajele-ny2hk
    @EmmanuelMajele-ny2hk หลายเดือนก่อน +1

    Mungu lbariki Tanzania 🇹🇿

  • @GervasMalimi
    @GervasMalimi 12 วันที่ผ่านมา

    We ino jowakunifanya nilie mimi kisa kusikiliza nyimbo hii😢😢😢😊

  • @user-dj2kj7gs5p
    @user-dj2kj7gs5p หลายเดือนก่อน +1

    Duuu.upo.vizuri.dogo

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 หลายเดือนก่อน +2

    Wapi stive nyerere .aje asikie..kizungu au kingereza.😂😂😂😂😂

  • @DereckNdunguru
    @DereckNdunguru 17 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki kipaji chako

  • @edwinraymond3404
    @edwinraymond3404 6 วันที่ผ่านมา

    Kwaiyo mjomba kashaanza kumuwela mtoto kwenye system 😅😅😅

  • @princebuganzilut2047
    @princebuganzilut2047 2 วันที่ผ่านมา

    nyimbo zilizomtaja JK zote haziimbwi. nyimbo zilizomtaja JPM haziimbwi tena wasanii mjifunze jambo. acha kutaja majina taja vyeo nyimbo zenu zidumu tawala baada ya tawala

  • @richardsimon2464
    @richardsimon2464 วันที่ผ่านมา

    Simba hazai paka

  • @victoriafaronendakwamakond4816
    @victoriafaronendakwamakond4816 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Rais wetu

  • @JakcsonShija-h1f
    @JakcsonShija-h1f หลายเดือนก่อน

    Mungu akuinue katika kipaji chako chauimbaji

  • @user-qo6bk1zs8m
    @user-qo6bk1zs8m หลายเดือนก่อน

    Mmetisha kinomanoma❤❤❤❤

  • @daxmtiwandege5063
    @daxmtiwandege5063 หลายเดือนก่อน

    🌹🌹🌹 Dogo ameua

  • @salomemakene4446
    @salomemakene4446 8 วันที่ผ่านมา

    Bado utumiaji na uuzaji wa dawa za kulevya ni mwingi mno serikali iongeze nguvu kuokoa taifa letu

  • @ElizabethKaroli
    @ElizabethKaroli วันที่ผ่านมา

    Aaa jamaniii this is too emotional

  • @user-js7lg9pm8f
    @user-js7lg9pm8f หลายเดือนก่อน

    Nakupenda mrisho hii ni zaid ya move

  • @fintanchavala2145
    @fintanchavala2145 2 หลายเดือนก่อน

    Well organized
    Hongereni kwa ujumbe murua

  • @user-xk2ju5ef8c
    @user-xk2ju5ef8c 17 วันที่ผ่านมา

    Aminii

  • @bloodofjesus7542
    @bloodofjesus7542 หลายเดือนก่อน +4

    Mpoto kapata mrithi

  • @zackzack9730
    @zackzack9730 หลายเดือนก่อน +4

    Ukwel watoto wetu watakua kwa usalama zaidi endepo madawa yakitokomea

  • @user-jr5pd4mx2x
    @user-jr5pd4mx2x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Inaumiza lakini ndoomaishahalisi ila mungupekee nisuluhisho yahayamamboyote. Naitwa Benedict kutokakibaha mailimoja.

  • @user-ke9bg1dm9c
    @user-ke9bg1dm9c 27 วันที่ผ่านมา

    Wimbo mzuri sana

  • @Passy-gj9nc
    @Passy-gj9nc หลายเดือนก่อน +1

    Mungu uwaponye watoto wetu

  • @nifatyhamis2398
    @nifatyhamis2398 8 วันที่ผ่านมา

    Jamani inaumiza

  • @user-hs6yf5uk8c
    @user-hs6yf5uk8c หลายเดือนก่อน +1

    Serikari naomba mjenge Simba house nyingi nchini nazitoe huduma bure upite msako mtaan kuwakama waraibu wote WA madawa wakatibiwe jaman yanawatesa watu

  • @JoycebarakaEster
    @JoycebarakaEster 26 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuli kaka

  • @daudysanga8492
    @daudysanga8492 8 วันที่ผ่านมา

    Chawa na2

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi หลายเดือนก่อน +3

    bado moshi na arusha bangi pombe mirungi

  • @shakiramshule342
    @shakiramshule342 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤ amina

  • @kelvinryoba779
    @kelvinryoba779 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂safi sanaaaa

  • @Mojabo-qi7sv
    @Mojabo-qi7sv หลายเดือนก่อน

    Amina alla aepushie ili janga

  • @peteruzia8313
    @peteruzia8313 16 วันที่ผ่านมา

    Meizi wa cm mwizi wa kuku wananpigwa na wanauawa
    Lakn cha ajabu wanaoingiza dawa za kulevya wanaachwa
    Manaake..nin..??

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo baada ya Pusha kuomba radhi hapo ilitakiwa iingie sauti ya mtu kama Masele Mlevi, ingenoga sana

  • @user-jr5pd4mx2x
    @user-jr5pd4mx2x 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂daaah wimbowauchungusana ukikaa kwamakini Italian sana wengine wasiojua watakushangaa

  • @annalugano5246
    @annalugano5246 หลายเดือนก่อน

    Hadi machozi yamenitoka ,Mungu saidia watoto wetu

  • @PaschalPaulo-k6m
    @PaschalPaulo-k6m 25 วันที่ผ่านมา

    Nice❤

  • @HarunMsigwa-od1gd
    @HarunMsigwa-od1gd หลายเดือนก่อน

    Hapa ndo sanaa🎉

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu หลายเดือนก่อน +3

    Aisee huu wimboooo umeniumiza

  • @mariamabdul7686
    @mariamabdul7686 29 วันที่ผ่านมา

    ujumbe🎉

  • @stopazmusictz4201
    @stopazmusictz4201 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ kwa woteeee

  • @Josephatmoshi-y6e
    @Josephatmoshi-y6e 13 วันที่ผ่านมา

    Ok😊

  • @danielamosi6871
    @danielamosi6871 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hili janga kuisha ni pale mtu mmoja mmoja aamue kutotumia

  • @peteruzia8313
    @peteruzia8313 16 วันที่ผ่านมา

    Huku bado zinatumiwa mbona ehee

  • @AsiaMohamed-gw6fq
    @AsiaMohamed-gw6fq หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU atusaidie sana

  • @BinBiNasir
    @BinBiNasir หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda hii😭😭

  • @user-il8wx3eq8i
    @user-il8wx3eq8i หลายเดือนก่อน +3

    Sjui kwanini nalia

    • @DOTTO-z9c
      @DOTTO-z9c หลายเดือนก่อน +1

      na mimi sijuhi kwa nini 😢

    • @yustinasindamwaka8072
      @yustinasindamwaka8072 หลายเดือนก่อน

      JAMANI ombi watengeneze cinema isambae mijini na vijiji Tanzania nzima vijana hawatadhubutu tena tajiri atanue wao waangamie haikubariki waongeze na vikolombozo vingi mfano awepo mtoto wa mchungaji yeye ni mwalimu kaungana na mateja kisha kafukuzwa kazi mama yake naye bp baada ya kuona dada yake kusikia hayo vidonda tumbo baba kisukar then kaka ni advocate anapoteza maisha kwa kuona janga hilo watu wote kupoteza ndoto zao hayo ni mawazo yangu tu naandika ujumbe huu huku Ninalia ni ombi tu

  • @Shera806
    @Shera806 หลายเดือนก่อน +4

    Nikajua na mwanae havai viatu kumbe anavaaa😢😢😢

  • @MelkizedekiMkumbo
    @MelkizedekiMkumbo หลายเดือนก่อน

    Be blessed