ONDOENI YOTE MMETUMIA KIASI GANI, WAZIRI MKUU AIBUKA SHULE YA IRAMBA ASHANGAZWA NA ALICHOKIKUTA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 46

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi iendelee lets the work continue, kazi njema Mheshimiwa Kassim Majaliwa kila la kheri katika ufanisi wa ujenzi wa Taifa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🐘

  • @heronimomsefya3190
    @heronimomsefya3190 8 วันที่ผ่านมา +4

    Mwenyezi mungu mwingi wa rehema akupe Maisha marefu na baraka Tele 🎉🎉

  • @YusufLubangula-yn6tq
    @YusufLubangula-yn6tq 8 วันที่ผ่านมา +12

    Ata sisi wazamani Atujasomea madawati kamahayo! Nipongezi kwa waziri Mkuu KASIMU MAJALIWA Kwa kugundua hiyo shida😊

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 8 วันที่ผ่านมา

      Mm nimesomea hay tang primary 😂😂 kit na kimeza

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 7 วันที่ผ่านมา

      Nawewe ni Hoya Hoya huyu ndo waziri hewa. Ccm hamnaga jibya wanachezatu na akili ya watanzania

  • @mwankunjatyson
    @mwankunjatyson 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi nzuri kwa Mtendaji Mkuu wa serikali big up Majiliwa

  • @ramadhanjuma4087
    @ramadhanjuma4087 8 วันที่ผ่านมา +2

    Ndiyo Baba Wakumbushe Wajibu Wao Wamejisahau sana

  • @RetnerAlfred
    @RetnerAlfred 8 วันที่ผ่านมา +1

    Asanteh waziri wetu kipenzi Cha wengi , wana Itandula tunakushukuru sanaaa!

  • @directorabiero340
    @directorabiero340 6 วันที่ผ่านมา

    Nataman ingekuwa rais wetu Tanzania

  • @flaviankimat5233
    @flaviankimat5233 8 วันที่ผ่านมา +2

    wamuige waziri mkuu mzee wa ulipo tupo au awamwoni

  • @NyamtigaIbrahim
    @NyamtigaIbrahim 7 วันที่ผ่านมา +1

    Baba Chkua Nchi Tushachoka Sie Watumishi Wanajisahau Ingewezekana Ungewachapa Viboko Kama Ulivyowatandika Wale Kipindi Kile.😂😅

  • @stedeteam531
    @stedeteam531 8 วันที่ผ่านมา +1

    AHSANTE SANA MH. WAZIRI
    MUNGU AKUBAARIK KAKANGU
    UNGEWAPIGA CHINI TUU HAO

    • @user-hd5bg8qw1b
      @user-hd5bg8qw1b 7 วันที่ผ่านมา

      ATAANZIA WAPI NA MAMA HATAKI LAKINI KIUKWE HAO WOTE WALA RUSHWA WANGETOLEWA JPM ANGEJUA KESHO YAKE HUYU ANGEMUWEKA MAKAMU WAKE TUNGEFIKA MBALI.MUNGU AMPE AFYA NJEMA MAJALIWA,JPM MUNGU AKULIPE MAZURI YAKO AKUSAMEHE ULIPOKOSEA

  • @mathiasdaud7842
    @mathiasdaud7842 8 วันที่ผ่านมา

    🙏🏻🙏🏻

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 8 วันที่ผ่านมา +1

    Halafu nikwambie mwl majaliwa watu wanakupenda kuliko unavyofikiri yaai we basi tu yaaaaan

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 8 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana Bwana Kasim,uwezo wa kuwa na hayo madawati tunao kwa sababu tuna misitu

  • @Dottosumun
    @Dottosumun 8 วันที่ผ่านมา

    Mh.majaliwa ongera sana kiongozi

  • @flaviankimat5233
    @flaviankimat5233 8 วันที่ผ่านมา

    🙏

  • @FloraMasika
    @FloraMasika 8 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏🙏

  • @erickonesphor9630
    @erickonesphor9630 7 วันที่ผ่านมา

    Jamani inauma mbona tumetokomea wataz kwenye ufisadi ? Ona hata vanishi hayajapakwa je hawakuwa na maelekezo ya namna ya kuyatengeneza ? Mungu utuhurumie

  • @AyyanJambau
    @AyyanJambau 8 วันที่ผ่านมา +1

    Wilaya ya iranba hovyo sana utapeli mwingi sana tumefanya kazi za serkal milango na madawati nina mwaka na miezi 5 mpaka sasa sijalipwa hela yangu hili swala litafika kwa waziri mkuu naamini hilo hii wilaya imekaliwa na matapeli watupu tumefanya kazi wilaya nyingi lakin hii hovyo sana

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 7 วันที่ผ่านมา

      Ulifurahije wakati unapewa hiyo tenda huku ukitoa rushwa Leo umegubdua umeingia tenda na matapeli ya ccm Pambana na hali yako

  • @rajabukipara3008
    @rajabukipara3008 8 วันที่ผ่านมา

    Asant Mzee Wetu

  • @andrewkamese8492
    @andrewkamese8492 7 วันที่ผ่านมา

    Mh waziri mkuu wadabishe na hao wasimamizi wa ndani kwan hakuona kama hayo madawati hajakamilika wakachukua hatua mapema kabla ya wewe kufika hapo.

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 7 วันที่ผ่านมา

    Hi inchi tunaongozwa na vingozi wasanii eti waziri anashangaa wakati hayomabo ni tanzania nzima

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 8 วันที่ผ่านมา

    Kila mtu mwizi daah Tanzania nchi ya ajabu kweli

  • @habibumallanga2381
    @habibumallanga2381 8 วันที่ผ่านมา

    Safi mkuu

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 8 วันที่ผ่านมา +1

    JMOO kasema shule kama iramba ukimpeleka mwanao lazma ataferi😂

  • @user-qg7gj5om4e
    @user-qg7gj5om4e 8 วันที่ผ่านมา

    Majaliwa umefanya vema,,
    Pongezi mingi

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 8 วันที่ผ่านมา

    Daah😂😂😂😂aisee 😢😢

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 8 วันที่ผ่านมา

    ukifuatilia sana,hayo usishangae ukiyapata yalimsibu Yahya nawanda!!watu wamebobea ktk ubadhirifu wa pesa za serakali na imeshakuwa ni mambo ya kwaida tu!!

  • @julietlema5048
    @julietlema5048 7 วันที่ผ่านมา

    Vitu vya aibu sana.

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 8 วันที่ผ่านมา

    Ccm hivi hamuoni aibu? 😢😢😢😢 Mnamdhalilisha waziri

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 7 วันที่ผ่านมา

    Ni mambo ya aibu sana hivi mkuu WA wilaya huwa anafanya Kazi gani ? Mpka waziri afike ndio aone Kazi hazikufanyika .,wangekuwa Wanafungwa tu maisha .

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 8 วันที่ผ่านมา

    Washapiga pesa, alafu mbona mbao sio mninga?

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 8 วันที่ผ่านมา

    Rais 😅😅

  • @user-fx6zp2xy7k
    @user-fx6zp2xy7k 7 วันที่ผ่านมา

    Tatzo mbunge wa hapo

  • @MrishoHassan-w1j
    @MrishoHassan-w1j 7 วันที่ผ่านมา

    Huo ni uchakachuaji wa hali ya juu saana hata mkaguzi w hiyo tenda sidhani kama ameenda shule na kama amesoma ni kweli alisomea kwenye madawayi yasiyo na droo ya kuwekea daftari?

  • @ephremmtuya3094
    @ephremmtuya3094 6 วันที่ผ่านมา

    50,000 kwa dawati ? ndiyo maana ni sub standard mbao, misurmari, gundi, umeme, machines labour na usafiri labda kama amekosea kusema bei

  • @stewardmbena3737
    @stewardmbena3737 7 วันที่ผ่านมา

    Tatizo hapo sio fundi ila tatizo linaanzia kwenye kamati ya shule unaweza Kuta fundi katengenezea kwa sh.25000 au sh. 35000 na pesa ya juu yote ina enda kwenye kamati na dawati zenyewe hata vanishi hazina ila kamati sio wasio watu wazuri kwa kupenda %100🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤗🤗🤗🤗🤗🤗

  • @user-qg7gj5om4e
    @user-qg7gj5om4e 8 วันที่ผ่านมา

    Aibu yako afisa elimu,acha uhuni wewe ulisomea dawati gani

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 8 วันที่ผ่านมา

    Madawati ya hovyo uvungu or not hivyo viti ndio kabisaaa hata mwisho wa siku matako yote yanauma. Kwa mnaomsifu waziri mkuu mlikuwa mumuone wakati wa Marehemu Magufuli then alikuwa strong now nimepoteza imani nae kabisa kawa km hao viongozi wa hovyo kazi kupaka kanta na kuchana nywele tu. Hapo kajitutumua kuna vitu kibao kavifumbia macho aghhh

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 7 วันที่ผ่านมา

    Anayeshikilia camera mzembe sana

    • @ayoubmtumishi50
      @ayoubmtumishi50 7 วันที่ผ่านมา

      Badala aonyeshe kinachokaliwa anaonyesha nini

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 8 วันที่ผ่านมา

    Hao ni wapigaji . Waliamini hakuna kiongzi atakayekagua. Endelea kukagua na mahali pengine. Utakuta madudu kama hayo.