KIJANA WA KITANZANIA ALIETAJIRIKA KUPITIA MBWA "NINA MBWA WA MILLION 100"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 650

  • @rugendorunene545
    @rugendorunene545 4 ปีที่แล้ว +18

    Baraka 🙏🙏 Kaka🇹🇿, nataka nikutembelee hivi karibuni kutoka kajiado🇰🇪🇰🇪. One of the best interview I have ever seen for those who understand the language.

    • @tambwe
      @tambwe 4 ปีที่แล้ว +2

      Usikosi kutazama filamu ya kiswahili kutoka burundi kwenye compny ya TAMBWE
      th-cam.com/video/OzGpc_tJgVo/w-d-xo.html

    • @SPrivy
      @SPrivy 4 ปีที่แล้ว

      Embu kwenda fanya maisha yako wakenya mnawashwa na nini shida zenu

    • @felixochieng6813
      @felixochieng6813 4 ปีที่แล้ว

      Nataka kuwa mteja wako ndakupata aje🇰🇪

  • @tatalyzer382
    @tatalyzer382 4 ปีที่แล้ว +60

    Hiyo siyo nyumba ya kuishi. Hiyo ni site ya kufugia. Km umeona mtangazaji kashangaa gonga like

  • @ngilini9509
    @ngilini9509 4 ปีที่แล้ว +1

    Ote mlio komenti ujinga hamjielewi ila mimi niliewahi kufugatu mbwa koko wa wakuuza 10000,najua hesabu anazozipiga huyo jamaa ila mlioshidwa maisha tokea huko mmesha ingiza yenu daaaa watanzania bwana nishida sana hamchelewi hata kumpachika mtu mambo ya ajabu ajabu mungu awafanye mshindwe kwa kila mkifanyacho msifanikiwe kwa chochote katika maisha yenu mwacheni jamaa apige pesa na mbwa wake.

  • @bozzabeka2240
    @bozzabeka2240 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunamahukuru raisi wetu magufuli kwa sababu amesema "HAPA KAZI TU" na sisi vijana tumeipokea na tunafanyakazi" yani hii video itabaki kuwa kumbukumbu kwenye makablasha yangu hakika umenena na umeonyesha..!!
    Heshima sana mzee baba hakika magufuli alikuwa ni true leader na vijana wengi wenye akili tulimkubali ila mungu kamkubali zaidi..."#salute bro.... Much respect..."
    @la pweza
    Rip mr president.

  • @michaelramadhan9466
    @michaelramadhan9466 4 ปีที่แล้ว +6

    Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake.
    ____________________
    🙏📖📖📖🙏(Wafilipi 2:3)

  • @jafreezhasheem6376
    @jafreezhasheem6376 4 ปีที่แล้ว +37

    Tunapenda sana hivi, mafanikio kwa vijana wetu Asante Mungu. Hongera nondoz Big up

    • @tambwe
      @tambwe 4 ปีที่แล้ว +1

      Usikosi kutazama filamu ya kiswahili kutoka burundi kwenye compny ya TAMBWE
      th-cam.com/video/OzGpc_tJgVo/w-d-xo.html

  • @fatimamohammed2332
    @fatimamohammed2332 4 ปีที่แล้ว +14

    kusoma sana sio kuwa na maisha mazur gonga like km wakubal hili

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana ,,kazi nzuri kwa watu wanaopenda kujishulisha🤝

  • @mnyangabejowrlicecy3881
    @mnyangabejowrlicecy3881 4 ปีที่แล้ว +6

    Nakumbuka ulimuuzia baba yangu mbwa ,,Alikuwa mkali hata mmi nilikuwa siingiindani namkumbuka Sana yule mbwa..

  • @munashaloood4152
    @munashaloood4152 4 ปีที่แล้ว +34

    Mungu akujalie kazi ya mikono yako

  • @lilig5959
    @lilig5959 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa ametuinsper sana vijana ila tunakuomba millard uende arusha kumuoji zaidi tunaamini utatuonyesha mali zake nyingi zilizo tokana na mbwa ili tuwe proud na tujifunze zaidi kazi iyo.Ndo maombi yangu mm kama fans wa millard

  • @owlbig
    @owlbig 4 ปีที่แล้ว +13

    Good interview ❤️🇧🇮

  • @gililwise
    @gililwise 4 ปีที่แล้ว +51

    Jamani mbwa anakula vizuri kuliko binadamu.hongera kaka kwa kujali biashara yako.

    • @nasibumkorongwe3988
      @nasibumkorongwe3988 4 ปีที่แล้ว +1

      ongera sana,kweli anayesubiri kuajiriwa hajajitambua bado licha ya elimu yake. Good job excellence idea

    • @rastapeace9616
      @rastapeace9616 4 ปีที่แล้ว +1

      Good job

    • @salimahmed6005
      @salimahmed6005 4 ปีที่แล้ว

      @gilli mwanaume anapewa kongole...

    • @gililwise
      @gililwise 4 ปีที่แล้ว

      @@salimahmed6005 amina

    • @manwoka4078
      @manwoka4078 4 ปีที่แล้ว

      Kwani huko nyumbani kwenu mnakula nini?

  • @shekhalban8168
    @shekhalban8168 3 ปีที่แล้ว +3

    ukweli tuseme kwa sisi waislamu tumekatazwa kuuza au kununua mbwa allah atuongoe na atuepushie kuingia ktk biashara hio

  • @hawaramadhani4435
    @hawaramadhani4435 4 ปีที่แล้ว +1

    Tunashukuru kwa maelezo yako mazuri sana sasa jiandae mwezi wa 3 ujilete mwenyewe TRA kwa makadirio ya biashara yako sasa uache kuja sheria itafuata mkondo wake ...asante sana kwa uhujumu uchumi sio ombi amri ripoti babaangu .

    • @leonellykweka7165
      @leonellykweka7165 4 ปีที่แล้ว +1

      NILIWAZA UNAPOJITANGAZA HIVI HUONI TRA WANAKUANGALIA

    • @hawaramadhani4435
      @hawaramadhani4435 4 ปีที่แล้ว

      Aje na mashine au kitabu cha risiti za mauzo

  • @mahadaziz5793
    @mahadaziz5793 4 ปีที่แล้ว +21

    Serekali tumekuskia na kuanzia sasa wafugaji mbwa wote kusajiliwa.

  • @kalimojanswila407
    @kalimojanswila407 3 ปีที่แล้ว

    Hongela sana kwa kazi swali kwanini mbwa wamekatwa mikia

  • @meddymd255
    @meddymd255 4 ปีที่แล้ว +19

    Nimependa Sana, Kikubwa kupambana, Ila usije kuiga ukahisi utatoboa haraka ndugu yangu, Kikubwa fanya ambacho unaweza wewe kiwe mfano kwake na kwawengine.

    • @siostinijohn3226
      @siostinijohn3226 3 ปีที่แล้ว +1

      Broo dah , Asante Sana mungu ,nanikweli hapa kazi tu

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 4 ปีที่แล้ว +3

    Mtangazaji jitahidi kufanya mahojiano katika njia ambayo ni kama na wewe unataka kujua yaan zungumza(make conversations) sio kuuliza swali moja moja hivyo unamfanya anayehojiwa nae akae mkao wa kujibu maswali na si kuelezea pia hapo kwenye aina za mbwa ungeenda akuoneshe kila aina ili wasiojua wajue..Ni mawazo tu.

  • @naimaalhagreya7119
    @naimaalhagreya7119 3 ปีที่แล้ว

    Pongezi sana bro...mungu akubariki kwa upambanaji wako...mungu akufungulie zaidi ya hayo...

  • @anoelinamwilili2094
    @anoelinamwilili2094 3 ปีที่แล้ว

    Good ideal big dro

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 4 ปีที่แล้ว +1

    Alianza kutafuta mapema ndo kama kaka zangu wameanza kujuwa maisha mapema Wana akil shule wenyew Lakin wameanza kujishugulisha na biashara hila nimesema wasiache shule kwasababu Wana akil wasome Kwanza tutawasaidia Kwa kipind hichi

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 4 ปีที่แล้ว +44

    Heri ii kuliko wizi.congrats boo

    • @niwemugenimediatrice5640
      @niwemugenimediatrice5640 4 ปีที่แล้ว

      Nazi ngumu mbona unafikiri kazi ndogo.Chakula

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 4 ปีที่แล้ว +2

      Unaeza ukalinganisha kaz ii Na wizi?

    • @georgeigogo9259
      @georgeigogo9259 4 ปีที่แล้ว +1

      Nimekushangaa sana kwa kufananisha kazi hii na wizi

    • @MrJevelson
      @MrJevelson 4 ปีที่แล้ว

      Pia bora hii kuliko kuvuta

    • @nimrodsigulu2053
      @nimrodsigulu2053 4 ปีที่แล้ว

      We ndio mjinga kweli ..sasa hii kazi na wizi unaifananishaje?

  • @boscocharlesmkandawire4895
    @boscocharlesmkandawire4895 4 ปีที่แล้ว +8

    Huyu jamaa ni noma Boerboels anakula sio mchezo kweli huyu jamaa ni jembe😂😂Wangu nipo naye mmoja tu natokwa na jasho 😂😂

    • @teychriss3248
      @teychriss3248 4 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @HASASON
      @HASASON 4 ปีที่แล้ว

      Hivi we jamaa ndio nikuona umevimba kwenye harrier flani hivi white?

  • @mariapetro8825
    @mariapetro8825 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kaka hapa kazi tu

  • @abubakarsimon7456
    @abubakarsimon7456 4 ปีที่แล้ว +7

    Mtangazaji upo vizuri sana kaka

  • @zawadmwinyi1272
    @zawadmwinyi1272 3 ปีที่แล้ว

    Dah Yan uyo Kaka Yuko vizur kwel maana tunao majilan zetu wanafunga mbwa lakin wanakula mifupa na vichwa vya dagaa mpaka sauti zao azibweki vizuri jaman tuangalige na vitu vya kufuga Kama atuna uwezo tusiige kwa wenzetu

  • @melangongo2829
    @melangongo2829 4 ปีที่แล้ว +1

    Uyu kijana hana akili sana courage👏👏👏👍

  • @hanceysamuel5475
    @hanceysamuel5475 4 ปีที่แล้ว +6

    Inahamasisha kwa kila mweny ndoto za mafanikio!! 🙏🙏🙏

    • @neemamayasek3855
      @neemamayasek3855 3 ปีที่แล้ว

      Naomba namba mm nataka uxhauri nifuge

  • @mariacosmas5061
    @mariacosmas5061 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Yuko vzr mbwa anakula wali nyama
    Hongera Sana kwa Kaz nzur

  • @zuberihussein4375
    @zuberihussein4375 4 ปีที่แล้ว +9

    Mafanikio yana siri kubwa ,, unaweza fikiria haraka kuwa Mbwa ndo zimemtoa lakini anasita kueleza,,but all in all Good plan,Creativity and innovation,,,,,NB:Don take things for Granted

    • @rasvegas8991
      @rasvegas8991 4 ปีที่แล้ว +3

      Peleka mawazo mabovuu kale unaitwa na uncle

    • @officer1208
      @officer1208 4 ปีที่แล้ว +1

      Bora wewe umewaza vyema,watu wanadanganywa na yale wanayoyaona au kusikia. Nyuma ya mafanikio makubwa kuna siri kubwa mnooo.

    • @zuberihussein4375
      @zuberihussein4375 4 ปีที่แล้ว

      @@officer1208 vizuri Mwamba,, kuenda south na kumnunua Mbwa kwa bei ile sio mchezo bdo ajasema target yake ni kuwauzia akina nani na wapi kuna demand but kaongea vzri uend ukajifunze kwake

    • @bakarimwashiuya6244
      @bakarimwashiuya6244 4 ปีที่แล้ว

      Nimekukubal Sanaa. Huo ndio ukweli. Mafanikio hayasemwi UKWELI.

    • @zuberihussein4375
      @zuberihussein4375 4 ปีที่แล้ว +1

      @@bakarimwashiuya6244 umeona eeh,, watu washaanza kuwakejeli Magraduate kuwaona kma wao wnategemea kuajiliwa tu,,

  • @henrymsoka515
    @henrymsoka515 4 ปีที่แล้ว +4

    Hawa sasa ndo ma motivational speaker sio wale wengine waleee!! Big up broh, una inspire watu kufanya kwa moyo na kufikiri zaidi

  • @sarongajulius2718
    @sarongajulius2718 ปีที่แล้ว

    na swali kwa mr.Ndoto ....ni vyakula gani unapaswa kumpa mbwa ukiwa kama kijana anayetaka kuanzisha biashara ya mbwa

  • @bablojakitalambo504
    @bablojakitalambo504 3 ปีที่แล้ว +1

    Aya maish ni hatali sana respect mzee nondo

  • @adammjomba7112
    @adammjomba7112 3 ปีที่แล้ว +2

    Juhudi ndio msingi wa mafanikio na sio fina wala tunguli. ( BY ADAM MJOMBA)

  • @ramadhanimsowello9021
    @ramadhanimsowello9021 4 ปีที่แล้ว +5

    Kama umesukia mtangazaji aliposikia elfu stini kastuka gonga like

  • @seciliarenatus8657
    @seciliarenatus8657 4 ปีที่แล้ว +2

    Kaloleni primary school ♥️♥️

  • @aminielyohana3052
    @aminielyohana3052 4 ปีที่แล้ว +7

    Kaka nimejifunza jambo kwako nashuru sana mungu akutangulie

    • @swedinjaidi4658
      @swedinjaidi4658 4 ปีที่แล้ว

      Lakini umeelewa kuwa mbwa wa kwanza kamto wap?

  • @leonarddeus5897
    @leonarddeus5897 4 ปีที่แล้ว +14

    Mh kwenye mke hapo bro umeteleza tengua kauli.

  • @safhe-mpungi6075
    @safhe-mpungi6075 3 ปีที่แล้ว

    Kuiga sio kitu kizuri. Hongera sana bro kazi nzuri sana.

  • @thomasdavid3378
    @thomasdavid3378 4 ปีที่แล้ว +15

    Plan ni mtaji mungu akupiganie

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 4 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana bro 🤩

  • @rameckatanasi6888
    @rameckatanasi6888 3 ปีที่แล้ว

    Mm napenda sana kujihusisha na mambo ya ufungaji

  • @marymwacha995
    @marymwacha995 3 ปีที่แล้ว

    Mmh! Amazing!

  • @joelkitoka5297
    @joelkitoka5297 3 ปีที่แล้ว

    Thnks brw

  • @edwinsirchidunda5658
    @edwinsirchidunda5658 4 ปีที่แล้ว +12

    Big up brother umenishangaza

  • @labanijr5195
    @labanijr5195 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwanza jamaa siyo mchoyo wa idea anakwambia watutembelee wajifunze duh 🙇🙇🙇🙇👏👏👏

  • @nyandapatrick1239
    @nyandapatrick1239 4 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa fulsa yako ya ufugaji ingawa inaonekana ni gharama sana, nahisi inahitaji utaalam sana na ingefaa fulsa hii iwahusu vijana wanaotokea sua

  • @gilbertmanimo1125
    @gilbertmanimo1125 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa interview Sana TRA mkusanye Kodi Sasa

  • @mwajumachao9151
    @mwajumachao9151 4 ปีที่แล้ว +6

    Hatulii kama vile mkia wa mbwa🤣🤣 hongera sana

  • @johnsekimweli4080
    @johnsekimweli4080 3 ปีที่แล้ว +1

    mtangazaji hana maswali ya msingi kabisa,yani wengi wetu hatujui hao mbwa kazi yao kubwa ni nn kama mtu akiamua kumnunua?,wanauwezo gani mwengine zaidi ya ulinzi?,je wana mafunzo yyte wanapatiwa mbali na huduma za kawaida? hayo ni baadhi ya maswali tu.kuna vingi tunahitaji kujua kabla ya mafanikio,UNA VINGI VYA KUMUOMBA MUNGU KABLA HUJAMUOMBA UTAJIRI.

  • @williammaganga2870
    @williammaganga2870 4 ปีที่แล้ว +4

    Happy new year

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว +12

    Hongera sana kaka Mungu abariki kazi ya mikono yako

  • @violethmtalemwa5190
    @violethmtalemwa5190 3 ปีที่แล้ว

    kaka nimekukubali sana sana umechagua biashara ya pekee big up

  • @cenzohmovies2057
    @cenzohmovies2057 4 ปีที่แล้ว +3

    💥💥💥💥nakubal sana

  • @ricky0441
    @ricky0441 3 ปีที่แล้ว

    Hongera.

  • @devishonest8028
    @devishonest8028 4 ปีที่แล้ว

    Namjua vizr kabs hyu mshikj wang😅😅😅hongr bhna oscar

  • @gilntihe4445
    @gilntihe4445 3 ปีที่แล้ว

    Congratulations,

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 4 ปีที่แล้ว +1

    Maisha yangu yote nanife maskini lkn mbwa hapana 😂😂😂😂😂najsi hii nauchafu

    • @hbaba.
      @hbaba. 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwa muislaam niharamu.kufuga mbwa

  • @annadaniel5047
    @annadaniel5047 3 ปีที่แล้ว

    DAWA YA NATURA CEUTICALS kiboko ya.. nguvu za kiume ..... . Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo. 1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia 2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo 3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk 4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka 5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha 6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility) 7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika 8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU) 9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume 🔟 Inarutubisha mayai NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA Epuka aibu hii tumia" NATURA CEUTICALS ndio kiboko yao Karibuni sana ofisini kwetu Wasiliana nasi 0756732347
    shuhuda zinazidi kuongezeka kila kukicha

  • @saaddamjuma5384
    @saaddamjuma5384 4 ปีที่แล้ว +1

    Ulimaji wa mbwa😁

  • @soaregttz65
    @soaregttz65 4 ปีที่แล้ว +11

    msipende sana kuuliza shule ya mtu,elimu ni mafanikio ya mtu aliyonayo

  • @ezramhegele9460
    @ezramhegele9460 3 ปีที่แล้ว

    Mbona anachezacheza kama 🤭🤭

  • @francisnyakunga1558
    @francisnyakunga1558 3 ปีที่แล้ว

    Dar good cn bro

  • @josemoshazungu8279
    @josemoshazungu8279 3 ปีที่แล้ว

    Gt nakubali kk

  • @shafiihajjy435
    @shafiihajjy435 4 ปีที่แล้ว +7

    tra hawachelewi kukuletea mashine ya efd kaka hahahaha

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 3 ปีที่แล้ว

    Mungu amujarie

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 2 ปีที่แล้ว

    Mambo mengine ni uongo mtupu, Hivi mbwa anasaidia nini hadi umnunue milion saba? Kama ni ulinzi mungu yupo! Kama we sio mtu wa mungu, uchawi upo unaweza kutumia tena kwa garama ndogo, kwa mganga ukienda ni laki nne tu anakuzindikia mji hakuna mchawi na mwizi hatoboi! Sasa mbwa sangapi?

  • @albertshao2584
    @albertshao2584 4 ปีที่แล้ว

    Huyo ni zaidi ya mpambanaji kweli hapa kazi tu

  • @kingnicky2568
    @kingnicky2568 4 ปีที่แล้ว +32

    Hio gar la ku deliver mbwa kmmke😂

  • @violetmmbando1510
    @violetmmbando1510 4 ปีที่แล้ว +1

    How can I get the contact to this Man. Mim ni mfungaji mpya. Jina kamili

  • @alvinahavitus8538
    @alvinahavitus8538 4 ปีที่แล้ว +3

    Brooooo Nondo uko vizuri!! Mbwa akikuzalia watoto kumi😄😄😄😄😄😄

  • @agreyaloyce432
    @agreyaloyce432 3 ปีที่แล้ว

    Number yakibabe sana simple and cool kumpata

  • @henryrwamugema841
    @henryrwamugema841 3 ปีที่แล้ว

    HONGERA SAANA, KWELI WEWE NI NONDO ...HONGERA

  • @lenatiusjonas4714
    @lenatiusjonas4714 3 ปีที่แล้ว

    daaah basi na wakina mwakarebela wafuge vyura pale jangwan wanafeli wapi

  • @pendowambui4378
    @pendowambui4378 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana nondo

  • @مارثاتنزانيا
    @مارثاتنزانيا 4 ปีที่แล้ว +4

    Ongera kaka

  • @danielmbarikiwa6692
    @danielmbarikiwa6692 3 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @joewamwai315
    @joewamwai315 4 ปีที่แล้ว +2

    Biashara ni siri,..mungu akubariki kaka...lol

  • @cornertoeuropeproductions3706
    @cornertoeuropeproductions3706 3 ปีที่แล้ว

    Do you have a young boerbull

  • @leahgithua6728
    @leahgithua6728 4 ปีที่แล้ว +1

    May GOD bless the work of your 🤲you have a very healthy dogs and puppies ooh like them their are soo beautiful with a very clean environmental

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 4 ปีที่แล้ว +3

    Uko juu mkuu

  • @stanleypaul1006
    @stanleypaul1006 ปีที่แล้ว

    naomba namba zenu natafuta mbwa

  • @sevenkefa2709
    @sevenkefa2709 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Kaka

  • @JB-eu7sb
    @JB-eu7sb 4 ปีที่แล้ว +8

    Mtangazaji be like after this interview i'm going to open my own dog shop.

    • @kpetres2872
      @kpetres2872 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bihamatvjunior4771
    @bihamatvjunior4771 4 ปีที่แล้ว

    Nondo unatisha kweli big up mkali

  • @emmamatemu8225
    @emmamatemu8225 4 ปีที่แล้ว +91

    Chochote unachofanya ukiweka juhudi utafanikiwa

  • @remeniurasa4866
    @remeniurasa4866 3 ปีที่แล้ว

    Great project

  • @bitricemsungu7961
    @bitricemsungu7961 3 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri

  • @Craftiummah123
    @Craftiummah123 4 ปีที่แล้ว +15

    I think all these dogs use for helping poice,Stay connected.

  • @habarinamichezo6427
    @habarinamichezo6427 4 ปีที่แล้ว +16

    Wivu utaniponza aliwezaje kutembea tembea nje za nchi kwa hy nyuma ya panzia bdo hatujui kijana usikulupuke kuona flani kafanya fanyia research kwnza.

  • @mathewlive77
    @mathewlive77 4 ปีที่แล้ว +41

    Amken amken amkeniiiiiii graduates wa mwaka jana wamesema bila milioni moja hawafanyi kazii. 😂😂😂

    • @WilbertMmary
      @WilbertMmary 4 ปีที่แล้ว +2

      Tuwaache kwanza mkuu, usiwashtue.

    • @animusstudio3302
      @animusstudio3302 4 ปีที่แล้ว +1

      Yeah...ukiconsider gharama iliyotumika kusoma halafu unataka unilipe laki tatu kwa mwezi....ASA c Bora nisingesoma chali yangu...meenda kupoteza kwa muda tyu

  • @benmagaya6610
    @benmagaya6610 4 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations 🎊

  • @teddynyange1316
    @teddynyange1316 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali kamkwa

  • @brightonadam7142
    @brightonadam7142 4 ปีที่แล้ว +13

    Bravo millionaire 🤗

  • @adammjomba7112
    @adammjomba7112 3 ปีที่แล้ว

    Bwana Godwin huja muulize kama mbwa hawa ni waurembo Au niwaulinzi ? Maana huku ulaya mbwa ni waurembo

  • @eddogeorge9670
    @eddogeorge9670 3 ปีที่แล้ว

    Respect for you Brother

  • @noeldamas1890
    @noeldamas1890 4 ปีที่แล้ว

    Hongeraa sanaaa

  • @ElephantEchoesEntertainment
    @ElephantEchoesEntertainment 4 ปีที่แล้ว

    Jamaaa kitambo sana aisee enzi ana duka la simu stand kuu pale arusha sijamwona mpk leo kumbe kawa millionaire

  • @sophiasophia4668
    @sophiasophia4668 3 ปีที่แล้ว

    za Kenya ama za Tanzania