Jmn mbona sie tusojua English tunakosa mazur uwiiii natamn kupata nafas huko na mie nijitafutoe maisha walah jmn naombe njia passport ninayo ila sasa English ndio mgongano otakuwaje na mm natak kujuja?
Powerful & Inspiring! Kila kitu kinawezekan, ni kujiamini, kuthubutu na kupambana. Hongera sana na Mungu azidi kukuongoza. The fact that umekumbuka wazazi, utaendelea kubarikiwa sana!
Ukiwaheshimu wazazi unakuwa na siku nyingi za kuishi nami ni imani yangu ya kwamba hakika utajenga hiyo nyumba ya ndoto yako kwani tayari umejipatia siku za kukufanya utimize ndoto pale ulipoamua kuwapa wazazi wako ile faida ya awali. Sasa hv wanajivunia zile gharama walizotumia miaka yote jinsi zimerudi kwa pamoja kama vile mvua za ukame mrefu zikinyesha kwa mafuriko. Ahsante Mungu kwa ajili ya huyu kijana, nakuomba uendelee kumtunza na kumpa kibali na maarifa zaidi.
Hongera sana dogo, Mwenyezi Mungu akujaalie umri mrefu ili uweze kusaidia jamii ya kwetu n ulimwenguni, Mungu akulinde na hasada za sina yoyote, endeleakuwa mzalendo wa nyumbani Tanzania
Bro Umeongea maneno machache Yenye Tija na Yenye kufundisha . Kuna watu wanataman kufanya unachoFanya hivyo usikate tamaa utawaangusha keep on fighting in case ya William its Good he is A friend with benefit keep on Man
Vijana wa Tz, haya ndio Mambo ya kuiga., Lkn sio lazima ni maamuzi binafsi. Wasanii wanadanganya sana mkiendelea kuwaiga hamna mtakacho pata. Mungu ambariki kila kijana mwene mlengo na matumaini ya kujituma Kwa kadri ya uwezo wake.
Hongera ziende kwake.... Tuendelee kuona that tatizo sio raia wa Tanzania but ni system....Police watapata taarifa within 5seconds ila mda ambao wao watatumia kufika eneo la tukio ndo hatari....
Hongera sana kijana kuwa makini usioneshe kipaji chako nje ya nchi hususan Afrika ya kusini wazungu wanawivu sana hawataki kuona waafrika wanakipaji kama Iran wszungu wanawauwa wa Iran wataalam wa nyuklia
Kijana MUNGU akubariki sanaa...HAYA SASA KILA MTANZANIA AKIENDELEA HUWA WANAMWAMBIA FREEMOSORY ..kwa kweli tuache ujinga huu WATANZANIA WANAUWEZO MKUBWA SAN NA KAMA WANAPATA FURSA WANAKUWA MABILIONEAA..nchi yetu watu wetu tunaakili sana sana na nchi yetu ni tajili sana ila TUMEJIKANDAMIZA WENYEWE.MUNGU IBALIKI TANZANIA NA WATU WOTE
Mafanikio siku zote ni kujitoa na kujua wewe unataka kuwa nani Naamini Dogo katambua anataka kuwa nani ndio maana leo kapiga hatua sna tena sna..Hakuangalia familia aliyotoka bali aliangalia Ndoto yake ni kuwa nani Big Up sna Congratulations sna 🤝🤝🤝🤝🙏
Millard Ayo uko Vizuri aiseee! Alafu huyu mtangazaji ni namba 1 because he is creative!! Kuna na yule jamaa anayetumiaga gharama kibao kwenda China... Yuko vizuri Sana aiseee, ni mpole na anauliza maswali ya mantiki kinomanoma!
Yaani mie ndio maana napenda hii Ayo jamani. Mtangazaji anampa muda mtu anaeleza kila jambo hamkatishi. Na wanatuletea vitu vya maana. Hongera sana Laizer nitatafuta hiyo kidude
Kwamazuri umefanya sikatai mdogowangu. Ila kale kadenikakangu nilipe bwana siunajua nilikufanyia kazi Erki. Japo uliamua kulipakidogo kidogo fanya mpango tumalizeee dogo langu au unataka zilekelele za mlinzi wa Nnkya ulipokuwa kwa zile Apatiment.
Yaani Mungu akikubariki anakupa mpaka mvuto, yaani dogo anavutia hata kumrudia rudia kumsikiliza kwani kamebarikiwa hata sauti na uwezo wa kujielezea mpaka mtangazaji ameambulia kuuliza maswali machache tu huku akibaki kuvutiwa na jinsi anavyojielezea. Yaani hata kama kamenyoa kiduku lakini hakaashirii kuwa kahuni bali katoto kenye busara. Mungu aendeleze baraka juu yake kwa Jina la Yesu Kristo 💗💗💗💗💗
MUNGU azidi kukuangazia mwanga katika Njia zako zote! Siri ya ushindi kimaisha ni kujishusha kadiri MUNGU alikokutoa na jinsi alivyokuinua bila kujali umefika umbali wa kiasi gani jambo ambalo ndilo ninaloliona katika maisha yako! Ubarikiwe Sana na uzidi kujitoa Kwa Taifa lako ambalo linaweza kung'ara duniani kupitia maisha yako! Heri ya tumbo lililokuzaa
Hongera sana mtoto wa mwanamke mwenzangu namuomba Mungu namimi mtoto wangu awe mfano kama wewe
Hongera mwanangu kwa kuwakumbuka wazazi, stay blessed son
Hi
Hongera brother
Habari ndugu zangu, ninawapenda sana naomba msapoti channel yangu ya neno Elimu TV kwa kubonueza alama nyekundu kama Utaipenda, ninankupenda sana❤
Mtangazaji uko vizuri unampatia kijana muda wa kutosha na kazi yako iko makini, hongera kijana Tanzania tunajivunia kuwa na wewe.
Shukrani sana ndugu yangu
Jmn mbona sie tusojua English tunakosa mazur uwiiii natamn kupata nafas huko na mie nijitafutoe maisha walah jmn naombe njia passport ninayo ila sasa English ndio mgongano otakuwaje na mm natak kujuja?
@@munaahmed8499 unavyomuona huyo ameenda kwa vigezo vya English?
@@onesmojustice2348 hilo si jibu kwa hiyo kam huwez nijibu vzr ni kher ujae mimya maan ukioita sitokufata nikakuuliza ok pls
@@munaahmed8499 sio ugomvi😀
Hongera Sana kijana kweli wazazi umewapa heshima🙏🙏 na baraka utazidi kuzivuna ktk maisha yako yote.
Hongera sana kijana hiyo nineema uliyonayo,Allah akuepushe na macho ya husda ,umefanya ihsani nzur kwa wazazi wako hongera sana kijana.
Safi sana bro umenifurahisha sana kwa kuwakumbuka wazazi kwanza mungu akuongoze 🇹🇿🙏🏼🇹🇿❤️🙏🏼🙏🏼
Hongera sana kijana. Mungu akujalie umri mrefu uweze kuwagusa vijana wengi na kuipaisha bendera ya Tanzania
Brilliant, M/Mungu aendelee kumsimamia katika hatua zake; Tunajivunia yeye 🇹🇿
Nmependa Sana huyu kijana alivyowafanyia wazazi wake, m. Mungu atujaalie kizazi Chenye manufaaa kwetu na Jamii kwa ujumla
Masai ni bright hatariii. @respect mdogo wangu. Mtaani Kuna PHD azijagundua hata kirahinishi
Mungu alikupa ubongo mdogo wangu hongera sana
Powerful & Inspiring! Kila kitu kinawezekan, ni kujiamini, kuthubutu na kupambana. Hongera sana na Mungu azidi kukuongoza. The fact that umekumbuka wazazi, utaendelea kubarikiwa sana!
Ukiwaheshimu wazazi unakuwa na siku nyingi za kuishi nami ni imani yangu ya kwamba hakika utajenga hiyo nyumba ya ndoto yako kwani tayari umejipatia siku za kukufanya utimize ndoto pale ulipoamua kuwapa wazazi wako ile faida ya awali. Sasa hv wanajivunia zile gharama walizotumia miaka yote jinsi zimerudi kwa pamoja kama vile mvua za ukame mrefu zikinyesha kwa mafuriko. Ahsante Mungu kwa ajili ya huyu kijana, nakuomba uendelee kumtunza na kumpa kibali na maarifa zaidi.
Hongera sana dogo, Mwenyezi Mungu akujaalie umri mrefu ili uweze kusaidia jamii ya kwetu n ulimwenguni, Mungu akulinde na hasada za sina yoyote, endeleakuwa mzalendo wa nyumbani Tanzania
Bro Umeongea maneno machache Yenye Tija na Yenye kufundisha . Kuna watu wanataman kufanya unachoFanya hivyo usikate tamaa utawaangusha keep on fighting in case ya William its Good he is A friend with benefit keep on Man
Thanks kaka
Angalia sana hayo makampuni makubwa yasikupe mikataba mibovu ukapoteza haki kwenye vitu unavyovitengeneza ama unavyovigunduwa.
Vijana wa Tz, haya ndio Mambo ya kuiga., Lkn sio lazima ni maamuzi binafsi. Wasanii wanadanganya sana mkiendelea kuwaiga hamna mtakacho pata.
Mungu ambariki kila kijana mwene mlengo na matumaini ya kujituma Kwa kadri ya uwezo wake.
Hongera ziende kwake....
Tuendelee kuona that tatizo sio raia wa Tanzania but ni system....Police watapata taarifa within 5seconds ila mda ambao wao watatumia kufika eneo la tukio ndo hatari....
So excited hearing all dat mamen from Smith compas USA river...... Fighting poverty through education!!!!!!
Mzee umetisha mungu akupe maisha marefu kaka wazazi ndokitu chakwanza kabisa na umefanikiwa Hilo pia 🙏🙏🙏
umetisha safi sana Mungu awe nawe daima
Big up sana asee nimependa kuona kwamba hata sisi watanzania tunaweza kufanya vitu vikubwa san
Hongera sana ,20 years umefanya makubwa hivyo ,Allah aendelee kukupa maarifa inshaallah
Naomba namba yako tafadhali
Utazidi kufanikiwa kwa sababu hukuwasahau wazazi. Mungu akubariki Genius
Amen nawapenda sana
Kabisa kabisa. Yaani kawafikiria wao kwanza.
@@ericksimon8323 niaje faza
Umefanya mazur kwa wazazi Mungu atakulipa safi sana kijana angekuwa mwingine yeye na maden viwanja starehe lkn kwako Mungu akupe haja ya moyo wako.
Hongera sana kijana kuwa makini usioneshe kipaji chako nje ya nchi hususan Afrika ya kusini wazungu wanawivu sana hawataki kuona waafrika wanakipaji kama Iran wszungu wanawauwa wa Iran wataalam wa nyuklia
Kijana MUNGU akubariki sanaa...HAYA SASA KILA MTANZANIA AKIENDELEA HUWA WANAMWAMBIA FREEMOSORY ..kwa kweli tuache ujinga huu WATANZANIA WANAUWEZO MKUBWA SAN NA KAMA WANAPATA FURSA WANAKUWA MABILIONEAA..nchi yetu watu wetu tunaakili sana sana na nchi yetu ni tajili sana ila TUMEJIKANDAMIZA WENYEWE.MUNGU IBALIKI TANZANIA NA WATU WOTE
Hongera sana na hongera pia kwa St.. Jude schools
Wangekua watu wengine wangekua wanastarehe na wanawake kwa wingi tuu, HONGERA SANA kijana
Ndo mawazo ya wanaume wakipata pesa
Wow nice sana laizer fanya kazi nchini kwako mwya usiibiwe na wajanja ika nice sana big up ginious wetu wa kimasae
in Life, a Mentor is very important variable
Ongera sana, Mungu akutangulie
Wow, go boy go, the sky is the limit. Hongera kwa kuwakumbuka wazazi.
Mashallah.M/MUNGU akuzidishie kila jema kwa wakati katika maisha yako
Hongera sana mwenyezi mungu azidi kukuneemesha na kukuongezea ufahamu wa kujua mambo makubwa zaidi
Ubarikiwe sana hiyo ni neema kubwa kwa wazazi amini.
Wema utakufikisha mbali. Mungu akubariki
Ongera sana,m.mungu akujaalie na kazi yko.m.mungu akuzidishie zaidi ya hapo.mungu awajalie wazazi wako.kukulea vizuri
Huyu mtangazaj noma sana anaibua habar Kali sana Milady nyie Ni namba moja dunian
Ahaa kwa siku ni nyingi nilijuwa kwa mwezi
Kaizer Jina La bilionea
Ndio wana habar mzur
Hongera sana ....Mungu akupe haja ya moyo wako
Mungu wewe ni Mkuu na sifa zako ni za juu....Hongera sana mdogo angu kwa hekima Mungu akuongezee zaidi na hakika utabarikiwa.
Mafanikio siku zote ni kujitoa na kujua wewe unataka kuwa nani Naamini Dogo katambua anataka kuwa nani ndio maana leo kapiga hatua sna tena sna..Hakuangalia familia aliyotoka bali aliangalia Ndoto yake ni kuwa nani Big Up sna
Congratulations sna 🤝🤝🤝🤝🙏
Hongera sana Simon, Mungu ni Mwema. I'm happy for all that.
Hongera sana mdogoangu.....daaah.....mungu akulinde sana...jmn.....!
Millard Ayo uko Vizuri aiseee! Alafu huyu mtangazaji ni namba 1 because he is creative!! Kuna na yule jamaa anayetumiaga gharama kibao kwenda China... Yuko vizuri Sana aiseee, ni mpole na anauliza maswali ya mantiki kinomanoma!
May God be with yuh on all step dat yuh a stepping.
Hongera sanaa kijanaa 🔥🔥
Hongera sana mwanafunzi wangu! Moyo wangu umelipuka kwa shangwe.
Hongera Sana dogo na uckate tamaa kamwe
Kazi nzuri, kipawa toka kwa Mungu
Yaani mie ndio maana napenda hii Ayo jamani. Mtangazaji anampa muda mtu anaeleza kila jambo hamkatishi. Na wanatuletea vitu vya maana. Hongera sana Laizer nitatafuta hiyo kidude
Kichwa sana huyu mtu😙😙😙😍
Habari za siku munira
Well done to the young man, M/Mungu azidi kukuongoza.
Majina ya akina Laizer....yamebalikiwa.....anyway bigup hongera sana
Yaani umenifurahisha uliposema umejenga Kwa Mil 40...wangekua jamaa zetu wangesema Mil 700...keep it up..!
kweli
😄😄😄😄😄😄😄 wale bongo mavi
Yani true
@@sophiekivuyo6028 Ndio Hawo Hawo Na Wakiongea Lazima Waingize Kizungu Matope.
Mie nilijengewa kajumba kadogo ka vyumba viwili kwa zaidi ya 70m. Hakika a mungu amujalie zaidi
Maa Shaa Allah
Hongera sana Kijana
Mungu Akubariki
Ubarikiwe sana mungu ni mwema
Hongera sana, umefanya jambo zuri sana
Kuwa makini huko South Africa, siipendi Sana hio nchi. Wana maugomvi sn.
Hongera sana kijana kwa kazi nzuri. Kaza buti.
Daaah hongera kwakutumia ujuzi wako kwa manufaa ya wengine!! Sio kungojea kuajiriwa ila kujiongeza.
Mungu akubarik
mungu akubariki na akujaalie ufanikiwe ndoto zako
Mwenyeenzi mungu akujaalie nawe uwe bilionea kama wenzako akina Laizer
Ila umefanàna na wachina, .....hongera cn ufike mbali zaidi
Mashallah mungu akuwezeshe zaidi
Mmmh, huko ni wap tena uelekeako,,,??
Pamoja.African boy.Africa will reach where we want to be."Pongezi sana Young African Scientist "
Nakuona mtangazaji umemsalut Dogo Hongera Young boy
Hongera San mungu akulinde
Usimsahau Mungu aliyekuwezesha hayo maono! Uzidi kubarikiwa. Wasaidie vijana wenzio wanaoshinda vijiweni kulalamika na kumlaumu kila mtu!
Be blessed bro, Tanzania is so proud of you boy 🙌🏽🙏🏽💪🏽
Masha Allah ❤❤❤ kazi nzuri sana 💪
Kwamazuri umefanya sikatai mdogowangu. Ila kale kadenikakangu nilipe bwana siunajua nilikufanyia kazi Erki. Japo uliamua kulipakidogo kidogo fanya mpango tumalizeee dogo langu au unataka zilekelele za mlinzi wa Nnkya ulipokuwa kwa zile Apatiment.
Hongera sana,👏 mwenyezi Mungu azidi kukuzidishia.🙏 Nimependa ulichokifanya.
Safi Sana Kijana Mwenzetu kwa Akili yako ya kuwaza Mbali
safi sana kwa ufupi waafrica tupo vizuri sema tuu wazungu wanatubania itabidi tupambane tuu na level zetu
Mashallah ALLAH barik
Mungu akuzidishie ufahamu ili uweze kuwasaidia na wengine.kwa kweli Mungu akutete.
Mashaallah hongera woow
Hongera sn bro, that’s is talent,
Hongera Sana mwanangu mungu akujalie zaidi na zaidi na ajalie pia wenetu insha'Allah
Hongera sana lalashe wamasai oyeeee
hongera sana kina Mungu ueneze utaalamu Afrika
Congratulations to him keep doing good job Mungu akubariki sana 🙏
Ubarikiwe sana Mr simon
God bless you👌
God bless u bro
mashallah Mungu akuzishie maarifa zaidi
Hongera sana qaqa ang....may the lord be with you always na uendeleee na moyo huooo💪✊
Mungu alibariki tumbo la mama aliyekuzaa. Hongera kijana
Yan kuna wanawake wanabarikiwa watt jmn!!!! Yan mpaka machoz ya ananitoka..
Yaani Mungu akikubariki anakupa mpaka mvuto, yaani dogo anavutia hata kumrudia rudia kumsikiliza kwani kamebarikiwa hata sauti na uwezo wa kujielezea mpaka mtangazaji ameambulia kuuliza maswali machache tu huku akibaki kuvutiwa na jinsi anavyojielezea. Yaani hata kama kamenyoa kiduku lakini hakaashirii kuwa kahuni bali katoto kenye busara. Mungu aendeleze baraka juu yake kwa Jina la Yesu Kristo 💗💗💗💗💗
Mungu akubariki
Mungu akutangulie kijana
Mngu am baliki baba yake alie mzalisha mama
MUNGU azidi kukuangazia mwanga katika Njia zako zote! Siri ya ushindi kimaisha ni kujishusha kadiri MUNGU alikokutoa na jinsi alivyokuinua bila kujali umefika umbali wa kiasi gani jambo ambalo ndilo ninaloliona katika maisha yako!
Ubarikiwe Sana na uzidi kujitoa Kwa Taifa lako ambalo linaweza kung'ara duniani kupitia maisha yako!
Heri ya tumbo lililokuzaa
WOOUW BLESS UP YOUNG PULL UP GOD BLESS AND GIVE YOU LONG LIFE AND GOOD HEALTH 👊🏽
Hongera Sana mdogo m mungu azidi kukupa afya njema
Mashaaallah watu wa hali ya chini huwa wana akili sana mwenyezi mungu anawapa akili
Safi sana,thats very inspiring......
Mashallah nimependa saana
Waheshimu baba na mama upate miaka mingi na.heri duniani mengine utaongezewa
Hongera sana kuwajali wazazi na kuwajengea..
Mungu azidi kukubariki na kukuinua
MashaAllah, big up bro!!! Hongera sana we need young people like u to change our society.,am so excited to see that keeo it up. May Allah bless u
Hongera man
Chalii Yuko vizuri na maungua aendelee Kum bariki
Salute sanaaa broo
Sana nakubaliiii appreciate for what you do congratulation Sana
Good news. Brooo
Wale wanapenda kusaport musc wa mr.jay tz basi bofyaa kushoto kwko na kusubucribe