EXCLUSIVE JAMAA AJENGA LODGE ZA MBWA MILL 80 "MBWA MILL 150, VYUMBA 10,WANAKULA KUKU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 148

  • @alextercisio
    @alextercisio ปีที่แล้ว +8

    Mbwa ni biashara safii sana Ina pesa congratulations bro ...good investment

  • @gracetenga8989
    @gracetenga8989 ปีที่แล้ว +21

    The best i have ever seen done in Tanzania congratulations brother

  • @saurasoso1543
    @saurasoso1543 ปีที่แล้ว +10

    Wachaga salute kwenu.. apa ndo mmetuziilisha ni watafutaji sana

  • @desderylasway9810
    @desderylasway9810 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mm napenda mbwa ni ela tu

  • @lastname.mulimuli
    @lastname.mulimuli ปีที่แล้ว +4

    Heheh biashara ya mbwa kama unaifuatilia ina pesaaa kinomaaaaaaaaa

  • @titojb4703
    @titojb4703 หลายเดือนก่อน

    Hongera!
    Nawapenda Mbwa🎉

  • @castoagust7073
    @castoagust7073 ปีที่แล้ว +3

    ''Hizi nyumba ni mzuri kuliko za watu wanazokaa mtaani"😆😆🙌🙌🙌 pesa mwanaharamu

  • @iddmlenga9852
    @iddmlenga9852 ปีที่แล้ว +6

    Bongo sis tukion mbwa amekatiza ..n utaskia lete jiwe jaaa..niuweeee🤣🤣🤣

  • @arrfamush3285
    @arrfamush3285 ปีที่แล้ว +3

    Ni kweli hayo ni mapenzi 2

  • @bozbun3994
    @bozbun3994 ปีที่แล้ว +1

    Wengine wauza madawa tu...

  • @elidiustudoy2640
    @elidiustudoy2640 ปีที่แล้ว +2

    Hii nyumba ijegwa na mbwa😂😂😂

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 ปีที่แล้ว +6

    Big up Sana nice job 👏👏👏👏

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 ปีที่แล้ว +2

    Unalipa tra ?

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 ปีที่แล้ว +7

    Hii biashara nzuri sana ...watu maskini kimawazo wanahisi anachezea pesa

    • @jaymandy8136
      @jaymandy8136 ปีที่แล้ว +1

      😂😆😆😆😆 kuanzisha hio unatakiwa kua na pesa ndefu

    • @mmewaswida
      @mmewaswida ปีที่แล้ว

      Kupandisha tu milioni na nusu?? Duh kazi kweli kweli

    • @mmewaswida
      @mmewaswida ปีที่แล้ว

      Sio lazima. Unaanza kidogo u ajikusanya

  • @chapaboyclassic3907
    @chapaboyclassic3907 ปีที่แล้ว +11

    Mm napambana kaka nakukubali, ila mm mbwa apana 🤣🤣🤣

  • @gracemrema9815
    @gracemrema9815 ปีที่แล้ว +7

    Hapo kwa mke nmekuelewa "ukishakua na mapenzi nae hujali gharama

  • @shadrackkassale2968
    @shadrackkassale2968 ปีที่แล้ว +6

    Hizo nyumba zinamvito kuliko hom kwangu😥

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo kauli ni kweli ,

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 5 หลายเดือนก่อน

    Jamaa aliniuzia mbwa 3, 2 hawakuwa pure boerboel kama alivyoniambia.1 pure boerboel alikuwa na menjes akafa na alikuwa anajua kwa sababu ni kama vile alirudishwa na mteja. Ni vizuri akatambua kwamba tunatumia.gharama kununua hao mbwa, nilinunua kila mmoja 800,000, ni vizuri akawa mwaminifu.Watu wengi wanamlalamikia!!!

  • @othmantv2654
    @othmantv2654 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa anafananisha mke na mbwa😂😂😂

  • @nexto6357
    @nexto6357 ปีที่แล้ว +6

    Nimwona kwenye mazishi ya star🌟

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 ปีที่แล้ว

    Fridge zime jaa kuku eebama wee ao kuku unaho wapa mbwa ss tuna taka ata mmoja tulinge na ss tu tuye alufu adi majirani wa jute ww una wapa mbwa

  • @abdallaali10
    @abdallaali10 ปีที่แล้ว +2

    Mlevi uyoooo

  • @rosekuriyo7188
    @rosekuriyo7188 ปีที่แล้ว +4

    unaona maxiara ila bonge la furxa

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 ปีที่แล้ว +42

    Ukichezea maisha ukiwa kijana uzeeni lazma uwe mchawi utaturoga utatusumbua😂😂😂😂

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +4

    Naomba kazi

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 ปีที่แล้ว +2

    Wale mkisikia kilimo cha vanila kinatajirisha mnakimbia kulima aya anzen kufuga mbwa mbwa

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 ปีที่แล้ว +2

    Duuuu South Africa wanafika mpaka Tanzania Arusha project za Cape tonw

  • @hancemadhubuti2149
    @hancemadhubuti2149 ปีที่แล้ว +2

    Akili Huna umekod mbwa wa walinz utangaze biashara vzr..

  • @malopemaliyamungu5243
    @malopemaliyamungu5243 ปีที่แล้ว +4

    Import pitbull toka South kule wanawauwa sababu ya ukali.. utuuzie kwa Bei ndogo.

  • @anithajmmari5150
    @anithajmmari5150 ปีที่แล้ว +1

    Kwakusoma Comment nimegundua Watanzania wengi wamejaa wivu, kutokujiamini, mawazo hasi, wasioamini mapambano ya wengine, na wengi ni wavivu wakufikiria, kila kitu wanasikiliza ili wajibu na sio wa elewe,
    Watu wanaojielewa ni wa chache Sana na wenye makasiriko ni wengi mnoo😂

    • @Baday_8
      @Baday_8 ปีที่แล้ว

      📌

  • @jrsaid4270
    @jrsaid4270 ปีที่แล้ว +1

    Hao mbwa huku kwetu wanauzwa Afutatu nashangaa unasema mil150

    • @alloycemillinga1673
      @alloycemillinga1673 ปีที่แล้ว

      Wee unasemea Vijibwa sio mbwa😂

    • @jrsaid4270
      @jrsaid4270 ปีที่แล้ว +1

      @@alloycemillinga1673 vijibwa ni nn na wewe

    • @alloycemillinga1673
      @alloycemillinga1673 ปีที่แล้ว

      Hahah hakuna mbwa anauza Afutatu budah

  • @ayoubmtumishi
    @ayoubmtumishi ปีที่แล้ว +4

    KWELI UZEENI NI WACHAWI WANGA WAKUBWA😂😂😂😂

  • @dalali_professionalwa_dodo8330
    @dalali_professionalwa_dodo8330 ปีที่แล้ว +2

    Udongo wa makka (mecca). ....😄😄😄😄

    • @mcback4384
      @mcback4384 ปีที่แล้ว

      Anawatukana waislam ukizingatia kwao mbwa ni haram

  • @mwaisunilaizer8438
    @mwaisunilaizer8438 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana ndugu yangu

  • @fredyijumba1023
    @fredyijumba1023 ปีที่แล้ว

    kiswahili kigumu aisee, hii nyumba imejengwa na mbwa

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 หลายเดือนก่อน

      Imejengwa kwa pesa zilizotokana na biashara ya mbwa

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 ปีที่แล้ว +2

    Mwaswali ya vijana wa AYO buana weee , 😀😀😀😀

  • @pyzzocatto1829
    @pyzzocatto1829 ปีที่แล้ว +4

    Frijiyangu iko empty lkn fridge yambwa imejaa kuku 😄😄😄

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 ปีที่แล้ว

      😆😳

    • @bintik2311
      @bintik2311 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Philimonmtembei-p7e
    @Philimonmtembei-p7e ปีที่แล้ว

    Nataka ubwa walioko

  • @zenakassim6725
    @zenakassim6725 ปีที่แล้ว

    Jiandae kuwapokea TRA

  • @dvosokoloo2948
    @dvosokoloo2948 ปีที่แล้ว +1

    Tushazoea mwanamme ndo ananunua mwanamke kwa jamaa umbwa ya kike ndo inanunua dume noma sanaa 🤣

  • @elogeruhimbasa6719
    @elogeruhimbasa6719 ปีที่แล้ว +5

    Kweli mimi mbwa hapana naogopa hazini pendi mimi kila mara zina taka kunila

    • @rashidikanyama7227
      @rashidikanyama7227 ปีที่แล้ว

      Dah umenichekesha sana

    • @Saidkhel
      @Saidkhel ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

    • @mishikikoti2948
      @mishikikoti2948 ปีที่แล้ว

      Eti kunila 😂😂😂ni kweli mbwa huwa anasoma mapigo ya moyo moyo wako ukidunda kwa uwoga anajua ww ni adui ndo anakufwata 😂😂

    • @khadijamahmoud4365
      @khadijamahmoud4365 ปีที่แล้ว

      @@mishikikoti2948 na mbwa hapendi uchawi wala mtu mwenye horizontal, ukivaa hirizi anabweka mpaka anataka kukata mnyororo

    • @mishikikoti2948
      @mishikikoti2948 ปีที่แล้ว

      @@khadijamahmoud4365 etii eeehh ?? Afazali umenijuza mwaya

  • @shillahkenny4818
    @shillahkenny4818 ปีที่แล้ว

    Bangi hizo mbwa unafananisha na udongo wa maka

  • @salehegiza3305
    @salehegiza3305 ปีที่แล้ว +4

    Geast house za mbwa kwa hiyo mbwa anafanya yake wakiwa humo.😂😂

    • @neemasawe7016
      @neemasawe7016 ปีที่แล้ว +1

      bwana Giza guest house ni nyumba ya kulala wageni❤️

  • @frankmabubu2299
    @frankmabubu2299 ปีที่แล้ว

    Huyu mwamba habahatishi yupo serious na life

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 ปีที่แล้ว +4

    Jiandaeninkula.nyama za.mbwa.nansupu

    • @alextercisio
      @alextercisio ปีที่แล้ว

      Kuuza nyama yake haiwezi leta pesa

  • @kigomakid74
    @kigomakid74 ปีที่แล้ว +4

    Rahim kutoka kigoma katumia mbao kujengea mbwa zake😂

    • @bintik2311
      @bintik2311 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @deniskibud3192
    @deniskibud3192 ปีที่แล้ว

    Nimaeneo gani bro ulipo nije nijifunze nitumie Aya no ya simu

  • @itaelmanang2968
    @itaelmanang2968 ปีที่แล้ว +1

    Dunia Ina mambo mengi sana kuwa makini

  • @naslee1010
    @naslee1010 ปีที่แล้ว +2

    Hio ya uchawi nipo pamoja nawe

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana

  • @ramyramso
    @ramyramso ปีที่แล้ว +2

    Hapo kwenye udongo wa Makka umezingua babu ule ni mji mtukufu huwezi kufananisha na kitu chochote kile

  • @yassersalleh8409
    @yassersalleh8409 ปีที่แล้ว +2

    Mafanikio yako yasitutie kichefu chefu kauli zako naomba ziwe nzr hiyo Rangi y mbwa wako haiwezi kuwa n thamani ya udongo ama ardhi ya makka

    • @maxlupapa4554
      @maxlupapa4554 ปีที่แล้ว +3

      Usianze kuleta udini udongo ni udongo tu alivyosema wa makka naona umeumia

  • @jacquelinesizya3780
    @jacquelinesizya3780 ปีที่แล้ว +1

    Anawauza or Ni just a shelter home for dogs?

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 ปีที่แล้ว +3

      Skiliza maelezo utapunguza maswali

    • @jacquelinesizya3780
      @jacquelinesizya3780 ปีที่แล้ว

      @@mosesnyelo1380 ok

    • @Mja_Gongo
      @Mja_Gongo ปีที่แล้ว

      Ni kiziwi au ulichagua kutazama ukiwa umemute sauti!?😳😳😳🤷🤷

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 ปีที่แล้ว +1

      anauza,Hawa mbwa jamii wanatoka Belgium and German (wanaitwa Belgian shepherd dog)

    • @jacquelinesizya3780
      @jacquelinesizya3780 ปีที่แล้ว

      @@emariusrush3285 ooh.ok.Thanks love.

  • @Directorjax55
    @Directorjax55 ปีที่แล้ว

    saf sn kwa pran

  • @kennywilliam2466
    @kennywilliam2466 ปีที่แล้ว +2

    Hapo kwenye udongo wa makka naona si sawa miji iliyo tukuka na wala huwezi fananisha na mambo kama hayo makka au madina usirudie tens kufananisha na hizo mambo

    • @mcback4384
      @mcback4384 ปีที่แล้ว

      Hata mbwa ni kiumbe cha Mungu kilichotukuka hakijajiumba

    • @waziriomar1414
      @waziriomar1414 ปีที่แล้ว

      Kweli Kaka maka na Madina Ni miji iliotukuka

    • @Mja_Gongo
      @Mja_Gongo ปีที่แล้ว

      imani za hofyo zinatawaliwa na vijana wa hofyo,ko hiyo ni miji iliyotukuka na unakoishi ww hakujatukuka na unasubiri nn kwenda kwenye miji hyo ? mnaaminishwa na waarabu na nyie mnasapot ujinga,hamna tofauti na wakristo wanaoona israel ni mji mtukufu,kulikotukuka ni mahali popote palipo na amani,Mungu yu mahali popote pale na yy hukaa mahali patakatifu so kama yupo popote inamaana kote kumetukuka ni ww tu kupaheshimu kwako,tuache kuwapasifa watu wa mataifa,hii haitofautiani na mtu kusema livingstone ndiye aliyeugundua mlima kilimanjaro,anapougundua mchaga alikuwa hajaumbwa?

  • @kyambarungwe6960
    @kyambarungwe6960 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @fredyemmanuel4303
    @fredyemmanuel4303 ปีที่แล้ว

    Yani nikanunue mbwa m15 nimelogwa

    • @denismvula300
      @denismvula300 ปีที่แล้ว

      Hata mimi nawaza kama wewe , ila umaskini tyu ndo unasumbua🤣😂🤣😂🤣🤣hapooo tutafute hela ml 15 siyo nyingi

    • @fredyemmanuel4303
      @fredyemmanuel4303 ปีที่แล้ว

      @@denismvula300 😁Denis bwana nimekusoma kk

    • @fredyemmanuel4303
      @fredyemmanuel4303 ปีที่แล้ว

      Ngoja tukaze Ila kununua mbwa mmmm m15 palefu kk

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 ปีที่แล้ว +1

    Lodge za mbwa!? yan X za mbwa au tatzo kichwa habari et lodge za mbwa!!!?

    • @monahmussamonah6229
      @monahmussamonah6229 ปีที่แล้ว

      Wew ndo hjuiii maan ya lodge

    • @victorbugobola2276
      @victorbugobola2276 ปีที่แล้ว

      Lodge n nyumba za wageni hasa za kifanyia ngono au aujui nn au unajifanya auelew

    • @monahmussamonah6229
      @monahmussamonah6229 ปีที่แล้ว

      Hiyooo hasa ni akiliii zakoo zinawaza hivyo , Lodge ni nyumbani ya kulala wageni basi

    • @victorbugobola2276
      @victorbugobola2276 ปีที่แล้ว

      Eeh Unajua but unajifanya aujui nd Hvyo lodge n nyumba ya wageni.....bhn so hao ubwa n wageni!?

    • @monahmussamonah6229
      @monahmussamonah6229 ปีที่แล้ว

      Hjackiaaa wametoka nje ya nchi wew🤣

  • @samgames851
    @samgames851 ปีที่แล้ว +1

    Pita huku

  • @salehegiza3305
    @salehegiza3305 ปีที่แล้ว

    Utamu anapata mbwa mm ndo nalipa ela broo ebukuwa serious broo.

  • @alextercisio
    @alextercisio ปีที่แล้ว +2

    Eti fridge zinejaa kuku 😂😂😂😂😂

    • @jaymandy8136
      @jaymandy8136 ปีที่แล้ว

      😂😆😆😆😆

    • @samwelipaul1462
      @samwelipaul1462 ปีที่แล้ว +1

      Sasa Kama kajenga mjengo mkali huo kuku hawezi kuona galama

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r หลายเดือนก่อน

    We kijana tutake radhi.ss wazee tunaombiwa uzeeni tutakuwa wachawi kwa kukosa Mali.

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 ปีที่แล้ว

    hakuna mbwa wakulinda hapo lugha ya mwili ya mbwa wanazani wanacheza

    • @dictarchelsea
      @dictarchelsea ปีที่แล้ว

      Wapo ndugu labda kama hujui breeds za mbwa

  • @darkplatnum9006
    @darkplatnum9006 ปีที่แล้ว

    ungemuuliza na sok lak has la hao mbwa ni wap maan tumejua anako nunua ila watej wak wanako tok ni wap

    • @mcback4384
      @mcback4384 ปีที่แล้ว

      Wateja wapo wengi sana, Arusha hata mbwa wa kawaida tu wanauzwa na wanasakwa

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 ปีที่แล้ว

    Laana tupu mbwa.mkubwa wee

    • @kelvintenga1217
      @kelvintenga1217 ปีที่แล้ว +1

      Acha wivu wakijinga ww kilambuzi atakula kwaulefu wakamba yake ndugu

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว

      @@kelvintenga1217 mbwa haram kuwafuga

    • @goblessjrtz5464
      @goblessjrtz5464 ปีที่แล้ว

      @@hanifatanzania7258 haramu kwako ila kwake sio haramu jaribuni kufikiri nje ya 🎁

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว

      @@goblessjrtz5464 Najis kwa muislam kumshikashika kukunusa

    • @mwlpierre
      @mwlpierre ปีที่แล้ว

      Du wewe dada alichokiumba mwenyezi Mungu kwani kukiita najisi umba chako ndio ukiite hivyo

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 ปีที่แล้ว

    Mh mh

  • @TheKessyFleva
    @TheKessyFleva ปีที่แล้ว +1

    🥱

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂😂makombo

  • @josephinekuyela1647
    @josephinekuyela1647 ปีที่แล้ว

    boarding dog

  • @kisubikilozo6128
    @kisubikilozo6128 ปีที่แล้ว

    Bangi mbaya mbwa wana bei yachini wewe ukidaganya watu

    • @henryjohn4781
      @henryjohn4781 ปีที่แล้ว

      Kama hujui jambo usiliongelee

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว

      @@henryjohn4781 kunajambo gani laamaana hapo hiyo midibwa mtihanitu

    • @henryjohn4781
      @henryjohn4781 ปีที่แล้ว

      @@hanifatanzania7258 Wanamlipa ndio mana kafanya huo uwekezaji hamna mtu yupo tayari kuweka hela kwenye jambo lisilo na faida Bei ya puppy mmoja ni zaidi ya laki Tano

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 ปีที่แล้ว

      Masikini hata hujielewi. Unawajua mbwa vzr kweli