Huyu ndiye Ng'ombe anayeuzwa Sh5 milioni kwenye maonyesho ya nanenane Dodoma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 ปีที่แล้ว +3

    Nyieer ng'ombe 300!!!!!

  • @yeshuasnewweapon5509
    @yeshuasnewweapon5509 ปีที่แล้ว

    Namba?

  • @germanshepherd6880
    @germanshepherd6880 ปีที่แล้ว

    Tumeomba namba zake huyu mmasai mbona hatupi mwananchi digital??

  • @mkambaselemani-ej7np
    @mkambaselemani-ej7np 6 หลายเดือนก่อน

    Toa namba za cmu kaka!

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp ปีที่แล้ว +1

    Kilo 1000 sio kweli tani

  • @davidjohn540
    @davidjohn540 ปีที่แล้ว

    Namba zake jamani tusaidieni

  • @HajiMizozo
    @HajiMizozo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sinunui bei iyo nauyo afiki kilo 950 maana nafana kazi iy naelewa

  • @nizarmomo4293
    @nizarmomo4293 ปีที่แล้ว +1

    Naitaji mawasiliyano

  • @MayungaCheyo
    @MayungaCheyo 9 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba Yako Mimi mayunga Niko manyoni

  • @nth3512
    @nth3512 ปีที่แล้ว +1

    Masai anajua kueleza

  • @leonardalphonce8924
    @leonardalphonce8924 ปีที่แล้ว

    m.yani uongo mpaka anona aibu ml.5 anakilo ngap

  • @SalimHujaki
    @SalimHujaki 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi nanae ng.ombe mzuri kuliko huyo

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 ปีที่แล้ว

    Masai mjanja hasemi inatoka wapi,hauzi, labda anakamua maziwa

    • @ndetaulwapallangyo8408
      @ndetaulwapallangyo8408 ปีที่แล้ว

      Ndama kienyeji Ana kl 5-6 amekuwa mbuzi? Ng'ombe Ana kilo 1000 amekuwa nyati? Wakati ukionga uwongo uwe na kumbukumbu!
      Una haja ya kujuwa nilifanyia wapi Utafiti!

  • @ndetaulwapallangyo8408
    @ndetaulwapallangyo8408 ปีที่แล้ว

    Wacha UJINGA MNENE-uko!
    Akuna Ndama wa kienyeji mwenye kl 5 wewe! Alafu akuna Ng'ombe apa TANZANIA mwenyewe kl 1000. We nenda shule Acha Usanii!

    • @saichykinyurura
      @saichykinyurura ปีที่แล้ว +1

      Wapo Sana

    • @alluminiumexperttz.12mview13
      @alluminiumexperttz.12mview13 ปีที่แล้ว +2

      Uchunguzi wako umefanyia wapi ukagundua kwamba hakuna ng'ombe mwenye kg1000 Tanzania?

    • @homecraft227
      @homecraft227 ปีที่แล้ว +1

      Nenda mashamba ya asas

    • @salimramadhani7151
      @salimramadhani7151 8 หลายเดือนก่อน

      Ww Baki hvo hvo unaeza shindana nahuyo Masai utajr alonao ata akioza lakitano tano ng,ombe Mya tatu