Ikulu ya Tanzania inajengwa na vijana wa JKT - Msigwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ค. 2020
  • "...Ikulu ya Dar es Salaam ilijengwa kabla ya vita kuu ya kwanza chini ya utawala wa kikoloni wa Wajerumani na Uingereza ...lakini leo Ikulu ya Tanzania inajengwa na vijana wetu wazalendo wa JKT...vijana wetu wanajenga Ikulu ya hii wakiwa na furaha kubwa ...wakiwa wanaandika historia ya kujenga ofisi kuu za nchi yao...wakiwa chini ya mainjinia wa Jeshi la Wananchi Tanzania...." Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa.
    #IkuluChamwino #VijanawaJKT #UjenziwaIkulu #Raiswastaafu #uwekajijiwelamsingiIkulu #chamwinododoma #dodoma
    Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 2

  • @gabrielngaswaga5569
    @gabrielngaswaga5569 4 ปีที่แล้ว

    da I appreciate him

  • @kassimukipingu5343
    @kassimukipingu5343 3 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa ananidhamu sana yani simpingi rais ila kwakweli nilipo skia msemaji wa serikali kabadilishwa nilidhani msigwa jamani binafsi nimemuelewa sana uyu msigwa na sauti yake ya unyenyekevu