RAIS DKT. MAGUFULI ATOA WITO KUHUSU UGONJWA WA CORONA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 มี.ค. 2020
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amezindua karakana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) - Lugalo jijini Dar es salaam. Machi 13, 2020

ความคิดเห็น • 34

  • @reubenbegashe2372
    @reubenbegashe2372 4 ปีที่แล้ว +7

    Ingekoa corona ni mfumo wa kipesa Mimi ningewachangia hawa viongozi wa chadema wanatukera Sana Zaidi ya Corona sorry 4 that Lakini Hawa Watu wanakera Sana Rais wetu

    • @lamecktheonest225
      @lamecktheonest225 4 ปีที่แล้ว

      Reuben Begashe 😁😁😁😁wewe watakuchapa

    • @saidjuma9782
      @saidjuma9782 4 ปีที่แล้ว

      Kifiro kinakuhusu

    • @thadeymwaipaja1533
      @thadeymwaipaja1533 4 ปีที่แล้ว

      Said Juma na ww kinakuhusu pia kikundu si unacho?

    • @mamaklare9558
      @mamaklare9558 4 ปีที่แล้ว

      Mungu atusaiddiiie

  • @jarsaduba2626
    @jarsaduba2626 4 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe tumepokea Mh Raisi hu ugojwa ni hatari Mwz Mungu atuepushe nalo Asante Sana

    • @enocmanila7838
      @enocmanila7838 4 ปีที่แล้ว

      Ingewezekana kustopisha kupokea wageni kutoka nchi mbalimbali na vyombo vya angani kusimamishwa kwanza jamani huu ugonjw ni hatari zaidi km ukifika tz tutadondoka km kuku apa

  • @nuruyauzimatv
    @nuruyauzimatv 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen baba yangu kwaupendo wako

  • @emmanuelwafulakhaita3073
    @emmanuelwafulakhaita3073 4 ปีที่แล้ว +1

    AMEN
    INDEED GOD IS ABLE

  • @rwebangirarutta2093
    @rwebangirarutta2093 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi mungu tusimamie waja wako..amina

  • @yusuphbonifasi3156
    @yusuphbonifasi3156 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana mh mungu akubariki

  • @vigilancemsangi6860
    @vigilancemsangi6860 4 ปีที่แล้ว +1

    Na diamond pia apunguze safari zake bana huu ugonjwa ni hatari kwa ukweli.

  • @jamesphiri2811
    @jamesphiri2811 4 ปีที่แล้ว

    Mh. Tuomba sana sana daladala zinajaza watu vibaya, wekamuongozo wako mh. Big up big up

  • @aminamikidadi7754
    @aminamikidadi7754 4 ปีที่แล้ว +1

    Amiin ..yarrab lalamiin...

  • @josephnkengurutse
    @josephnkengurutse 4 ปีที่แล้ว +1

    Vema sana mheshimiwa Rais

  • @raulianraphael6853
    @raulianraphael6853 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana Mheshimiwa Raisi
    Tungeomba sasa katika miji mikubwa Ma Traffic wapige marufuku kujaza kupitiliza Magari(Level sit izingatiwe)

  • @ismailmasagasimjilima3319
    @ismailmasagasimjilima3319 4 ปีที่แล้ว +1

    Mm nimekuelewa mheshimiwa ila toa amli hata ligi kuu bala ismamishwe kwasasa badae itakuja kuendelea tukijua muafaka wa tatzo hili la gonjwa hili hatali dunian

  • @selemanjulius8860
    @selemanjulius8860 4 ปีที่แล้ว

    safi sana

  • @geofreybakina6010
    @geofreybakina6010 4 ปีที่แล้ว

    Rais ya Tanzania ipo serious sana,kuwatoa hofu watanzania ni jambo lililotukuka,watu asilimia kubwa choo cha nje,kuruhusu watu kufanya kazi ameona hali halisi

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 4 ปีที่แล้ว

    Sawa muheshiwa raisi john pombe magufuli tumekusikiya ilanawewe funga mipaka kwanza hamna kutoka wala kuingiya

  • @shikanyota
    @shikanyota 4 ปีที่แล้ว

    Thank God Tanzanians are not brain washed

  • @mdoefrancisketto1989
    @mdoefrancisketto1989 2 ปีที่แล้ว

    R.I.P MR PRESIDENT 🇹🇿

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 ปีที่แล้ว

    Asnt kwa hutuba yko na Nasaha zako nzur kuhusu ugonjwa huu corona uliotukabili dunian wenu Omar 0714662020

  • @erentjohn6929
    @erentjohn6929 4 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hio Salam ya miguu, umh! Bora kupunga mikono.

  • @daudipiusi4307
    @daudipiusi4307 4 ปีที่แล้ว

    Hatua ya kwanza ni kuondoa misongamano halaka .kama vile k.koo msonga mano wa meza katkat ya balabala na sevice load na meza za biashala ndogondogo hakuba pa kupita hivyo nimbanano wa hali yajuu nikupakana mijasho tu na kwenye midaladala pia iwe levo set hizo ndizo hatua za kuchukua

  • @jumahory3069
    @jumahory3069 4 ปีที่แล้ว

    Mkuu funga mipaka kwanza
    Pili pigamarfuku dalala kujaza watu wengi nakadhalikaktk mikusanyiko yawatu

  • @danbuto4447
    @danbuto4447 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbowe

  • @bishalizadenga1180
    @bishalizadenga1180 4 ปีที่แล้ว

    Mhushimiwa apo funga mipaka yote ya hawa wageni wanaingia nchini kwetu maana ss bdo sana

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 4 ปีที่แล้ว +1

    Bado watalii wanaongia nchin kwa wing.funga mipaka mzee.

    • @said306nyatu9
      @said306nyatu9 4 ปีที่แล้ว

      Sawa. Baba angu tunakupenda Sana. Ila waondoe wageni. Tunakuomba mpaka leo ili lipite magu. Luv 😘 uuuu

    • @glorysilvan6167
      @glorysilvan6167 4 ปีที่แล้ว +1

      MUNGU atuepushe Ila baba maguful tunaomba udhibiti mipaka yote ya Tanzania

  • @piruwashing4078
    @piruwashing4078 4 ปีที่แล้ว

    RAHISI UMENENA VYEMA LKN HII NI DALILI YA MUNGU KUTUADHIBU KWA DHAMBI ZETU TAFADHALI HAMASISHA TAIFA KUFANYA MAOMBI YA TOBA NA REHEMA MUNGU MWENYEZI ATUREHEMU NA KUTUEPUSHA NA HILI JANGA

  • @abdkhamis2347
    @abdkhamis2347 4 ปีที่แล้ว

    Tusiweni wakaaidi tukiambiwa tuchukuwe takhazari na kujikinga na ugonya wa corona

  • @21meshaq
    @21meshaq 4 ปีที่แล้ว

    Rascit