JK akoshwa na kazi za Magufuli

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Rais mstaafu Jakaya Kikwete amempongeza Rais John Magufuli kwa kazi nzuri anayoendelea kuifanya ikiwa pamoja na uamuzi wa kuhamisha Ikulu kwenda makao makuu ya nchi Chamwino, Dodoma.
    Fuatilia matangazo ya uwekaji wa jiwe la msingi katika ujenzi wa majengo ya Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma.
    #AzamNews #AzamTVUpdates #MagufuliLive #MagufuliChamwino
    Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 1

  • @Eray2007
    @Eray2007 4 ปีที่แล้ว

    Sgzi in sis d haihangjei dezsuri