RAIS DKT.MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU 2018

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2018
  • RAIS DKT.MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU .OKTOBA 15,2018 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

ความคิดเห็น • 44

  • @imanimtumbi9670
    @imanimtumbi9670 5 ปีที่แล้ว +6

    Hongereni sana Vijana wenzetu kwa kuaminika na kupata pongezi toka kwa Mh Rais.
    Vile vile Pongezi kwa Mh Rais kwa juhudi zake za kuhakikisha Rasilimali za watanzania hazichezewi

  • @shukurumwangosi1537
    @shukurumwangosi1537 5 ปีที่แล้ว +6

    Aiseeeh kazi nzuri sana.
    Kwa Mara ya kwanza nasikia feedback za zoez la mwenge as Uhuru.
    JPM shikamoooo viva viva Mh kipenzi changu.
    Maagizo yametolewa shauri yenu watekelezaji msipo mzee wa majipu atafanya kazi yake.
    Mwenge Angaza angaza angaza mulika chafuu safi tuone.

    • @shaabanabassmohd4216
      @shaabanabassmohd4216 5 ปีที่แล้ว

      ahsante sana bro wangu Issa Abass umewakilisha our family u are great bro

  • @neemajoshuaer9562
    @neemajoshuaer9562 5 ปีที่แล้ว +8

    Hongereni sana vijana kwa kazi nzuri

  • @neemajoshuaer9562
    @neemajoshuaer9562 5 ปีที่แล้ว +6

    Kweli bado kuna viongoz wanamdanganya Nyerere haiwezekani duka la dawa linafunguliwa then baada ya mwaka hakuna dawa kwenye duka hilo

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +3

    Asante san raisi wetu kwa upendo mkuwa wa taifa retu la TANZANIA mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe raisi wetu na viyongoz wengen ote wanaomsaidia raisi wetu kuriongoza taifa retu

  • @shungushula4340
    @shungushula4340 5 ปีที่แล้ว +3

    hongereni sana mwenge nitunu ya taifa letu mungu ubaliki mwenge wetu baliki nchi yetu tanzania ameni...

  • @neemajoshuaer9562
    @neemajoshuaer9562 5 ปีที่แล้ว +5

    Hongera Rais

  • @nyanda427
    @nyanda427 5 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana Vijana.. hongera sana President Dr. John Pombe Magufuli pamoja Na Prime minister

  • @suleimanally5870
    @suleimanally5870 5 ปีที่แล้ว

    Mh RAIS hongera sana hakika wewe ndie RAIS ambae tulikua tunakusubir kwa miaka mingi wewe ni RAIS wawa nyonge unaejali wananchi wote shida za wananchi zitaisha iwapo viongozi wote ulowateuwa watakua tayar kufanya kazi M/mungu akujalie umri mrefu ilikulitumikia taifahili

  • @sylvestrengwelu2012
    @sylvestrengwelu2012 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante Serikali yetu

  • @hapakazitu7364
    @hapakazitu7364 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana ndo mara ya kwanza kuona taarifa nzuri ya mwenge, hii ndo kazi ya Mwenge wetu wa uhuru

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante san viyongoz wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nanyi

  • @sylvestrengwelu2012
    @sylvestrengwelu2012 5 ปีที่แล้ว

    Vijana ni Nguzo ya Taifa,Hongera Rais wetu,hongera vijana wa Tz.

  • @williamngazija7284
    @williamngazija7284 5 ปีที่แล้ว

    Safi cn mwexhimiwa rais, na viongoz wako wa serikali, tz, kwasasa inasitawi kwa uongozi wako uliyotukuka, mungu akubariki.Amen.

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว

    Mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe raisi wetu

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana watanzania endeleeni kujipanga kuboresha Nchi iliyo na utajiri mkubwa bila ya wananchi kufaidika kiufasaha kutokana na UFISADI. Wataalamu wamegunduwa kiinimacho DANGANYATOTO inayo danganya Taifa kuiba mali za uma washindwe wote wenye nia mbaya AMIN🙏🏿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @olivermartin3747
    @olivermartin3747 5 ปีที่แล้ว

    Mmefanya kazi nzuriii

  • @leonardp.bundala6989
    @leonardp.bundala6989 5 ปีที่แล้ว

    Uzalendo Kwanza.... Hongereni Sana Makamanda

  • @petercharles1819
    @petercharles1819 5 ปีที่แล้ว

    ikiwezekana waongezewe mwaka mmoja wamefanya kazi kubwa sana hapa mufindi

  • @josephnchunga6554
    @josephnchunga6554 5 ปีที่แล้ว

    hongera Sana rais Wetu Mungu akusimamie

  • @peterchula1990
    @peterchula1990 5 ปีที่แล้ว

    Miladi mingi ya maji ni majanga Rais wetu naomba uliangalie hilo ni muhimu sana

  • @shindanopapaya2084
    @shindanopapaya2084 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana vijana shikamoo Jpm

  • @olivermartin3747
    @olivermartin3747 5 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana vijana wetu

  • @angelanather9640
    @angelanather9640 5 ปีที่แล้ว

    Hongereni wapendwa

  • @kajiarashid2771
    @kajiarashid2771 5 ปีที่แล้ว

    HONGERA SANA RAISI MAGUFULI. HAKIKISHA KABLA YA 2020 UCHAGUZI; MAMBO MAWILI HAYA UMEYASIMIKA.
    1) DINI YA IKULU YETU...
    a-uaminifu
    b-heshima na
    c)-utii
    2)KATIBA kutoka mbinguni yenye ibara saba (mihuri saba) aliyopewa Yesu (AS).....
    a-Wema
    b-Utajiri
    c-Hekima
    d-Nguvu
    e-Heshima
    f-Utukufu na
    g-Baraka.
    ufu 5:1, 6, 12.
    Muhammad (SAW) Q6:83-90 Aliagizwa na Mungu kufuata uongozi huo. Nasi ni jukumu langu KUFIKUSHA Q5:67 tufanikiwe kuwakwepa nahasidi wa nje na ndani kwa Mungu Kukulinda.

  • @k2plusstudio858
    @k2plusstudio858 5 ปีที่แล้ว

    Kamanda na vijana uliowaongeza mpo makini ongereni sana

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 5 ปีที่แล้ว

    HESHIMA YAKO JPM SHIKAMO BABA MPYA WA TAIFA

  • @shukurumwangosi1537
    @shukurumwangosi1537 5 ปีที่แล้ว

    Kwann wanamdanganya nyerere??

  • @kajiarashid2771
    @kajiarashid2771 5 ปีที่แล้ว

    UAMINIFU, HESHIMA na UTII ni dini yetu Watu Weusi Asili. mh J. Muhagama hii ndiyo NURU. 2019 MWENGE UZINDUE DINI YETU HII IKULU. ILI USEMI WA RAISI MAGUFULI UKAMILIKE ' TUMWEKE MUNGU MBELE .

  • @giftofhope9553
    @giftofhope9553 5 ปีที่แล้ว

    tanzania kwanza

  • @aldoba2826
    @aldoba2826 5 ปีที่แล้ว +1

    Makamanda wote mguu pande.......

  • @williamngazija7284
    @williamngazija7284 5 ปีที่แล้ว

    Makamanda wanasitahiri pongezi, wamejitoa kwa tz, kwanza.

  • @kajiarashid2771
    @kajiarashid2771 5 ปีที่แล้ว

    2019 MWENGE UZINDUE IKULU DINI YA TAIFA LETU, NDIPO UTOKE. DINI YETU IKULU NO UAMINIFU, HESHOMA na UTII. TAIFA LISILO NA DINI KITAIFA, HALIWEZI KURA HUYU. kasema maneno haya Raisi wa marikani wa awamu ya tatu...Thomas Jefferson...jaribu kugougle

  • @geographyteacher.2961
    @geographyteacher.2961 5 ปีที่แล้ว

    pongezi zina stahili

    • @osikawenga669
      @osikawenga669 5 ปีที่แล้ว

      Hongera mheshimiwa raisi

    • @sylvesterzambert6027
      @sylvesterzambert6027 5 ปีที่แล้ว

      Mimi reo nimeripia Umeme ninamiezi 10 tangy nimeripia mpakasasa Nina miezi 10 sijapata Umeme

  • @japhetmombia
    @japhetmombia 5 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana... Kwasisi tuliowahi kukimbiza Mwenge kiwilaya tunajua umuhimu na kazi wanayoifanya hawa wakimbiza Mwenge!!!! TZ nakupenda. Mungu ibariki Tanzania

  • @aldoba2826
    @aldoba2826 5 ปีที่แล้ว

    Makamanda wote mguu pande.......