Daraja jipya la Selander kupitisha magari zaidi ya elfu 50

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ค. 2018
  • "Urefu wa daraja hili ni kilomita 1.03 na linauwezo wa kipitisha zaidi ya magari elfu 50 kwa siku…tukiwa na lengo la kupunguza foleni jijini Dare es Salaam…ninauhakika watani zangu Wazaramo watapata sasa sehemu ya kwenda kupiga picha na kufunga ndoa" - Rais Magufuli

ความคิดเห็น • 10

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 6 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana J.P.M,hakika haya ndio mabadiliko Tanzania inayohitaji.....mabadiliko sio kuzungusha mikono hewani bali ni kuja na masuluhisho ya kudumu kwa matatizo yaliyoonekana kuwa hayana ufumbuzi na kuwashinda waliokutangulia.
    Chapa kazi Mzee wangu,Mungu yupo pamoja nawe na mimi kura yangu nimeshaitanguliza kwenye box 2020.ondoa shaka!!

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
    @yahyamajidyahyahilalal-har8762 6 ปีที่แล้ว +5

    Magufuli Safiii! Ahsante Sana.

  • @michaeljuma1734
    @michaeljuma1734 5 ปีที่แล้ว +1

    hongera kiongoz wet

  • @medystarter
    @medystarter 4 ปีที่แล้ว +3

    Tuna taka Daraja la jangwani

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 3 ปีที่แล้ว

      Watjenga tuu la underground

    • @yusuphaman3449
      @yusuphaman3449 3 ปีที่แล้ว

      We jamaa mungu anakuona hahahahaha

  • @michaelmathew8309
    @michaelmathew8309 5 ปีที่แล้ว +1

    Mh Magu we noma yaan we ni Kama shujaa

  • @allymngwaya9855
    @allymngwaya9855 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana na hii tutalipia?. Mana ile ya Kigamboni inaboa kulipia. Sijui tunalipia nn?

    • @triplea3463
      @triplea3463 4 ปีที่แล้ว +2

      Madaraja mengi duniani yanalipiwa

  • @kaisarimkuu3685
    @kaisarimkuu3685 5 ปีที่แล้ว +3

    Kiongozi bora kabisa wa kuigwa, JPM