Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Lazaro Nyalandu amesema pamoja na kutopata ridhaa ya wajumbe hawezi kurudi CCM ataendelea kubaki Chadema
Lazaro Nyarandu speech yako imeonesha kuwa una maturity kubwa kisiasa.. Endelea kujifunza.. kwa umri wa miaka 49 kama uta keep kuwa consistent. I see you far away in Tanzanian Politics
CHADEMA niwakumbushe jambo moja muhimu sana. Wakati CCM walisema wakiwa Singida 2017 kuwa watahakikisha watamaliza "WAPINZANI", walikuwa hawamaanishi Wapinzani walimaanisha CHADEMA. Hii ni kutokana na CHADEMA kuwa chama kikubwa sana na kimekuwa tishio kwa CCM. Ninachowaonya CHADEMA ni kwamba mkitumia mihemko ya baadhi wanachama na viongozi wenu kufukuza wanachama kila kukicha hawa CCM watawachukua viongozi wenu na wanachama wenu muhimu sana kwa kukosa busara. CHADEMA ni chama kinapigwa vita sana na CCM na baadhi ya Watanzania wanaotumiwa kwa kulipwa na CCM. Hivyo kama hamtatumia busara na weledi mjue CCM watawachukua hawa wabunge 19 na wameshatamka na nia yao ni kuchukua na wengine ndani ya CHADEMA ili kila mwaka kazi yenu iwe ni kuanza upya. "MSIPOZIBA UFA MTAJENGA UKUTA"
Wewe usingepitishwa CHADEMA kwakuwa hujui matusi na una adabu sana CCM imekulea kwa adabu sana kama ilivyo kwa viongozi wengine wote wa CCM, hiyo muachie Lissu amelelewa bila adabu na anajua kutukana sana na hiyo ndo sera kubwa ya CHADEMA, na kingine umekosea sana wewe una pesa nyingi ulizopiga kwenye twiga zetu ungekinunua hicho chama huwa kinauzwa na safari hii wamekosa mteja, mwezako wakati ule alikinunua akspitishwa moja kwa moja wewe umeshindwa nini?
Nyarandu nakuomba fanya subira usije ukatoka chadema ili endapo tukashindwa hii hawamu basi tukupe naww 2025, naona kua unastaili kua rais sema kwa Sasa anafaa lissu, Mana ww ni juz juz umetoka ccm, wananchi n ngumu kukuamin ukisema ugombee kwa Sasa, Mana lowassa alivunja imani ya watu.
Anaongea akiwa na maumivu ya ndani.Itamtesa sana hali hii....Pole sana nyalandu,Naona umepoteza muelekeo tayari.Nyalandu pole sana.Matamanio yako yamegonga mwamba,alisema Lowasa,karudi,Alisema Sumaye,akarudi,Hata wewe utarudi.
LAZARO NYARANDU. WW NI MWIZI ULITUIBIA PESA ZETU ZA OPERESHENI TOKOMEZA MAJANGIRI NA TWIGA ZETU, UNA UBAVU NA TINDU WAKO NA MABEBERU WANAOWATUMIA, WEZI WATUPU MMEJAA UKO CDM.
Nimekupenda sana Nyalandu
Hongera sana nyarandu speech yako imetulia sana na umeonyesha ukomavu wa kisiasa.
Kabisaaa
Nyarandu MTU mmoja mwenye hekima xana
Kabisaaa
Huu ndo hekima na upendo wa hali juu!God bless you sir
Lazaro Nyarandu speech yako imeonesha kuwa una maturity kubwa kisiasa.. Endelea kujifunza.. kwa umri wa miaka 49 kama uta keep kuwa consistent. I see you far away in Tanzanian Politics
Samahani sana kama nimekukubali ww ni mkomavu wa siasa hohera sana ndugu Nyarandu.
God Bless you Nyalandu keep it up, Excellent, sasa wote kwa pamoja tumuunge mkono Mh. Lissu.
Singida to singida love u Boy Together we can 💪✌️nakuamn kuliko wale👈
Pole mzee umekatwa Mkia
Safi sana Mtani wangu mnyampaaa,Aamchaa mungu akulinde
Kweli unahekima sana baba Nyalandu ,Mungu anakitu anajivunia kutoka kwako
Hongera lisu....
Nyalandu unatuliza sana kaka. Unahekima ya ajabu sana. Mungu ataendelea kukubariki sana Nyalandu. Na iwe hivyo kaka
Pekee naomba nikupe hongera saana mh Nyarandu jipe muda panapo majaaliwa ya Mwenyez Mungu baada ya miak mitano utafanikiwa lengo....
The guy talk from his heart...brilliant
Hadn't he gone back?
You're very wise sir. God bless you.
Nice lisu
Uko vizr sana lazaro
❤❤❤❤naghuyanjaa kaka wanee
Ukitaka kujua mapenza yenu kwenye chama hicho, gusa cheo cha mwenyekiti ndio utaelewa mbivu mbichi. Waulize waliojiunga na baadae kuhama chadema.
Nyalandu mungu akuongezee hekima uwe na hekima zaidi
Kwa sababu ana uhakika hawezi pewa ubunge. Hapo ni sehemu salama zaidi kwako. Hongereni kwa uwazi
Msimamo ni mzuri sana mzee, hivyo ndo inatakiwa
Kabisaaa
Mungu awe nanyi muda wote
Mko vzr
Karibuni sana kazi ndo imeanza,
Safi safi safi nyalandu
Kabisaaa
Good
Napenda sana niwe kama nyalandu
Nimefurahi sana kusikia speech ya huyu mtu
Asante sana lazaro nyalandu kwa hutba yako nzurii
Kamalisu hakupigwa marisasi na kukaribia kufa ushindileo ungekua wako Ila tumependa ulichonena ukovurisana tena unaweza .🙏👍👍👍👍
CHADEMA niwakumbushe jambo moja muhimu sana. Wakati CCM walisema wakiwa Singida 2017 kuwa watahakikisha watamaliza "WAPINZANI", walikuwa hawamaanishi Wapinzani walimaanisha CHADEMA. Hii ni kutokana na CHADEMA kuwa chama kikubwa sana na kimekuwa tishio kwa CCM. Ninachowaonya CHADEMA ni kwamba mkitumia mihemko ya baadhi wanachama na viongozi wenu kufukuza wanachama kila kukicha hawa CCM watawachukua viongozi wenu na wanachama wenu muhimu sana kwa kukosa busara. CHADEMA ni chama kinapigwa vita sana na CCM na baadhi ya Watanzania wanaotumiwa kwa kulipwa na CCM. Hivyo kama hamtatumia busara na weledi mjue CCM watawachukua hawa wabunge 19 na wameshatamka na nia yao ni kuchukua na wengine ndani ya CHADEMA ili kila mwaka kazi yenu iwe ni kuanza upya. "MSIPOZIBA UFA MTAJENGA UKUTA"
Safi, sana Mh. Nyalandu kuwa na Moyo wa Kiume
Nice mkuu ur greater
Viva Lazaro Nyalandu Mungu akubariki sana kaka.
Nyalandu kweli umekomaa kisiasa
Upo saw
Nyalandu nampenda anahekima Sana yani
Ukitaka kujua mkopamoja chukuwa form ya Uenyekiti chadema ndio utajua kunaupendo au vipi
Ha ha ha ha daaah , utakuwa umemchezea Simba sharubu .
Dah! Siasa na wanasiasa wa bongo si wa kuwaamini hata kidogo,,,,
Great speech👍
Mm hata ungekuwa umeshinda nilikuwa nakupenda na kaka yako yuko vizuri Unganisheni Nguvu ya ushindi
Well said!
Thats nice...
Goood
Nyarandu nakupenda sana naomba uje kwangu rorya nikuchinjie mbuzi
Kweli kamanda..
Big up kamanda
Upendo wangu kwako umeongezeka Nyarand
Big up san
I love chadema family
Wewe usingepitishwa CHADEMA kwakuwa hujui matusi na una adabu sana CCM imekulea kwa adabu sana kama ilivyo kwa viongozi wengine wote wa CCM, hiyo muachie Lissu amelelewa bila adabu na anajua kutukana sana na hiyo ndo sera kubwa ya CHADEMA, na kingine umekosea sana wewe una pesa nyingi ulizopiga kwenye twiga zetu ungekinunua hicho chama huwa kinauzwa na safari hii wamekosa mteja, mwezako wakati ule alikinunua akspitishwa moja kwa moja wewe umeshindwa nini?
Asiye na adabu no mamako na mwenyekit wenu alietapeli hela za tetemeko bukoba
Mjinga we jmaaaa mwizi alikuibia wewe
Ahsante Nyalandu Nakupenda xn
Wajumbe wamefanya yao...Wamempamba Sana na ngawira wakachukua matokeo Kura 30
Salehe Msumi wajumbeeeeeee😂😂😂
Nyalandy mungu awe nawe
Safi Sana kamanda Nyalandu!
So bright person
Wewe ni mkeli pia mzalendo taifa letu Tanzania watetezi wetu haki usawa kwawote Uhuru wakwel umoja
Unajuwa huyu alikuwa waziri tuambie alitufanyia nini watanzania au ndiyo wafuata mkumbo
Unafuata mkumbo wewe na wee sasa mkweliyuko wapi hapo huyo magu kamuacha tu ingekuwa ulaya angefia jela
Nyalandu tupopamoja hongelakwabusalazako mungu akupe wepes
Wote wa singida bhana
Safi Sana nyarandu
Kaa hukohuko tu, upande ule huna nafasi kabisa!
Weka akiba ya maneno nyalandu!!!
Safi sana nyalandu
big up nyalandu.
SAFI SANA NYALANDU, KWA HEKIMA ZAKO
Asante kamanda Nyarandu
NYARANDU HATA MUNGU ANAPENDA WATU WENYE HEKIMA KAMA YAKOO...!! DAIMA UNANIGUSAA...!!
Mwanasiasa Alie Komaa Nyalandu juuu✌️✌️✌️✌️
Nyarandu nakuomba fanya subira usije ukatoka chadema ili endapo tukashindwa hii hawamu basi tukupe naww 2025, naona kua unastaili kua rais sema kwa Sasa anafaa lissu, Mana ww ni juz juz umetoka ccm, wananchi n ngumu kukuamin ukisema ugombee kwa Sasa, Mana lowassa alivunja imani ya watu.
Pamoja sana kaka
Yuko vizuri
Tatizo mnaamini. Wasio aminika, hakuna aliye kuwa hamuamini lowasa, yuko wapi?, shida nini chadema? Mtakuja kusema siku zijazo.
Safi sana nyarandu una utu sana
Kazi ya wajumbe
Mlinzi wa Mbowe amekula madini shingoni
Big words
Wavimba macho watupuuu
😥😥💪🏽💪🏽✌🏼✌🏼
Bro Nyalandu hekima yako ni kubwa ila uko katikati ya mafisi hao
Kama sio unafiki atakuwa mwanasia kongwe huyu NYALANDU.
MUNGU AKUPE NGUVU.
Hiyo ndio siasa mkuu hongera kwa kujitambua.
Wee ngoja mda bado tu haujafikaa na ccm utarudi tu kama hujui
Kwani kuna mtu amekwambia urudi ccm mbona unajistukia
tundu lisu hongera ila mahakamani hujaenda sababu uliotoa umejiweka lokdwon sasa hapo vipi mheshimiwa
People's power
Kuna mikoa amuendi vipi
One Love Nyarandu
Wengi hatukusoma...... nini maana ya PIPOZIPAWA
Bonge la hekima
Never boy
Huna nafasi tena , urudi kufanya nn
Imara zaidi kamanda
Baki huko huko ulikopeleka wale twiga
Anaongea akiwa na maumivu ya ndani.Itamtesa sana hali hii....Pole sana nyalandu,Naona umepoteza muelekeo tayari.Nyalandu pole sana.Matamanio yako yamegonga mwamba,alisema Lowasa,karudi,Alisema Sumaye,akarudi,Hata wewe utarudi.
Na subili bulaya animbie kwa nyarandu mwana kulitafuta Imekuaje? Yani kupata nini
Naona wamemsifia eti kakomaa kisiasa kesho Akirudi ccm utasikia msarithi mwanakulitafuta
Huyu mtu ni mwema.
Twendeni kwenye kampeni sasa!
LAZARO NYARANDU. WW NI MWIZI ULITUIBIA PESA ZETU ZA OPERESHENI TOKOMEZA MAJANGIRI NA TWIGA ZETU, UNA UBAVU NA TINDU WAKO NA MABEBERU WANAOWATUMIA, WEZI WATUPU MMEJAA UKO CDM.
Hahah usisahau na faru john
umenitia moyo
Atarudi badae Kama lowasa na sumaye
Nyarandu nimekuwaminisana hakika weweumeamua kuingia mabadiliko
Duuuh p/1 na kupaka mabasi Nyalandu rais 2020 wajumbe wamekupa kura 36 tuu , hata 2025 hawatokupa pia bt anyway muige Sumaye rud ome